VIDEO CLIP HII YAMPONZA DEREVA WA basi LA SUPERFEO ,AINGIA KWENYE 18 ZA POLISI,AJUTA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • #OFFTRACKTV #offtracktv #superfeo #KITONGA
    Karibu kujiunga na Channel yetu ya WhatsApp kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 whatsapp.com/c...
    KWA HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA ELIMU,MAKALA NA BURUDANI KWA UHAKIKA MASAA 24,TUFUATILIE OFFTRACK TV.
    PIA USISAHAU KUSUBSCRIBE OFFTRACK TV
    / offtracktv
    Email | info@offtrack.co.tz
    🔴 JE, NA WEWE UNA HABARI AU UNAHITAJI KUTANGAZA NASI?
    🔴 WASILIANA NA OFFTRACK TV : (+255 769 612 166)
    🔴 Email: info@offtrack.co.tz
    Www.offtrack.co.tz
    𝙏𝙝𝙖𝙣𝙠 𝙔𝙤𝙪 𝙁𝙤𝙧 𝙒𝙖𝙩𝙘𝙝𝙞𝙣𝙜
    ...............................................................................................
    Subscribe: / offtracktv

КОМЕНТАРІ • 69

  • @OFFTRACKTV
    @OFFTRACKTV  8 місяців тому +1

    Karibu kujiunga na Channel yetu ya WhatsApp kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 whatsapp.com/channel/0029VaDFvPE9RZAg9slXGy0e

  • @mgazahabibu1596
    @mgazahabibu1596 9 місяців тому +6

    Safi sana jeshi letu la polisi zindisheni kua makini na hawa madereva wazembe barabarani muokoe maisha ya watanzania!

  • @onesmokihanza8473
    @onesmokihanza8473 9 місяців тому +4

    Daaa!! Kumbe ni Jofu Master 😂😂😂😂, huyu mwamba anamwaga Moto kinoma

  • @mohamedmbalazi748
    @mohamedmbalazi748 9 місяців тому +5

    Na wenzao neoforce ovyo kabisa. Ukipanda basi kama ABC wanajielewa sana ila kampuzi zing8ne hovyo sana

  • @denismasao520
    @denismasao520 9 місяців тому

    Safi sana kwa kufanya kazi vizuri wanauwa watu kizembe

  • @user-jb7nh5pp2e
    @user-jb7nh5pp2e 3 місяці тому

    Salute kamanda

  • @LucasMweta-ey3vb
    @LucasMweta-ey3vb 9 місяців тому +1

    Hongeren kwa hilo ila pia asubuhi mabasi yanaporuhusiwa stend kuu Dodoma yanapotoka kuelekea mjin nikimaanisha yanayoenda Mwanza, Arusha, Mbeya, Singida, Iringa wanakua na mwendo wa ajabu na hata wakiona mwendesha pikipiki hua hawajali nihatari kupita maelezo tunaomba msaada wenu.

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 9 місяців тому +4

    Hilo kampuni linaajili madereva vichaa tupu ndomana ni kampuni linaloongoza kwa ajali

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 9 місяців тому +4

    Uyo jamaa anaendesha gali lafu sana

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 9 місяців тому +1

    Kitonga ya Kibabe sana Kuna sehemu Zingine Mbele huoni unaweza jua kuko fresh, Ukitokeza tuu Uko ubavuni kwa gari jingine mara Paap ghafla umeibuka mlori Umebeba mbao 😂😂😂

  • @lucymwakitalima7419
    @lucymwakitalima7419 9 місяців тому +5

    Yaani ukipanda.basi roho mkononi wanakimbia hawawatu kuovateki kila sehemu.😢

  • @user-yk6rd9xe2z
    @user-yk6rd9xe2z 9 місяців тому

    Kazi nzuri sana

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 9 місяців тому +3

    ILA UTARATIBU WA PALE KITONGA HATA MIMI HUWA PANANIUDHI , SERIKALI IPANUE BARABARA WATU TUWE TUNAOVATEKI. MADEREVA WOTE WA MABASI WAKO SAWA WANAJIONA WANAMILIKI NJIA

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 9 місяців тому +3

    Afungiwe.Muwekeni benchi madreva washenzi hana sababu yote ni ujeuri tu.Fungia leseni yake.

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 9 місяців тому +2

    SIO SUPERFEO TU UZEMBE AU UBABE WA AINA HIYO NI MWINGI SANA KANDA YA KATI. MAMLAKA IKIWEKA UTARATIBU MZURI WATANASWA WENGI TU.

