KIMENUKA! KIONGOZI WA IRAN AONGEA KWA MARA YA KWANZA, ATANGAZA KUISAIDIA HEZBOLLA NA LEBANON VITANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 122

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 Місяць тому +12

    Jazzka allh kheir

  • @Mohamedmustafa-z9t
    @Mohamedmustafa-z9t Місяць тому +20

    Mbwai Na iwe mbwai, enough is enough. Liwalo Na liwe, wakati sasa umefika Kwa mtwana kujitwaalia utemi ,kila kitu kina mwanzo Na mwisho, na huo ndo mwanzo WA mwisho kwa madhaalimu ,Dua ya mwenyekudhulumiwa inaenda kujibiwa ,' Ewe MwenyeziMungu warudishe mazayuni waende kule walipokuwepo kabla ya kuazisha taifa lao 1947, Na huko wakaendelee kuisji chini ya amri za huko kama walivyoishi mababu zao Kwa dahali za miaka ili kupata utulivu wa nyoyo za sisi waja wako, tuweze kukuabudu , tumechoshwa na ghasia pamoja Na jinao zao watu gani wasoisha tamaa " - AAMYNA

    • @JudithTwibonisye
      @JudithTwibonisye 29 днів тому

      Israel waliopo sasa hapo ndio kwao waende wapi?

    • @SarhaSaid
      @SarhaSaid 29 днів тому +1

      Amin dhuma Amin 🤲 yarabi

    • @IlhamKhalid-mt3jp
      @IlhamKhalid-mt3jp 29 днів тому

      ​@Judamekuamnia nani kama kwao ithTwibonisye

    • @venancemwanya4212
      @venancemwanya4212 29 днів тому

      Hezibola itapigwa sana,nakuiponza Lebanon kupata kipigo kikali. Irani aingie aone kitakacho ipata Irani. Kwanza haitakuepo na nchi inaitwa iran. Bali itaitwa hivi ; nchi mbili zilizotokana na iliokuwa nchi ya Irani.

    • @mohamedikinu9502
      @mohamedikinu9502 29 днів тому +2

      Mwisho wa hao mashoga umefika watajuta kuzaliwa na waalaniwe zaidi hao mayahudi

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo Місяць тому +3

    Allahu-akbar

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 18 днів тому

    Naipenda Israel❤❤❤❤

  • @HajiMwanz-to3vg
    @HajiMwanz-to3vg Місяць тому +4

    Viva iran

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx Місяць тому +8

    Nakubali kudadadeki

  • @mussamabawa2973
    @mussamabawa2973 29 днів тому

    MashaAllah

  • @ZakariaYahya-c3n
    @ZakariaYahya-c3n 29 днів тому +3

    Safi sana nimefurahi kuskia hivo mana ilikua Niko na homa ya muda mrefu lkn niliposkia maneno hayo Leo homa yangu imepoa

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 25 днів тому

    MWISHO WA WABABE UMEKARIBIA
    Na wale wanaoshangilia bila kukua nn kinaendelwa basi wajue tu ipo siku watajua.❤

  • @JacobJoel-cb3ni
    @JacobJoel-cb3ni Місяць тому +5

    jay boy kama kawa

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 Місяць тому +14

    Ushindi kwa Hamas na Hisbullah ni walazima.

    • @pastorzakariatv1786
      @pastorzakariatv1786 29 днів тому +1

      Kwa kufa mnakokufa huku? Au ndo kujikaza kisabuni? Maana ni kweli sabuni huwa inajikaza na maranyingi huwa inabaki ila kidogo sana.

