PEPO YA MWANAMKE NO: 02 ( UKUBWA WA HAKI YA MUME KWA MKEWE )

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 жов 2024
  • ENDELEA KUFUATILIA CHANNEL YETU HII UJIFUNZE MENGI KATIKA ILMU YA DINI MA SHARIA PAMOJA NA AKHLAAK YAANI TABIA
    SOMO HILI LA LEO LINATUELEKEZA NAMNA GANI HAKI YA MUME KUTOKA KWA MKEWE ILIVYOKUBWA NA MUHIMU KUTUNZWA
    USISAHAU KU SUBSCRIBE KU LIKE NA KU COMMENT PAMOJA NA KU SHARE

КОМЕНТАРІ • 20

  • @SalumHilali
    @SalumHilali 9 днів тому

    Masha Allah

  • @mudrickbachan2442
    @mudrickbachan2442 4 місяці тому +2

    شكرا لك ماشاءالله تبارك الله.

  • @SalhaHemed
    @SalhaHemed 4 місяці тому +1

    Jazakillah kheir

  • @chamamahassan8669
    @chamamahassan8669 4 місяці тому +2

    Maashallah hongeera ukht
    Asante kwa faida

  • @MohamedAli-fq7qw
    @MohamedAli-fq7qw 3 місяці тому

    Baarakallah fikum

  • @RamlaSalum-uc4ql
    @RamlaSalum-uc4ql 4 місяці тому

    MashaaAllah

  • @Mbaraka-m8c
    @Mbaraka-m8c 3 місяці тому +1

    Allah akuwezeshe uzidi kutuzindua

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan 4 місяці тому +1

    Mashallah naomba mawsialino tafadhali

  • @NxhfiNtjfif
    @NxhfiNtjfif 3 місяці тому

    Walaikum salam warahmatullah wabarakatuh, shukran

  • @FahdIbnyussuf
    @FahdIbnyussuf 3 місяці тому

    Allah akuongoze

  • @SalhaHemed
    @SalhaHemed 4 місяці тому +1

    Masha Allah ukhi shuweyha

  • @jamaalali4564
    @jamaalali4564 4 місяці тому +1

    Maa shaa Allah hongera dade Allah akusimamie ktk kila hali

  • @NasriaNassor
    @NasriaNassor 4 місяці тому +1

    Shukran dada Allha akuzidishiye kheri ktk kila njia Inshaallah

    • @SalhaHemed
      @SalhaHemed 4 місяці тому +1

      Masha Allah ukti shuweyha jazakillah kheir

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 4 місяці тому +1

    Jamani someni namba za huyu mama mnataka za nini huyu sio kina shilole soma pata elimu tembea 😂😂😂

  • @AishaSaoud-m4i
    @AishaSaoud-m4i 4 місяці тому

    Ebu tufungulie hili ustadhat
    IKIWA MUME NI MWENYE KUHANGAIKA SANA NA MICHEPUKO HATA UMFANYIE NINI AMEZAMA KTK TABIIA HIO
    JE LAKUFANYA NILIPI ? HAPO

  • @TawhidaOmar-vv5le
    @TawhidaOmar-vv5le 4 місяці тому

    Ukht mbona umevaa kitandio kidogo na Alla ametwambia tushushe shungi zetu mpk chini ya vifua vyetu,

  • @FahdIbnyussuf
    @FahdIbnyussuf 3 місяці тому

    Ukhty tafadhal unalingania watu wee mwenyeo hujavaa hijabu ya ask kisheria kwanza sema na nafsi yako juu ya kujistiri kwako km kwel unafuata qur an na sunna

    • @hassankichondo7718
      @hassankichondo7718 3 місяці тому

      Kama yupo bakwata na sunna haifuati afanye nn? Amedhihirisha matamanio yake wanaume mpite tu darasa la akina mama hili au Kama mwana umme sikiliza tu mada acha kuangalia matamanio yake yà uso hususwan mada inawahusu wanawake