Subhanallah duh hii khatari sana watu hawataki kusoma dini yao na kuifuata sasa kila mmoja anafanya anavyotaka. Mwenye akili iliyotimia anajiuliza kweli maswahaba wa mtume walikua hivi nadhani kila mwenye ufahamu uliekamilika anajua, muogopeni Allah
Wee kwa akili yako hapo unawazidi woote elimu pole saana.au wanafanya bila dalili pole kwa msiba wako.ni vizuur ufanyie kazi ulichosoma na uzidi kusoma,
Mwaka wa 1980 1981 na kuendelea ilikuwa mwezi wa ramadhani siku kumi na Tano na kuendelea tukiwa Kenya mjii wa Mombasa tukimaliza swalah ya taraweeh wakati huo redio Zanzibar inashika Kenya ilikuwa tukiburudika usiku wa ramadhani....
@@swalehaltooq5233 kwani hapo anatajw mungu au anatajw Nan maan hapo ametajwa mungu na pia ametajwa mtume sasa unavyo sema hakuna hata moja lilo fundishw kweny unakosea kwasabab hapo hakuna ushirikina ulio tajwa acheni kudanganya watu
Hii ni ibada gani wanyofanya hawa!! Ibada ambayo hakuijua mtume, maswahaba wala matabiina na wala hawaijua Aimatulhudaa.. Huu unaonesha kma ni uzushi ktk dini yetu. Allah Atuongoze cc na wao..
@@saidhaji1858 kutembea kwa hatua nzuri ni ibada na kuzungumza kwa sauti nzuri ni ibada sasa nadhani ukitaka kujua ibada kuwa mja mwema ni ibada sasa tafuta ujue nini ni ibada.
Utofaut upo mkubwa sana ukitaka kujua hayo soma brother 🙏 halafu utajua au kama huwez kusoma ulizia kwa watu wanao Juan wakuelezee ndipo utajua utofaut uliopo apo katika dhikri na kanisani 😂😂😂
Sio kweli,nakuhusia kama ninavyiloihusia nafai yangu...ikhtilafu Mungu kaziumba, hata uumbaji wake Mungu Basi kaweka katikka mfumo wa ikhtilafu ili tuweze kutafakari,,,angalia jua na mwezi,,, kulia kushoto, mke mume,ardhi mbingu,afya maradhi,mweupe mweusi,nzito nyepesi,usiku mchana,.,sunni,qadiria,Sufi,salafi,ibadhi.....hakuna anaejipa asilimia mia kwamba yupo perfect ...Mungu atakwenda kutulipa Kila jambo kutokana na hoja....anaeswali ataulizwa ulikua ukiswali kwa lengo gani,anaefunga,zaka,hijja kadhaalika....kwaio Mungu atakwenda kuwaalipa thawabu watu kwa hoja na atakwenda kuwaadhibu kwa hoja....acha kauli hio ni mbay mno na ukosefu wa elimu.
Usiseme atawalaani wanaopinga Khitilafu ipo Tangia Enzi na Enzi na Mtume hakuwaombea mabaya walokua wanakhtalifiana Na mtu akienda kinyume anawaombea sio kutoa laana😊
Ikipanda ikakosa pa kushuka inaishia hewani au.....,unadhani kaelimu kako hapo unawazidi walioko hapo woote.pole saana ukasome ndo muwe mnatoa hukumu na makadhwi ni watatu,wawili moton mmoja peponi.
