UKIFANYA MAMBO HAYA AMALI ZAKO ZITABATILIKA. SHEIKH NURDEEN KISHK

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 57

  • @mauayahaya5039
    @mauayahaya5039 2 роки тому +3

    Jazzakumullah khairy sheikh wetu mawaidha yanaelimisha, Allah atufungue nyoyo zetu ziwe zenye kuzingatia🤲🤲

  • @rahmasalum7107
    @rahmasalum7107 3 роки тому +3

    Mashallah mwenyez mungu akupe kheri dunian na akhera allah atusamehe makosa yetu kwa waislam wote

  • @bintkijangwa4305
    @bintkijangwa4305 3 роки тому +3

    Wa alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh shukran sheikh wetu kipenz cha wengi Allah akupe umri mrefu furaha na amani akuondolee hasadi za waja wake

  • @fatmayusuf1656
    @fatmayusuf1656 3 роки тому +6

    MashaAllqh mawaidha mazito mpaka yamenigusa Allah atutakabalie amali zetu na Sheikh wetu Allah akuhifadh akupe afya wa umri muzidi kutuelimisha frm mbsa

  • @rahmaarrington9019
    @rahmaarrington9019 Рік тому

    Mashallah! Allah akupe umri mrefu ulio taweel uzidi kutuelimisha Shekh Nurdin!!!Allah atakupa jazaa yako dunian na kesho Akhera!!na sisi atusameh kila tunapokosea Atupe mwisho mwema na Awaraham wazazi wetu wote na Jamii Muslimina wa muslimat!!

  • @mwanaramadhan7059
    @mwanaramadhan7059 3 роки тому +2

    MashaaAllah MashaaAllah jazakAllah ukheri

  • @salimabdillah1623
    @salimabdillah1623 3 роки тому +4

    Striving for both akhera and duniya in a balanced way with much more focus on akhera. Inshallah may Allah make it easier for us? Jazakallah khair sheikh.

    • @aminamaganga7368
      @aminamaganga7368 Рік тому

      ALLAH AKUZIDISHIE UMRI MREFU UENDELEE KUENEZA DINI YA ALLAH

  • @SalamaRajabu-c6h
    @SalamaRajabu-c6h 2 місяці тому

    Inshallah Allah atusamehe hakika sis si wakamilifu pia Allah amlipe kher shekhe nurdin kishki hakika mawaidha yake yananipa mafunzo mengi Allah anijaze Iman na anisamehe kwa mabaya yote aloyakataxa

  • @mesutyussuph8276
    @mesutyussuph8276 3 роки тому

    Shukuran jazakallah khehra 🤲 mwalimu angu Allah akufanyie wepesi ktk kla jambo AMIIN 🤲 nakupend san wallah kwa ajili ya Allah 🥰🥰🥰🥰🥰

  • @MohamedHassan-yo7rt
    @MohamedHassan-yo7rt 3 роки тому +7

    Mawaidha yenye Mazingatio, Allahu Akbar ✋ Allah akuhifadhi Sheikh Wetu....

  • @jamilanassoro8408
    @jamilanassoro8408 3 роки тому +5

    MashaAllah,mawaidha mazuri sana Allah akuhifadhi sheikh wetu na atukubalie amaali zetu atuepushie shirk🤲

  • @johntay8813
    @johntay8813 3 роки тому

    Waleykum Salaam Warhamatullahi Wabarakatuh Allah akuifadhi Shekh wetu twa kupenda kwa Ajili ya Allah Shukran kwa mawaidha swafii

  • @rokiroki1825
    @rokiroki1825 3 роки тому +6

    Yaa ALLAH tukubalie matendo yetu na tufishe hali ya kua ni waislamu

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 3 роки тому +1

      Amiin yaa Rabbal aalamiin

  • @ashuramustafa7459
    @ashuramustafa7459 3 роки тому +2

    Mashallaah allah akupe maisha marefu shekhe

  • @ZainaAlly-e3w
    @ZainaAlly-e3w Місяць тому

    Mashaallah jazakallah ukheri allah akupe umrimlefu uzidi kutuelimisha mashaallah

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 роки тому +5

    Corona umebadilisha mfumo wa maisha 😢😭 na bado watu atuzinduki viumbe ss Allah atusameh

