WILSON ORUMA AFUNGUKA MAZITO ISHU YA FEI TOTO, WAYDAD WAWEKA MEZANI BILIONI 1.5, AZAM WANAOGOPA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • WILSON ORUMA AFUNGUKA MAZITO ISHU YA FEI TOTO, WAYDAD WAWEKA MEZANI BILIONI 1.5, AZAM WANAOGOPA
    #yanga #yangasc #yangatv #yangaleo #yangalive #caf #cafcl #azamfc #jkupdates #simbasc #simba #simbaleo #simbalive #simbaliveleo #simbatanzania #simbatanzania #nguvumoja #daimambelenyumamwiko

КОМЕНТАРІ • 17

  • @AliyussufMakame-js5dp
    @AliyussufMakame-js5dp Місяць тому

    Mchezaji bora mzawa hata ukichukia tupende vya kwetu

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 Місяць тому +1

    Feisali mpumbavu sanaaa kwakweli kwanza alikataaga ofa zamani wakati yupo yanga Leo na hii akikataa atakuwa mjinga wa mwisho

    • @onekisstv8412
      @onekisstv8412 Місяць тому

      Watu hawaangalii hivyo azam amewekeza Kwa Feisal kuanzia pesa kazi Kwa ndugu zake nyumba magari mzee sio poa azam kiufupi kaibeba familia ya Feisal Haya ungekua wewe ungeenda uku ndugu zako waludi mtaani

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Місяць тому

      Usiite watu wajinga we shanga shangazi

  • @yohanakayinga9279
    @yohanakayinga9279 Місяць тому

    Na kwann mmeweka picha ya hivo

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo Місяць тому

    Nyie ni waongo

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 Місяць тому

    Hao wangine hizo Timu mbona kama Mnazisingizia Tuu

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 Місяць тому

    SIMBA NDIO TIMU AMBAYO HAIBANII WACHEZAJI KWENDA NJE

    • @yohanakayinga9279
      @yohanakayinga9279 Місяць тому

      Upo sahih

    • @HappyEel-wg4qx
      @HappyEel-wg4qx Місяць тому

      Acha ukuma mbona kibu mmembania acha unafiki kamahujuwi kaa kimya acha ukoro wako

  • @mussammanga7791
    @mussammanga7791 Місяць тому

    Hawa bhana kwa kumpaisha mtu wala huoni kiwango alichonacho.

  • @nassirali7499
    @nassirali7499 Місяць тому

    Uongo tuu! Mshahara wa milioni 50 kwa mwaka wa Waydad, mbona hauna tofauti kubwa na mshahara wa milioni 4 kwa mwezi wa Yanga?

    • @kelvintesha6148
      @kelvintesha6148 Місяць тому

      Nani kakwambia 50m ni kwamwaka weumeona wapi zinaandikwa Kwa mwaka

  • @WilsonCharles-y4b
    @WilsonCharles-y4b Місяць тому

    Hakuna lolote wewe.... Lengo lako eti Feisal awe anazungumzika sawa na Azizi Ki.
    FEISAL HANA QUALITY YA KUCHEZA TIMU ZA NAMNA HIYO NJE YA NCHI. YEYE AENDELEE KUCHEZA AZAM HUKU AKISUBIRI NENO UZALENDO LIMPE TUZO...

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Місяць тому

      DUH!! WE NOMA FAISAL LEO HANA QUALITY?!

    • @paulclementmakune3661
      @paulclementmakune3661 Місяць тому

      ​@@rayisadesigns2646Quality anayo but sio kama inavyosemwa hiyo, ni sawa na Beligham kutajwa na media za England kuwa bora zaidi ya Vini, ndo kinachoendelea hapo kwenye media ya walevi hawa