Rehema Simfukwe - Neema Yako (Live Music Video) SMS Skiza 9841078 to 811

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Neema Yako ni wimbo wa Dua kwa Mungu kwenye yale mambo ambayo yamekua maombi yetu ya muda mrefu kwa Mungu wetu na mengine tumeyakatia tamaa kwani katika Neema yake ipo nguvu ya kuendelea mbele, Katika Neema yake ipo nguvu ya kuanza upya! Katika Neema yake ipo nguvu ya kushinda yale tuliyoyashindwa!
    Neema Imefunuliwa!
    Maana neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa; nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa. Tito 2:11-12
    Live Recorded at Ubungo Plaza
    Music Director - Samuel Yonah
    Video Director - Huruma Charles
    Assistant Director - Kababah_digital_media
    Video Editor - Fredrick Stephano
    Audio Captured by Sam Mboya - choosenrecordsinternational
    Audio Mastered/Mixed by Samuel Yonah - samyonstudios
    The BAND (Vocals&Musicians) - Team Halisi
    MD/Arranger|MainKeyz: @samyonah.tz
    Drums: @_officialhans
    Bass: @topbeyz
    Guitar 1: @andrewmichaelkan
    Guitar 2: @kaz.benjamin
    Acoustic🎸: @bezalelmwandete
    Aux 1 (Synth Lead): @am_keifer
    Aux 2 (Brass//synth chord): @fred_yonah
    Aux 3 (Marimba/Bells/synth): @nasamwa_keys
    BACKVOCALS :
    (Soprano)
    @jennifer_ulomy
    @jackieayub
    @mellyrites
    sherie
    @markybeyz
    (Alto)
    felister
    @lizblecng
    @nejamaly
    @sarahjohnmenas
    (Tenor)
    masolwa
    @georgesangiza
    @joshualugendotz
    @haggaimic
    LIVE SOUND:
    Live Audio Engineer FOH: @gadi_sl 🔥
    MonitorBvs: @therealmujwahuki_mj
    MonitorLVs&Music: @b_ngowi
    FOH Sound & Backline equipments & Stage : @haddypro_proffesional_audio @givenadd
    Truss : @soundmusictz
    Hospitality: @lightness_rhody
    ---
    Make-up & Rehema’s dress & designer: @shatafrika
    Ladies: @kuyacreations
    FOH Sound & Backline equipments & Stage : @haddypro_proffesional_audio @givenadd
    Truss : @soundmusictz
    Decoration/LED Screen
    @simplyspecialdecor255
    Lights: @allanlighting & joram
    Lyric interpreter- Venisia Zephaniah
    Channel Administered by Huru Digital
    Instagram: / hurudigital
    #RehemaSimfukwe #NeemaYako #MusicVideo

КОМЕНТАРІ • 2,6 тис.

  • @NYAHURURU_ICON
    @NYAHURURU_ICON Рік тому +747

    Huu wimbo ulifanya ni badilishe dini wakristo mnipokee kwa mikono yote miwili 🎉 tumsifu Mungu 🎉🎉🎉🎉

    • @eunicekariuki3139
      @eunicekariuki3139 10 місяців тому +33

      welcome to the Kingdom, may the holy spirit put a seal on your salvation

    • @HappyLema
      @HappyLema 9 місяців тому +8

      Karibu saanaaaa,Yesu anakupenda mnooo❤❤❤❤❤❤

    • @NYAHURURU_ICON
      @NYAHURURU_ICON 9 місяців тому +5

      ​@@eunicekariuki3139❤❤❤ Amen🎉

    • @NYAHURURU_ICON
      @NYAHURURU_ICON 9 місяців тому +5

      ​@@HappyLema❤❤❤ Amen be blessed 🎉

    • @HappyLema
      @HappyLema 9 місяців тому +2

      @@NYAHURURU_ICON amen

  • @supertechbro9793
    @supertechbro9793 2 місяці тому +44

    Tunaosikiliza wimbo huu kwa kuamini mungu atatubariki weka likes

  • @boazdanken
    @boazdanken Рік тому +566

    Neema yako nahitaji Bwana Ndugu zangu wote waokoke. Mungu azidi kukuinua Rehema

    • @juniorwiseprophet1240
      @juniorwiseprophet1240 Рік тому +6

      Nabarikiwa na huduma Yako saana mtumishi , Mungu ameweka thamani kubwa kwenu Kwa kizazi, Mungu awainue saana .

