KWA NINI HATUSHIRIKIANI NA MAKHURAFI WALA MASHIA | SHEIKH ALI ABUBAKAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 157

  • @IsmailSanga
    @IsmailSanga 3 дні тому

    Mbona huzungumzii Sheik ibnu Taimia alisema mikono ya Mungu miwili na ipo upande mmoja wakulia!.

    • @mussakiza4268
      @mussakiza4268 2 дні тому

      Hayo kayasema mtume sio ibn taimiya mzee

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 2 дні тому

      @@mussakiza4268 Naomba uniletee dalili kua Mtume amesma Allah anamikono Na imekaa kulia?.

  • @baarutmazrui5186
    @baarutmazrui5186 7 днів тому +6

    Kazi kupambana na waisilamu mayahudi kuwapiga parestina kimiya 2:46 hamsemi inshaallah hivi karibuni tutaikomboa aqswa أن نصر الله قريب

    • @AbuwJuhaymah
      @AbuwJuhaymah 5 днів тому

      Ujinga tu ndio unawatafuna wala sio kingine أن نصر الله قريب ndio kiarabu cha wapi..

  • @saadomar2480
    @saadomar2480 6 днів тому +2

    WNatafuta umaarufu. Hakunakitu hapo mzee. Kilamtu asimame alipo. NIMTIHANI. WAKINABACHU HAO. WE WATAZAME HATA NYUSOZAO WANAPOONGEA UTAJUA WAPO DUNIANI TU. INNAA LILAAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN.

  • @MusaRamadhani-wj2dw
    @MusaRamadhani-wj2dw 7 днів тому +3

    Nenda kasome kijana bado elimu Yako ndogo sana hata lugha hujui hata kubainisha maneno hujui

  • @محمد-و9ب5ف
    @محمد-و9ب5ف 7 днів тому +1

    Maneno uloyasema ya Habib ali jufri umemsingizia.. Subhanallah.

    • @barzaqtradingcompany8541
      @barzaqtradingcompany8541 6 днів тому

      UNA AKIKA AMEMSINGIZIA ? NDUGU SIKILIZA
      ua-cam.com/video/93Y9IfDG-IE/v-deo.htmlsi=rvyn-_1WJT4pYnce

    • @محمد-و9ب5ف
      @محمد-و9ب5ف 6 днів тому +1

      @@barzaqtradingcompany8541 elewa anachokiongea habib ali jufri, ametaja sanad hakusema kilemba ni cha mtume, elewa ibara kwanza .Wacheni kutukana wanazuoni, nyama zao ni sumu kwa anae wasema kwa vibaya...zitawadhuru...waislamu yako mengi yakutuunganisha, hii mifarakano mpaka liniiii?huyu anaetoa darasa babake ni mtu mkubwa wa mawlidi...aanze na babake tunamfahamu uzuri sana na ni mtu anae heshimika sanaa..halafu ndio aje atoe darasa lakukosoa wanazuoni.

  • @ilyasawadh6375
    @ilyasawadh6375 6 днів тому +2

    Shekhe wangu msharaha umepandishwa ndio uzidi kuleta tafaruq kwa waisilamu.😂😂😂

  • @KhamisBakar-ge4sp
    @KhamisBakar-ge4sp 7 днів тому +4

    Sheikh achana na stori za uwongo hazito kusaidia kitu
    Kama unatafuta umaarufu sio kwa stail hio ya kuwachafuwa watu