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 29 днів тому

      ​@@pastorzakariatv1786haijalishi wauwe ila ushindi lazima

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 29 днів тому

      ​@@pastorzakariatv1786xi wasenge wenzako mashoga wenzako kazi ni kukimbilia kuua raia na kuharibu miji ya watu tu. Kama ni wanaume kweli hao mbwa mashoga wa Esrail si wapigane na wanaume wenzao?!!! Kwan wanashindwa nn kupigana na wanaume wenzao???!!! Mbwa wa kiisrail n wakimagharibi na wachuki sana jinsi wanavozitia vita nchi za kiafrica na kiarabu halafu wao wanakaa kwenye TV wakicheka watu wanavokufa. Ikisikia kuw kuna viumbe vya mungu vyengine vinaitwa majini ss tunajua majini haonekani,,,,lkn mm naamini majini wenyew ni hawa WAYAHUDI. Binadamu gani asie na huruma kwa wengine. Yy maisha yake kula kunywa nk ni kutegemea amwage damu tu??!

    • @IlhamKhalid-mt3jp
      @IlhamKhalid-mt3jp 29 днів тому

      ​@@pastorzakariatv1786hata wew utakufa laanatuwllah

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 29 днів тому +1

      ​@@pastorzakariatv1786Waisraeli wanakufa wengi sana ila hawatangazi ili kujionesha wao ni miamba mibomu mengi sana imepiga Israel jana usiku Israel imethibitisha watu 18 kufariki ndani ya Tel Aviv kutokana na mashambuliz ya Hezbollah

  • @maniamba.tz_
    @maniamba.tz_ Місяць тому +4

    Iyo habari kwa Team Urusi ni njema

  • @MpwataOmari
    @MpwataOmari 28 днів тому

    ALLAH QARRREEM Allah Aqbar❤.

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 Місяць тому +6

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @kudrasogoti3796
    @kudrasogoti3796 29 днів тому +6

    Umefika wakati sasa Africa kutawala ulaya

  • @YasirHuwel-kr2bb
    @YasirHuwel-kr2bb 25 днів тому +1

    Vitisho tu wafanye kweli tuone kilasiku maneno tu aise watu waoga kweli

  • @johnkiimbila6799
    @johnkiimbila6799 29 днів тому

    Allah u Akbar

  • @Ben-kc1om
    @Ben-kc1om 23 дні тому +1

    Dunia ilikuwa inasubiri Iran ianze vita ili wakifinye kipembe mnato chao, washike mafuta, Irani iwe maskini kama Libya.😂😂😂😂

  • @deborahmgedzi632
    @deborahmgedzi632 27 днів тому

    Praying for Israel as we get God's blessings and Israel keep trusting Him.

  • @mohamedS-yd9wh
    @mohamedS-yd9wh 29 днів тому +3

    Naiomba ma ninawaomba viongozi wote wa Iran wazidishe kutoa silaha na misaada mingine mingi kwa hezbullah, hamas, houth wa yemen na wote wanaopigana pamoja dhidi ya israel na vibaraka wake. Marekani na nato wao wanaona ni haki yao kusaidia israel azidi kuuwa watu, ila wengine hawana haki kusaidia upande unaodhulumiwa

  • @ShabaniNuru-o1y
    @ShabaniNuru-o1y Місяць тому +3

    Free parestines😢

  • @MONICAHMAINA-k4x
    @MONICAHMAINA-k4x 21 день тому

    Wakati wa mwisho huu lazima maandiko ya time read Jeremiah 30 to 31

  • @revocatuskalumuna2879
    @revocatuskalumuna2879 28 днів тому

    ahsante kwa kujipatia chaka la upgaji bnafs nimekuskiliza mpaka mwisho ila acha tukae wote hapa tusubil matokeo

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 26 днів тому

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @michaelmosiany
    @michaelmosiany 29 днів тому +1

    enyi hezzbola ujinga mtaacha

  • @bossej1212
    @bossej1212 27 днів тому

    Mwenzake kauawa. Nasrallah ameuawa. Pia yeye kichwa chake atie maji.Israel inamkuta tu

  • @FreedomFighter-i8o
    @FreedomFighter-i8o Місяць тому +4

    Vita Fran ivi inanukia mido est

  • @HamisiLisu-g1l
    @HamisiLisu-g1l 29 днів тому

    Yaa Allah saidia wanyonge

  • @deborahmgedzi632
    @deborahmgedzi632 27 днів тому

    Let God Almighty lead. Know Jewish people are God's Chosen People. He loves them than us.