    • @Robertgimano
      @Robertgimano Рік тому +4

      Amen 🙏 dad more blessing to you in the Mighty name of Jesus Mungu awajalie ndugu zetu

    • @anethdanfrey5238
      @anethdanfrey5238 Рік тому +2

      You are blessed man of God. Umegusa roho za wengi

    • @veronicathomas9422
      @veronicathomas9422 Рік тому +5

      Ev. Boaz Danken Mungu aendelee kukutumia. Napenda unavyowaunga mkono waimbaj wenzako.

    • @samwelymchomvu5385
      @samwelymchomvu5385 Рік тому +1

      Barikiwaaa

  • @PresiousNancy-pd5hg
    @PresiousNancy-pd5hg Місяць тому +45

    Wale wako hapa 2024 ,I have a testimony indeed God is faithful,,Huu wimbo niliusikiza 2023 nikambia Mungu akomboe familia yangu kutoka kwa ulevi na katika dini ya kislamu ,Nilikua peke yangu kwenye familia niliye kua niubeba huo mzigo japo.kua haukua mwepesi lakini MUNGU wetu ni Mwaminifu aliweza kusikia kilio changu 😢sai familia yangu imekombolewa inahubiri injili ya kristo,, ooh God you're mercyful God.Thank Jesus for everything,thank you for your salvation 🙏🙏🙏🙏🙏Kwa yeyote atakaye soma huu ujumbe hautabaki jinsi ulivyo Wacha Mungu afunue neema yake kwako🙌🙌

  • @africantales254-f3p
    @africantales254-f3p Рік тому +200

    God God funua neema yako kwa wote wano soma hii comment iwe kwa ajili ya familia ,pesa biashara au afya zao

  • @emmanuelsamwel741
    @emmanuelsamwel741 Рік тому +2669

    Wale ambao familia zetu walitokea kwenye uislam , tunaomba waliobaki nao wasipitwe na hii neema . Weka likes

  • @emmanuelrotich1321
    @emmanuelrotich1321 4 місяці тому +41

    Leave a like if you're here at 2024 for every like I relisten the song it's so touching ..... Our families and loved ones to receive Jesus💝💝💝

  • @NeemaGospelChoir
    @NeemaGospelChoir Рік тому +331

    Powerfull Ministration 🔥🔥🔥🔥🔥.
    Hii Neema Isiwapungukie Marafiki na Ndugu zetu 😭😭😭🙏🏽😭🙏🏽🙏🏽

  • @osmanhamadiosman8636
    @osmanhamadiosman8636 Рік тому +126

    Am a Muslim but this song nasikia wepo wa mungu n wimbo unao nibariki Kila wakati

    • @davidmuya3
      @davidmuya3 Рік тому +3

      @osman the Love of Christ is upon you my brother.

    • @johnsonminja8264
      @johnsonminja8264 11 місяців тому +1

      ❤Take it make yours God is real heaven is real

    • @EdgarLeonard-yp2rb
      @EdgarLeonard-yp2rb 6 місяців тому

      Make sure you don't miss , heaven is real my dear

    • @teresiaLeonsi
      @teresiaLeonsi 5 місяців тому

      Ubarikiwe Sana mungu akukumbuke na uwapendao❤

    • @gladysnancy6097
      @gladysnancy6097 3 місяці тому +1

      Neema ya Mungu isikupite, ingia rahani mwake kamili. Yesu anakupenda hata sasa, ukawe neema kwa familia yako

  • @davidgrema9771
    @davidgrema9771 Рік тому +4

    Huu wimbo unaingia hadi kwa mifupa yangu😢😢

  • @mswairimuslifestyle4371
    @mswairimuslifestyle4371 5 місяців тому +125

    Funua neema yako over my mum health she has been sick for 7 years now... And as i right this now she is unwell and everyone is confused but qe are trying our best to help her. At this moment i call on God funua neema yako over my mums health mataifa wote yakujua cozni belive she wake up on her bed and walk again in Jesus name

  • @ericgichane1608
    @ericgichane1608 Рік тому +705

    This song is such a powerful prayer, I can't stop listening, GIVE A LIKE to appreciate Rehema Simfukwe, a voice of Grace in our times ........ My 2023 Prayer Do it for me, Lord Jesus ..... FUNUA NEEMA YAKO😭😭😭

  • @mdawidatiki6960
    @mdawidatiki6960 Рік тому +699

    When I was a kid (probably 9 or 10 years old), i asked my mum quite a futuristic question;WHO COMPOSES GOSPEL MUSIC?Her response was ;they are composed in heaven then let down to earth to be sung by God's appointed people.This song is one of them!