  • @syokimauda-awa
    @syokimauda-awa 7 днів тому +4

    Soma kwanza mwenzetu wacha kujiingiza kua mwanachuoni piga goti kwa masheikh

  • @MauroZaratte-r4r
    @MauroZaratte-r4r 8 днів тому +2

    Mkishirikiana na mayahudi nitosha 😢😢

  • @HusseinFikirin
    @HusseinFikirin 7 днів тому +3

    Hamna kitu apa someni kwnza huy hakuna kitu kichwani mtupuu

  • @HamdiHamdiAbdi
    @HamdiHamdiAbdi 8 днів тому +3

    ٤٧ - ما زال رَسولُ اللهِ ﷺ يَقنُتُ في صلاةِ الصُّبحِ حتى فارق الدُّنيا
    الراوي: أنس بن مالك • ابن حجر العسقلاني، الفتوحات الربانية (٢/٢٨٧) • حسن • أخرجه أحمد (١٢٦٥٧)، والطحاوي في ((شرح معاني الآثار)) (١٤٥٨) باختلاف يسير، والبغوي في ((شرح السنة)) (٦٣٩) واللفظ له.

  • @baarutmazrui5186
    @baarutmazrui5186 7 днів тому +1

    Waisilamu Sasa wanajua kwamba nyie mawahabi ni ndugu wa mayahudi alhamdulillah

    • @nassor6333
      @nassor6333 7 днів тому

      MASUFI Mambo yenu mengi mnaiga wakristo

    • @baarutmazrui5186
      @baarutmazrui5186 7 днів тому

      @@nassor6333 nyie ndio mnaiga mayahudi na wakiristo hata kwenye aqida mayahudi walisema hatutoingia motoni ila masiku machache , nanyie mkasema muisilamu aswi atokaa milele motoni Hali yakuwa qur aani inasema ataeingia motoni hatotoka hiyo sio itiqadi ya mayahudi?? Na mkaigawa tauhidi mafungu matatu kama mungu wa wakiristo namkasema issa bin mariyam atarudi kama wakiristo nahayo yote qur aan imekataa

  • @AbuuHafsah_TV
    @AbuuHafsah_TV 8 днів тому

    Sheikh ameeleza vizuri, kukubaliana kutokukubaliana,
    Mambo ni mepesi kabisa,

  • @hamynas
    @hamynas 7 днів тому +2

    KWA NN WASUNI WANAPISHANA HATA NAMNA ZAO ZA KUSWALI?MFANO KUFUNGA MIKONO MNA STAILI KIBAO,KUTOA TASHAHUD MNA NAMNA TELE ZA KUCHEZESHA, MFANO KUSOMA BISMILLAH TUU KTK SWALA MWABISHANA?

  • @محمد-و9ب5ف
    @محمد-و9ب5ف 6 днів тому +1

    twaomba umuongoze na babako pia ni mtu wa mawlidi..usiongee tu..anza na kwenu nyumbani umlinganie..vijana munakosa adabu sanaaa, yote unayo yasema ni khabari za maskani

  • @HuzeifaMsomali17
    @HuzeifaMsomali17 6 днів тому

    أَلَمْ تَرَ إِلَى ٱلَّذِينَ يُزَكُّونَ أَنفُسَهُم ۚ بَلِ ٱللَّهُ يُزَكِّى مَن يَشَآءُ وَلَا يُظْلَمُونَ فَتِيلًا
    Jee huwaoni wale wanao dai kuwa ati wametakasika? Bali Mwenyezi Mungu humtakasa amtakaye. Na hawatadhulumiwa hata kadiri ya kijiuzi kilichomo ndani ya uwazi wa kokwa ya tende. 4:49

  • @omarbaabad2706
    @omarbaabad2706 7 днів тому +2

    Akhlusunna waljamaa kwakweli hatuna shida ya kushirikiana na haya mapote yaliozuka kama uyoga kwanza yalijiiata Answari Sunna yakaona hii Answari haijakaa sawa yakajiita salafi nayo hayakurizika yakajiita salafi jadid namajina engine yapo sasa watu kama hawa masufi hawanashida nao nawala hatuwakubali nimakundi yaliokuja kuuchanganya umma kwa majina tofauti tofauti ni zao la mayahudi

  • @HamdiHamdiAbdi
    @HamdiHamdiAbdi 8 днів тому

    KASUKU
    ١٣ - أنه لم يزلْ يقنتُ في صلاةِ الصبحِ حتى فارق الدنيا
    الراوي: - • ابن جرير الطبري، مسند ابن عباس (١/٣٨٥) • صحيح

  • @saadomar2480
    @saadomar2480 6 днів тому

    لا تزكوا انفسكم هو اعلم بمن ا تقى./// صدق الله العظيم. Maisha yakukosoana kuzodoana kundihili linaona wao ndiyo waposawa kuliko wenzao nahawanao hivyihivyo jaman nunueni viwanja mjenge mashule namahospitali kanawenzenu MAENDELEO YANAWAPITA.