  • @fadhilimkanimkole272
    @fadhilimkanimkole272 29 днів тому +1

    Ni wakati wa Africa kujijenga, wakimalizana tuwe tume wazid uchumi

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 24 дні тому

    Kelele za C😢ura hazimzui ng,ombe kunywa majii😅 Piga Kazi Taifa la Mungu Islaeli

  • @rajabuathumani1586
    @rajabuathumani1586 29 днів тому +1

    Aloo sio poa team Russia oyeeee

    • @leilaomary6349
      @leilaomary6349 26 днів тому

      @@rajabuathumani1586 kwa hiyo hata vita kuna kubeti?aah sio poa.watu wanakufa huko.

  • @yonashaibu7574
    @yonashaibu7574 27 днів тому

    Acha unazi

  • @MikaMika-ve1ip
    @MikaMika-ve1ip 29 днів тому

    Ni kweli Judith wa Islaeli walichokozwa.walichokozwa na hawa wazaliwa wa leo.wasio jali amani.Tuombe Mungu atusaidie.

    • @daudinyello4033
      @daudinyello4033 27 днів тому

      ISRAEL IMESHINDWA KUWAOKOA MATEKA NA KUANGAMIZA KUNDI LA HAMAS MPAKA LEO, NDIO UJUE NI MABOYA KIASI GANI NA HAPO NETANYAHU ANAPOKEA SIRAHA NA FEDHA ZA MAREKANI NA NATO LAKINI VITA INA MWAKA MMOJA SASA...HAHAHAA

  • @mohamedsaidalhabsi7862
    @mohamedsaidalhabsi7862 27 днів тому

    Kilasiku wanatangaza

    • @daudinyello4033
      @daudinyello4033 27 днів тому

      ISRAEL IMESHINDWA KUWAOKOA MATEKA NA KUANGAMIZA KUNDI LA HAMAS MPAKA LEO, NDIO UJUE NI MABOYA KIASI GANI NA HAPO NETANYAHU ANAPOKEA SIRAHA NA FEDHA ZA MAREKANI NA NATO LAKINI VITA INA MWAKA MMOJA SASA...HAHAHAA

  • @ErickWankuru
    @ErickWankuru 29 днів тому +3

    Ivi wewe unafikiri ilani inaweza kuishinda u s a hizo ni akiri za bunuasi

    • @dicksonmbuta6700
      @dicksonmbuta6700 29 днів тому

      Israel nyuma ipo nato

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 29 днів тому

      USA sio kitu unaiogopa wewe tu pimbi Iran imetangaza Vita dhidi ya Israel ila Marekani akijichanganya atashambuliwa pia

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 27 днів тому

      Hakuna nchi inaitwa ''ilani'' mkuu tamka vizr.

  • @JudithTwibonisye
    @JudithTwibonisye 29 днів тому +2

    Ila Israel walichokozwa Jamani?ila sisi wanafunzi wa Yesu tujiandae .hichi ndio kiashiria cha Mwokozi Yesu kuja kutuchukua kama alivyosema

    • @KikwaleRashid
      @KikwaleRashid 29 днів тому

      Kuja kuwa kana kua mlikua mna muabudu na kumsujudia bulee badala ya kufanyia hayo Mungu aliye mtuma

    • @IlhamKhalid-mt3jp
      @IlhamKhalid-mt3jp 29 днів тому +1

      Wamechokozwa na nani washenzi hiyo ni vita ya kidini ni chuki za makafiri zidi ya uislaaam ila mwisho wa ubaya aibuuu

