MSHINDI WA DV LOTTERY TOKA TANZANIA 🇹🇿 ANAONDOKA USIKU HUU KWENDA USA 🇺🇸

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 111

  • @rashidshaban2890
    @rashidshaban2890 Рік тому +13

    Nimependa jinsi anavyojielezea huyu dada yupo so humble

  • @bulayaconfidential7212
    @bulayaconfidential7212 Рік тому +29

    hawa ndio watu wa kufanya nao interview, sio yule dada alietangulia yaani anaboa kishenzi…big up kwako sister kwa majibu mazuri

    • @ZanaatTv_Vlogs
      @ZanaatTv_Vlogs Рік тому +2

      Hehehe daah yule kiboko, yan kuna maswali ya EBM alikua anaulizwa kwamba atabadilika akifika marekani akawa anakataa ila for suerer yule hana mwaka marekani atabadilika sn. Yule mashauz mengi

    • @maryamrashid862
      @maryamrashid862 Рік тому +2

      Yani sikuangalia hta robo ya interview aliniboa

    • @bulayaconfidential7212
      @bulayaconfidential7212 Рік тому

      @@maryamrashid862 kuna watu wanajua kukera ujue

    • @officialgakankara
      @officialgakankara Рік тому

      🤣🤣🤣we jamaa😂😂😂

    • @stephanomadaha6638
      @stephanomadaha6638 Рік тому

      Yule ana Mashauzi balaaa aisee

  • @immaculeecyusa1412
    @immaculeecyusa1412 Рік тому +4

    Nawasalimia wote wa fans wa EBM namimi najua kwamba uyumwaka nitafanya interview na EBM kwa ajili nitakua mushindi mimi namitoto wangu kwamara yetu ya 5 natokea Rwanda naamini mungu atatupa Green card mwayii mwaka wa 2023

  • @fadhilimbuguni5736
    @fadhilimbuguni5736 Рік тому +2

    Huyu dada Mungu ambariki sana kikweli alinigusa pale alivyosema Wabongo wengi hawataki kusema wao walifikaje Ughaibuni...ni wachache sana watakupa hints
    That was spot on....dadaaaa

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 Рік тому +3

    I like her personality she is so charming, hajisikii hana majivuno ana cheka had raha wengine wakishinda wanaongea kama wamelazimishwa interview

  • @enemtatuka5863
    @enemtatuka5863 6 місяців тому

    Wajina uko Safi kabisa

  • @emmanuelmsemo3545
    @emmanuelmsemo3545 Рік тому

    Thanx ebm karibu arusha.pia

  • @nelsonpaul4618
    @nelsonpaul4618 10 місяців тому

    Asante sana kaka.

  • @viatorykashabizi2538
    @viatorykashabizi2538 3 місяці тому

    May mighty God bless you abundantly in His mighty name of Jesus Christ

  • @clauderamsey8958
    @clauderamsey8958 Рік тому +1

    Asante sana EBM kwa mahojiano na mshindi DV lottery namaswala mazuri sana EBM ubarikiwe sana unanijaza sana nakunipa moyo wakushinda DV lottery

  • @magdalenakilapilo6791
    @magdalenakilapilo6791 Рік тому +1

    God bless you EBM, she is so humble. Nice interview

  • @bennywalase1434
    @bennywalase1434 Рік тому +1

    Hongera sana sister pia Hongera kaka EBM kwa good interview 🙏 dada ametoa ushirikiano sana kwakweli mungu amtangulie na kumbariki sana..kaka nasubir nishinde t interview lazima

  • @israellaizertz
    @israellaizertz Рік тому +3

    Thanks EBM for this wonderful interview, and my sister have a safe flight 🙏

  • @producerema291
    @producerema291 Рік тому +3

    Hongera sana Dada P stori ako inahamasisha wengi kuomba green card

  • @yusuphjaivi4774
    @yusuphjaivi4774 Рік тому

    Mungu aendelee kumbariki EBM. Kwa kweli mimi binafsi nimejifunza vitu vingi sana kupitia EBM. Hongera kwa huyo dada kupata green card.

