- 462
- 786 437
Carlos Kirimbai
Tanzania
Приєднався 4 гру 2017
Carlos R. W. Kirimbai ni mhudumu wa Injili ambaye ameitwa na Mungu kuufundisha Mwili wa Kristo.
Mungu alipomwiita aliongea naye kutoka kitabu cha Isaya 45: 13 akimwambia kuwa atamwinua katika haki, Naye atayanyoosha mapito yake yote. Ataujenga mji wa Mungu na kuwaweka huru watu wa Mungu waliyohamishwa.
Wakati Carlos akitamani kujua hili atalifanyaje Mungu akamwekea moyoni kulifundisha Neno la Mungu maana kwa maarifa mwenye haki anaokolewa.
Anachunga Kanisa la Manna Tabernacle Bible Church lililopo jijini Dar Es Salaam na anafanya seminar katika taasisi za elimu ya juu.
Anaufikia sana mwili wa Kristo kupitia mitandao ya jamii ikiwemo UA-cam, Instagram, Facebook na Whatsapp.

KUHESHIMU UWEPO WA MUNGU part 2 ll PASTOR CARLOS KIRIMBAI ll 11 August,2024
Karibu kushiriki ibada kanisa la MANNA TABERNACLE BIBLE CHURCH (MTBC). Kanisa linakutanika Posta mpya mtaa wa kisutu jijini Dar es salaam, Ukumbi wa shule ya msingi Kisutu. Tunakutana kila jumapili kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 7 mchana. Tunashawishika kukutangazia Maisha yako hayatabaki kama yalivyokuwa.
Переглядів: 505
Відео
IMANI ll PASTOR CARLOS KIRIMBAI ll ANNUAL CONFERENCE DAY 3 ll 08 , August 2024
Переглядів 4192 місяці тому
IMANI ll PASTOR CARLOS KIRIMBAI ll ANNUAL CONFERENCE DAY 3 ll 08 , August 2024
VIWANGO VYA IMANI ll PASTOR CARLOS KIRIMBAI ll ANNUAL CONFERENCE DAY 4 ll 09 August ,2024
Переглядів 5982 місяці тому
VIWANGO VYA IMANI ll PASTOR CARLOS KIRIMBAI ll ANNUAL CONFERENCE DAY 4 ll 09 August ,2024
SPIRITUALITY ll PASTOR CARLOS KIRIMBAI ll ANNUAL CONFERENCE DAY 2 ll 07 August , 2024
Переглядів 5643 місяці тому
SPIRITUALITY ll PASTOR CARLOS KIRIMBAI ll ANNUAL CONFERENCE DAY 2 ll 07 August , 2024
KUJENGA KANISA LENYE MGUSO ll PASTOR CARLOS KIRIMBAI ll 06 AUGUST , ANNUAL CONFERENCE 2024
Переглядів 4723 місяці тому
KUJENGA KANISA LENYE MGUSO ll PASTOR CARLOS KIRIMBAI ll 06 AUGUST , ANNUAL CONFERENCE 2024
KUHESHIMU UWEPO WA MUNGU ll PASTOR CARLOS KIRIMBAI ll 04 08 2024
Переглядів 8243 місяці тому
KUHESHIMU UWEPO WA MUNGU ll PASTOR CARLOS KIRIMBAI ll 04 08 2024
Relationship Seminar Season IV - ROBERT MBELWA (KUJENGA MSINGI IMARA WA MAHUSIANO NA NDOA)
Переглядів 1836 місяців тому
Relationship Seminar Season IV - ROBERT MBELWA (KUJENGA MSINGI IMARA WA MAHUSIANO NA NDOA)
Relationship Seminar S4 - UWEZO WA KUONA UPEKEE WA MTU KAMA UFUNGUO MUHIMU WA KUJENGA MAHUSIANO.
Переглядів 1726 місяців тому
Relationship Seminar S4 - UWEZO WA KUONA UPEKEE WA MTU KAMA UFUNGUO MUHIMU WA KUJENGA MAHUSIANO.
Relationship Seminar Season IV - USAFI WA KINGONO KATIKA MAISHA YA MWAMINI- FRANCIS LANGULA.