    • @aishasaid6749
      @aishasaid6749 3 роки тому

      Ndugu yangu watu ndio wamezidisha balaa Tanzania Allah ametuonea huruma bas tunsjiona wababe angalia yanayotendwa uchafu imekithiri

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 3 роки тому

    Ma sha allah
    Sheikh wetu kishki allah akubariki na akuhifadhi

  • @sakinat2527
    @sakinat2527 3 роки тому +5

    Maa shaa Allah barakallah fiiq yaa sheikh wetu

    • @alfredomajor9241
      @alfredomajor9241 3 роки тому

      I guess im asking the wrong place but does anybody know a way to get back into an instagram account??
      I was stupid lost my account password. I would appreciate any tips you can give me!

  • @mahatgedi1458
    @mahatgedi1458 3 роки тому +2

    Masha Allah mawaida vzuri mungu akulinde Sheikh Wetu

  • @HawAa-w6z
    @HawAa-w6z Місяць тому

    Allah akupe maisha marefu inshaallah

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 роки тому +1

    Allah atuongoze na atufahamishe na tusife ihali ni waisilamu kamili

  • @AminaKaifa
    @AminaKaifa 20 днів тому

    Shukran sana shekh barakallahu fiika

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 роки тому +1

    Shukraan Sana sheikh wetu jazakallahu kher

  • @amenaallahawazidishieumrin6235
    @amenaallahawazidishieumrin6235 3 роки тому

    Shukran jazaka ALLAH khery

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 3 роки тому +1

    Shukran wajazaka llahu Heri inshallah

  • @muhsinwazir418
    @muhsinwazir418 3 роки тому +2

    Mada nzuri sana

  • @farhiyaabdi7997
    @farhiyaabdi7997 3 роки тому +2

    Jazakallahu khery

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 3 роки тому +1

    Jazzakumllah Khery

  • @muhsinwazir418
    @muhsinwazir418 3 роки тому

    Allah akuhifadhi shekh

  • @mahajk1950
    @mahajk1950 3 роки тому +1

    Masha Allah jazakallahu khayra

  • @muhsinwazir418
    @muhsinwazir418 3 роки тому +1

    Maa shaa Allah

  • @johntay8813
    @johntay8813 3 роки тому

    Shekhe labda Rwanda Burundi tunaongea vizuri😃😃

  • @mariamkasminaseifu6320
    @mariamkasminaseifu6320 3 роки тому +1

    MashaAllah

  • @athmanihatibu5223
    @athmanihatibu5223 3 роки тому

    Maashaallah

  • @swabraomar9796
    @swabraomar9796 2 роки тому

    Subhanallah

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 роки тому +2

    Nakumbuka ulituahid mwaka jana utarud kenya lkn mr corona hatk kuskia

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 3 роки тому

      🤣 mr Corona in shaa Allah atapotea kwa uwezo wa Allah mr Corona

    • @rehemasalim4590
      @rehemasalim4590 3 роки тому

      @@sakinat2527 amiin

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 роки тому +1

    Shukran

  • @husseinkitogo1483
    @husseinkitogo1483 3 роки тому +1

    Mashaalah

  • @muhsinwazir418
    @muhsinwazir418 3 роки тому

    Kweli ukichoma hirizi inaungua haisadii hirizi

  • @nadhifaali3270
    @nadhifaali3270 3 роки тому +3

    Shukran

  • @khadijaiddi4887
    @khadijaiddi4887 3 роки тому +1

    Maa shaa Allah

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 3 роки тому

    Mashaallah

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 3 роки тому

    Masha Allah