Instagram Ya Bishop Gwajima Yaleta Maswali, Why Askofu Kakobe,Mwingira,Gamanywa na Maboya?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Watumishi Wa Mungu Askofu Gwajima,Mtume Mwingira,Askofu Kakobe,Askofu Gamanywa Na Askofu Maboya Wakutana Nyumbani Kwa Mtume Mwingira. Kukutana Kwao Kulikua Kufurahi Kula Chakula Cha Pamoja Nakutiana Moyo Kama Watumishi Wa Mungu.
    #ChomozaTV #Hatunajambodogo #Askofu Gwajima

КОМЕНТАРІ • 73

  • @davidkihiga3531
    @davidkihiga3531 5 років тому +4

    mimi ni miongoni mwa watu ambao nimeipenda hii , kwani watumishi wengi kwa sasa wanapigana mishale wao kwa wao . ningeomba kipindi chako ili kipate ladha nzuri ya ma generals hawa wa yesu , umtafute mmoja mmoja uwatwange maswali chokozi kama haya uliyo muuliza mtumishi wa bwana maboya .... mimi ni wa EFATHA MINISTRY.. kwa maana nyingine baba yangu wa kiroho ni apostle mwingira ..... napenda kusikia toka kwake pia ...... ila usiache kuwakutanisha one day , kipindi kitakuwa kizuri na kitaleta umoja wa kitaifa kupitia sisi walokole ....... barikiwa sana mtumishi .

    • @chomozatv_
      @chomozatv_  5 років тому

      Asante kwa maoni yako Kaka david kihiga. Tuta yafanyia kazi barikiwa

    • @deniskaijage1857
      @deniskaijage1857 5 років тому +1

      Watu wakuu wa Mungu

    • @eliasbundala9240
      @eliasbundala9240 5 років тому +2

      I love this General of God

  • @emmanuelmwangosi9400
    @emmanuelmwangosi9400 5 років тому +2

    Nimefurahi! Tuliombewa umoja na Yesu Kristo. Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika

  • @Kekee9595
    @Kekee9595 5 років тому +1

    Nawapenda sana wachunganji hawa, wanampenda MUNGU tuu sana.

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 5 років тому +2

    Mungu mbinguni anafurahi

  • @mariangowi8019
    @mariangowi8019 5 років тому +1

    Hongereni kwa maombi yenu tutakuwa taifa Bora sana.

  • @bestkimali216
    @bestkimali216 5 років тому +2

    Nmependa Sana hii,, hatuangalii watumishi sasa wanavyohubiri ila tunajaribu kuangalia tutakapoondoka Injili itakuaje

  • @lightnessjoseph5608
    @lightnessjoseph5608 5 років тому +1

    Mmefanya vizuri watumishi

  • @d-thepraise4150
    @d-thepraise4150 5 років тому +3

    Amen Bishop

  • @nickalreadyknows
    @nickalreadyknows 5 років тому +1

    Safi Amen 🙏🏼...

  • @yesseanase3071
    @yesseanase3071 5 років тому +4

    Nimewapenda sana "wounded soldier's" Wabarikiwe sana

  • @Kekee9595
    @Kekee9595 5 років тому

    Umemjibu kwa hekima sana Mtumishi wa Mungu. Mzidi kutuombea sana

  • @jamesjames5129
    @jamesjames5129 5 років тому +2

    Tumefurahi sana kweli nyinyi niwatumishi wamungu

  • @josephinemuhonja743
    @josephinemuhonja743 5 років тому +4

    Mbarikiwe watumishi wa Mungu aliye hai

    • @jacklinejack7274
      @jacklinejack7274 5 років тому

      safi sana,mbalikiwe,yesu alituachia upendo

    • @johnndaah3719
      @johnndaah3719 5 років тому

      Amen wapakwa mafuta kutoka nchi jirani Tanzania nawaheshimu

    • @emmanuelmgilya1290
      @emmanuelmgilya1290 5 років тому

      imenibariki sana maana mbingu ni ya watakatifu na utakatifu hutafutwa kwa amani .

  • @zahaljamal4520
    @zahaljamal4520 5 років тому +1

    Amen Amen Amen bwana yesu asfiwe

  • @mbowethaddeus8851
    @mbowethaddeus8851 5 років тому +4

    Gwajima pls be very careful. We love u pa keep safe

    • @mwlpierre
      @mwlpierre Рік тому

      What to be careful wakutanapo wawili watatu mimi nipo kati yao

  • @lucyjeremiah877
    @lucyjeremiah877 5 років тому +1

    Amen baba

  • @sulleysonsulley4160
    @sulleysonsulley4160 5 років тому +1

    Hii ni nzuri saaana Mungu akubariki

  • @neemashillah3770
    @neemashillah3770 5 років тому +2

    Mungu anapenda ushirika hivyo isiwe mwisho kwani huleta nguvu ya kuubomoa ufalme wa shetani na kuujenga ufalme wa Mungu

  • @mshindivictor1690
    @mshindivictor1690 5 років тому +1

    Powerful

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 5 років тому +5

    Power full💘🙏 isiwe mwisho wenu.kukutana kunywa chai MUNGU AZIDI WAPA NEHEMA MKUTANE KILA WAKATI TAIFA LILO KUA NA WAUMINI KAMA NYINYI LIKO KATIKA MISINGI IMARA DAIMA 🙏

    • @givenemmanuel6722
      @givenemmanuel6722 5 років тому

      Jackobo Mwilenga, Nee ya Mungu izidi kutawala. watumishi was Mungu mmebari ki wengi kwa tendo hilo,

    • @magynzioka1122
      @magynzioka1122 5 років тому

      Given Emmanuel kweli kabisa

  • @emmanueldutuleo3992
    @emmanueldutuleo3992 3 роки тому

    Mmmh

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 5 років тому +1

    SAFI MNO. BWANA YESU AZIDI KUWAUNGANISHA VIONGOZI WETU. TUNAWAPENDA.

