UDUGU ULIYOUNDWA NA ALLAH MBINGUNI. MUHADHARA LAMU KENYA, SHEIKH KISHKI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 тра 2023
  • Muhadhara uliotolewa na Sheikh Nurdeen Kishkii , Masjid Jaamia Lamu Mashariki Nchini Kenya Tarehe 01/06/2023, Mada ikielezea udugu uliyoundwa na Allah Mbinguni, Ni udugu gani huo? InshaAllah fatilia hadi mwisho upate kuelimika, tunaomba usambaze ujumbe huu na Allah atawalipeni

КОМЕНТАРІ • 49

  • @afiahamad5983
    @afiahamad5983 Рік тому +5

    MashaAllah Allah tuwekee nautulindie mashekhe wetu Allahumma ammiyn

  • @hamisipadrice4869
    @hamisipadrice4869 Рік тому +1

    Maa Sha Allah tabaarakallah

  • @nyatya199
    @nyatya199 Рік тому +2

    Allah akuhifadhi tunakupata vyema

  • @najmaothman7350
    @najmaothman7350 Рік тому +2

    Mashaallah mashaallah kheyr INSHAALLAH

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 2 місяці тому

    Allah ampe ulinzi shekhe kishki kwa kazi anayo ifanya

  • @husnahusna1544
    @husnahusna1544 Рік тому +1

    Masha Allah shekh kishik nakupenda Kwa Ajili ya ALLAH

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 2 місяці тому

    Mashallah allah ❤❤awalipe inshallah

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 2 місяці тому

    Oooh allah hakika wewe ni mjuzi wa yakini inshallah

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 Рік тому +1

    MashaAllah Jazakhallahu kheiri 🙏🙏🙏🙏🙏 mkono kwa mkono hadi peponi Ameen yaa Rabiih.

  • @zuhoor-mc7hq
    @zuhoor-mc7hq Рік тому

    Masha Allah tabarakallah ❤️ wajazakam llahu khaira shekh wangu Nureedin kishik... mawaidh mazito sana shukran mola atuongoze njia ilonyooka amiin

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 Рік тому +2

    Waalykum salaam warhamatullah wabarakatuh sheikh MashaAllah shukran💚💐

  • @MochammdHadija-pn7nn
    @MochammdHadija-pn7nn Рік тому +1

    Mashaallah Allah akuhifadhi❤❤❤❤

  • @MohammadKhamis-ib7dz
    @MohammadKhamis-ib7dz Рік тому +1

    Mashaallah shukuran sheik Allah akupe afyanjema

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 Рік тому

    Ammmin yarab 🤲

  • @princefadhil4409
    @princefadhil4409 Рік тому +1

    MashaAllah tabaraka kheir🎉kishk

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 Рік тому +1

    Mashallah sheikh tabarakaallah ❤️

  • @bongue6003
    @bongue6003 Рік тому +1

    Mashallah que bom shekhe kisk

  • @MwanadieJinango-fu6tr
    @MwanadieJinango-fu6tr Рік тому +1

    Allah awalinde mashekh wetu wazid kutupa elimu ya akhera

  • @asiyamohamed6542
    @asiyamohamed6542 Рік тому +1

    Allah Akupe kila. la kheri shekh

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 2 місяці тому

    Allahu akbar

  • @leilaekesa3394
    @leilaekesa3394 Рік тому +1

    Mashallah Shukraan sheikh

  • @fatumamohamed857
    @fatumamohamed857 8 місяців тому

    Inshaallah tutaingia peonies ❤❤❤❤❤

  • @MSaleh-vi2wu
    @MSaleh-vi2wu Рік тому +1

    Mashallah

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 Рік тому

    Mashallah ❤

  • @mariamchembea9089
    @mariamchembea9089 Рік тому

    Masha Allah Sheikh wetu.Allah akujaalie umri na akuongezee maarifa pamoja na elmu uzidi kutufunza na sie Insha Allah