Upotevu gani hembu nenda ukasome dini vizur maan hapo hujui hata kinacho kusudiwa waislam tusomeni tujue dini ninini sio tuna kurupuka tu kuongea tu hiv kam niupotevu hata hiy dini isinge tufikisha hapa
Tatizo wamenusa kuimsoma ndio maana kunatofauti ya moja na mbili sasa wao ni mojaa ndio mana kazi Yao moja tu ongezen kaazi ya kuwarudisha watu walio potea kwenye njia sio Kila siku bidaa tu hakuna bidaa hapa wewe unao dai bidaa lingania kurudisha watu kwenye njia sio wasi mama na moja tu mbili wamuachia nani
Ninacho jua hakuna mhabi anae patana mzazi hicho ndio kipimo Cha mhabi Sasa kama una Lana huwez jua maana ya hicho na ukiona mtu ana mkfurisha muislm mwenzie kasomea kwenye UA-cam hana mwlm Wala shekhe imamu Aly amesema hakupata kushindana mhunga ila alikua akishidwa lakini akibishana na mjuz mara nyingi alikua akishinda Sasa hapo niwa jinga
Hao wanao tukana maulid kwanza wawafate wanaojuwa wafahamishwe elimu inanjia ndefu ndipo kila mtu anafata njia yake anayoona inafaa achen kutukan mahalifa
MANENO KAYATOA KWA KITABU CHA BARZANJI KINA UPUZI MWINGI SANA NDANI YAKE NDIO WAJINGA KAMA WANA KITUMIA, ALLAH AWAONGOZE KATIKA UISLAMU ULIO ACHWA MTUME S.A.W
@@hamisimkulu6571usimtusi mamake. Wazee wote waliyakubali pengine kasoma haya. No huyo shetwani na mashetwani wenzake wanaotia watu motoni na kuwaita makafiri wameanza Zama hizi. 😂😂😂
Hiyo ni Sunnah Mtume S. A. W. Kafanya watu wasifiche haki kwa matanio yao. Asiyejua aulize. Asiyepata mwalimu asafiri kumtafuta. Hata katika miji ya mbali. Asije akawacha haki kwa ujinga.
Wapingao hawana elimu ni wajinga tu, Hawa mawahabi, mwajua huu mswahafu ni bidaa au hamjui? Maana mtume (saw) hakupewa mswahafu ,pili, irabu zile fataha kasri dhuma sakna zote ni bidaa!! Mwajua Hilo??? Someni acheni chuki za kipumbavu !!! Madebe matupu nyie!!!
Hatujafundishwa hivyo; kuwaita makafiri walotamka kalimatut tawhiid. Tuwaite tu kwa majina mengine, kama wazushi, wanaokhalifu sunna, wakosaji ktk dini na mengineyo.
Allah wape umri mrefu mashehe wetu wasiyumbishwe na Masalafi kama yanavyokoment utumbo
Aisee huyo shekhe yup vzr kwa zikili mashaallah
Asante sana karibu HesminTV kwahuduma Bora za Live katika shuhuli mbali mbali kwamawasilia piga simu no 0615800080 au 0719907770
Maoni yangu dhikri mbona mnacheza Kama ngoma,mtoa mashairi mashallah.
Waislam tusomeni Ili tuweje gharam na Hali ila kwa hpa muridi wote Maua yenu hyo like it as muridi
Allah atuongoze sote tuone haki tuweze tuifwata, na atuonyeshe baatwil tuweze kuiepuka. Ameen thumma ameen
MashaAllah mashairi mazuri...Allah akupe umri kwa kudhikirisha
Amiin 🤲
Ujue hukmu ya kutikisa mwili ni ktk mtindo wa shaytwan na wafuasi wake hawajamaa allah awaongoze
Ni vibaya kumtukana mwislamu mwenzako nduguyo kwa imani
Utapata huyo alomuita mwezake hivo hata madrasa hakwenda
Ya rabbi wasemee hawajui wafanyano
Weye unajuwa uyafanyayo ?
Nyie wenye elim tupeni tafsili ya hukokunguruma tujue mmemwamniann allah
Santa Santa Mashallah
Mnaopinga hiidhikiri hebu linganisheni na bongofleva mseme lililobora
Mambo mema matamu na yapenda haya moyon mwangu,,marhaba Sheikh sauti yk ina tuingia Imani nyoni mwetu
Kama Iman yako nikufanya uamini hiki bac fany
Subhanallah duh hii khatari sana watu hawataki kusoma dini yao na kuifuata sasa kila mmoja anafanya anavyotaka. Mwenye akili iliyotimia anajiuliza kweli maswahaba wa mtume walikua hivi nadhani kila mwenye ufahamu uliekamilika anajua, muogopeni Allah
Wee kwa akili yako hapo unawazidi woote elimu pole saana.au wanafanya bila dalili pole kwa msiba wako.ni vizuur ufanyie kazi ulichosoma na uzidi kusoma,
Alimlad anatajwa Allah na mtume Muhammad me sion ubaya
Mashayr yalikuwepo nakunguruma jee? Swahabagani alikua bingwa wa kunguruma
Mawahabi mpoooo najuwa mtanena pia
Wallah uislam rahaaa mashallah
Mashaaalllah yupo vizur mungu amzidishie
Innaa lillaahi wainnaa ilayhi raaajiuuuun!!