    • @suleimaniamadi1441
      @suleimaniamadi1441 27 днів тому

      Jiandaeni kweli

    • @JudithTwibonisye
      @JudithTwibonisye 27 днів тому

      @@IlhamKhalid-mt3jp Israel sio wakristo

    • @daudinyello4033
      @daudinyello4033 27 днів тому

      PALESTINE WANAPIGANIA ARDHI YAO AMBAYO INAKALIWA KWA MABAVU NA ISRAEL

  • @BonifasiMichaer
    @BonifasiMichaer 27 днів тому

    Islael itashinda vita tu izo nchi zote hazina uwezo wa kivita

    • @daudinyello4033
      @daudinyello4033 27 днів тому

      ISRAEL IMESHINDWA KUWAOKOA MATEKA NA KUANGAMIZA KUNDI LA HAMAS MPAKA LEO, NDIO UJUE NI MABOYA KIASI GANI NA HAPO NETANYAHU ANAPOKEA SIRAHA NA FEDHA ZA MAREKANI NA NATO LAKINI VITA INA MWAKA MMOJA SASA...HAHAHAA

  • @salehsaleh1305
    @salehsaleh1305 28 днів тому

    Maneno tu kama vipi kidimue

  • @JaphethMbasaRobert
    @JaphethMbasaRobert 26 днів тому

    Hotuba hii imemponza .kiongozi wa Hezbollah kachinjwa huko.

  • @nassoromfumya7319
    @nassoromfumya7319 Місяць тому +1

    Wadhalilishe wenye dhuluma yarabi.... Amiin.
    Mdhalilishe na huyo kiongozi anaeamuru watu kuuawa akijiona yuko juu ya kila kitu... kafiri mkubwa huyo,

  • @victorjeremiah246
    @victorjeremiah246 29 днів тому +1

    🟥Najua kwa hili nitapingwa SANA,
    🟥 tuwe wakweri kati ya HAMAS NA ISRAELI nani alianza kuua MWENZIWE❓
    🟥Je, tulitamani Israeli inyamaze KIMYA Hali watu wake zaidi ya 1200 wamekufa.❓

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 29 днів тому

      Israel imekuwa ikiikalia na kuiamulia Palestine mambo ya nje kimabavu je ulitaka wakae kimya? Umeona 2023 tu? Mbona huongelei uchokozi wa Israel hiyo miaka ya nyuma

    • @suleimanjabiri729
      @suleimanjabiri729 25 днів тому

      We kojoa ukalale...hujui chochote hapa duniani....umetenzwa akili wewe .... subiri hivi karibuni utaujua ukweli

  • @ce-08
    @ce-08 29 днів тому

    Iran ajiangalie tu awe makin aingie kwa akili kubwa maana yy ndyo anatafutwa kuliko hao wengine wote

    • @daudinyello4033
      @daudinyello4033 27 днів тому

      ISRAEL IMESHINDWA KUWAOKOA MATEKA NA KUANGAMIZA KUNDI LA HAMAS MPAKA LEO, NDIO UJUE NI MABOYA KIASI GANI NA HAPO NETANYAHU ANAPOKEA SIRAHA NA FEDHA ZA MAREKANI NA NATO LAKINI VITA INA MWAKA MMOJA SASA...HAHAHAA

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 28 днів тому

    Watu wanamtafuta kubomoa vinu vyake vya nuclear, ndio maana meli, submarine za US zimeisha sogea. Iran itapigwa kama mtoto mdogo.

  • @PaulineKiponda
    @PaulineKiponda 29 днів тому

    Magaidi lazima waondolewe duniani

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 28 днів тому

    Israeli waache kukalia ardhi zawengine kwamabavu icho ndo chanzo cha ugomvi😢

  • @ahmedsaidbachuba2398
    @ahmedsaidbachuba2398 28 днів тому

    Iran na makundi hayo wanafanana na Israel hawana tofauti wote wana aabudu mashetani wata juana

    • @daudinyello4033
      @daudinyello4033 27 днів тому

      UTAKWENDA PEPONI PEKE YAKO MANA WEWE NI MSAFI SANA

  • @sadammkinga2946
    @sadammkinga2946 29 днів тому

    Aya tusije laumu baadae tukiona majivu

  • @leilaomary6349
    @leilaomary6349 29 днів тому

    Hammas Hisbullah Uslamic jihad wapo kwa ajili ya kuifuta Israel.na haitawezekana kamwe.