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 Рік тому

    Mashallah mashallah Mashallah Jaman Mim lazma niirejee tena hii clip Mashallah Sichok kukuskiliza sheikh Nurdin wallah unatuongoza Katika njia iliyonyooka Allah akupe umr mrefu Wenye kher na wewe Sheikh wetu kipenzi TUNAKUTAKIA KILA LAKHER jazakallah kher🤲🤲🤲😍

  • @Nuru_ya_sunnah.official
    @Nuru_ya_sunnah.official Рік тому +2

    ❤❤❤❤❤❤

  • @zuberikijangwa6708
    @zuberikijangwa6708 Рік тому

    Mashaallah

  • @mwasitiiddi6742
    @mwasitiiddi6742 2 місяці тому

    Allhamduilillah tunapata mawaidha

  • @zulfaabdalla4205
    @zulfaabdalla4205 Рік тому +2

    Allah awalinde na walipe mema duniani na Akhera ❤na atujaalie mwisho mwema

  • @zuberimohamed7699
    @zuberimohamed7699 Рік тому

    MashaAllah Allah akujaze Kila la kheir sheikh wetu..❤

  • @mwanakombokalamu7009
    @mwanakombokalamu7009 Рік тому

    MashAllah ustadh Allah atujaalie mwisho mwema 🤲🤲

  • @YusufAbs-bx7su
    @YusufAbs-bx7su Рік тому +1

    Swadata imamu

  • @halimaabdi3125
    @halimaabdi3125 Рік тому

    Ma SHA Allah Tabara Allah ❤❤❤

  • @banihashim5347
    @banihashim5347 Рік тому +3

    Sheikh kishki tunaokupenda tuko wengi, endelea kutumia dini ya mola, nae mola atakulipa inshaallaah🤲

  • @rukiasalim5153
    @rukiasalim5153 Рік тому

    Masha Allah ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @abdulrazakomar7223
    @abdulrazakomar7223 Рік тому

    ❤❤❤❤

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo Рік тому

    Mashallah ❤❤❤

  • @mohamedaliali7480
    @mohamedaliali7480 Рік тому

    ALLAAHUMMA-AMEEN 🤲

  • @sharaful-anaam138
    @sharaful-anaam138 Рік тому +3

    Wallah Sheikh kishki nakupenda kwa ajili ya allah

  • @salimsimba4814
    @salimsimba4814 Рік тому

    mimi naitwa salim simba kutoka kahama, mimi naomba kufafanuliwa maana ya ndoto hii sheikh, niliota natembea balabalani nikenda mahala, nikafika sehemu kunanyumba ikojilani na balabala yambayo napita, nikajishauri nipite kuomba maji ya kunywa, nilipo pita katika njia inayoelea katika nyumba ile kabra sijaifikia nyumba ile kikatokea kitambaa cheusi pamoja na tasibih nyeusi pia, baada ya kuona vile nafsi ikanituma nikimbie, nikakimbia nilipo kimbia umbali frani ukatokea upepo mkali ukihitaji kunirudisha mahali nilipokiona kitambaa na tasibih vyote vinalangi nyeusi, nilianza kushindana na upepo huo kwa kulamisha kukimbia upepo ukitazimisha kuniludisha, mimi nikiwa mwisilamu lakini nilianza kukemea kikristu kwa kumta yesu katika sala hatimae nikaushinda upepo ukayeyuka na kutoweka, inamaana gani ndoto hiyo sheikh.

    • @user-vg6gp3bz1f
      @user-vg6gp3bz1f 9 місяців тому

      Pole sana ndugu Allah awe Pamoja na wewe

  • @sharifamahamudu182
    @sharifamahamudu182 Рік тому +1

    Mashaallah

  • @Nuru_ya_sunnah.official
    @Nuru_ya_sunnah.official Рік тому +1

    ❤❤❤❤❤❤