  • @salumbujjo2320
    @salumbujjo2320 9 місяців тому +3

    Ni kweli ila angalieni na nyie barabara zenu muhimu inatakiwa ziwe double sio single road

  • @gainomawe-fl4sr
    @gainomawe-fl4sr 9 місяців тому +1

    Nimeipenda hii me sijaakiki bado ila ntafika kituo chochote kile karbu japo nilikua nje ya nchi

  • @djpassovertz..tunaishimaramoja
    @djpassovertz..tunaishimaramoja 9 місяців тому +1

    Mwendo wa bas kwa video za mtandaon zinafatiliwa na hukumu zinatolewa lakn video za mapolisi wanaodhalilisha jeshi mnasema zimeeditiwa na hamsemi mnawachukilia sheria gan

  • @bobankaneke-iy2kg
    @bobankaneke-iy2kg 9 місяців тому +1

    Bongo kwenye v2 ivyo wanajifanya. Shelia ifuaatiliwee lakin kwenyew vitu vyengine watu wanaujumu uchumu. Na wamekaa tu. Yeye amesema kabisa dereva mwenzie ameenda kuangalia mbelee na kuona inawezekana. Sema ndoivyo tu bahat yake mbayaa. Wamshike mwanaume sauli

    • @Matalatala267.
      @Matalatala267. 9 місяців тому

      Jifunze kuandia kwanza ni sheria sio shelia .Lakin ingepata ajali na mama angekua ndani ya hilo gari usinge andika utopolo wako huu

    • @raymondwilliam3042
      @raymondwilliam3042 9 місяців тому

      Kaka upo sahih kabisa ukickiliza vizur mahojiano utagundua kitu,, mabas ya masafa Marefu yanakuwa na Madereva wawil ,, police wameongea ukwel lkn Dereva mwenzie kamkana na ndye aliyemuita lkn kwa tamaa kamfanyia mwenzie Ili gar achukue yeye co poa kabisa

  • @onesmombele2571
    @onesmombele2571 9 місяців тому +1

    Tunaomba hizo fedha za fine mutengeneze balabala. Balabala zetu bado haziendani na wakati.

  • @remmymmewa307
    @remmymmewa307 9 місяців тому

    Ingekua V8 zenu hapo msinge sema jambo, ila nawaomba msifanye Kaz kinafiki

  • @mariamcrispo8296
    @mariamcrispo8296 9 місяців тому +4

    Shida hata wakiona gari ndogo mbele huwa wanawapigia honi kama wenzao hawana haki ya barabara.Wanatakiwa kubadilika

  • @abdallahmohamedy6923
    @abdallahmohamedy6923 9 місяців тому +1

    Latra? latra, when and whats latra?
    Watu😂 wanateseka sana uku mitaani tofaut sanaa mnavyojua.
    Kwa maana iyo hana kosa kwakua alielezwa na dereva mwenzie.
    1. Milima yote na sehem yeyote ni hatari kama usipo zingatia sheria,
    2. Kma hamna trafki kwa muda huo, kuna watu wa ziada angalau wa au mtu angeweza kuendesha iyo hali kwa muda..
    Kuna majani yanawekwa barabarani gari ikiharibika ila iyo hali ni tofauti na binadamu,
    Labda tuseme au tu assume:
    Wote wapaki nyuma ya lile lori na amn 6:07 a trafki, nini kingetokea baada ya masaa 3, 6 au 12?

  • @simonzakaria4770
    @simonzakaria4770 9 місяців тому

    Atakamatwa leo kesho tutamuona tena barabarani anayapita magari mengine bila tahadhali.SHIKAMOO RUSHWA

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 9 місяців тому +3

    Hawa maderva wa mabasi makubwa baadhi yao hawajali kabisa

  • @Princewaweru
    @Princewaweru 9 місяців тому

    Priority for bus

  • @allykassim1120
    @allykassim1120 9 місяців тому

    mnatukomalia kuhusu vyeti afande! je na mikataba Kwa mabosi mtatukomalia kama hivi mkuu🤔🤔Ili iwe sawa

  • @zuhuraathumani5022
    @zuhuraathumani5022 9 місяців тому

    Mtangazaji acha fitina ktk kazi za mwenzio

  • @user-yd2zu5qn9t
    @user-yd2zu5qn9t 9 місяців тому

    Hivi nyote vinavyofanyika kitonga Kwa madvive wa mabasi Trafick wa kitonga wanajuwa na wanawaona wajifanya hizo overteck na hawachukulii hatuwa kiasi nilishawai kumuliza polisi mmoja hapo kitonga mbona .mabasi yanapita magari mengine akanijibu wao wanawai stendi ww unawai wp

  • @user-yd2zu5qn9t
    @user-yd2zu5qn9t 9 місяців тому

    Hao madereva wa mabasi wanayapita magari mengine Kwa mazowea ila pita ww wa Lori au gari ndogo uwone kama ujandikiwa faini ila mabasi safiii tu

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 9 місяців тому +1

    huyo dereva ahukumiwe kosa kubwa

  • @yolenimocheng8745
    @yolenimocheng8745 9 місяців тому +1

    Fungen camera maeneo yote hatarish

  • @maulidimpili698
    @maulidimpili698 9 місяців тому +1

    Kipind hiki wenye magar ndio wakat wao wa kutoa kafara wanamikataba na mashetani

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 9 місяців тому +1

    Tena Mume wangu kwa ajili ya ajali hizo magari yanakwenda mbio sanaaaa

  • @alumonkisinda4574
    @alumonkisinda4574 9 місяців тому

    safari ya mwanza utatembea Kama umebeba Bibi harusi lazima meno yafe gaz mwanza uingie Kwa wakati