    • @daudinyello4033
      @daudinyello4033 27 днів тому

      ISRAEL IMESHINDWA KUWAOKOA MATEKA NA KUANGAMIZA KUNDI LA HAMAS MPAKA LEO, NDIO UJUE NI MABOYA KIASI GANI NA HAPO NETANYAHU ANAPOKEA SIRAHA NA FEDHA ZA MAREKANI NA NATO LAKINI VITA INA MWAKA MMOJA SASA...HAHAHAA

  • @SalumuSalumu-h8r
    @SalumuSalumu-h8r 29 днів тому

    Mungu ni WA Israeli nilazima wande

  • @PaulineKiponda
    @PaulineKiponda 29 днів тому

    Kwa sasa Israel wanajua silaha zake zote zilipo YY atulipe angoje kujificha Kwa shimo kama panya😂

  • @AllySultan-i2s
    @AllySultan-i2s 28 днів тому

    Iran mkwara tuu haina silaha kama israel

    • @daudinyello4033
      @daudinyello4033 27 днів тому

      ISRAEL IMESHINDWA KUWAOKOA MATEKA NA KUANGAMIZA KUNDI LA HAMAS MPAKA LEO, NDIO UJUE NI MABOYA KIASI GANI NA HAPO NETANYAHU ANAPOKEA SIRAHA NA FEDHA ZA MAREKANI NA NATO LAKINI VITA INA MWAKA MMOJA SASA...HAHAHAA

  • @Jastini-gv3vt
    @Jastini-gv3vt 29 днів тому

    Kwani iran alikuwa wapi kipindi chote hicho wakati Israel wana wanaiteketeza gaza mbona wamekufa watu wengi huko gaza saifi kipigo kimeigeukia Lebanon wanawatia moyo kwa kuwapa silaha lakini bado ni watu wa Lebanon ndio wanaokufa nikama kusema wagaribi wasaidia wa uikren kwa kwapa silaha lakini bado urusi inaiteketeza ukren

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie Місяць тому +1

    Wanalaum nini mashoga hawa

  • @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
    @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 29 днів тому

    Hawa ni wanafiq tu wenzao wanapigwa kila cku wao wamebaki maneno tu

  • @RaphaelMbughi-n1g
    @RaphaelMbughi-n1g 28 днів тому

    MTI WENYE MATUNDA HUPIGWA NA MAWE NA WENYE NJAA ACHA IWAUME!!!

  • @ZakariaYahya-c3n
    @ZakariaYahya-c3n 29 днів тому

    Kila siku israil iuwe watu wasio na hatia yoyote inasikitisha Shana kwake

  • @Sempreapostandonaverdade989
    @Sempreapostandonaverdade989 29 днів тому

    Hapo umeongopa, Kwa kusema eti Israel inataka amani Hezbollah. Israel haitaki amani na Hezbollah maana wameapa kuifuta hesbollah. Kama Vila Ghaza hivyo hivyo Kwa hesbollah

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 28 днів тому

    sasa kama Rais anauwàa vita ndio mtaweza?