  • @theresiamichael6641
    @theresiamichael6641 Рік тому

    Asante kaka! Nikipata nitakutafuta

  • @travellingandadventures2549
    @travellingandadventures2549 Рік тому +1

    Mwenyezi mungu akutangulie kwa interview yako na upate Visa,,, na tunaosubir may tupate

  • @immaculeecyusa1412
    @immaculeecyusa1412 Рік тому +1

    Tunaamini mungu kwamba uyu mwaka nashi tutashinda green card lottery This our year 2023

  • @Bagenzi4life
    @Bagenzi4life Рік тому +2

    Asante sana kwa hii interview

  • @hamadimhina7462
    @hamadimhina7462 Рік тому

    EBM kaka hongera sana kwa kumfanyiya interview dada yetu mshindi wa DV lottery tumesoma elimu kubwa sana kwako EBM Asante na mungu akubariki .

  • @njuka3515
    @njuka3515 Рік тому

    Hongera dada nanda ukabarikiwe zaidi na uwe balozi wa kutushauri wengine

  • @jaquelinetandu2462
    @jaquelinetandu2462 Рік тому

    Asante Dada P na Mr EBM nyie ndo ndugu zetu njee uko

  • @youngie_eddy9459
    @youngie_eddy9459 Рік тому

    Ehh mungu tusaidie tushinde mwaka huu

  • @gideons5265
    @gideons5265 Рік тому +1

    Hongera kwake
    Na wewe kwa kutia moyo

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому

    Hongera Dada

  • @aloycemabula8649
    @aloycemabula8649 Рік тому +1

    Thanks we need more interviews

  • @mohammedikidwaka9013
    @mohammedikidwaka9013 Рік тому

    Kaka EBM unafanya kazi nzuri sana mungu akubariki sana. Mimi naomba ujitajidi kututumia link maombi ya lottery kila yakitoka. I wish to apply but to get a link to me is a problem.

  • @munguatoshalyimo5497
    @munguatoshalyimo5497 Рік тому

    woyoooooooooooooooooooooo hongera sanaaa madammmmmmm

  • @oxwad3836
    @oxwad3836 Рік тому

    👏🏿👏🏿👏🏿
    .
    🇹🇿

  • @kwizeramo-white6086
    @kwizeramo-white6086 10 місяців тому

    Hi❤❤❤🇧🇮👌👌👌

  • @mmasipeter4157
    @mmasipeter4157 Рік тому

    Mr EBM uko vzr daaaaah

  • @JoeBikeri
    @JoeBikeri Рік тому

    What are the minimum educational requirement for dv winners in Tz? For example in kenya you must have a high school certificate with a minimum of a D-(minus).

  • @bennywalase1434
    @bennywalase1434 Рік тому

    Nili coment t nlipoanza kuangalia ila imenilazim ni coment tena baada ya kumaliza video yote kaka barikiwa sana umenitia moyo sana 🙏

  • @peterlugomoka3605
    @peterlugomoka3605 Рік тому +2

    Dah Anaenda duniani

  • @Dullah257
    @Dullah257 Рік тому +1

    Asant sana

  • @rashidikatunzi3851
    @rashidikatunzi3851 Рік тому

    Wenda nikawa nimekata tamaa kumbe wakati unafika...maybe by tomorrow ill be your visitor to US after de visa come out...i like you broo you got lot of experience that you have tried to share with a FOX as to knoledge the ppl who follow up your exited video day and day

  • @hollanddutch-day
    @hollanddutch-day Рік тому

    Good interview ever

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Рік тому

    Wewe EBM unaishi Tanzania?

    • @EBMSWAHILI
      @EBMSWAHILI  Рік тому

      Hapana, naishi USA. Ila nilikuwa Tanzania kipindi huyo dada anafanya interview mwezi February

  • @mussakoba3391
    @mussakoba3391 Рік тому

    Habar mim naitwa Mussa maulid Milonge, nimeomba green card lotary tareh tareh 03, november 2022, majibu yanategemea kutok lini?

    • @aidandidos2192
      @aidandidos2192 Рік тому

      Between May -----september 2023

    • @Simulizinalilly
      @Simulizinalilly Рік тому

      Kwanzia tareh 6 May uwe tayari ni saa sita mchana mda wa marekani kwa TZ itakua saa mbili au tatu usiku

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 Рік тому

    EBM --- Hao ndio wale ambao wewe huwaitaga " kamati ya roho mbaya " Mimi nikupongeze sana kwahayo unayo yafanya --- unawasaidia watu,wewe ni " kamati ya rpho nzuri "

  • @Boaz22
    @Boaz22 Рік тому +3

    Mi nilipata Green card lottery mwaka 2014, tena nili apply kawaida tuu, hii kitu ni kweli, watanzania endeleeni ku apply..mtafanikiwa tuu.

