DUNIA (EP 08)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • #dunia

КОМЕНТАРІ • 387

  • @ClamVevoTV
    @ClamVevoTV 26 хвилин тому +4

    ✨🎀KAZI NZURISANA NDUGUYANGU #ESMAFILMS BIGUP🙏😊📽🌍🎋🕊

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv 3 години тому +47

    Leo nimekuwa wa 60,kwa comment please naomba Comment za kuwapa nguvu team Dunia hili ni bonge la Series🎉🎉🎉🎉❤❤❤ em like ziwe nyingi ❤❤

  • @Zebuu-kp
    @Zebuu-kp 2 години тому +27

    Mwish watu mtajifunz kitu ❤❤

    • @NthenyaNgei
      @NthenyaNgei 2 години тому

      Nakoja Mr money jamani

    • @Zebuu-kp
      @Zebuu-kp 2 години тому +1

      @@NthenyaNgei tayar

    • @MelaniaTluway
      @MelaniaTluway Годину тому

      Kp tuletee mambo chap chap bongo movie hits better❤️❤️❤️❤️

    • @AsmaniMbali
      @AsmaniMbali 11 хвилин тому

      Kp vip zebuu wako

  • @andrewrichard7640
    @andrewrichard7640 18 хвилин тому +1

    Kazi nzuri sana, binafsi ninaipenda kazi yenu

  • @AshaMbeyu
    @AshaMbeyu Годину тому +9

    Leo huyu mlevi ameongeya kitu cha kueleweka kabisa wewe tajiri na malizako mlevi na mkewe mapenzi yao mazuri sana ❤❤❤

  • @Garmahtv
    @Garmahtv 2 години тому +21

    Mudi 🎉🎉 umeongea mpaka nimeumia binafsi

    • @MillaDeus
      @MillaDeus Годину тому +1

      Yn kaongea kwa hisia sana 😊

  • @MaggyLeonard
    @MaggyLeonard 2 години тому +15

    Mmh watu mnajitahd kushinda mtandaoni duh like moj bs hat km nimechelewa

  • @isayamwanjoka3958
    @isayamwanjoka3958 2 години тому +13

    Hii tamthiliya ni nzuri mno jaman wadau tumalize mwaka na hii Dunia ina mengi sana...
    Kama wew uko kama jordan ulidhan kitonga kumbe ngoma ngumu. gonga like

  • @FOCUSWICKSON-yi5wl
    @FOCUSWICKSON-yi5wl 3 години тому +17

    Nakubali madam vaileth pamoja na manyanya kwa kazi nzuri 🎉 mnayoifanya big up all them

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 2 години тому +13

    Manyanya hutafka mbari my dear brother unajua na unajua tena

  • @evansjuma5959
    @evansjuma5959 Годину тому +3

    Mna mafunzo kweli, nawapenda bure kutoka hapa 🇰🇪 , majirani hooooooyeeeeeeeeee❤❤

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 2 години тому +10

    Namuona mbali sana mtaalamu MANYANYA ❤ king of script

  • @kingfocustzog
    @kingfocustzog 2 години тому +11

    Tunaomba Dakika ziongezwe angalau ziwe 23

  • @Zarrahmauwa
    @Zarrahmauwa 2 години тому +11

    😢😢huyo matildaa ndiyo najiona mimi kabisa siku zijazo😢

    • @hanifahkhamiss8485
      @hanifahkhamiss8485 Годину тому

      Mungu akunusuru mamy😢😢

    • @Zarrahmauwa
      @Zarrahmauwa 57 хвилин тому

      @@hanifahkhamiss8485 allahuma ammin dear mapenzi yanatesa na mwisho wa yote Imani inatoka na chuki inatawala

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 2 години тому +7

    Ila Manyanya bwana, broo unajua kaka hongera, et mbn mboga ipo maharage na mchicha,hahahah

  • @ChrisNini-ot3bl
    @ChrisNini-ot3bl 2 години тому +5

    Dah Funzo Kubwa Broo Achana Na Mke Wangu Harafu Muddy Yupo Serious Leo

  • @KidalosMafumbula
    @KidalosMafumbula 2 години тому +10

    Walio wayi Ku kumente bila kumaliziya kwanza moovie njo APA tujuwane kwa like zako 😂😂😂😂😂

  • @sundaymasigati3742
    @sundaymasigati3742 2 години тому +9

    Move nzuri sana jaribuni kuongeza dakika hata 25 hivi

  • @givenrichard8094
    @givenrichard8094 59 хвилин тому +1

    Manyanya una kitu Nakuona mbali sana Beo Mungu mwema akuepushe na husda za Ulimwenguni.....🎉🎉🎉🎉 Mudy daaah 😂 Nmeipenda hio

  • @ebubu-bf1oy
    @ebubu-bf1oy 34 хвилини тому +1

    Matilida uko makini sana,, manyanya pia 100 mnoo,, mudi nae kaamua kuzungumza Leo fact sana .. like hapo..

