Wimbo Mpya Wa ZUCHU Utakutoa Machozi, Diamond Ashindwa kujizuia, Mama yake Amtunza Pesa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 139

  • @KwizeraChanella
    @KwizeraChanella Рік тому +4

    Karibu Burundi Zuchu tunakwitaji.wewe uko kibokoyaho wakuhimba tanzania nzima💋❤️

  • @EmeranceMwajuma
    @EmeranceMwajuma 5 місяців тому

    ❤❤❤❤❤ nakupenda sana leo kwanginsi unaimba iyi nyimbo namekuwa chabiki wako 100%🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💞💞💞💞💞

  • @MihamboJoseph-t1s
    @MihamboJoseph-t1s Рік тому +2

    Zuchu nakucheza pia una skills nakukubal good job

  • @NiceBiscuit-qo4dq
    @NiceBiscuit-qo4dq Рік тому +3

    daaah tuachen unafk jamn zuch anaemia san aiseee kwel anampenda mond jmn namuonea hurum san jmn nyie mapenz yaacheni tu ple San zuch ❤❤❤❤😊

  • @omarimohammed8892
    @omarimohammed8892 2 роки тому +2

    Safi sana dadaake pambana na Hali yako mapenzi yanamwisho kamaivyo

  • @SarahIvan-p9s
    @SarahIvan-p9s Рік тому +1

    Dah, nakupenda xn zuuuuu wang❤❤❤❤

  • @SaidShabani-s4o
    @SaidShabani-s4o 2 місяці тому

    Mshukuru mungu amekutoa kuepukana na usinivu zinaa mbaya bwana

  • @salmafum3780
    @salmafum3780 Рік тому +1

    Kwa mara ya kwanza leo najikuta nalia kwa ajili ya nyimbo hii na nimeangusha chozi langu kwa ajili ya kumpenda sana ndugu yangu zuchu roho imeniuma sana kut9kana na matatizo anayo yapitia

    • @Kwazulu1
      @Kwazulu1 Рік тому

      Peleka Taarabu kwenu you big looser.

  • @saadaissa2253
    @saadaissa2253 2 місяці тому

    nimeipenda sanaaa anasauti nzr sana

  • @ndunga_boe7913
    @ndunga_boe7913 4 роки тому +2

    Wimbo mzuriiii.....ila tu hujapendezaaa na iyoo nguooo

  • @fbr5113
    @fbr5113 4 роки тому +9

    Huyu binti sasa ni nyota kubwa kila anachoimba ni kitamu😍😍

  • @mwatummselem2411
    @mwatummselem2411 3 місяці тому

    Nimependa sana

  • @minnahjay7676
    @minnahjay7676 4 роки тому +11

    Kwenye mavazi tu ndo mnakela kwan mkivaa kiheshima watu awasikii au kikaa uchi ndo nyimbo inakuwa nzur uliwi ona mwanume anavaaa boksa alafu anaimba acheni ushamba basi kiweni ata na of na mungu jamn

  • @lightnessshayo1783
    @lightnessshayo1783 4 роки тому +4

    Duuuuuh kweliii mavazi hayo yanamaanisha kioo Cha jamii Kama msanii miaka mitano mbele sijui ,, tutavaaje ,unaimba vizuli by pua unabana sanaaaaa yaaani