  • @Mariablessed-z7f
    @Mariablessed-z7f 6 місяців тому +37

    Today being April 5 i will come back to tell you guys what the lord is doing and will do a date like this.....and day ....., am struggling to pray for reunion for family members to reunite and be one as a Family guy pray for me likes za walking by God's grace and mercy we walk by Faith 💫

    • @joymwangi7584
      @joymwangi7584 2 місяці тому +1

      You will testify

    • @Mariablessed-z7f
      @Mariablessed-z7f 18 годин тому +1

      ​@@joymwangi7584Goodness of God overflowing 🎉🎉❤❤❤❤

  • @aronblesseddan5449
    @aronblesseddan5449 Рік тому +47

    Ata kwa nchi yangu Kenya 🇰🇪 Neema ya Mungu isitupite🙏

    • @anithaanthony7922
      @anithaanthony7922 Рік тому +1

      Thank you from Tanzania citizen s🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @kibaliolive7325
      @kibaliolive7325 7 місяців тому

      Amen. Thank you brother.

    • @carolinenanjala6346
      @carolinenanjala6346 4 місяці тому

      Amen amen and amen ❤

  • @khantronics
    @khantronics Рік тому +138

    Funua Neema Yako Familia Yangu ikujue
    Funua Neema Yako Marafiki Wangu wakujua....That's my prayer🙌🙌....Glory to Jesus🥺

  • @victoriamima2547
    @victoriamima2547 Рік тому +24

    This is not just a song
    It's a prayer
    HALLELUJAH
    NIFIKISHENI 1K PLZ

  • @victoriambise190
    @victoriambise190 Рік тому +39

    Watoto wangu wakujue Mungu...hata nikitangulia mbele ya HAKI..jina lako Yesu liandikwe ndani ya mioyo Yao .wewe ndiwe yote..wewe ni utoshelevu kwa Kila nafsi We Bwana..wewe ni asili ya mema yote .Nakupenda Mungu..nakupenda .naamin unaona Bwana.

    • @eliufoosimonchuri4160
      @eliufoosimonchuri4160 6 місяців тому

      Bwana akujalie sawa na haja ya moyo wako. Nami naomba hivi kwa uzao wangu

    • @gabrieldevid9
      @gabrieldevid9 3 місяці тому

      Hakika huu ni iujumbe unao nibariki sana rafiki😊. MUNGU atabaki kuwa MUNGU barikiwa sana.

  • @gideonhubert1577
    @gideonhubert1577 Місяць тому +5

    Huu wimbo una uvuvio wa Roho Mtakatifu kuanzia kwa Mwimbaji, waimbaji, wapigaji na wote, hakika kwa kila anaye usikiliza wimbo huu anaweza kufanya maamuzi ya kumrudia Bwana na kuanza maisha mapya na Yesu. Ni zaidi ya maombi, ni zaidi uinjilishaji.
    Maandalizi ya kiroho kabla ya kutunga au kuimba wimbo wowote humuachilia Mungu akajidhihirisha na kukupa mafunuo na kila kitu na zaidi kujidhihirisha katika ibada na wengi wakakutana na Mungu katika kila hitajio lao.
    Ukiwaangalia waimbaji na wote wameingia ndani zaidi kwa mzigo na hata nguvu za Mungu zikajidhihirisha.
    Hongera Rehema Simfukwe, Mungu amakutumia kuwarudisha watu waliokuwa wamepotea.
    Mungu Roho na wamwabuduo halisi imaewapasa kumwabudu katika Roho na kweli.

    • @VictorFranael
      @VictorFranael 19 днів тому +2

      Ajabu ni kwamba ukifanyia nyimbo maandalizi mengi ukatumia gharama na Kila kitu huwa haina mvuto...lakini ambayo imekuja ghafla kutoka Rohoni bila maandalizi ya kimwili matokeo yake ni kama hii nyimbo.

    • @gideonhubert1577
      @gideonhubert1577 19 днів тому

      @@VictorFranael hakika

  • @jacobmutio
    @jacobmutio Рік тому +232

    From Kenya ,when i listen to this song I find myself locked in my room crying to the heavens.Thank you Rehema,Tumika na mbingu zaidi

    • @monicahwairimu3170
      @monicahwairimu3170 Рік тому +2

      Me too....😢❤

    • @ianjesse8525
      @ianjesse8525 Рік тому +4

      Your not alone me too this powerful worship music find my self just crying 😭 from this song feel the presence of God

    • @josephmagessa5523
      @josephmagessa5523 Рік тому

      @@ianjesse8525

  • @emmanuelmatete6963
    @emmanuelmatete6963 Рік тому +141

    We can't do anything without your grace .......
    Worshipers from Kenya just wave