  • @IddMMhina
    @IddMMhina 7 днів тому +9

    Yaani nyinyi mashehe mnatumia mda mwingi sana ktk ihtilafu lkn sioni jitihada zozote za kupambana na makafiri au matatizo ya dunia yanayo wakabili waislamu, Yaani elimu yenu haina manufaa zaidi ya kuugawa umma wa kiislamu...mmebaki kusema wenzenu tu..mnajiona nyinyi mna miliki pepo...dah tuna safari ndefu sana...

    • @kadoditsa3805
      @kadoditsa3805 6 днів тому

      Tena sana ... Wanatabu sana hawa Jamaa

    • @savyboy6164
      @savyboy6164 5 днів тому

      @@kadoditsa3805 Masheikh Wamekuwa Wajuaji Tu Sahv

    • @SwedyMohamed-vt5zm
      @SwedyMohamed-vt5zm 5 днів тому

      Kwa ukweli wanaboa sana Hawa.Nilidhani ni Mimi TU niliyeboreka nao.Yaani wameacha kushughurika na matatizo yanayowakabili Waislam.Wamebaki na malumbano.Huu ni msiba mkubwa sana.

    • @AbuwJuhaymah
      @AbuwJuhaymah 5 днів тому

      Basi kuwa Shekhe wewe ili uje uutetee Umma, kwasababu hujafungiwa mlango wakuwa SHEKHE

    • @abdallahally9025
      @abdallahally9025 5 днів тому

      ​@@kadoditsa3805tatizo hamtaki kusoma ndio mana mnaona kila wanapo toa elimu ya sawa mnaona wanaleta magomvi, mnapenda uislamu unaochanganywa na ushirikina na uzushi, mnashindwa kujua na kukumbuka kua hii dini ilisha kamilishwa na inamwalimu wake ambae ni mtume muhamad swalallah alayh wasalam

  • @hamynas
    @hamynas 7 днів тому +4

    SIKU HIZI VIJANA WAKIVAA KANZU KOFIA NA KUWEKA HILO MAIKI MDOMIONI KAMA RUBANI BASI ASHAKUA SHEIKH MKUBWA SAANA

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 7 днів тому

      @@hamynas mashekh wenu ninyi ni wale waganga wa kienyeji na makuhani kina Dr sule wanajtangaza azi kabisaa kwamba ni achawi wanaofuga majini na diwani watabgaza hadharani ukuhani wao ndo shekh wawaongozao wale mushiriki

    • @swifationlinetv
      @swifationlinetv 7 днів тому

      Washakuwa wanazuoni wakubwa wakilimwengu

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 7 днів тому

      @@swifationlinetv si mmezoea kuingizwa na mashekh wachawi wafuga majini na mushirikina

  • @JumaMagora
    @JumaMagora 7 днів тому

    Mawahabi wao ni kushirikiana na mayahudi tu waislam wenzao Aaaaaah

  • @shafisaggaf1889
    @shafisaggaf1889 8 днів тому +1

    Huyu sheikh au chawa tu kama mwijaku.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 7 днів тому

      @@shafisaggaf1889 mashekh mnawo waamini ninyi si wale wanaokulinganieni moto, ambao waganga wa kienyeji wengine makuhani kina diwani Dr sule washirikina watupu ndo wale mwawaona mashekh kwenu siosili masufi kupitia wao wakaudharurisha uislamu kupitia sufi kufuga majini uchawi, ushirikina yote mashekh wa kisufi wameitukanisha sana dini ya kiislamu kupitia shekh wenu wa Ahlu bidaah