Переглядів 2796 місяців тому
Relationship Seminar Season IV - USAFI WA KINGONO KATIKA MAISHA YA MWAMINI- FRANCIS LANGULA.
Relationship Seminar Season IV - PRAISE AND WORSHIP TEAM
Переглядів 2926 місяців тому
Relationship Seminar Season IV - PRAISE AND WORSHIP TEAM
ATHARI YA MATENDO YA KINGONO KINYUME NA NENOLA MUNGU KATIKA MAISHA YA MTU - CARLOS KIRIMBAI
Переглядів 4786 місяців тому
ATHARI YA MATENDO YA KINGONO KINYUME NA NENOLA MUNGU KATIKA MAISHA YA MTU - CARLOS KIRIMBAI
Business Strategies from the Bible - Kinging the Market - CVC Victorious Arusha
Переглядів 843Рік тому
Business Strategies from the Bible - Kinging the Market - CVC Victorious Arusha
LIVE: SOMO: KANUNI ZA KIBIBLIA ZA MAFANIKIO NA USTAWI MAISHANI SEHEMU YA THEMANINI NA TATU
Переглядів 488Рік тому
LIVE: SOMO: KANUNI ZA KIBIBLIA ZA MAFANIKIO NA USTAWI MAISHANI SEHEMU YA THEMANINI NA TATU
Aliolewa na mwanaume aliyegundua anavutiwa na wanaume wenzie, Pastor Carlos amshauri- Fix You
Переглядів 11 тис.Рік тому
Aliolewa na mwanaume aliyegundua anavutiwa na wanaume wenzie, Pastor Carlos amshauri- Fix You
Weekend Worship May, Pastor Carlos Kirimbai
Переглядів 1,2 тис.Рік тому
Weekend Worship May, Pastor Carlos Kirimbai
Pastor Carlos Kirimbai afunguka changamoto za kutokuwa na mke, 'Ndoa yangu ilinishinda'
Переглядів 18 тис.Рік тому
Pastor Carlos Kirimbai afunguka changamoto za kutokuwa na mke, 'Ndoa yangu ilinishinda'
LIVE: SOMO: KANUNI ZA KIBIBLIA ZA MAFANIKIO NA USTAWI MAISHANI SEHEMU YA SABINI NA TISA
Переглядів 504Рік тому
LIVE: SOMO: KANUNI ZA KIBIBLIA ZA MAFANIKIO NA USTAWI MAISHANI SEHEMU YA SABINI NA TISA
PURPOSE AND DESTINY REHAB CLINIC Season II
Переглядів 2772 роки тому
PURPOSE AND DESTINY REHAB CLINIC Season II
SOMO: KANUNI ZA KIBIBLIA ZA MAFANIKIO NA USTAWI MAISHANI SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE
Переглядів 1,3 тис.2 роки тому
SOMO: KANUNI ZA KIBIBLIA ZA MAFANIKIO NA USTAWI MAISHANI SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE
MAOMBI NI MUHIMU KULIKO TUWEZAVYO KUSISITIZA.
Переглядів 3982 роки тому
MAOMBI NI MUHIMU KULIKO TUWEZAVYO KUSISITIZA.
SOMO: KANUNI ZA KIBIBLIA ZA MAFANIKIO NA USTAWI MAISHANI SEHEMU YA KUMI NA TATU
Переглядів 4942 роки тому
SOMO: KANUNI ZA KIBIBLIA ZA MAFANIKIO NA USTAWI MAISHANI SEHEMU YA KUMI NA TATU
Amen amen
Hallelujah 🙏
Amen
Asnt mwalimu kwa Neno zuri. May God bless u
Asanteni sana kwa somo zuri mno Mungu awabariki sana naomba kuipata part one
Blessing ⛪✍🏻
Good message sir.
