Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Hiii kali ya mwaka
tunasema excellent explanations elaborations etc etc
Kaka, tangu jana mpaka leo nimeskiliza video zako 3 tu, na sasa nimeamua kukufollow, aisee!! Keep the great work up.
Asante sana ndugu.
Unyama mwingi sana mwalimu 😊
Asanteee Mr. Hamza
Kaka uko vzr sana
Asanteee
mwenyezi mungu azidi kukupa afya njema,kazi unayofanya ni kubwa
Aamiin aamiin
@@nk-computertraining HONGERA SANA MKUU KAZI nzuri juzi nimejifunza juu ya subnet mask hakika unajua kufundisha tena kwa lugha rahisi sana HONGERA MWALIMU
Sio mungu ni Mungu 🙏
@@kidsontemba1641 Asante sana Kidsontemba
Hii inanifaa sana
Asantee
Kiswahil je kipo
Lugha zote zipo ila ya Kiswahili pekee yake tunaileta hivi karibuni.
Ivi Kuna Ai inayo weza kutafsili vitabu
Teacher tumekuwa tukipata shida ku download Microsoft office
Njoo nkuuzie nauza software zote mtandaoni
@@EREVUKATV sorry ww nk?
@@MohdabdullaAli-u6xhapana mimi sio NK
Ok tutaandaa hilo somo ila kama unapata sehemu wana key za halali unaweza kununua pia.
Haina lugha ya kiswahili
Kiswahili kipo ila inaonekana bado hakiko vizuri, tutaandaa ya Kiswahili pekee.
Ok Boss
😂😂😂😂😂😂😂😂😂