  • @isaack100
    @isaack100 7 днів тому

    Wallahi maneno ya mawahabi hayana akhlaq.yaani wamuita jufri maneno yako ni ya tumbako?Alafu mwenzako kamwuita ust said DJ said.ust Mafuta Abu rudud. Alafu mmesoma

    • @ismailowino2866
      @ismailowino2866 6 днів тому

      😂😂😂lakini Saidi yule si ni dj?Haujamuona akipiga ka guitar🤔

  • @husseinsalehe6506
    @husseinsalehe6506 8 днів тому +1

    Kijana tafuta elimu usijiweke mahali pa elimu na bado hujawa na elimu.

  • @UrindaOthuman
    @UrindaOthuman 7 днів тому

    Dah!! Kumbe kuchanganya swala ipo alfu amtwambiii

    • @dublinbus4138
      @dublinbus4138 7 днів тому

      Bora isiwe ada. Swala ni 5 kwa nyakati zilizoekewa. Lakini kwa udhru unakubaliwa kuchanganya.
      Usiwe kama shia anaechezea sheria

  • @MazagaMbogo
    @MazagaMbogo 5 днів тому

    Hawa mawahabe wamelaaniwa sana

  • @محمد-و9ب5ف
    @محمد-و9ب5ف 7 днів тому +1

    Umetoa comedy badala ya darasa na usengenyaji tu.. Hakuna la maana umeongea..

  • @abubakarjamalulleyl
    @abubakarjamalulleyl 7 днів тому

    Lahaula ibnul mubarak na jufri wapi na wapi? Ibnul mubarak alikufa kabla ya hata imam bukhari, ibnul mubarak alikufa mwaka 181 ya hijriya, imam bukhari amefariki mwaka 256 ya hijriya. Kasome kwanza kisha ndio useme

  • @saadomar2480
    @saadomar2480 6 днів тому

    انظروا الى من تاخذون دينكم. Tazameni mnapowapeleka watt wenu kusoma dini. Yite hii nikosa lawazazi kuwapeleka watt kusoma MadRASA ZAKIYAHUDI. haya ndiyomatunda vuneni mlichokipanda😂😂😂😊😊😊😊😊

  • @shaykhmulabasalehlulat4909
    @shaykhmulabasalehlulat4909 8 днів тому +1

    Unapokua mjinga na ukaamini wajua, huo ndiyo ujinga na msiba adhim.
    Nani alisema kwamba waliokufa wamekufa?
    Kisha kwa akili gani wala dalili gani unaweza kubisha kwamba Mtume, au mtu yoyote aliyekufa hawezi.
    kumtokea mtu Hivi live akiwa katika hali ya kiroho?
    Hoja hizo kama siyo za kijahili ni nini?
    Sasa huo ndiyo usalafi???

    • @saadomar2480
      @saadomar2480 5 днів тому

      Huo si usalafi mzeewngu niuwendawazimu wakurithi kutoka kwawendawaxim mfanowao.

  • @AbdulkarimShosi
    @AbdulkarimShosi 7 днів тому

    Nyinyi hamuezi kwa hakika kushirikiana na makhurafi kwa sababu mwanzo nyinyi nikundi linanolo jiita firquatu najia yaani kundi lilookoka ilhali makundi mengine yote ni motoni na hii ndio atiqadi yenu ya kukufurisha waislamu wenzenu ambapo ni itiqadi ya kiyahudi na kinasara na Wala SI uislamu alokujanao mtume wetu Muhammad s.a.w.