    • @danielngotto9195
      @danielngotto9195 Рік тому

      🙏

    • @nickalreadyknows
      @nickalreadyknows Рік тому

      Never in my mind kuishi America just for travelling lakin kuishi kabisa never ever haijawahi kuwa lottery just a damn thing in my opinion but sio mby wanaaomba

  • @samtechtanzania3252
    @samtechtanzania3252 Рік тому

    kweli kabisa watz wwengi hawapendi kutuonesha njia wanaziba

  • @Raphaelhopes
    @Raphaelhopes Рік тому

    God bless EBM🙏

    • @IBRAHIMELSUBHY
      @IBRAHIMELSUBHY Рік тому

      Namuona Mbali sana huyu binti ongea yake tu ya hekima

    • @Oqata_wellness_solution_stz
      @Oqata_wellness_solution_stz Рік тому

      Ivi ukiwa umeishia form 4 ukawa na certificate na hauna work experience ikitokea umeshinda green card utaweza kwenda us au ndio umefeli

  • @lattiejameszy8630
    @lattiejameszy8630 Рік тому

    I’ve won the dv lottery too for fiscal year 2023 but still I have no idea what to do

    • @JoeBikeri
      @JoeBikeri Рік тому

      Your case number is low or high? Interviews are ongoing for Dv2023.

  • @devothabarongo4545
    @devothabarongo4545 Рік тому

    Dada anajua kuongea vzr hana nyodo kwakweli,nimesikia vby inatakiwa ukifika uko uwe na dolla elfu kumi??hapo sijaelewa,nalazima uwe napakufikia kumbe???

  • @nassormohamed6520
    @nassormohamed6520 Рік тому +1

    Dah Leo kaka ebm umenigusa ndipo

  • @missnamwambemomentstv7753
    @missnamwambemomentstv7753 Рік тому +1

    Hongera dada p...😍 Tuna furaha kwa ajil yako..by the way..kaka Ebm hili swali n la kwako..." Ukitoka hapa na ukaenda canada kwa visa ya visitor visa ...unaweza kubadili visa yako ukiwa canada, kutoka visitor kwenda Nyengne ... Ahsnte

    • @ismailkasago8408
      @ismailkasago8408 Рік тому

      Fatilia video zingne gadem

    • @BibianTz
      @BibianTz Рік тому

      Angalia video za huyu dada Joyce k Canada utapata majibu mazuri

    • @manhoricko
      @manhoricko Рік тому

      Yeah inawezekana kubadili especially kama utaibadili kwenda student visa/study permit

    • @missnamwambemomentstv7753
      @missnamwambemomentstv7753 Рік тому

      @@manhoricko ooh Asante..na je? Hv visa ya Canada ikoje? Ya visitor....nayo n mwaka mmja kama ya us..au?

    • @samniza1763
      @samniza1763 Рік тому

      @@missnamwambemomentstv7753 Get green card first and then you can move to Canada it is easy that way.

  • @drelly6020
    @drelly6020 Рік тому

    💯💥

  • @rashidikatunzi3851
    @rashidikatunzi3851 Рік тому

    EBM please kaka naomba nisaidie kihusu izi visa za canada kama Visitor visa nilkuwa naomba unisaidie ni miaka miwili sasa je kunauwezekano wakutoka kweli..ama basi tena maana kila nikiingia inbox kwenye email wananiambia nitume detail kama majina kamili paspot no date of birth na file no kwa experience yako kama wewe apo imekaaje ni miaka miwili sasa toka nafatilia

  • @jocelyneedward
    @jocelyneedward Рік тому +1

    Dawa ya visa😁😁😁😁😁😁

  • @nassormohamed6520
    @nassormohamed6520 Рік тому +1

    Kaka emb nilimuona mmoja kashinda dv Lakini hajui lugha inakuwaje apo

  • @hashimsuleiman3016
    @hashimsuleiman3016 Рік тому

    Yupo poa huyu dada sio yule ana majivuno

  • @frankfrancis5736
    @frankfrancis5736 Рік тому +1

    Eti Dawa Ya VISA 😂😂😂😂

  • @nurupaje9041
    @nurupaje9041 Рік тому +1

    Anataka mchumba huyo Dada??

  • @evalinelaitayo8684
    @evalinelaitayo8684 Рік тому

    Naomba mwongozo nitapataje.