  • @sophyschone2410
    @sophyschone2410 Рік тому +570

    This is not just a song, its an intercession prayer,to interceed for souls🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @justustiego.tiego.365
    @justustiego.tiego.365 Рік тому +281

    Your songs are not just ordinary songs, but they always draw us closer to God.
    Hakuna mkristo kamili ambaye anaweza kupinga uwepo na nguvu za Mungu kwenye nyimbo zako, wacha Bwana azidi kukujaza na kukutumia jinsi apendavyo kwa ajili ya ukuu wake.
    Receive more grace from Nairobi Kenya!🙏🙏

  • @dianandinda83
    @dianandinda83 3 місяці тому +30

    Haya ni maombi yangu kwako
    Wote ninaowapenda wasipitwe
    Na neema yako
    Basi ikiwa ipo ahadi
    Ya kuingia rahani mwako
    Sitaki kukosa
    Na niwapendao
    Haya ni maombi yangu kwako
    Wote ninaowapenda wasipitwe
    Na neema yako
    Na neema yako
    Funua neema yako
    Familia yangu ikujue
    Funua neema yako
    Marafiki zangu wakujue
    Funua neema yako
    Mataifa yote yakujue
    Neema yako
    Eeh Yesu
    Tusipitwe na neema yako

  • @pceodhc
    @pceodhc 5 місяців тому +5

    Yesu funua wema wako kwenye maisha yangu ili familia na marafiki zangu wazidi kukujua na utukufu ukurudie wewe! Naomba na kuamini! Amen! 🙏🏾

  • @patrickkubuya
    @patrickkubuya Рік тому +25

    Ameeeeeeen
    Nisikose kukulaki hewani Yesu, hio ni ombi langu

  • @judithobiora8619
    @judithobiora8619 Рік тому +367

    I am a Nigerian, I first watched this song on Trace Gospel and was touched, thank God for the translation, even without the translation the song has a way of connecting one to God with a heartfelt worship.
    This song is birthed from a place of prayer and worship. I had to download it without lyrics. God bless you ma for this!!!!

  • @kalamuyangu1
    @kalamuyangu1 Рік тому +14

    Funua NEEMA yako,
    FAMILIA yangu ikujue,
    Ili tusipitwe na NEEMA yako Eeh YESU. 😭😭❤️❤️😭😭

  • @noelkhaday5673
    @noelkhaday5673 Рік тому +5

    wote ninaowapenda wasipitwe na neema yako😭😭

  • @shikuprecious_official
    @shikuprecious_official 5 місяців тому +8

    Neema yako baba kwenye uzao wangu baba

  • @jukaelyelisha6311
    @jukaelyelisha6311 Рік тому +60

    Funua neema yako Yesu familia yangu ikujue,marafiki zangu wakujue,ndugu zangu,jamii yangu, Taifa langu likujue wewe neema yako izidi juu ya kila kitu maishani mwangu😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏

  • @joshuapiniel2977
    @joshuapiniel2977 Рік тому +75

    Tanzania We are blessed Tanzania God loves us 🙌🙌🙌Dada Rehema Mungu akubariki kuna mahali nimetoka

  • @hopemuturi8490
    @hopemuturi8490 Рік тому +640

    There is an uprising of true worship and worshippers of God in Tanzania.
    Warm greetings from Kenya ♥️

    • @itsWANGARI
      @itsWANGARI Рік тому +5

      Yes🥰 This song is a prayer

    • @missjane3595
      @missjane3595 Рік тому +7

      Very true

    • @cynthiavugutsa523
      @cynthiavugutsa523 Рік тому +2

      Very very true. More of God's grace upon them

    • @Therealukulele
      @Therealukulele Рік тому +3

      I believe that God has remnants in every generation. He has released His Holy Spirit and a hunger for him all over. Be among the true worshipers in your country/state

    • @letsloveandshare7487
      @letsloveandshare7487 Рік тому +1

      May God bless Kenya also

  • @margaretkaswii5548
    @margaretkaswii5548 9 місяців тому +81

    My 3month old is put to sleep not by lullabies but worship...
    Watching baby shark or listening to baby songs doesnt do magic but worship,worship!!
    Today, it was 'Adonai' that made her sleep😢❤❤❤😢❤

    • @serahmuthoni7735
      @serahmuthoni7735 7 місяців тому +4

      You gotta a worshiper right there,...her spirit is alive and drawn to the spirit of God.