  • @latiffertiffer8551
    @latiffertiffer8551 4 роки тому +2

    Hii nyimbo nzur inagusa asa zuchu wallah nakupenda nalisauti lako la mwambao😍😍😍

  • @TresorZakwani
    @TresorZakwani 9 місяців тому +1

    Tunakupenda sana zuhura

  • @norbertlilungulu5018
    @norbertlilungulu5018 4 роки тому +5

    Mmmmm hicho kivaz hatari

  • @fatmaiddikhamisi8006
    @fatmaiddikhamisi8006 4 роки тому +1

    Nyimbo nzur SEMA ilo vazii zuchu mungu anakuona weye mtoto wakiislam

  • @rrrryyy4291
    @rrrryyy4291 4 роки тому +1

    Nice one

  • @AdelphineUWIMANA-f3z
    @AdelphineUWIMANA-f3z 3 місяці тому

    Hilo vazi ona jinsi umeriharibu na ilikua ninzuri 😮nyie mna shida

  • @WazohilllUhasibu
    @WazohilllUhasibu День тому

    Nilitamn kulia ila vaz limenifanya nichukie had wimboo zuchu sijapenda

  • @MozaAlkhaif-dg9pk
    @MozaAlkhaif-dg9pk Рік тому

    Mungu atakupa kila lenye kheir nawe in shaa allah 😢😢😢

  • @OlivelyDavidy
    @OlivelyDavidy 7 місяців тому

    ❤ zuhul wetu tuna kupenda

  • @rubeamasud5520
    @rubeamasud5520 4 роки тому +2

    Ana sauti jamani nzuri

  • @zuwanahemedy9170
    @zuwanahemedy9170 9 місяців тому +2

    Pole mapenzi yanauma usisikiye bwana jipe moyo utasahau

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 4 роки тому +1

    Mmmmmmh 🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️ umesha jivua mwenyewe hiyoo nguooo mmmmmmh

  • @mojjimmy1272
    @mojjimmy1272 4 роки тому +1

    Pole sana....kama nawew umeanza kuvaa hivyo? Duh!

  • @mnnm4493
    @mnnm4493 Рік тому

    Maneno yako ni ya kweli zuchu ni yamenisikitisha na machozi yamenitoka oh pole sana ndugu yangu😢j

  • @vivianmahenzo
    @vivianmahenzo Рік тому +1

    Daaa zuu Kuna meza Iko na fujo imeiona😅

  • @AnnastaziaDavid-s6s
    @AnnastaziaDavid-s6s 11 місяців тому

    Wem pendana paka rahaa mungu awalinde

  • @rahmanassor2652
    @rahmanassor2652 4 роки тому +6

    Ah heart broken it's painful

  • @muaminhakizimana1671
    @muaminhakizimana1671 4 роки тому +1

    Mavazi noma

  • @balqishamisi3332
    @balqishamisi3332 4 роки тому +3

    Nakukubali Sana'a ila iyo nguoo hapana uyo anaewavalisha angalie na iyo miili yenu

  • @umminasra4687
    @umminasra4687 4 роки тому +13

    Jamani waibaji mnatizama mavazi ya stara sio mñakurupuka

    • @jumaakimana2188
      @jumaakimana2188 4 роки тому +2

      Nokweli nguo siyo nzuri kiva kweli wanaume wava nguo zahashima kinam mama.mjaribu kivakivazi caheshims jamani

    • @nasonelias9022
      @nasonelias9022 4 роки тому

      Apo kwenye kuvaa mmmh

    • @rachelluvuno1017
      @rachelluvuno1017 4 роки тому

      Tena ati ni mtoto wa kislam kwanza si lazima uvae uchi ndio ngoma ihit

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 Рік тому +1

    Mupole mutanzania arisha niambiya mengi namushukuru yesu😢

  • @cindyoceankisimba-xm1kd
    @cindyoceankisimba-xm1kd Рік тому

    Mmmh iyonguo shoga hat haujajua kuchagua😅

  • @MaaMdogo
    @MaaMdogo 8 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @marciabrown1172
    @marciabrown1172 2 роки тому

    Sijui avae baibui kwenda kutumbuiza? Hakuna shida hapo mmeona uchi? acheni ushamba

  • @zuwanahemedy9170
    @zuwanahemedy9170 9 місяців тому

    Ss mie nataka kujuwa na simba yuko hp anavo ibiwa hagi huruma akapiga godi maisha yakaedeleya

  • @barakalukosi2251
    @barakalukosi2251 4 роки тому

    Hatar

  • @sophiamassare1119
    @sophiamassare1119 2 роки тому +1

    Mwanzn nilkupenda ila sasa duh unatuchosha na mavaz yko jua kuna kufa bc

  • @veronicansajigwa3428
    @veronicansajigwa3428 4 роки тому +4

    Nakukubali Sana zuchu eshima yako

    • @seanmisael8769
      @seanmisael8769 3 роки тому

      I realize Im kind of randomly asking but do anyone know a good site to watch newly released movies online?