  • @HamenyimanaJeanmarie
    @HamenyimanaJeanmarie 2 години тому +14

    Wakwanza kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 naombeni like zangu nawapenda sana

  • @JEANNEMLEBINGE
    @JEANNEMLEBINGE 33 хвилини тому +1

    Mbona mnaweka dakika ndogo jamani 😢

  • @VictoriaNkole
    @VictoriaNkole 2 години тому +1

    Leo chapombe kaongea point jaman uwiiii, good job next pleaz

  • @OLOLUFEMITz
    @OLOLUFEMITz 3 години тому +11

    Wa kwanza Leo ❤❤❤

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 Годину тому +2

    Mati umeona ukajilalie tu mwaya hutaki zahma za roho😂😂😂

  • @MelaniaTluway
    @MelaniaTluway Годину тому

    Umenifundisha sana toka mwanzo❤️❤️❤️❤️❤️

  • @NajimaShabani
    @NajimaShabani 2 години тому +3

    I hope sjachelewaaa ivyoooo😂😂,,,,,kaz mzur Manyanya tuko pamoj❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤

  • @جوزفينامحمد
    @جوزفينامحمد 48 хвилин тому

    Namupenda sana uyo mulevi sijui jina lake samahani

  • @GatekaSiBelle
    @GatekaSiBelle 25 хвилин тому

    Yani manyanya maneno yako Yananitunza sana big up.brother

  • @Eddahtz
    @Eddahtz Годину тому

    Mko vizur sana kazi nzuriii

  • @MartinJoseph-q1h
    @MartinJoseph-q1h 37 хвилин тому

    Mungu awabqriki sana wote mashabiki wa hii movie

  • @Awoshy
    @Awoshy 49 хвилин тому

    Mati umejua kunikosha kipenzi 😍😍😘👏👏👏

  • @MirajiMiraji-z4g
    @MirajiMiraji-z4g 22 хвилини тому

    Kaz nzuri ila mnachelewesha sana

  • @VeronicaMichael-ph5yu
    @VeronicaMichael-ph5yu Годину тому +2

    Manyanya ongera yako❤❤❤❤❤❤❤❤unatufunza sisi Wana ndoa mungu akubariki ufoke mbali

  • @celestinss4045
    @celestinss4045 2 години тому +5

    Nimekua wamwisho burundi nawapenda sana

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 2 години тому

      mh mbona mi nmekukuta😢

  • @ajuwazaglodim7645
    @ajuwazaglodim7645 2 години тому +3

    Mudi nakukubali unamulilia mke wako😂😅

  • @HamisiRashford
    @HamisiRashford 2 години тому +4

    Hakuna kumpa hela uyo bro

  • @FaridaMwilewa
    @FaridaMwilewa 44 хвилини тому

    Iyi ni bonge la serie inafundisha Sana kwetu sisi ambao atujakuwa kwenye ndoa❤❤❤

  • @sanauswahilimovies
    @sanauswahilimovies 2 години тому +5

    Manyanya huyu chepe dawa wako atakuuua
    Jamani mrembo tifah yupo wapi

  • @DianaMkembelwa
    @DianaMkembelwa 2 години тому +1

    Jamani maua kwa manyanya na mke wa chapombe🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤mko vizuri sana nawapenda❤❤❤❤

  • @jonathanbrayson6946
    @jonathanbrayson6946 3 хвилини тому

    Yaan mzee wa kisaikoloji inajenga akil na spirit daah bonge la muvi Safi kazi nzuri

  • @CHIBOSaganka
    @CHIBOSaganka 11 хвилин тому

    Movie nzuri dakika chache ,

  • @DominickCostantin
    @DominickCostantin Годину тому +2

    Daaah ila mud hii picha kauwa sanaa mlev kaongea kwa hisia sanàaa dadeq 😅

  • @ekimakiza33
    @ekimakiza33 Годину тому +1

    Ongezeni dakika jamani daah MUDDY anafanya vizuri sana
    Nakama tunzo basi apewe
    DUNIA my favorite movie 🎥 🔥🔥🔥

  • @petermwangi8487
    @petermwangi8487 2 години тому +5

    Uyo mlevi amecheza part yake fty,,,😍😂😂,,episode next ikam buana.