    • @FarahJey
      @FarahJey 7 днів тому

      Kasome wacha ubishi.
      الجواب:
      بسم الله الرحمن الرحيم، الحمد لله، وصلى الله وسلم على رسول الله، وعلى آله وأصحابه ومن اهتدى بهداه، أما بعد:
      فالفرقة الناجية: هم الذين ساروا على منهج النبي ﷺ واستقاموا على دينه، يقول ﷺ: ستفترق أمتي على ثلاث وسبعين فرقة كلها في النار إلا واحدة قيل: من هي يا رسول الله؟! قال: الجماعة وفي لفظ قال: ما أنا عليه وأصحابي.
      فالفرقة الناجية: هم الذين استقاموا على دين الله وساروا على نهج النبي ﷺ ونهج أصحابه في توحيد الله والإخلاص له وطاعة أوامره وترك نواهيه والإيمان بأسمائه وصفاته على الوجه اللائق بالله، بغير تحريف، ولا تعطيل، ولا تكييف، ولا تمثيل، هؤلاء هم أهل السنة والجماعة، وهم الفرقة الناجية. نعم.

    • @baarutmazrui5186
      @baarutmazrui5186 7 днів тому

      @@FarahJey يقول الله تعالى أن المتقين مفاز ويقول أيضا أن المتقين في ظلال وعيون .......... Na Aya nyingi ndani ya qur aani zinatuonyesha watakao okoka na moto ni wachamungu hakuna ndani ya qur aani yote kwamba Ahal Sunna Wala shia wa ibadhi wa madhehebu yoyote itaokoka na moto illa wachamungu na ndio fir watu nnajiya msidanganye watu

    • @baarutmazrui5186
      @baarutmazrui5186 7 днів тому

      @@FarahJey naomba Aya Moja inayosema kwamba madhehebu ya ahal Sunna ndio watakao ingia peponi na kuokoka na moto

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 7 днів тому +1

    HIZO HADITHI ELFU MOJA WEWE UNAZIJUA
    EWE MALUUNI WA KIYAHUDI

  • @muhammadkhatwab
    @muhammadkhatwab 7 днів тому +1

    Shida imeanza pale wazazi walipopeleka madrasa watoto waliofeli shule
    Ndiyo mashekhe wa sasa

    • @RamadhaniKileo
      @RamadhaniKileo 7 днів тому

      Mchokoz ww ila kweli

    • @ALISHARIFF-y1y
      @ALISHARIFF-y1y 6 днів тому +1

      Sayyid hebu tufafanulie Mwalimu wa Habib Jufry ni nani??
      Jee imam Bukhari alimdiriki ibn Mubarak?
      Alvosema ni kuwa habib jufry ndo yule mwalimu wake alichinjwa zama za ibn Mubarak bima3na Habib Jufry alkuwepo tangu zama za ibn Mubarak wakati mwalimu wake akichinjwa??
      Na ikiwa jawabu ni kuwa ndio alikuwepo ina maana habib jufry kufikia sasa ana miaka 1000+ na bado yuko hayi?
      Naomba utufafanulie Sayyid Muhammad Khatwab .SHUKRAN🙏

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab 6 днів тому

      😂😂 ndiyo haya nakwambia, ati hawa ndiyo mashekhe. Akwambia jufry mwalimu wake ni ibnu mubarak😂

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab 6 днів тому

      Ati kile kilemba alichovaa ndicho hiko hiko chatoka kwa Mtume
      Uzuzu gani huu😂

    • @ALISHARIFF-y1y
      @ALISHARIFF-y1y 6 днів тому +1

      @@muhammadkhatwab sasaaa tushangae ya kuvishwa kilemba kwa sanad mpk kwa Mtumi S.A.W kwa ithbati au tushangae ya mtu kuishi miaka elfu moja na mpk sasa yuko hayi???? Yaani bah’thi kubwa aloifanya usiku ni hiyoo hee Nas’alu salama 😂😂

  • @sadofaraji5999
    @sadofaraji5999 7 днів тому

    Mfungo wa kilemba una isnad mpaka kwa Mtume si kilemba chenyewe,muwe munaelewa, jamani.

