Hii mada mumeileta kwa kuchelewa. Hali ya dola katika wiki hii iliyomaliza imeanza kuwa tofauti. Ahsanteni sana. Ameelezea vizuri sana na tumepata elimu ya kutosha.
We mama mwongo dora haishuki kwasababu ya wingi wa watalii mfano mdogo malawi dora bei ndogo kuliko tanzania je unasema malawi watalii wanaingia wengi kuliko tanzania?
Kuna jambo hapo limeachwa hewani! Alisema wakati dola 1 ilikua 3000, ungenunua madafu ma3, ukiibalisha, sasa nimadafu mawili! Tafsiri ya shilingi kupanda thamani hapo ni ipi, kama bidhaa hazijashuka pia?
Kuna vita ya Sarafu inayoendelea duniani kote. Tutambue usdr Dollar imekuwa inatumika kote duniani kama Sarafu ya Biashara. Sasa wamepata upinzani na Ujumuisho wa nchi zilizo anzisha ushirikiano ki biashara nchi hizo ni Brazil, Russia,India,China na South Africa kwa kifupi wanajiita(BRICS) Dunia ipo ktk mapinduzi nchi zina challenge kujitawala ki masoko!!
Hii mada mumeileta kwa kuchelewa. Hali ya dola katika wiki hii iliyomaliza imeanza kuwa tofauti.
Ahsanteni sana. Ameelezea vizuri sana na tumepata elimu ya kutosha.
Marekani imeshuka interest rate, ndio main effect,mengine ni effect ni kidogo sana.
Well explained 👏 👌 👍 🙌
Watanzania wanatamani kuekeza kwenye nchi yao lakini Rushwaaa imekuwa shidaaa
Ongeeni yote shiringi Haina dhamani kwenye era ya kigeni muangarie era moja za wenzenu kwenu kibao shiringi Haina dhamani ng'oo
Jamal Kama dial
Imeshuka sasa unazitaka za nini hizo dola Dollar haishuki msheheshaji
Nadhani Hapo Mnajidanganya. Dollar Huwa Haishuki wala Kupanda. Inayoshuka Ni Shilingi
Dolla huwa Inashuka
We muongo dola inashuka
Hivi ndio vipindi vya kuzungumzia sio umbea2
Safisana, uchumi ni production, consumer na transfer of wealth
We mama mwongo dora haishuki kwasababu ya wingi wa watalii mfano mdogo malawi dora bei ndogo kuliko tanzania je unasema malawi watalii wanaingia wengi kuliko tanzania?
Ziko wapi ukienda benki hawana hata mia huu siyo uchumi unashusha kitu huna
Dola ni nyingi nchini sababu mama amekopa sana huko vyombo vya kifedha vya kimataifa
Dola ipo wapi nyinyi ni waongo ukienda benki hupati hata mia unashusha kitu huna
Je ukienda benki utapata Dola au unatania
Kuna jambo hapo limeachwa hewani! Alisema wakati dola 1 ilikua 3000, ungenunua madafu ma3, ukiibalisha, sasa nimadafu mawili! Tafsiri ya shilingi kupanda thamani hapo ni ipi, kama bidhaa hazijashuka pia?
Tar 25/12 dola 1=tsh 1900
Dola haijashuka bali shilingi ya Tanzania ndio imepanda
well said bro
@Yana-o2u Dollar iko palepale ni shilingi ya Tanzania ndio imeongezeka thamani
Kuna vita ya Sarafu inayoendelea duniani kote. Tutambue usdr Dollar imekuwa inatumika kote duniani kama Sarafu ya Biashara. Sasa wamepata upinzani na Ujumuisho wa nchi zilizo anzisha ushirikiano ki biashara nchi hizo ni Brazil, Russia,India,China na South Africa kwa kifupi wanajiita(BRICS)
Dunia ipo ktk mapinduzi nchi zina challenge kujitawala ki masoko!!
Dola haijashuka, isipokua Pesa ya Tanzania inapanda thaman
Who told you ndugu??
Kigezo Gani kinafanya useme dollar haijashuka? Hakuna sarafu duniani isiyoshuka au kupanda. Sababu zinaweza kuwa nyingi za hali hii