    • @margaretkaswii5548
      @margaretkaswii5548 7 місяців тому

      @@serahmuthoni7735 Amen Amen and Amen. Thank you God🙌🏾🙇🏾‍♀️🙏🏾🙏🏾😪

    • @eliufoosimonchuri4160
      @eliufoosimonchuri4160 6 місяців тому +3

      Asante sana. Will be doing this kuliko cocomelon and the like

    • @LvPanther-dp8tg
      @LvPanther-dp8tg 5 місяців тому +1

      May the Lord keep you & forever hold your children in His hands. You're planting good seeds in them

    • @isabellashija3056
      @isabellashija3056 Місяць тому +1

      Wow behold the remnant. Chosen before the appointed time to do great wonders. To God be the Glory

  • @AngelMsowa
    @AngelMsowa 7 місяців тому +12

    Funua neema yako familia yangu, maisha yng marafiki zangu wakujue . That's my prayer 2024🙏

  • @benedictoryona3086
    @benedictoryona3086 Рік тому +15

    My father was slave of alcohol and marijuana my mom used to pray for him and the Grace of God 🙏 saved him,wamesalia wadogo zangu leoo naililiaa Neema ya Mungu iwafungue😭😭😭## wokovu ni Neema🙏🙏

    • @judithdafa3346
      @judithdafa3346 Рік тому

      God will make a way for them🙌🏼so sorry!

  • @JoseLittoh-
    @JoseLittoh- Рік тому +61

    Neema yako Yesu iwe nasi kila mahali na kila maeneo.. Bila Neema yako hatuwezi... Powerful 🔥 🔥 🔥 🔥 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @charlesmbena9121
    @charlesmbena9121 Рік тому +9

    Kwa sasa Tanzania tunamtukuza Mungu kwa viwangi vya juu saaana dada neema be blessed with this song wote ninaowapenda naomba wasipitwe na neema yake Yesu

  • @MaureenClema-rg9xp
    @MaureenClema-rg9xp Місяць тому +2

    Funua neema yako kwa masomo ya mtoto wangu

  • @jannyblessed
    @jannyblessed 8 місяців тому +40

    I heard this song for the first time in a matatu to work today, I searched for it when I got to work, I have replayed it so many times, I sent to my family what's app group, I am now playing it and it makes me break down before God. May His grace abind in my household, career, finances, relationships, my children's destiny, in my foundations and all corners of my life and those that I love. Glory to God forever. I feel so healed and refreshed ❤

    • @deaconochieng1220
      @deaconochieng1220 8 місяців тому

      That's what happened to me today...I love it!

  • @robertmabruki3531
    @robertmabruki3531 Рік тому +24

    Kama hujawahi kupambana na roho za familia na asili, huwezi kuelewa kitu Roho mtakatifu ameshusha kupitia wimbo huu. Wimbo huu umenifanya nimeijua neema ya Mungu kwa mtazamo mwingine mpana sana. Nimefahamishwa mambo mengi ya kifamilia na asili zetu katika mtazamo wa neema ya Mungu. Sifa na utukufu kwa BWANA YESU. Amen

  • @spensarfulgence4754
    @spensarfulgence4754 Рік тому +7

    Huu wimbo umefanyika baraka kwa kila asikilizae
    Top song
    🎉

  • @marionwanjiku4226
    @marionwanjiku4226 Рік тому +43

    Asanti kwa kutumika na roho mtakatifu ku release such a powerful song, Kenyan 🇰🇪 iam blessed.
    Neema yake kweli yatosha

  • @LilianMwamwaja
    @LilianMwamwaja Місяць тому +2

    Mungu Awabariki....
    WaTz Tunaosikiliza hapa like hapa

  • @neemakijazi2363
    @neemakijazi2363 2 місяці тому +3

    Wimbo huu unanikumbusha marehemu mama yanfu katika uhai wake akiwa anaomba lazima atamke Baba naomba uzao wangu wakujue na waingie mbinguni.

  • @eagtmwangazachurchdodoma
    @eagtmwangazachurchdodoma Рік тому +165

    I dedicate my Prayers with this song to all Tanzanianis to know Jesus

  • @getrudeshagora
    @getrudeshagora Рік тому +53

    Listening this from 🇮🇶 iraq ,I can’t help but sob like a baby.. this song is my prayer😭😭😭

  • @ArkamaMuabesh-sc7eg
    @ArkamaMuabesh-sc7eg Рік тому +11

    Funua Neeme yako familia,ndugu zangu wakujue,ubarikiwe mtumishi Mungu azidi kukutumia🙏🙏🙏🙏

  • @immaculatekyamanywa435
    @immaculatekyamanywa435 Рік тому +55

    God answered one of my prayers around June this year and immediately i played this song. For that whole i played and sang it in the office to the level that my colleagues started singing. Now i am away from the country and one of my colleagues sent me a msg saying...today i listened to Neema yako and i miss you! I know it wasnt just a song something powerful moved them through this song. Endelea kubarikiwa Mtumishi!