Nyie wazee mcheni allah hiyo sio dhikr nakama nidhikir tupetafsili
Afadhali yako wewe unaetaka kujue kaende kwenye chuo zao wakupe dalili kuliko walio maliza Hadith zoote yaan vitabu vyoote,
Swahaba wangefanya haya hii dini isingetufikia
Mawazo fekiiiii hahahahaha
@@rajabumsuya-hg8jd kweli maana huu ni mchezo km wakata viuno,mauzinde
Nani alikwambia walifanya zaidi ya haya mbn huwataji
Kwani imekufikiaje ambacho unashaangaa
Haya mashairi yanimaliza kweli mashallah jamaa yupo vzr
Nakumbuka Nyumbani
Kila ikifka mfunguo 6 mwez 25 yaaaaniiii ilikua naona Raha mpaka basi
Mashallah 🥰 nawackiliza nikiwa Oman ❤
Mwaka wa 1980 1981 na kuendelea ilikuwa mwezi wa ramadhani siku kumi na Tano na kuendelea tukiwa Kenya mjii wa Mombasa tukimaliza swalah ya taraweeh wakati huo redio Zanzibar inashika Kenya ilikuwa tukiburudika usiku wa ramadhani....
Miaka yenye neema ilikuwa tukiwasikiliza sanaa watumbatu kwa dhikri zao....Machozi inanitoka kwa rahaa zilizopita
Hapa tumbatu jongowe zawiyani makao makuu ya dhikri
Nasikiza nikiwa dubai@@mrsabdul-mz8hh
Dhikri itaendelea hadi kiama
❤❤❤❤
Mashallah,kazi iendelee kama kazi.
SubhanaAllah SubhanaAllah acheni kupotosha watu hapo hakuna hata moja katika dini ya kiislam ilifundisha hayo wanayofanya hapo
@@swalehaltooq5233 kwani hapo anatajw mungu au anatajw Nan maan hapo ametajwa mungu na pia ametajwa mtume sasa unavyo sema hakuna hata moja lilo fundishw kweny unakosea kwasabab hapo hakuna ushirikina ulio tajwa acheni kudanganya watu
😂😂😂😂😂 A cha upuuzi soma kwanza
Weka lako la maana bc kama hili ni la upotoshaji
Unaonaje kama utawafata uwaambie uwaelekeze au wakuelekeze
Wewe sawa gofu la nyumba tafuta utamu wa moyo ukiupata utanyamaza ان ابراهيم الاوح حليم
Ilijambo kama sikunasibishwa na ibada basi ungaliku ni mchezo mzuri sana ila wamenasibisha na ibada ndipo walipo utia dosari uu mchezo
Na wewee kacheze kama mchezo mzuri umeuona shida ninib
Hivi hahahahaahaha ndio kitu gani 😅😮
Hii ni ibada gani wanyofanya hawa!! Ibada ambayo hakuijua mtume, maswahaba wala matabiina na wala hawaijua Aimatulhudaa..
Huu unaonesha kma ni uzushi ktk dini yetu. Allah Atuongoze cc na wao..
@@saidhaji1858 kutembea kwa hatua nzuri ni ibada na kuzungumza kwa sauti nzuri ni ibada sasa nadhani ukitaka kujua ibada kuwa mja mwema ni ibada sasa tafuta ujue nini ni ibada.