    • @ameerjase6630
      @ameerjase6630 3 роки тому

      @Sean Misael Flixportal :D

    • @seanmisael8769
      @seanmisael8769 3 роки тому

      @Ameer Jase thank you, I signed up and it seems to work :) I really appreciate it!

    • @ameerjase6630
      @ameerjase6630 3 роки тому

      @Sean Misael Glad I could help :D

  • @SalmaSaid-v3d
    @SalmaSaid-v3d 8 місяців тому

    Kuna umri ukijingiza kwenye mahusiano lazima utaumizaa TU my ila ilikuwa utaachaa 😂😂😂😂

  • @doricegavachu6680
    @doricegavachu6680 4 роки тому +3

    Duuh!hyo nguo hatari

  • @SaphiaLupembe
    @SaphiaLupembe 11 місяців тому

    Naumia sana zuchu akinyanyasika

  • @SAUDAHNAMULINDWA-dy8te
    @SAUDAHNAMULINDWA-dy8te Рік тому

    Simba is wise that's why he's keeping her for himself

  • @barutwanayonelly5526
    @barutwanayonelly5526 2 роки тому

    Mziki ni biashara munataka ayimbe na joho ao dira 🤔

  • @SamsungasalamaleykmVipihaliwan
    @SamsungasalamaleykmVipihaliwan 4 роки тому +2

    Jamani tukumbuke a kheri ilovazi 😢

  • @shemsahemed3577
    @shemsahemed3577 4 роки тому +1

    Wasanii wakike munajidhalilisha sanaaa kwenye mavazi

  • @braitontweve170
    @braitontweve170 4 роки тому +2

    Naanza kukuchukia we Dada saiv mavz Hy ndg yangu si unatufundish nn

  • @felistersmejumaa5188
    @felistersmejumaa5188 4 роки тому +4

    Upuuzi huu wa zuchu Binti wa kiisilamu anavaa uchi nonsense ww kimwili chenyewe kiwapi bac vaa poa tutakupenda hivyo hivyo tu😭😭😭

    • @mohammadoman8963
      @mohammadoman8963 2 роки тому

      Mbona hampelekei nguo ambazo mnazozitaka nyie

    • @adevela6421
      @adevela6421 2 роки тому

      acha unafki wewe ataukimchukia awezi kupungukiwa kitu uyo kwa mungu ameisha tik

    • @dianatatu6117
      @dianatatu6117 2 роки тому

      🥰🥰🥰

    • @ibrahimkhamis7356
      @ibrahimkhamis7356 Рік тому

      Achawivu wew siumlete uyo wako mzuri tumuone

    • @VionaChemtai
      @VionaChemtai 8 місяців тому

      iyo ndo kazi yake, we mtuzi apo alafu kesho ushangaye yeye ndo yuko mbinguni wewe jenamu

  • @mariamanafi22
    @mariamanafi22 2 роки тому

    Jamani kunajambo linanishangaza ,naombeni mnisaidie dini inaingiaje kwenye mziki,nguo ya mziki na ya msikitini au kanisani azifanani inamaana kama Zuchu avae ijabu akiwa anakatika au kuimba mziki?

  • @fantamohamedi8564
    @fantamohamedi8564 4 роки тому +2

    Wimbo gani wakumtoa mtu machozi labda uwe kichaa

    • @blessmimi
      @blessmimi 2 роки тому

      Diamonds brought this girl Tanasha at her event after taking Zuchu to his sisters wedding..this is why she was crying 😢

  • @NuruMbongo
    @NuruMbongo Рік тому

    Sikupendi tena asala roho

  • @esterkimario1126
    @esterkimario1126 4 роки тому +1

    mmh huyu c alikuwa anajistir mbona kashaanza kuvaa vibaya nguo mbayaaa

  • @joylesamsungipovizul8911
    @joylesamsungipovizul8911 4 роки тому +3

    Yasikie kwa mwenzako yasikukute

  • @mercyshakyz8707
    @mercyshakyz8707 4 роки тому +9

    Achana na vazi... Yeye anaimba nn kwanza maana naona sielewi chochote...

