#NK

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 28

  • @kassimbayuu
    @kassimbayuu Місяць тому

    Shukrani sana mwalimu

    • @nk-computertraining
      @nk-computertraining  Місяць тому

      Usijali Mr. Kassim

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 29 днів тому

      ​@@HGvv-bh1igunaijua mita 200 lakini? Ehhh labda uniambie mita 2 na siyo 200

  • @hackileo
    @hackileo 8 днів тому

    Ngoja ni waze kama musad pager ina run amr mcu ambay na gpio siyo zote zilizotumika tunaweza tengeneza firmware mpy then tukaiweka ndan ya device ambayo itafanya kaz kwa kupokea specific command kutoka kwetu inakaruhus gpio ambayo haitumiki tuitumie cc then tuweke c4 explosive material ambayo fuse yake itaunganishwa na gpio ambyo tuloiruhus ifanye kaz maana kama tukiwe c4 kwenye battery battery za pager ni removable so pager yake ni kama time bom ambayo inasubiria specific command ili iwezw lipuka apo vip mkuu

  • @mcheniitsolution9413
    @mcheniitsolution9413 Місяць тому

    Bless mwalim Nk

  • @khalifa_kuchi
    @khalifa_kuchi 26 днів тому

    Bro yaan ni big up sana unachambua k2 km computer yaan mpk ushahid unatoa i say ichi k2 ni adimu mno kukipata kw m2 mwengine

  • @zoroclassic9289
    @zoroclassic9289 Місяць тому

    Mimi hii ya mwisho nimeiyunga mkono pia naujume wako mwalim uko vizuri sana kama kama selelikali yetu wanachakujifunza hapa

  • @emmansolo4477
    @emmansolo4477 Місяць тому +1

    Uishi Maisha Marefu Sana Mwalimu

  • @DismasMaturine
    @DismasMaturine 28 днів тому

    Sensor hapo kwny tank ni ultrasonic inakuwa brogrammed

  • @mrdominik7533
    @mrdominik7533 Місяць тому

    Kwa Mimi naunga mkono nadharia ya Coding kwa sababu kuu mbili 1 kwa mujibu wa maelezo pagers zilizolipuka ni matoleo mapya yaan Latest wasiwas wangu ni kwamba huenda Kuna updates za kimawasliano zilifanywa kwenye vifaa hivyo jambo ambalo linaweza pelekea kuhakiwa.. na kawaida kifaa kikihakiwa kinaweza kufanywa chochote..

    • @nk-computertraining
      @nk-computertraining  28 днів тому

      Hoja ina nguvu na yenyewe maana baadae walilipua vivaa vyengine tofauti kabisa na pagers 📟

  • @hafidhimohamedi6551
    @hafidhimohamedi6551 Місяць тому

    Nadhariayamwisho inamashiko piaujumbeWako nimzurisana tenaufikekwaserekalizotezakiafrika maanaafrikaukivumbuakitu umefungwa

  • @bunifutv8468
    @bunifutv8468 Місяць тому

    Mim mwalim nawezakusem ni battery iliyo ripuka kwa %99 kwasababu kifa hakiwez kuwaka kam hakina battery ama nishat yoyote.

  • @khalifa_kuchi
    @khalifa_kuchi 26 днів тому

    Bro unaongea ukwel tu saiv lazima tujipange na tukilegea bx tutaripuliwa sote...

  • @khalifa_kuchi
    @khalifa_kuchi 26 днів тому

    Bro mm nitakua mwanafunz wako rasmin kwanzia leo coz naona unachoongea for sure una facts tupu

  • @DismasMaturine
    @DismasMaturine 28 днів тому

    Hizo ziliwekewa vilipuzi na kulipuliwa hizo nyingine ni propaganda hakuna ajabu

  • @msamgunda7684
    @msamgunda7684 2 дні тому

    Labda wewe ni tochi ya kuangazia njia ya kuelekea nchi ya ahadi.