Kwahiyo dhikir mtume na maswahaba hawakuijua kama hawa kuijua wala tusinge fanya hiv acha ushia rejea vuzur din wijue
@@HassanHossein-jz3mb أَلا بِذِكْرِ اللَّهِ تَطْمَئِنُّ الْقُلُوبُ
Ibada ni swla na swaumu ila hiyo ni mazazi ya mtume watu wapo pamj wanamsifia na kujuzana mazazi yake jinsi gani yalikuwa
@@alwyabdallah3021nini maana mazazi
Huwezi hukumu ndugu yako mweslamu bna mwenyez mungu ndo anae jua kma wanapata dhambi bna
Ndugu yangu hawa mawahabi kaziyao matusi na wanajiona wao wamebashiri wa pepo niyao wana laana na walimu zao
Mtume yu nyoyoni mwetu daima
❤
Bidaa😢
Kuna tofauti gani na kanisani apa
Kanisani huchanganyika wake nawaume navinanda huwemo napia hawavai mavazi yaheshima
Utofaut upo mkubwa sana ukitaka kujua hayo soma brother 🙏 halafu utajua au kama huwez kusoma ulizia kwa watu wanao Juan wakuelezee ndipo utajua utofaut uliopo apo katika dhikri na kanisani 😂😂😂
Kanisani wanataja mtume pia pengine ushawai kuwasikia
Jamani uzushi sio ushu mambo ya kidini
Mashllh allah akujalie husnul hatima
Tatizo lenu mawahabi hamtakikusoma nando maana mnazipinga ibada kama hizi
Kama umesoma vizuri lete hadithi sahihi ya mtume akifanya dhikri kama hii au masahaba wake
Kwashwida
Hakuna dhikir ya hivi kwenye dini, adhkari zinajulikana
Sunna zipo nyingi chagua ambayo kwako nyepesi fanya
Una maan gani kwamba hamna dhikir ya hiv
MashaLLLAH hizi ni Sunnah ambazo zimebakia kwetu? Wengi zimewashinda.
Wewe ni mjinga namba Moja . Kwan apo kosa lipo wapi ?? Ukitaka kupinga kitu tafta hoja na kitu gan kimekatazwa.
@@hamidrashid225 wee ndo jahiru murakab, kuna adhkar gan ya kukohoa kama harmonize? 🚮🚮🚮
Mawahabi inawauma sana kumsifu mtume....wanataka tuwasifu wao
Mawahabi kazi kwenu haya mambo mema
mashallah alah akubariki we baba
Bakathir huyo
Diamond hanging ndani
Tatizo ni kufanya haya msikitini
Wallahi kila mtu na Fanni yke
Usichokijua ww wafate wenyew uwaulize unaonaje kama wangekuwa wanaimba bongo fleva
Mhh jamani Nini tunajifunza hapo? Ndege na wanyama wa baria au ni hayo mashairi huku ni kujifurahisha na kufanya mazoezi ya viungo TU.
Shirik hiyo
Weka iliyo kuwa sio shirk
Duuu
Jamani musiwe munatukana watu someni ili mupate elimu ya dini jee mtume aliposomewa twalaalibaduru ilikuwa nn
Mungu atawalaani san wallah wanaopinga haya
Sio kweli,nakuhusia kama ninavyiloihusia nafai yangu...ikhtilafu Mungu kaziumba, hata uumbaji wake Mungu Basi kaweka katikka mfumo wa ikhtilafu ili tuweze kutafakari,,,angalia jua na mwezi,,, kulia kushoto, mke mume,ardhi mbingu,afya maradhi,mweupe mweusi,nzito nyepesi,usiku mchana,.,sunni,qadiria,Sufi,salafi,ibadhi.....hakuna anaejipa asilimia mia kwamba yupo perfect ...Mungu atakwenda kutulipa Kila jambo kutokana na hoja....anaeswali ataulizwa ulikua ukiswali kwa lengo gani,anaefunga,zaka,hijja kadhaalika....kwaio Mungu atakwenda kuwaalipa thawabu watu kwa hoja na atakwenda kuwaadhibu kwa hoja....acha kauli hio ni mbay mno na ukosefu wa elimu.
Usiseme atawalaani wanaopinga
Khitilafu ipo Tangia Enzi na Enzi na Mtume hakuwaombea mabaya walokua wanakhtalifiana
Na mtu akienda kinyume anawaombea sio kutoa laana😊
Acha kuwapa laana wenzio ww
Ikipanda ikakosa pa kushuka inaishia hewani au.....,unadhani kaelimu kako hapo unawazidi walioko hapo woote.pole saana ukasome ndo muwe mnatoa hukumu na makadhwi ni watatu,wawili moton mmoja peponi.