  • @ChingaKenboy-fz8yr
    @ChingaKenboy-fz8yr 15 хвилин тому +1

    Another banga,kali sana nimepèn̈da kìlio cha mudi adi ĺimenitoka chozi,uhalisia wengi wetu wana ndoa hatùzingatii upendo wa dhati ndiposa mwishowe twalaghaiwa na vitu kidogo na kusaliti ndoa zetu na kuingiza lana,napenda sana series ya DUNIA🎉🎉🎉🎉kama umeipenda comment yangu like na unicommentie chchote #ChingaKenboy

  • @Chebaibaiever
    @Chebaibaiever Годину тому

    Mudii shika maua yako🎉🎉🎉❤❤❤❤ na mkeo huwa mnanifanya nipende kufuatilia kipindi hiki❤❤

  • @peterzjohn6260
    @peterzjohn6260 26 хвилин тому

    Mlevi leo kaongea point tupu had mbakaj mwenyew kajckia vby

  • @EzekielMasai
    @EzekielMasai 3 години тому +4

    Wa kwanza kutoka Kenya

  • @SarahMugisha-bh8yu
    @SarahMugisha-bh8yu Годину тому

    Mambo fire from Burundi isi iragoye shaaaaaaa

  • @RuthShanyisa-c4r
    @RuthShanyisa-c4r Годину тому

    Hiii tamthilia nizuri sana muongeze masaaa jamani

  • @fabiansululi7511
    @fabiansululi7511 Годину тому

    safisana Nawakubali aloo yule bro mwembamba Yuko sirious sana safi Sana 🎉🎉🎉

  • @SaideMaquivelo
    @SaideMaquivelo 14 хвилин тому

    Nawafatilia kutoka Msumbiji we Manyanya noma saana.

  • @EliufooMassawe
    @EliufooMassawe 2 години тому +6

    Mbona muda mdg sna

  • @DaniBoeeTz
    @DaniBoeeTz 25 хвилин тому

    Movie 🍿🎥 kalii mnajua sana

  • @AshachalesManase
    @AshachalesManase 19 хвилин тому

    Mudi kazi zuri sana

  • @frankmwaikambo9784
    @frankmwaikambo9784 2 години тому

    Pamoja sana genius director huboi mzee

  • @MwanaRashid-t3i
    @MwanaRashid-t3i Годину тому

    Naipenda sana hii move nataman iwe kila cku

  • @FélicitéGodelive
    @FélicitéGodelive 2 години тому +3

    Unajuwa sana manyanya 😄

  • @MaheriChristopher
    @MaheriChristopher 3 години тому +2

    Manyanya huyooo bigpu sana

  • @NaviloBahati
    @NaviloBahati Годину тому

    Manyanya unajua nn unafanya bro nipenda sanaa msimamo wako

  • @SubiraMussa-f3y
    @SubiraMussa-f3y 15 хвилин тому

    Duhhhh mudi amenitya hurum mpk nimetokwa namachoz ❤❤❤

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 2 години тому

    Kazi safi sana

  • @iddyluswaga1821
    @iddyluswaga1821 2 години тому

    😂😂😂😂maneno ya mlevi yazingatiwe🙌🙌🙌

  • @Stafamuigizaji
    @Stafamuigizaji 3 години тому +2

    Mwanaume anafanyaje mazoezi na nguo ya baridi jamani kwenye tukio la joto.... Ila hongeren sana hii movie naipenda sana🇫🇷🇫🇷🇫🇷

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 Годину тому

    Kazi nzuri sanaa hongereni kazi imekaaa katika mpangilio mzuri sanaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @EzekielKyara-i1x
    @EzekielKyara-i1x 3 години тому +3

    Wa kwanza hapa

  • @martinkioko6437
    @martinkioko6437 Годину тому +2

    Mimi hapa wa Mia tatu kwa comments 😂 kutoka Kenya 🇰🇪

  • @zikokashindi4730
    @zikokashindi4730 57 хвилин тому

    ❤❤❤ nitazidi kukaa macho hadi pale dunia hitakapohisha Manyanya mtu maana kabisa Mudy ongera sana somo kwa wale ambao na tambia yakutaka kunyanyasa wapiga chupa

