NAMNA YA KUSIKIA, KUTAMBUA NA KUIPAMBANUA SAUTI YA MUNGU (1) - Mchungaji Carlos Kirimbai

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • Semina ya Neno la MUNGU, iliyofanyika Kilongoni, wilaya ya Mkuranga mkoani pwani, tarehe 21/1/2019 hadi 3/2/2019
    Ili kupokea mafundisho kama haya unakaribishwa kushiriki ibada kanisa la MANNA TABERNACLE BIBLE CHURCH (MTBC). Kanisa linakutanika Posta mpya mtaa wa kisutu jijini Dar es salaam, Ukumbi wa shule ya msingi Kisutu. Tunakutana kila jumapili kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 7 mchana. Tunashawishika kukutangazia Maisha yako hayatabaki kama yalivyokuwa.

КОМЕНТАРІ • 15