  • @abubakaromar6101
    @abubakaromar6101 7 днів тому +1

    Eti nae ana Elimu si ndie yeye Ali Abubakar alosema hatutaki mambo ya NAHAU na SWARF sasa bila hizi Quran utaitafsiri vipi?watu pia hawataki kushirikiana na nyinyi watu wa kueneza fitna kutukana na kuwakufurisha wanazuoni kundi la mizozo nyinyi kwa nyinyi mawahabi kila siku mwazozana na kukanyagana mitandaoni kama wake wenza

    • @saadomar2480
      @saadomar2480 6 днів тому

      Hayajui kitu ndiomana nahau kwao tabu😂😂😂😂😂😂

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 8 днів тому +4

    Tasbih ni haifai minaona wanazuoni walosema haifai ni sahihi sabu mtume akutumia alitumia vidole hivyo walosema haifai minaona wapo sahihi tuuh tasbihi ni bidaah sabu wapo ndani ya hoja yenye nguvu zaidi na tukumbuke wanazuoni wapo wwnye kupatia na kukosea mi nawaunnga mkono wanazuoni wasemao tasbihi ni kujinasibisha na manaswara na wale budhaaa wahindi wahind hata mtume alimkataza mwanamke alipomuta yule dada anatumia kokwa za tende alimkanusha na kumnasihi atumie vidole hivyo bidaa itabaki kuwa bidaah tuuh hata tukiona ni ndogo haiifai sabu imeuwa sunnah ya mtume kutumia vidole walau waalamu allah mjuzi zaidi

    • @khalifaallyibnadam9983
      @khalifaallyibnadam9983 7 днів тому

      we hujielewi

    • @ShamsudeenOmary
      @ShamsudeenOmary 7 днів тому

      Thibitisha hilo sio umwambie tu hivo​@@khalifaallyibnadam9983

    • @SelemaniSelemani-bw4ps
      @SelemaniSelemani-bw4ps 7 днів тому

      Kuna mangapi unafanya mtume mwenyewe hakuyafanya? Kaa tafakari

    • @ShamsudeenOmary
      @ShamsudeenOmary 7 днів тому

      @@SelemaniSelemani-bw4ps Nadhani kafeli tu kwenye maelezo lkni hili jambo lina shub-ha

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 7 днів тому

      @@SelemaniSelemani-bw4ps nimegusa wadau wa tasbihi naona mmekuja juuu wazushi bwana hatariii kweli mtu akionngelea Jambo la kumfata mtume mnakuwa wakali kweli haina jinsi ukweli ndo huoo utake usitake tasbihi ni bidaah hakufanya mtume na swahaba walitumia vidole zile mi naziona kama rozali za wakristu hamna tofauti shika sunnah kutumia vidole ndo mtume Sasa mnasema mwampemda mtume mkitajiwa kufata mafundisho yake mnakuwa wakali na kukaa juuu

  • @ramadhangavuga4768
    @ramadhangavuga4768 8 днів тому

    Maa sha Allah shukran ustadh ❤

  • @Muhammad-el9iz
    @Muhammad-el9iz 7 днів тому

    Jamani nisaidien nijue nani makhurafi???

  • @rajimmussa
    @rajimmussa 8 днів тому +1

    Huyu bado anatakiwa asome, amejichanganya saana kuhusu kunuti
    Halafu anaiga tuuu na sio kufanya utafiti WA kielimu

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 7 днів тому

      @@rajimmussa wataka kutuambiaje kuhusu kunuti Sasa

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 7 днів тому

      Kakosea Nini mpk useme ajui kuhusu kunuti

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 7 днів тому

      @@rajimmussa amekosea Nini mpk useme kunuti kajichanganya

  • @jemedarmohamed3644
    @jemedarmohamed3644 7 днів тому

    Ongea lakini utahadhari na usio yajua kuyaingea

  • @MkindiRama-lp6hy
    @MkindiRama-lp6hy 7 днів тому

    Yhd

  • @Worldunite
    @Worldunite 7 днів тому

    ...ndo maana waisraeli wanatumia tofauti zilizopo Kati ya waislamu kutekeleza uvamizi kwa wapalestina,
    KWANI WEWE UMEKUWA KATIBU WA MBINGUNI????.
    ...tutaabudu tofauti zetu tu ambazo maadui wanatugawa nazo na watazidi kututawala