  • @samniza1763
    @samniza1763 Рік тому

    Aga aga watu ni thing of the past! watakublock.

  • @Powerful02ability
    @Powerful02ability Рік тому +1

    DV lotary inahusu nini

    • @Simulizinalilly
      @Simulizinalilly Рік тому +1

      By now utakua umeshajua inahusu Nini ni lottery inayokua held kila mwezi wa kumi una apply majibu huwa n mwezi wa tano hii nnkwaajili ya kupata visa ya kuishi marekani. Mind you n mchezo wa kubahatisha and hauna garama kuapply n bure labda ukienda stationary ndo utatoa gharama ya picha

    • @Powerful02ability
      @Powerful02ability Рік тому

      @@Simulizinalilly wow
      I will do that
      Muda ukifika niende marekani

  • @evalinelaitayo8684
    @evalinelaitayo8684 Рік тому

    I need green card lottery ila sijui nitapataje

    • @manhoricko
      @manhoricko Рік тому

      1. Kwa kuapply green card lottery
      2. Kuoa au kuolewa na American citizen
      3. Kupata H1B visa
      4. Kwa kupata hadhi ya ukimbizi

    • @Simulizinalilly
      @Simulizinalilly Рік тому

      Apply mwezi wa kumi mwaka huu

  • @yussufabdi2710
    @yussufabdi2710 Рік тому +1

    Je !makaazi wanakupa wao sehem ya kukaa ?

    • @miriammollel8146
      @miriammollel8146 Рік тому +2

      Wanakupaje sasa jamani🙄 unajigharamia kila kitu. Make sure unaanza kutafuta mtu wa kukuhost

    • @ismailkasago8408
      @ismailkasago8408 Рік тому +1

      Datilia vizur video zingne gademn

    • @Boaz22
      @Boaz22 Рік тому +1

      Ukiwa na ndugu ndo uta enjoy, ila ukienda mwenyewe mwenyewe, imekula kwako

    • @marymaimu216
      @marymaimu216 Рік тому

      @@miriammollel8146 sitaki kuamini nimekubamba na huku we bi dada

    • @mwalimuwakiingereza241
      @mwalimuwakiingereza241 Рік тому +1

      Hata ebm mwenyewe alisema anaweza kukusaidia pa kuanzia mpk ukae sawa au akakuombea kwa watz wengine

  • @isakamdemu8610
    @isakamdemu8610 Рік тому

    EBM et mtu akijiunga US military anaruhusiwa kufany kazi zngne za kawaida mda ambao sio wa kazi

    • @ismailkasago8408
      @ismailkasago8408 Рік тому +1

      Fatilia video zingn gademn

    • @mcbclaxccode005
      @mcbclaxccode005 Рік тому

      Mzee inawezekana kuna mbongo yupo 🇺🇸 na anafanya kaz kawaida search bongo young star uone anavo fanya

  • @johnstoneolefa913
    @johnstoneolefa913 Рік тому

    kenyans who are floating with Kiswahili i am sorry mliharibu Kiswahili sasa content itawapita

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 Рік тому +1

    Watu wanafurai kuhama nchi yao hatari sana ise

    • @lucksonomari4999
      @lucksonomari4999 Рік тому

      Wewe ndiye mjinga hapa pesa wanazopata Marekani inaunua Tanzania kulipia ndugu zake Karo, kununua mashamba , kulipia bill za hospitali na zaidi kuinua uchumi ya Tanzania.

    • @Vees12
      @Vees12 Рік тому +1

      @@lucksonomari4999 ndio hapo watu hawaelewi

    • @jocelyneedward
      @jocelyneedward Рік тому +1

      Hiyo ni fursa kama fursa zingine, ndugu wewe kama umeridhika na maisha ya bongo tulia......acha wanaotaka vitu extra wapambanie fursa. Hakuna anaehama nchi, nje Kuna fursa zaidi. Wewe kama umeridhika na hapa basi usiwaonee wivu wengine.

    • @saidasimba9979
      @saidasimba9979 Рік тому

      @@jocelyneedward fursa kwenda marekani au

    • @saidasimba9979
      @saidasimba9979 Рік тому

      Kwa nin isiwe fursa kwenda shamba hizi fikra ndizo zimewafanya wa Ethiopia kuzamia kila siku wakiamin ukienda nchi hizo unakuta ela za kuokota