Uislamu uchizi kweli 😂😂
ndege ngamia na wanyama wabaria hummh uongo mtupu upotevu
Mtume sisawa nawewe
Upotevu gani hembu nenda ukasome dini vizur maan hapo hujui hata kinacho kusudiwa waislam tusomeni tujue dini ninini sio tuna kurupuka tu kuongea tu hiv kam niupotevu hata hiy dini isinge tufikisha hapa
@@HassanHossein-jz3mb nani alokwambia kuimba ndo kusoma dini?dini gn imefundisha kucheza singeli
Tatizo wamenusa kuimsoma ndio maana kunatofauti ya moja na mbili sasa wao ni mojaa ndio mana kazi Yao moja tu ongezen kaazi ya kuwarudisha watu walio potea kwenye njia sio Kila siku bidaa tu hakuna bidaa hapa wewe unao dai bidaa lingania kurudisha watu kwenye njia sio wasi mama na moja tu mbili wamuachia nani
ALLAAAAAAAAH
Hakuna cha maana tuisome dini jamani mung atuongoze hiyo sio dhikri tafadhal
Mashallah ❤
Huyu sheikh mwachenie amsifu Muhammad kadri anavyo weza,
Ninacho jua hakuna mhabi anae patana mzazi hicho ndio kipimo Cha mhabi Sasa kama una Lana huwez jua maana ya hicho na ukiona mtu ana mkfurisha muislm mwenzie kasomea kwenye UA-cam hana mwlm Wala shekhe imamu Aly amesema hakupata kushindana mhunga ila alikua akishidwa lakini akibishana na mjuz mara nyingi alikua akishinda Sasa hapo niwa jinga
Mashallahhhh
Masha Allah
Maashaallah
Nyie mnaokoment ujinga mungu atawapa Lana kubwa cc tup twamsifu mtume wetu nyinyi mnasem ujinga dah😢
Achana nao
Una ushahidi wowote kwamba tumeamrishwa tumsifu mtume swallallahu alaihi wasallamu tena katika maneno ya uwongo
Polesana
Mtume hasifiwi hivi
Anasifiwaje?
Mashallah 🙏
Mashallh
Wengi wao hapo ni wanga(wachawi)
Ulishawashuhudia au wadhania to 😢😢😢
@@saidmwakulika706 ata na ww huenda ni miongoni mwao
Kila mtu na upeo wake wa elimu
Asante sana karibu Hesmin TV best
Kwa huduma Bora za Live katika Shuhuli mbali mbali kwamawasiliano piga Simu No 0615800080
Hesmin TV ---- No limit's Technology
Jna lake nani hyu sheikh naitaka ile nyengne alamtara
Hao wanao tukana maulid kwanza wawafate wanaojuwa wafahamishwe elimu inanjia ndefu ndipo kila mtu anafata njia yake anayoona inafaa achen kutukan mahalifa
@@MwanaidBakar-g7f halifa yupi kaleta maulidi?hakuna elimu ya maulidi
Mpaka cheee Asubuhi...dhikri rahaaa
Kuswali hamna apo
Huswal weye
@@kheiramour2973 kwani umeelewa vipi wewe
@@DohaQatar-w4tikiwa huswa utakuwa huswali ila kuswali kupo
Hawa jamaa wanafanya mazoezi ya viungo
Hakuna tatizo kufanya mazoezi
Kama hiyo ndio dini watu wote wangeenda peponi
Kama wewe ndio mwenye Pepo sawa
Mijibaba mikubwa wenye umri mkubwa wanafanya mambo kama watoto wadogo hakuna dini kama hiyo katika uislamu wanacheza wanaruka ruka mashetani hao
Mseje mkatokwa na mashuzi tu hapo
Mungu akuongoze usiendelee kutukan
@@HassanHossein-jz3mb hakuna tusi hapo
Hiyo ni singeli2 naona
MANENO KAYATOA KWA KITABU CHA BARZANJI KINA UPUZI MWINGI SANA NDANI YAKE NDIO WAJINGA KAMA WANA KITUMIA, ALLAH AWAONGOZE KATIKA UISLAMU ULIO ACHWA MTUME S.A.W
Ushadanganywa zako huko ebu lete upuuzi mmoja wapo
Mpuuzi nimamaako
Hilo ni tusi litasimama mbele yako kama kweli muislamu Allah atakusameh @@hamisimkulu6571
Iyo elimu aliyokuwa nayo barzanji ww huipat mpk kufa ndugu pole
@@hamisimkulu6571usimtusi mamake. Wazee wote waliyakubali pengine kasoma haya. No huyo shetwani na mashetwani wenzake wanaotia watu motoni na kuwaita makafiri wameanza Zama hizi. 😂😂😂
Hawa machizi Nini?😮😮😮 Duuuuh
www unae waambia haw ni machiz na ww pia chiz kam uliumwa na allah wa viume wot
Kama wewe mtoto huwezi kutaja mungu na mtume wacha wazee wataje wanajua maana yake
HII NI IBAADA! AU UJINGA TU
Hawa jamaa wazush mno maulid ni ni uzushi
Sasa huyu ni bingwa wa mashairi au bingwa wa zikri kweli dini imepotea
Uwi silam autaki muenziyo kumwita. Kafiri
Sasa hahaaahaha iko kwenye quran wacheni upuzi katika dini hii ya kislamu wamepotea hao
Wakata viuno naona
Mungu akuhifadh na maneno yako
Wahabi mnataka tuwasifu bb zenu? ambao pia mmekosa radhi zao sababu mihemuko na jazba zenu
Hiyo ni Sunnah Mtume S. A. W. Kafanya watu wasifiche haki kwa matanio yao. Asiyejua aulize. Asiyepata mwalimu asafiri kumtafuta. Hata katika miji ya mbali. Asije akawacha haki kwa ujinga.