  • @khalidbinsunkar5409
    @khalidbinsunkar5409 7 днів тому +1

    Asokuwa wahabi ni mubtadi'i 😂😂😂

  • @MohdIsmail-ud1gl
    @MohdIsmail-ud1gl 7 днів тому

    NAHISI UWAHABI UNAKUTOKA HUO, LEO WAKUBALI KUWA KUNA KAULI ZAIDI YA MOJA hee! MUNGU MKUBWA

  • @RamadhaniKileo
    @RamadhaniKileo 7 днів тому

    Chunga mdomo ni dunia kun kesho

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 7 днів тому

    akina jufri wanakula marungi akili zao zimeharibiwa na hiyo marungi!!

    • @abuuayoubayoub9260
      @abuuayoubayoub9260 7 днів тому

      Shika adabu yako fala wewe ulimkuta wapi jufri akila marungi

  • @محمد-و9ب5ف
    @محمد-و9ب5ف 7 днів тому

    Na kuhusu kilemba alizungumza kuhusu isnad, zuka

  • @محمد-و9ب5ف
    @محمد-و9ب5ف 7 днів тому

    Uko wapi wewe na ulinganishwa kina Habib ali jufri.. 😂Zuzu

  • @SaidKawela-qy5wv
    @SaidKawela-qy5wv 6 днів тому

    Huyu nae fala tu tatizo tonge

  • @AbdallahEji
    @AbdallahEji 6 днів тому

    washenz wakisalaf nyie kila kitu kwenu hakifai

  • @isaack100
    @isaack100 7 днів тому

    Alafu Aliza hii clip toka mwanzo haina Aya Walla hadith hata himdi imekosa

    • @isaack100
      @isaack100 6 днів тому

      Walla tanaabazuu bil alqaab biisa ismul fusuq.mkumbushe shekhe lako aone Aya hilo

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 3 дні тому

      Huwezi kushindana na Yahudi.

  • @sungitatv9887
    @sungitatv9887 7 днів тому

    Mbona na nyie masalafa wanawakataa

  • @hassanhussein2422
    @hassanhussein2422 7 днів тому

    Wongo tupuuuuuuuuuuuuuuuu

  • @FarajiAbdallah-yw2wn
    @FarajiAbdallah-yw2wn 4 дні тому

    تعلم علما ایا اخی الکریم انما هذه المساٸل الفقهیة اختلف فیها العلماء اذا قلت هذه المسٸلة غیر موجود فإن علمک ناقص ۔

  • @makamekhalfan5968
    @makamekhalfan5968 8 днів тому

    kwan apo ameongea nn jmn mbn upuuz t

  • @sadofaraji5999
    @sadofaraji5999 7 днів тому

    Jifri katumia hadith kama wewe ulivyotumia ya kutikisa kidole, kwanini mtete?

  • @islamseyffden7723
    @islamseyffden7723 5 днів тому

    NA OLE WENU TUWAKUTE MISIKT YETU KKOO MJINI MNASWALI TUNAWACHAPA FIMBO😂NYIE WANAFKI SASA MAGHURAFI HALAF MNASWAL pammoja na sisi nyie ni wehu 😂

  • @mohamedshee9743
    @mohamedshee9743 8 днів тому

    Nyinyi mwamalizwa na anae watetea ni Mashia.

  • @salumrashidabdullashmely2558
    @salumrashidabdullashmely2558 7 днів тому

    Kwa sababu nyie ni wawakilishi wa mayahudi. Kupinga waislam wenzenu

  • @SadaKassm
    @SadaKassm 7 днів тому

    Shehe wewe unasujudia nini ? Mbona paji haliko makshuuf?

