LOKOLE ATOBOA SIRI -"KAJALA KAFURAHISHWA" - MBUZI KAFIA KWA MUUZA SUPU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 49

  • @user-yd8sp4es9n
    @user-yd8sp4es9n 8 місяців тому +1

    Paula kajala ravnnyn anamupenda mapezsi imenoga ❤❤😅

  • @keranynsabimana785
    @keranynsabimana785 Рік тому +13

    Asante dida kajala hajielewu mama anathamanisha hela kuliko utu wa mtoto wake

  • @freadyjackson315
    @freadyjackson315 Рік тому +1

    Paula kajala ravnnyn anamupenda zana Paula kajala mapezsi imenoga zana ravnnyn ♥️🙏

  • @shery-bf8xh
    @shery-bf8xh Рік тому +7

    Raivanny msenzi sana 😂😂kilichompeleka bagamoyo usiku huo ni nani😂😂fayma jipange mwayaa😂😂

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 Рік тому +1

    wasanii wetu mkikalia sana mambo ya mapenz kuliko kazi.mkatrend sanaa na kiki hizo.mziki mtauuwa atabakia tembo na king kiba na kina Abdu kiba.tunataka kazi haya mambo ya madem madem sio yaliyo watambulisha.mziki ndio uliwatambulisha madem ndio wakafata.tunataka kazi nzuri tuacheni mambo hizo.tunataka mpige kazi mpepereshe bendera yatanzania huko duniani.hizo mambo zeni tumesha zichoka.

  • @winfridakaaya2758
    @winfridakaaya2758 Рік тому

    Khaaa juma nyiee mungu anakuona

  • @rahmaabdalla8659
    @rahmaabdalla8659 Рік тому +1

    Ata uyo mwanamme hajielew kwnn ana mke ilikuwaje aende ht km ameitwa kuna ulazima gn wa kwnd

  • @masikalagatrude6618
    @masikalagatrude6618 Рік тому +2

    Juma mwogooooo😅

  • @Tatu-rr9ms
    @Tatu-rr9ms Рік тому +5

    Ndo namin akili ninywele mama kilasik nywele kajala Hana akili azitoe wapi akilizakumkanya mtoto😢

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 Рік тому +1

    Juma msenge san ana mpenda paula kuliko fahyma juma .kasusa 😂😂

  • @winfridakaaya2758
    @winfridakaaya2758 Рік тому +1

    Mungu tusaidiee SS wakina mama mbna konde hawakumpelekaaa

    • @bwanabrainex433
      @bwanabrainex433 Рік тому

      Kabsaaaa kama hawajitak hahahaha wangepostiwa kitambo

  • @sikudhanidd3710
    @sikudhanidd3710 Рік тому +3

    Alipigiwa aliipata vip location 😅kajala wakati mwengine jipe mapumziko kwenye midomo yàwatu😏😏😏

  • @hadiadaoman1981
    @hadiadaoman1981 Рік тому +3

    Juma analeta mihemko kwenye kipind yaan juma akimchukia mtu anakuwa mkali sijui kwa nn ana chuku za waz waz looho yaan harmo na fayma anawachukia mpaka anatokaga kwa kipindi jua kutofautisha kaz na chuk zako juma looho 😢

  • @maryamsaid3297
    @maryamsaid3297 Рік тому +3

    Harmonize alisema kwenyenyimbo jamani wanapley gems iliwapatekipato hatakajala alirudi kwa harmonize ili apate vyakuongelea kwenye vipindivyao

  • @evamlay8997
    @evamlay8997 Рік тому

    Dida Wewe Umeolewa mara ngapi Acha maisha yaendelee

    • @selmesaid7405
      @selmesaid7405 Рік тому

      Umeona ee duda malaya wa siri kila siku ndowa anajifanya mtakatifu ajipange tu kwa hilo

    • @harerimanaannemarie6396
      @harerimanaannemarie6396 Рік тому

      Ila huja muona mutoto wake akifanya vitu vya kijinga kama paula wenu nyoooo

  • @fazeelshomary2704
    @fazeelshomary2704 Рік тому +2

    Ukiangalia Reality Show za Kenya na Kina Kajala hapa bongo ndio utagundua wakenya wametuacha mbali sana

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 Рік тому +5

    Mnataka Kajala achukue mseme anataka ex wa mwanae yaani Kajala Hakuna kitu atafanya walimwengu mkamuona Kajala ni Mama I love them tho Kajala/Paula ❤ alafu mkumbuke Paula c mtoto tena anahaki ya kuishi vyovyote atakavyo

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 Рік тому +1

    Hakupigiwa alijuaje kam wapo hapo location???bagamoyo ni kubwa, juma anaharibu kipindi anatanguliza ushkaji wa alionao na wahusika