  • @salhamrishoaish9292
    @salhamrishoaish9292 4 роки тому

    Sitakiiii😘

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 Рік тому

    Hiyo sasa taarabu😂😂😂😂

  • @lovettmay3614
    @lovettmay3614 4 роки тому +2

    😭😭😭😭😭😭

  • @lm6373
    @lm6373 4 роки тому +2

    Mmmh hovwooo

  • @zenamzee4075
    @zenamzee4075 4 роки тому +1

    Hujui kuvaa ukweli hupendezi mavaxi yatakuangusha,vaa vizuri itapendeza zaidi.

  • @jackrinamatayo1273
    @jackrinamatayo1273 4 роки тому +1

    Due

  • @sofierick5778
    @sofierick5778 4 роки тому +2

    Xiiilew ktttt jmn

  • @chazimma9303
    @chazimma9303 4 роки тому +1

    Utopoloooooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @joshuajonson7758
    @joshuajonson7758 4 роки тому +1

    Luka

  • @maijestarwezaula6732
    @maijestarwezaula6732 4 роки тому

    Nyimbo nzuri ila Ata ukivaa nguo ndefu nyimbo tutaisikia tu kavae kwanza paja ndo liko wapu

  • @rashidngwawile9062
    @rashidngwawile9062 4 роки тому

    Mmmm

  • @agnesagnes5082
    @agnesagnes5082 4 роки тому

    Aki mavzi mm apa hapana mtoto wa Kislam kweli hali hii si ata ww mwenyewe uko uchi ata kma alikuvua nguo

  • @kalundepius3161
    @kalundepius3161 4 роки тому

    🚵🚵🚵🚵🚵🚵🙈 Me napita maana sielewi anachoongelea au bado anaoboredha kwa rais mkapa maan🤔

  • @merciethairah2597
    @merciethairah2597 4 роки тому

    Tena muislam na hilo vazi jamani😥

  • @chazimma9303
    @chazimma9303 4 роки тому +1

    Uwiiiiii😂😂😂😂😂

  • @hawaali8107
    @hawaali8107 4 роки тому +1

    Nyimbo mzur lkn unavaa uchi sana wewe

  • @mwajumaissa2358
    @mwajumaissa2358 4 роки тому +3

    Hovyo mavazi hayo jama hebu muwe mnaikumbuka na siku hiyo nzito ambayo mama atamkimbia Mwana na Mwana atamkimbia mamake halafu sie Wanawake tutakuwa wengi fiinnari na ndo kuni za kuchochea kwa hari km hii😭😭😭Yaallah tustiri ss waja wako

    • @hassanmchwakachangama888
      @hassanmchwakachangama888 4 роки тому +1

      Hadi kichefu chefu haya mavazi ni shida sana Heee Mollah Mlezi tunusuruu sisi waja wako na Azabu zako

    • @khadijamzee2739
      @khadijamzee2739 4 роки тому

      Umeonaeeeee wamejisahau kabisa

    • @bintsulaymansuleiman668
      @bintsulaymansuleiman668 4 роки тому

      Nakuambia nguo yafagia chn lkn mapaja yte yko waz ina maana gn kuvaa nguo

    • @lilym704
      @lilym704 4 роки тому

      Khadija kopa ndo anapenda binti wake avae hivo yeye menyewe chizi

  • @happymaiga8940
    @happymaiga8940 4 роки тому +3

    Kuiba upo vizur Ila Sasa hiyo nguoo duuu

  • @johndieme6402
    @johndieme6402 4 роки тому +2

    Mbona nimaumivumakali pole diamond asikupemukiye

  • @julithermwaviswa6883
    @julithermwaviswa6883 3 роки тому +2

    Love is nonsense...... Don't love or trust

  • @judywambui3409
    @judywambui3409 4 роки тому +4

    Alafu mtu anatusi zuchu akhi Hana hata shida na mtu nakupenda bure umekuwa

  • @FATUMAMUHALE
    @FATUMAMUHALE 2 місяці тому

    Vaa na ww wivu husuda na hasad zimewajaaa

  • @veronicansajigwa3428
    @veronicansajigwa3428 4 роки тому +2

    Nakukibali Sana zuchu eshima yako

  • @rashidikindamba7700
    @rashidikindamba7700 4 роки тому

    Umejibana jee badilika dada

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 9 місяців тому

    Nguo ni kichomi.nyimbo ni kelele tu. Mwenye kilanga haambiwi pole.umewazidi nini zari na tashana walio kutanguli na wana watoto.itakuwa wewe umekuwa nani.mondi ni mfupa ulio mshinda fisi hata wewe zuchu usingeuweza.