  • @mohamedsaidalhabsi7862
    @mohamedsaidalhabsi7862 9 місяців тому +1

    Tanzania mna mabasi mazuri lakini hamna madereva warudisheni wasome tena ama mtawamaliza wasafiri

  • @noahpaulo3845
    @noahpaulo3845 9 місяців тому

    Hakuna kuji tetea funga bweha uyo anatuchafulia madeleva

  • @ShabuAyubu
    @ShabuAyubu 9 місяців тому

    Anaefanya KAZI nchi za nje na anayo leseni ya Tanzania anahakikiwa na Nani ubarozi wake au

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 9 місяців тому

    MIUNDO MBINU YENYEWE INAVUNJA SHERIA, SIO KILA SIKU MADEREVA TU. hizo leseni zinatoka wapi!! mpaka zirudi tena kuhakikiwa!! na hao waliozitoa hizo leseni wamechukuliwa hatua gan? au kila siku ndio kuwawajibisha madereva tu tena hadharani😢

  • @FredMagali-eh5nm
    @FredMagali-eh5nm 9 місяців тому +1

    Madereva wamabas hasa makubwa

  • @sesiliamavunje8076
    @sesiliamavunje8076 9 місяців тому

    Hamnalolote mmeshindwa kusimamia maslahi ya madereva eti Kwa manufaa yenu

  • @mohamedsaidalhabsi7862
    @mohamedsaidalhabsi7862 9 місяців тому +1

    Kwani alikua na haraka gani

    • @bsmonline8482
      @bsmonline8482 9 місяців тому

      Ukute ile Chuma ya Dar Mbambabay hahahahah jamaaa wanatembea kama wanaenda South Africa 😂😂😂

  • @2003hintay
    @2003hintay 9 місяців тому

    Kapewa adhabu gani sasa

  • @kambalakafuko7695
    @kambalakafuko7695 9 місяців тому

    Ni kweĺi lakini pia kuhakiki leseni imekua usumbufu sana, mimi nimewasilisha nyaraka zangu mara mbili , nikienda kufatilia majibu, hayaonekani

  • @allywilson4155
    @allywilson4155 9 місяців тому

    Tanuweni hiyo bara bara acheni mikwala

  • @OdenBidili-lj5qi
    @OdenBidili-lj5qi 9 місяців тому

    Huyu apokonywe leseni na afungiwe millennium mbwa huyu

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 9 місяців тому

    Muonyeni ila mkifuta lesseni ni sawa na kumnyang'anya jembe mkulima

  • @user-nm5ff3ri8k
    @user-nm5ff3ri8k 9 місяців тому

    Angalieni na umri zambia awaajali umri kama uwo

  • @augustinonkondola6302
    @augustinonkondola6302 9 місяців тому

    acheni hizo wekeni utaratibu wa malori kusafiri usiku

  • @stanleyfocas8250
    @stanleyfocas8250 9 місяців тому

    Mimi nidereva ila ase madereva wa basi ase

  • @omaryramadhani290
    @omaryramadhani290 9 місяців тому

    Madereva wa mabasi wote ndivyo walivyo

  • @saidsalum423
    @saidsalum423 9 місяців тому

    Huyo anakubali hapo tu akiachiwa moto kama kawaida yani utashangaa pale kitonga mabasi yanapiga over teck za kijinga kbs ile sehemu sio ya kuamini hasa gali zinazoshuka ikifel break tu lazima uso kwa uso matokeo yake kwenda chini kuleee tunatoa maiti tu madeleva jalibuni Ndugu zetu kuwa na subila hasa mbele kukiwa na malori

  • @user-zb2mj5nd5g
    @user-zb2mj5nd5g 9 місяців тому +1

    huyu bdereva apokonywe leseni kwakuhatarisha maisha ya abiria

  • @amiribakari2528
    @amiribakari2528 9 місяців тому +1

    Mabasi wamezidi sana kwa kweli..hawajali hata wakiona gari ndogo mbele yake anakuufuta utazani yeye hana moyo

    • @ErickMalekela-jv1cz
      @ErickMalekela-jv1cz 9 місяців тому +1

      Asamehewe kitonga ukifuata Sheria malori yata kugonga tu

    • @aganolamotoeliya2027
      @aganolamotoeliya2027 9 місяців тому

      Serekali ipanue barabara ya kitonga, kama haina fedha basi wapeni wachina watauchimba na watatoa barabara hata sita the kila atakayepita atalipa kiasi fulani, haya yataisha.

  • @JulianaKulwaAdrian-mr7qs
    @JulianaKulwaAdrian-mr7qs 9 місяців тому

    Babu dere umeyatimba kwakweli kazi unayo