  • @husenitamba9918
    @husenitamba9918 Рік тому +7

    Neema yako yesu Neema Neema family yangu ikujue yesu

  • @jacquelineerasto1971
    @jacquelineerasto1971 Рік тому +9

    Haya ni maombi yangu kwako wote niwapendao wasipitwe na Neema yako
    Funua Neema yako Familia yangu ikujue
    Funua Neema yako Marafiki zangu wakujue🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏

  • @mercykendi4723
    @mercykendi4723 Рік тому +11

    Neema Yako yesu isipite kwa maisha yangu na familia zetu- much love my sister from Nairobi Kenya 🇰🇪

  • @gradnessrojas8343
    @gradnessrojas8343 Рік тому +27

    YESU Wangu ongeza neema katika maisha yangu , familia yangu na pia kwa watanzania wenzangu wote na nchi yangu ya TANZANIA ❤️🇹🇿❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @doreengaspar6772
      @doreengaspar6772 Рік тому

      Day a

    • @gabrieldevid9
      @gabrieldevid9 11 місяців тому

      🇹🇿Amina barikiwa pia ndugu maana niwachache wanaoweza kuwaombea na wengine🙏

  • @JanetNyakundi-p1o
    @JanetNyakundi-p1o Рік тому +3

    Fungua neema yako marafiki wangu wakujue 😭😭😭😭😭😭😭

  • @millyetyang-dx2vv
    @millyetyang-dx2vv Рік тому +5

    Soooo touching ooooooh neeeeemaaa yako yesuuu😭😭😭😭
    Barikiwa rehema

  • @ministerjeremyjeradi254
    @ministerjeremyjeradi254 Рік тому +111

    Powerful ! God bless you my Sister ! Much love from NAIROBI KENYA !
    FUNUA NEEMA YAKO 🔥

    • @druthjohn7622
      @druthjohn7622 Рік тому +3

      Tupo wengi... 🇰🇪 Baraka Tele kwa kila asikiaye huu wimbo

  • @jeffrweza4089
    @jeffrweza4089 Рік тому +45

    May Russians and Ukraine get to know and understand you through this song Jesus..🙏🙏

  • @ceciliamukami2521
    @ceciliamukami2521 6 місяців тому +6

    While I was listening to this song last year I was really doing a prayer petition for my brother John's salvation and this year God did it ,,My father I make another prayer petition for Morbey Jehovah my God the same way you did it for my brother you will do it for him let me receive goodnews upon his salvation il come back to testify only God can save and redeem in Jesus name Amen,,Hallelujah 🙏🙏🙏

  • @mrocharo
    @mrocharo Місяць тому +1

    Mungu naomba ufunue neema Yako kwa familiya yangu na mawazo yangu pia🙏🙏🙏🙏🙏

  • @DeborahMushi-fs2xw
    @DeborahMushi-fs2xw Рік тому +8

    Mimi atasijui nimpe Nini Mungu wangu, kweli ila Mungu anajua shukrani za moyo wangu kwake, Ameeeen

  • @dorcasmagondu2729
    @dorcasmagondu2729 Рік тому +5

    Naomba unapofunua neema yako usitupite na sisi tuliochekwa tukaonekana hatufai mbele za macho ya watu

  • @pauljoel
    @pauljoel Рік тому +36

    Wimbo mzuri Sana wenye nguvu,hakika haya ni maombi 🔥

  • @chrissjoseph8279
    @chrissjoseph8279 Рік тому +4

    Nimeliya sana kweli, nashindwa niseme Nini... Neema Yako Yesu 😭😭😭😭😭

  • @indoshimilliemmayi
    @indoshimilliemmayi Рік тому +19

    There is power in worship, hata kama sitaona muujiza bado nitamwamini mungu milele.

    • @LifeHealth26
      @LifeHealth26 Рік тому +1

      Pokea miujiza yako in Jesus name

    • @adamphinias2457
      @adamphinias2457 Рік тому

      kuwa hai tu ni muujiza ndugu,, majira mema unayoyatarajia yapo mlangon mwako pokea kwa jina la yesu!