  • @kabongaaman7156
    @kabongaaman7156 2 години тому +5

    MUME WA VAYLET NI MTU NA NUSU ANAJUWA MPK ANAJUWA TENA🎉🎉, ILA AKAZINGATIE ENGO😂

  • @JasminKilimo
    @JasminKilimo 45 хвилин тому

    Jamani movie tamu sana❤❤

  • @ghazzaalthani
    @ghazzaalthani 2 години тому +1

    mudi unajua san mwamba 🔥🔥

  • @NosiataDfd-k5g
    @NosiataDfd-k5g 2 години тому +2

    Mlevi Leo ameongea maneno ya mhimu kabisa

  • @FahadNassor-j5o
    @FahadNassor-j5o Годину тому

    Mzuri ila mnatudhulumu dakika chache sana jamani

  • @MNIZZYThafatima
    @MNIZZYThafatima 3 години тому +4

    WAKWANZA LEO JAMANI NAOMBENI LIKE ZENU FROM 🇱🇷

  • @SergesShimirimana
    @SergesShimirimana 31 хвилина тому

    Tumejifunza mengi❤❤❤❤

  • @Neemahashim12
    @Neemahashim12 2 години тому +1

    😂😂😂😂😂😂mudy kwenye dunia yenu siyoooo🎉🎉🎉😂😂😂❤❤❤

  • @DaniBoeeTz
    @DaniBoeeTz 27 хвилин тому

    😢mati jamani mi nakupenda njoo kwangu sito kuumiza❤❤❤

  • @WitnessTemu
    @WitnessTemu 2 години тому +1

    Muddy Leo kaongea point 🎉🎉

  • @ShedrackBishaza-qd4vq
    @ShedrackBishaza-qd4vq 2 години тому +2

    Hii kazi nzur san manyanya yuko vizur san jamaa anajua san na nimwamba maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @IbrahimAliahmed-rm6tc
    @IbrahimAliahmed-rm6tc 49 хвилин тому

    Kweliii huwapendi wanaume na unawachukia hahaha mpk mlango umekomea jmn 😅😅😅 bahat

  • @IbraheemJulius
    @IbraheemJulius 2 години тому +1

    Manyanya 🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯

  • @MwanakheriAbdallah
    @MwanakheriAbdallah Годину тому

    nzuri sema fupi

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 3 години тому +2

    Baadae Sindula atapata mume bora🎉🎉sijui kwa nn wanakula alafu wanasepa🎉🎉😂mm ningestill forever

  • @AirtelMobigo-r7l
    @AirtelMobigo-r7l Годину тому

    Mwenye uzoef na timiza tuongee

  • @mavoejr3072
    @mavoejr3072 Годину тому

    Aiseee Toka nmeanza kuiangalia hii Toka kipande .Cha kwanza mpk hki Cha Leo hii scene ya muddy Cha pombe na Jordan kdogo nimwage chozi dah 😢muddy kaongea kwa hsia sana 👏👏👏👏

  • @eliphazcongera8929
    @eliphazcongera8929 Годину тому

    Jitahidini kuongeza dk jamani mnatunyima raha

  • @nuhujuma2269
    @nuhujuma2269 2 години тому +2

    Mmeanza kuzingua mbona yaleo story sio Kali San ule mfumo wakwanza ulikuwa poa stor inatakiwa iwe strong San

  • @m.csundayvin3584
    @m.csundayvin3584 36 хвилин тому

    Good job. Hamkawii hata kidogo

  • @PacifiqueLeontina
    @PacifiqueLeontina 2 години тому

    Manyanya nakukumbali San kk MUNGU azidi kuwapa nguvu San ndo Dunia iyi niatari.

  • @DaniBoeeTz
    @DaniBoeeTz 45 хвилин тому

    😂usituchukie mrembo njoo mintaishi nawewe nakuona kabisa

  • @MaarufuAmani-bq6qc
    @MaarufuAmani-bq6qc Годину тому +1

    Dakika dakika dakika dakika kuweni makin jaman dakika dakika

  • @JacksonVuga
    @JacksonVuga Годину тому

    Hongera sanaa katika series yenu nawapenda sanaaa🎉

  • @HanifaHabibo
    @HanifaHabibo 2 години тому

    Pole matrida unapitia mateso mudi umeongea point japo mlevi 😂😂

  • @WILDLIFETV.VIUMBENASIFAZAO
    @WILDLIFETV.VIUMBENASIFAZAO 41 хвилина тому

    Hii story itapelekea subscribeers 1M
    Pigeni kazi

  • @NathaSMART
    @NathaSMART 3 години тому +1

    Wakwanza Leo Guys 💥💥💥
    mudy unapenda mke wako 😢😢 🎉🎉🎉❤❤

  • @thumalove1886
    @thumalove1886 Годину тому

    Mlevi mpumbavu huyu kanitowa machozi😅😢

  • @MRANGENIKELVINI
    @MRANGENIKELVINI 22 хвилини тому

    Jaman dakika tunaomba tuongezewe dakika nindogo sana

  • @boniphacemasero-q5e
    @boniphacemasero-q5e 36 хвилин тому

    Movie nzur,jarbu kuongeza dakika,angalau dk 30

  • @mrgenius7755
    @mrgenius7755 3 години тому +3

    mapemaa sana leo kutoka mbalizi..
    Kam unaikubali ginga like