  • @mibnabubakr
    @mibnabubakr 7 днів тому

    Uzushi wa Mawlidi: Sh Muhammad Sharif
    ua-cam.com/video/gsJ3Wc-K_q0/v-deo.html

  • @muhogoent512
    @muhogoent512 7 днів тому

    😂such aqidas are very out dated bro kurafis and shias are strengthening islam not salafy falasy..nd abt imam shafi you guys have desecrated every mosqu that was shafii madhab...

  • @ilyasawadh6375
    @ilyasawadh6375 6 днів тому

    Wahabi na yahudi akida zao ni moja.

  • @mafiatv5479
    @mafiatv5479 4 дні тому

    senge mbwa wewe, khrafi babako na mamako

  • @abulhakim2294
    @abulhakim2294 8 днів тому +1

    Huyu ali bahero alikua lini shekhe nae amehifadhi2 kurani leo amekua fakihi wollahi watu wana chezewa sn , haswa upande wetu ss Ahlisunnah mtu akihifadhi2 kurani akasikiliza maneno ya kina sheikh fauzan na bin bazi bc yy nae ashakuwa shekhe na ustadhi , wenzetu watu wa twariqa kweli ni watu wa maulidi lkn wanabukua sn vitabu na kusoma haswa balagha nahau usululhadith usululfiqhi mustalahul hadith, hawa wetu wasomi ni kdg sn wengi ni kuropokwa2 ndio tukija mjadala na watu wa twariqa wanatu angusha around one. Someni someni someni kina alii bahero, muliambiwa na shekh musalam Allah amrehemu hamukusikiliza naswaha zake , sahi twaambia ss bc someni ss twa wajua vzr sn nyny hamja soma kabisa mwaongea2 maneno yakina fauzaan

    • @UmmuMohammedSalim-cg9zt
      @UmmuMohammedSalim-cg9zt 8 днів тому +1

      Maneno yako yadhihirisha Wewe si Wahabi.
      Wewe ni Twariqa wa kawaida
      Tafadhali muache Shekh wetu
      Twampenda na twamfuata Shekh Ali Abubakar

    • @albaspares5546
      @albaspares5546 8 днів тому

      Wwe ni khurafi na mzushi kama wao tu achana na shekhe wetu umekosa maneno yakuongea bora ukae kimya uskie maneno ya sheikh Ali Bahero ufaidike mzushi waheddd!!!!!!!!!

    • @osmanmanbile9327
      @osmanmanbile9327 8 днів тому +1

      Huu ndio ukwli wa.mambo mawahabii hawasomii😂😂

    • @darajanida
      @darajanida 8 днів тому

      ​@@UmmuMohammedSalim-cg9zt kwani huyu nae nishekh

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 7 днів тому

      ​@@UmmuMohammedSalim-cg9zthuyo juu maneno aloyasema hata kama si wahabi ni kweli kabisa huyo Ali Abubakar ndie alosema hawataki mambo ya NAHAU, SWARF na BALAGHA na pia kuhusu Marhum Muselem aliyasema hayo kuwa mashekhe wa kiwahabi hawatki kusoma wataka mizozo tu

  • @zuberimohamed43
    @zuberimohamed43 4 дні тому

    Ujinga ujinga tuu

  • @baarutmazrui5186
    @baarutmazrui5186 7 днів тому

    Tunawaona mashia na maibadhi ndio wanaoumia na ndugu zao waparestina kuliko nyie mnaojiita ahal Sunna hata kusema hamuwezi kwa sababu ndugu zenu mayahudi wanauwa waisilamu nasisi tumeisha fahamu

  • @rajimmussa
    @rajimmussa 8 днів тому

    Huyu bado anatakiwa asome, amejichanganya saana kuhusu kunuti
    Halafu anaiga tuuu na sio kufanya utafiti WA kielimu