Wapingao hawana elimu ni wajinga tu, Hawa mawahabi, mwajua huu mswahafu ni bidaa au hamjui? Maana mtume (saw) hakupewa mswahafu ,pili, irabu zile fataha kasri dhuma sakna zote ni bidaa!! Mwajua Hilo??? Someni acheni chuki za kipumbavu !!! Madebe matupu nyie!!!
raha tupu ...mwenye roho ya kisokorokwinyo atoke hapa😂
Povu la wahabi sasa
Kumbe haya ndio maulid!mm nilikuwa sijuwi mwenzenu!kama ndio yalivyo basi hayana tofauti na kindumbaki!
wee unae mkan mtume na muumba wako utakua hunaimani na mungu
Huwezi kumwita muislam kafiri Kwa kudhikiri,
Bingwa gani huyu kafiri mzushu bidaa tu
Xio kafir ila uislam hamna Ayo mambo y skri z hivi maana anatamkaa laailaha ila Allah
Usimwite kafir ni makosa ucfate jazaba za nafc yako kuchukia ki2 mpka ukamyoa mwenzio katika dini ndugu
Hatujafundishwa hivyo; kuwaita makafiri walotamka kalimatut tawhiid. Tuwaite tu kwa majina mengine, kama wazushi, wanaokhalifu sunna, wakosaji ktk dini na mengineyo.
Umjuwa kafiri ww unajuwa bidahaa ww
@@DohaQatar-w4tnani amesema akae acha mtajo wake atakuwa ndani yadhiki nenda surati twahaa kasome
Hivi mnapo towa maneno mabaya kwa ndugu zenu waislamu,madhehebu mengine watawaelewaje?si mnadhalilisha dino!!!!
Hahahaha eti bingwa wa dhikr!!!!!! Unajua dhikr ni kitu gani wewe?
nyie.mawahb.kinacho.waumm.nin.wakati.wamtum.mashair.yalikuepo.kwan.hapo.wanatukan.acheni.watu.watafut.kuzipig.dawa.nafis.zao
Ilijambo kama sikunasibishwa na ibada basi ungaliku ni mchezo mzuri sana ila wamenasibisha na ibada ndipo walipo utia dosari uu mchezo
Ilijambo kama sikunasibishwa na ibada basi ungaliku ni mchezo mzuri sana ila wamenasibisha na ibada ndipo walipo utia dosari uu mchezo
Ilijambo kama sikunasibishwa na ibada basi ungaliku ni mchezo mzuri sana ila wamenasibisha na ibada ndipo walipo utia dosari uu mchezo
Wapi uliposikia hayounayosema
@@KhamisJuma-mu4rm hakuna ibada hapo wanajivurahisha2 na michezo yao km ulivyo mchezo wa ng'ombe tuu au chandimu, kiufupi mazoezi2
Ivi wewe hamisi juma unajua allah alisema nini kitu ukiwa hukijui
@@SaidOthman-n5l wewe kasome kwanza ndipo ibada uzifananishe na michezo yenu ya kishetani