  • @hamzaselemani9171
    @hamzaselemani9171 Рік тому +1

    Oy bro mond punguza wafany kz hewaa juma angebaki 2 mfagizi 2

  • @aggie7008
    @aggie7008 Рік тому +1

    Kwanini huyo rayvan asingekataa kama anampenda mkewe na anamuheshimu

  • @Asia-wc9oq
    @Asia-wc9oq Рік тому +2

    Juma unajikomba na kina kajala

  • @RashidiJuma-i8c
    @RashidiJuma-i8c Рік тому

    ala

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 Рік тому

    Juma 😅😅😅😅

  • @pendoelisha5411
    @pendoelisha5411 Рік тому +1

    Fahma anakiherehere sana na mishavu yake kaanza mdomo fyuuuu

    • @hassanmakokha274
      @hassanmakokha274 Рік тому

      Sasa fayma amefanya nn🤔 kwani nyny mnafuraia kuona.msichana akiaribia mwenzenu furaha yake 😢na si malipo n apa apa duniani tu

  • @lilyshayo761
    @lilyshayo761 Рік тому

    Uyu fayma angenyamaza tu😂😂😂

  • @winfridakaaya2758
    @winfridakaaya2758 Рік тому +1

    Mlifanya kumuumizaa mke wakee nyiee watuu dada dida nakupendaa

  • @cocorita8367
    @cocorita8367 Рік тому +5

    Juma Bogasi sanaa anashadadia upuuzi mtupu

  • @rittaoman1460
    @rittaoman1460 Рік тому +1

    Angokata kwanini ametoka akaenda wusiku uyo

  • @ZuhuraYassini-fg8zg
    @ZuhuraYassini-fg8zg Рік тому

    Mwenye kisa mwanaumeee alitokaje dar mpk bagamoyo,

  • @kennethbinagi4549
    @kennethbinagi4549 Рік тому +3

    Upumbavu

  • @rosemaryphilipo3009
    @rosemaryphilipo3009 Рік тому

    Itoshe kusema kajala anamuuza mwanae ambae patna wake anaeshea nae wanaume. Na wametafuta juma ili aendelee kutetea upumbavu wanaofanya

  • @margaretnyamwilahila292
    @margaretnyamwilahila292 Рік тому

    Sielewi kwa nini Juma anaonekana hampendi Fayma??

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 Рік тому

    Wote wanamakosa vany na paula

  • @MishyNtunu-jy7ho
    @MishyNtunu-jy7ho Рік тому

    Dida muulizen juma uyo ryvanny alijuaje Kuna kitu chaedelea uko bagamoyo mpka akaenda...c alipigiwa Simu wee utaendaje mahali bila appointment....Paula aache wivu Bado yuampenda chui

  • @rittaoman1460
    @rittaoman1460 Рік тому +1

    Uyousiku wamanani ametoka akamwambiya anaendawapi sasa fayma uyo bwanawako nimaraya sasa ubunguze mudomo

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 Рік тому +3

    Ata kama Paula alipiga Cm Rayvann kilichompeleka mpaka Bagamoyo Babu weeee ndio Rayvann ndio kashatumika 😂😂😂 au mnataka kusema wame muedit huyo short fat guy.A.K.A Redbull 😂😂😂

  • @vanmohd9614
    @vanmohd9614 Рік тому

    Kweli alipgiwa cm nmeelewa sasa

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 Рік тому

    Juma muongo muomgo🤣🤣🤣🤣

  • @nathan6751
    @nathan6751 Рік тому

    Vuweni miwani nyie mashoga kama diamond

  • @zawadiajose5791
    @zawadiajose5791 Рік тому

    Afu waafrika muna nichekesha sana! Paula amekuwa! Kwanini kila anacho fanya munamutiya mama yake! Plus kwa nini munapangiya watu how to leave? And uyo faima kwanini aende kumu chamba mwana muke mwezie na ana ishi na uyo mumewe? And uyo mume mwenyewe wanavyo gusana , wana forcing? Jamani muwe munatulia nakufikiri! Ivi ukiwa na mutoto wa miaka kama paula afu anaamuwa kufanya anachotaka what can you do about it?

    • @NuruPeter-uh8qx
      @NuruPeter-uh8qx Рік тому

      Yani p fank atakua anaumia Sana huyu nimama wa ajabu sana huyu mwanamke mwenzetu nichizi

  • @irenebulinda3448
    @irenebulinda3448 Рік тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 Рік тому +1

    Reality shoo ya upumbavu😅 0 brain tu

  • @rahmayusuph5120
    @rahmayusuph5120 Рік тому +2

    Ujinga ujinga tu