  • @davidndaha9607
    @davidndaha9607 5 років тому +1

    Kila kitu nawakati wake God make a way for.

  • @adriannkuli2145
    @adriannkuli2145 5 років тому

    mungu azidi kuwapigania, kazi ya bwana haina upinzani

  • @edwardzakayo4325
    @edwardzakayo4325 5 років тому

    Jambo la kupendeza.watumishi wa Mungu wanapo kutana

  • @amanigilberth1043
    @amanigilberth1043 5 років тому +1

    good binafs numeipenda hiii,kumuona baba yangu Bishop Gamanywa hahahaaahaaaaa safiiiii

  • @reachthegoal7624
    @reachthegoal7624 5 років тому +1

    Loh hata Mimi nimefurahi kuona watumishi wanaoheshimika kwa maandiko na mafundisho. Ebu unganeni kuhakikisha idadi ya watu wananaokwenda mbinguni Na Mimi mmojawapo Ni baba yangu wa kiroho ila wote kwangu👍👍👍👍👍

    • @maryadrienne5639
      @maryadrienne5639 5 років тому

      Wacheni kuropoka nyie msie mjua mungu magoti yenu yatainama na midomo kunena kwamba yesu ni bwana hao wameitwa na bwana yesu nyinyi mnafanya nini kusaidia wenzenu mungu atabadilisha maisha yenu katika jina LA yesu kristo alie hai

    • @maryadrienne5639
      @maryadrienne5639 5 років тому

      I give god all the glory for what is happening in Tanzania i pray in Jesus name that this will continue in the body of christ put the enemy to shame and confusion he is a liar and deceiver

  • @albertoarcangel5859
    @albertoarcangel5859 5 років тому

    🙏

  • @agnessmkumbo916
    @agnessmkumbo916 5 років тому +1

    Upendo daima jamani!

  • @charlesmbunda6215
    @charlesmbunda6215 5 років тому +1

    Raha sana jamani. laiti ingekuwa hivi daily

  • @faustaclemence2511
    @faustaclemence2511 5 років тому +1

    Wow wow wow lini hiyo jamani??

  • @johnbkimaro
    @johnbkimaro 5 років тому +1

    Something kimejificha according Kwa maelezo yake.

  • @bonventure4955
    @bonventure4955 3 роки тому

    yaani kuna maswali magumu sana kwake....hii inanipa wakati mgumu kuelewa

  • @bonventure4955
    @bonventure4955 3 роки тому

    mmmmh nani ameona mtumishi ana kwepa maswali

  • @mwajumahamisi6738
    @mwajumahamisi6738 5 років тому +3

    Jamani Jimmy maswali hayo uwiii

  • @atusheatushe7038
    @atusheatushe7038 5 років тому +1

    Masikofu Tanzania munataka kupotea njia sabu badaa ya kupatanisha viingozi ichn munasema nyinyi munakula batar ikulu hongera zenu ila mungejua mungejua kumukumbuka kaini naabeli musnge ipenda haliyatiafa lenu kwann mukweli amegeuka niadui

    • @faithtrust6749
      @faithtrust6749 5 років тому +1

      Atushe Atushe kuandika kwenyewe hujui

  • @robertbitambarobertt1751
    @robertbitambarobertt1751 5 років тому

    naona kama hapo nyumbani kwa mwingira

  • @NyumbaniHabariMedia
    @NyumbaniHabariMedia 5 років тому +1

    Jimy 🤣🤣

  • @alexmpanda2987
    @alexmpanda2987 5 років тому

    Lwakatale mbona simuoni?

  • @neemasanga416
    @neemasanga416 5 років тому +1

    yule mama aliye tupikia chakula
    niweze kumtaja.😂😂.

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 5 років тому

    MM00XX Hiyo eh.

  • @imanuelzakayo8703
    @imanuelzakayo8703 5 років тому

    eti kakobe ayumbishwi mbona anaubishwa na siasa

  • @emmanuelnyanda1253
    @emmanuelnyanda1253 5 років тому

    Hapo kuna siri jkk hao

  • @kizaselepa439
    @kizaselepa439 5 років тому +3

    Nyinyi nyotee mataperi waiman hakuna jambo mmenenepa waumini wenu wamekonda

    • @prinnerlee3233
      @prinnerlee3233 5 років тому

      For sure

    • @imejachunga9958
      @imejachunga9958 5 років тому +2

      Labda umekonda wewe kwa laana ya kuwasema vibaya watumishi wa Mungu,,,

    • @lulanjamd3886
      @lulanjamd3886 5 років тому +2

      Mjinga wewe ndo umekonda sisi Yesu yuko juu yetu hatuwezi konda

    • @paulagola919
      @paulagola919 5 років тому +1

      Kiza Selepa hizo no chuki binafsi.tubu

    • @kizaselepa439
      @kizaselepa439 5 років тому

      Hakuna jambo hao ww amini ivo ahahahaha mm nimewakata mafreee