  • @wilfredombira3451
    @wilfredombira3451 4 місяці тому +2

    GOD is a miracle worker in did but this miracle is very touching😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @irenebiddiz3732
    @irenebiddiz3732 Рік тому +12

    Powerful song nimesikiliza mara 200 zaidi jamani,Yesu usiwapite familia zetu

  • @lucyberyl7482
    @lucyberyl7482 Рік тому +19

    I don't know why am crying but my desire is to see those around me being saved,how sweet will it be when we dine together in Heaven with family,friends and everyone ,God convict your people through the Holy spirit,your Grace is sufficient 👌🙏I believe

  • @celinashauri6362
    @celinashauri6362 Рік тому +141

    I've worshipped and pray whole night dwelling in God's mercy with words on this national anthem 😭😭😭🙌🙌🙌 I got different visions and chance to touch some hearts in players.. you are my blessing for years WoG.. may God keep you Safe and Secure for many souls and generations yet to come😭🙌🙌🙌

  • @Baraka-o6l
    @Baraka-o6l Місяць тому +1

    Neema hii isinipite najiona ni mkosefu natamani kuwa nawe yesuuuu Neeema yako isinipite

  • @daudicharles392
    @daudicharles392 Рік тому +4

    Mungu nakuomba familia yangu na marafiki zangu na ndoa yangu isipitwe na neema yako🙏🏽💐✨❤️

  • @MargaretKinyanjui-dr6og
    @MargaretKinyanjui-dr6og Рік тому +8

    Mungu funua neema yako nchini kenya🙏

  • @Rebecca-md3ff
    @Rebecca-md3ff 5 місяців тому +3

    Baba naomba neema yako juu ya maisha yangu,naombi nafsi yangu ikujue🤲naomba ninao wapenda wote wasipitwe na neema yako,mtoto,mume,familia yote bwana.amina🙏

  • @JKINGS123
    @JKINGS123 Рік тому +10

    Huo wimbo mzuri sana na una nguvu every time listening to it nabarikiwa sana 🙏

  • @maureenjagona8138
    @maureenjagona8138 23 дні тому +1

    Funua neema yako familia yangu ikujue.🥺🥺🥺 Sana sana kaka zangu. Na babangu.

  • @rebecaomary8103
    @rebecaomary8103 Рік тому +7

    Wimbo umefunikwa na wingu la Mungu mwenyewe.Mungu asikie maombi haya. Wapendwa wetu wafikiwe na hii neema ya Mungu. Waokolewe

  • @cathrinkathy9468
    @cathrinkathy9468 Рік тому +4

    Dear Lord🙌🙌🙌🙌😭😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲
    Eeh Yesu naomba neema yako isinipite mimi na familia yangu

  • @elishamwakasege9794
    @elishamwakasege9794 Рік тому +8

    Love this song from South africa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @lightnesskweka4774
    @lightnesskweka4774 Рік тому +7

    Shalom Leo nimeamka na kukuta huu wimbo unaimba moyon mwangu. So Toka asubuh nausikiliza TU apa UA-cam.ameen 😢🙏🙏🙏

  • @ryanmusyoki4972
    @ryanmusyoki4972 Рік тому +11

    Ezra 8:23 we fasted and petitioned our God about this and He answered our prayers 🥺❤️💯🙏

  • @paulinemangale3019
    @paulinemangale3019 Рік тому +12

    Ooh lord am in tears .after knowing that you will not let me to be ashamed 😭😭 struggling with my children school fees.hallelujah

  • @gracenzambi90
    @gracenzambi90 Рік тому +76

    This is not just a song, powerful intercession.! My husband, my babies, my brothers and sisters, my parents- tusipitwe na Neema yako🙌🤲

    • @emilymdoe619
      @emilymdoe619 Рік тому

      Barikiwa na Yesu nyimbo zako zote zinamguso wa Roho mtakatifu. Asante sana

    • @eunicekariuki3139
      @eunicekariuki3139 10 місяців тому

      Amen

  • @consolatawamaitha4892
    @consolatawamaitha4892 Рік тому +8

    Tanzania u are such a blessing.i love gospel songs from tanzanian because they are spirit filled.mubarikiwe Sana gospel artist from tanzania much love from🇰🇪🇰🇪

  • @Asaph_Daniel.
    @Asaph_Daniel. 9 місяців тому +5

    All the way from Nigeria.... Believe me this has blessed me in no small way❤. God bless you ma

  • @AddahKaikai
    @AddahKaikai Місяць тому +1

    Bwana naitaji neema yako kwa maisha yangu

  • @judykawira1223
    @judykawira1223 5 місяців тому +5

    Funua neema yako kwangu(you know my state) however sitaikana injili,sitalikana jina lako,familia yangu(mom and bro),my hubby(You know his desires for the Kingdom) and my church (where you have instructed us to worship and minister from) and finally our little blessing Adie Debbie..we have given her back to you, she will not love the world and anything found in it.We are raising her for the kingdom.She will love you, she will find pleasure in preaching the gospel and worshiping at your feet.I am gld for i will be back to this comment not long from noww.