Ubarikiwe sana Pastor kwa Ujimbe mzuri
Nimebarikiwa sanaa
Amen
🎉🎉
Amen
Asante YESU Leo Nimepokea Uponyaji Pastor Naomba Namba yako Namshukuru Mungu Nimepokea Uponyaji Leo Leo
Ameeeni Ameeeni
Ameeeni Ameeeni
Amen ❤
Ameeeen 🙏
Tunabarikiwa sana na hii huduma
Groly sehem ya kwanza na pil siion
Amen
It never crossed my mind the physical appearance of Samson until today.No wonder they were looking for the secrete for his powers because physically there was no evidence or reason for his powers 😮
Ameni
❤
Shuhuda zimejaa matendo makuu ya Mungu japo inaonekana muda umekua mchache ila naamini Mungu amejidhihirisha. Ushuhuda wa Dada Mese inaonekana wazi amekua na mambo mengi ya kutufundisha namna ya kuwa na imani na kusimamia kile unachoamini na Mungu anakiheshimisha. Ikiwezekana tunaomba siku nyingine atueleze kiundani. Wapo watu wengi wanaokumbana na maswala kama ya Dada huyu lakini kwa sababu ya kukosa watu wa kuwashika mikono ndoto zao huishia pasipo julikana. Kingine nilichojifunza ni kwamba Mungu anapowainua watu kwa ajili yako haitojali wanatoka wapi au wanaabudu wapi. Huyu dada magumu aliyopitia pamoja na yote Mungu kamuinulia mtu wa Dini nyingine kabisa ambaye sio mkristo na kwa upendo wa pekee Bwana huyu anamsaidia Dada huyu bila ya kujua lililua ni kusudio la Mungu yamkini alitafuta msaada toka kwa wakristo wenzie na walikua na uwezo ila hawakuweza kumsaidi lakini Mungu aishie milele akamwinua Mwislamu hukoo na kuja kumsaidia, Mungu ambariki sana huyo Kijana. Hii inaonesha wazi kwamba Mungu anaweza kuinua hata Mawe yakakusaidia kuliko Mwanadamu mwenzio unayesali naye sehemu moja. Mungu awabariki sana kwa huduma hii ya leo ni mengi tumejifunza. Kingine ni kwamba hata namna amekua akitamka mambo kwa uhakika wakatui kiuhalisia hakuwa nayo ni ishara tosha kuwa ni imani kubwa sana anayo huyi dada na ninaamini kuna mtu mmoja au wawili Mungu alitaka wausikie ushuhuda huu. Pastor kama iko namna mtafute hutu Dada pembeni huenda akawa na mambo mengi zaidi ya hapo na alelewe vizuri ndani ya kanisa adui asije pata nafasi ya kudeal naye tena, hilo naamini Baba Pastor liko ndani ya uwezo wako. Kuhusu shuhuda nyingine nazo kwa kweli zime shiba sana. Huduma hii na iendelee daima. Mungu awabariki
Amina
Glory to God, shuhuda zilizotolewa zimenitia nguvu sana, namwamini Mungu kama muumini wa kanisa hili kwa njia ya mtandao Mungu ananiandalia ushuhuda mkubwa. Wachungaji wangu wote nawapenda sana na kanisa kwa ujumla
Amen
Tufundishe ewe mjoli wa Mungu na YESU Kristo azidi kukupa hekima,uzidi kuinena injili Yake Kwa ujasiri mpaka mwisho.
God's good all the time
Ameni
hizo rap, penyewe
ubarikiwe mwalimu
Nadhani huyu Mchungaji ameletwa kusudi kwa ajili ya kulifikisha ipasavyo neno la Mungu. Sina hakika wengi tunaliona hili
❤❤❤
mimi ni shujaa wa Mungu katika Kristo 🙏🙏👆
Amen
LET ME NOTE THIS, WENYE MIKONO SAFI WATASIDI KUMTAFUTA MUNGU MAADAM HUWA ANAPATIKANA NAAM YU KARIBU KULIKO MAVAZI YETU, SISI TUNAOMTAFUTA KWA MOYO WOTE. HAKIKA NI 🔥🔥🔥, MUNGU AKUBARIKI MNO #UHURU_WA_IBADA.
🙌🙌.
HII IMEENDA PASTOR.
Amen pastor
Amen
Amen amen
Somo linapenya kwenye mishipaa
I'm blessed
Amen
Pastor mungu akubariki maan hii ni guloreeeeee
Na hiyo ni ibada ya sanamu (kuamini vitu)😂
Mungu akubaliki sana mtumishi wa Mungu umekuwa mfano wa pekee kwangu
Amen amen nimebarikiwa sana Na neno lauzima
Amen amen nimebarikiwa sana naneno