  • @bakariibrahim8971
    @bakariibrahim8971 4 роки тому +1

    Angalieni mavazi nyie ni vioo vya jamnii mengne wa2 wanaangalia na familia zao

  • @fridahkabiritho2165
    @fridahkabiritho2165 4 роки тому +1

    Kwani anaomboleza ama anaimba ni km sielewi nn kinacho edelea vile🙃😉🙂🙂🙂🇰🇪++++🇹🇿

    • @najmamohmad6348
      @najmamohmad6348 4 роки тому +1

      🤣🤣🤣🚴

    • @sultanaswaleh8892
      @sultanaswaleh8892 4 роки тому

      Jamani kila wimbo una mahadhi yake.huwezi kuimba nyimbo ya maumivu halafu una.changamka.kama hamuelewi .ulizeni kabla huja jibu.zuchu uko sawa ! My daughter love you

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 Рік тому

    Diamond muowe utaowa wengine nyuma mange Ana pambana uole sijuweshida

  • @layannalcis4789
    @layannalcis4789 4 роки тому +2

    Mwenye alubam hata hajulikan

  • @bintsultan3605
    @bintsultan3605 4 роки тому

    Hhhhh hizo vurugu kina mboso soo poa jmn hhhhh

  • @wilsonmodester3241
    @wilsonmodester3241 4 роки тому

    A

  • @ayoubmtulia538
    @ayoubmtulia538 4 роки тому

    Hiyu aimbe taarabu tu

  • @chazimma9303
    @chazimma9303 4 роки тому

    🤣🤣🤣🤣

  • @susanmwaka2577
    @susanmwaka2577 4 роки тому +2

    Ww. zuchu hizo nyimbo niza tarabu bana huimbi kibongo flever kabisa Watuimbia tarabu

  • @susankitila8684
    @susankitila8684 2 роки тому

    Kwa kweli anavaa uchi sana licha ya uislamu. Lakini anajiaibisha sana. Kwani mapenzi ni kukaa UCHI. Hadija kopa mfunze mwanao. Atapendwa tu bila kuvaa hivyo

  • @NeemaJohn-fi4ff
    @NeemaJohn-fi4ff Рік тому

    m

  • @chazimma9303
    @chazimma9303 4 роки тому

    😂😂😂😂😂

  • @ndagabwenekusaya223
    @ndagabwenekusaya223 4 роки тому +1

    Wazazi wako nawenyewe wanaangalia mapaja yako namna hyo kweli ndo maana wazee wa zamani walikataa watoto waingie kwenye tasnia Kama hzi

  • @anethmlingi967
    @anethmlingi967 4 роки тому +3

    Maumivu muyasikie yasiwakutee

  • @lilym704
    @lilym704 4 роки тому

    Eti utaliya sisikiyi lolote wa lakuniliza hana sauti.

  • @bareduuoromooasnaakuu7151
    @bareduuoromooasnaakuu7151 4 роки тому +1

    Wewe naona unajiuza si bure mwenye bikra hana hashuo kama hivi

    • @aminaussi265
      @aminaussi265 4 роки тому +1

      ivi jamanii sheria ya msaniii ni kuvaaa nguo za uchiii au,mbona wanaumee wanajistiri vizur mbona wanawake tuko ivii jamaniiii

    • @alivajamas3596
      @alivajamas3596 4 роки тому

      Wimbo ngani wwe kaa vae vizuriiii kwanza hauelewek

    • @ayubulupenza5411
      @ayubulupenza5411 3 роки тому

      Apo uliza beiyake utakimbia iyo nguo

  • @salmasadi4020
    @salmasadi4020 4 роки тому

    sielewi naona uchi mtupu

  • @bareduuoromooasnaakuu7151
    @bareduuoromooasnaakuu7151 4 роки тому

    Ikisha inaonesha wewe mlevi