  • @Clareeihe2
    @Clareeihe2 Рік тому +8

    Lets give it up for the Back vocalist... Indeed this is my Prayer for My people

  • @ericgichane1608
    @ericgichane1608 Рік тому +67

    Today I want to give a shout-out to all the instrumentalists in this awesome song for their amazing work. And for those of us who love guitar fast forward to min 4:31...😭🔥Well done! The guitarist, the drummer, super harmonious🔥🔥🔥👌💥👏

    • @Clareeihe2
      @Clareeihe2 Рік тому +1

      I had to fast foward to that ...Talented people of God

    • @ebbykushmusic
      @ebbykushmusic Рік тому +1

      Yes they massively did a great job, they were also inspired by the spirit of God.

    • @evankya1955
      @evankya1955 Рік тому +1

      Indeed every instrument, the voices are in super harmonious!

    • @siliviahmwakalobo5717
      @siliviahmwakalobo5717 Рік тому +1

      Funua Neema yako family yangu ikujue mungu wangu👏👏

    • @emmanuelkaindu1461
      @emmanuelkaindu1461 Рік тому

      Great work inspired by the spirit ( instruments 💕💕💕 drum, bass guitar, lead guitar, acoustic guitar and the keyboardists)

  • @isaacsimalif6185
    @isaacsimalif6185 Рік тому +6

    NEEMA yako bwana isitupite , much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @blitzmovies4202
    @blitzmovies4202 Місяць тому +1

    Fufua Neema yako bwana juu ya familia yetu bwana Fufua Neema nipate kazi bwana😢

  • @denniskorir2332
    @denniskorir2332 Рік тому +93

    This song is a song of intercession.
    A song of deliverance. Men are delivered from the hold of darkness and released into the light through grace.
    Powerful powerful song indeed. 🙌🏽

    • @rachelkingu5199
      @rachelkingu5199 Рік тому +3

      Mungu akubariki dada Rehema wimbo umenibariki moyo wangu
      natamani kuingia kwenye ile raha ya milele Mungu tusaidie tusipungukiwe na neema yako,
      fungua Neema yako kwa familia, marafiki, mataifa yote yakujue🙏🙏

    • @felixmassawe5810
      @felixmassawe5810 Рік тому +2

      Neema yako Yesu isiwapite wazazi, ndugu,marafiki na wale wote wanaonizunguka Yesu Neema yakooo isitupite Bwanaa

  • @lameckmwamini59
    @lameckmwamini59 Рік тому +5

    Nakuombea AFYA NJEMA,uzidi kutukuza Mungu kwa Uzuri na Utakatifu wake.

  • @julianas2072
    @julianas2072 Рік тому +9

    Wimbo wangu wa kila siku, neema isipite wote niwapendao Yesu nakuomba.

  • @AbigailyBintmfalme-go4lj
    @AbigailyBintmfalme-go4lj Рік тому +4

    Maombi yangu kwako Yesu Kristo, Neema yako iwafikie na family yangu pia,Amen

  • @TabithaNdungu-fd5lm
    @TabithaNdungu-fd5lm Рік тому +5

    Wow 🎉naomba Mungu afunguwe neema yake Kwa familia yangu Kwa ajili. Ya uponaji na success beyond my imagination ❤

  • @benkangethe3250
    @benkangethe3250 Рік тому +71

    This song is inspired by the HOLY GHOST. As the word of God is sharper than any two doubled edged sword so is this song. It pierces even to the asunder of the soul. I can't stop replaying it. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @faithsteven2253
    @faithsteven2253 Рік тому +24

    Let this song be prophecy for all those who are close to us .Lord we pray🥺.

  • @happyfaniabatromeo8010
    @happyfaniabatromeo8010 Рік тому +7

    Asant Sana Bwana Yesu kristo Kwa Neema yako imebeba Maisha yangu 🙏❤️😭🙌 @Rehema Mungu akubariki Sana Dada mtumishi uzidi kuhudumia ROHO za watu 🙏🔥❤️💃

  • @theresiansumba4754
    @theresiansumba4754 Місяць тому +2

    💖💞 hii nyimbo ipate kuwa neema kwa wengine wamjue

  • @kulola
    @kulola 3 місяці тому +2

    Whose here with me today hata nami sitaki kukosa halleluya

  • @pastorsafari6087
    @pastorsafari6087 Рік тому +20

    Powerful. Ubarikiwe sana Rehema. We thank God for your ministry