  • @AGM19697
    @AGM19697 29 днів тому

    Dawa ni kutochokozana na kutafuta amani ya kudumu

  • @RamadhanRamdhan-i2c
    @RamadhanRamdhan-i2c 28 днів тому

    Iran ataipiga nuclear Izrael muda wwote ule

  • @PaulineKiponda
    @PaulineKiponda 29 днів тому

    Yeye ndie amekua akifanya ugaidi dunia mzima na sasa ajue hateweza hata kuitu Mia simu pia hata ule mkeka analalia unaeza ukammeza usiku kila anacho panga kinajulikana kabla. Haja fa. Aanze kugawanya Mali zake ili aache urithi😂😂😂

    • @daudinyello4033
      @daudinyello4033 27 днів тому

      ISRAEL IMESHINDWA KUWAOKOA MATEKA NA KUANGAMIZA KUNDI LA HAMAS MPAKA LEO, NDIO UJUE NI MABOYA KIASI GANI NA HAPO NETANYAHU ANAPOKEA SIRAHA NA FEDHA ZA MAREKANI NA NATO LAKINI VITA INA MWAKA MMOJA SASA...HAHAHAA

  • @HusseinNkuna
    @HusseinNkuna 29 днів тому

    Viongozi wa Iran nawao wamekua Kama vle mbwa koko hawashambulii wanaongea tu

  • @isacksimonmahungilo
    @isacksimonmahungilo 29 днів тому

    Si dhani hayo ni makelele

    • @daudinyello4033
      @daudinyello4033 27 днів тому

      ISRAEL IMESHINDWA KUWAOKOA MATEKA NA KUANGAMIZA KUNDI LA HAMAS MPAKA LEO, NDIO UJUE NI MABOYA KIASI GANI NA HAPO NETANYAHU ANAPOKEA SIRAHA NA FEDHA ZA MAREKANI NA NATO LAKINI VITA INA MWAKA MMOJA SASA...HAHAHAA

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 29 днів тому

    IJARIBU AONE ATAPIGWA KAMA MBWA, NAHUYU MZEE YUPO KWENYE RAMANI YA MOSSAD NI SWALA LA MUDA

    • @daudinyello4033
      @daudinyello4033 27 днів тому

      ISRAEL IMESHINDWA KUWAOKOA MATEKA NA KUANGAMIZA KUNDI LA HAMAS MPAKA LEO, NDIO UJUE NI MABOYA KIASI GANI NA HAPO NETANYAHU ANAPOKEA SIRAHA NA FEDHA ZA MAREKANI NA NATO LAKINI VITA INA MWAKA MMOJA SASA...HAHAHAA

  • @yonamsemo6634
    @yonamsemo6634 27 днів тому

    Huwajui Waisrael wewe

  • @MichaelLambo-oh4bw
    @MichaelLambo-oh4bw 29 днів тому

    Mbwa

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 29 днів тому

    Hakuna wajinga kama waarabu 😂😂😂

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 27 днів тому

      Wewe tu ndio una akili na hao wanaume zako wazungu

    • @daudinyello4033
      @daudinyello4033 27 днів тому

      ISRAEL IMESHINDWA KUWAOKOA MATEKA NA KUANGAMIZA KUNDI LA HAMAS MPAKA LEO, NDIO UJUE NI MABOYA KIASI GANI NA HAPO NETANYAHU ANAPOKEA SIRAHA NA FEDHA ZA MAREKANI NA NATO LAKINI VITA INA MWAKA MMOJA SASA...HAHAHAA

  • @walterngowi5835
    @walterngowi5835 29 днів тому

    Hiki kitiv ni cha kichochez 🖕🖕

  • @daudinyello4033
    @daudinyello4033 27 днів тому

    ISRAEL IMESHINDWA KUWAOKOA MATEKA NA KUANGAMIZA KUNDI LA HAMAS MPAKA LEO, NDIO UJUE NI MABOYA KIASI GANI NA HAPO NETANYAHU ANAPOKEA SIRAHA NA FEDHA ZA MAREKANI NA NATO LAKINI VITA INA MWAKA MMOJA SASA...HAHAHAA

  • @PaulineKiponda
    @PaulineKiponda 29 днів тому

    Kwa sasa Israel wanajua silaha zake zote zilipo YY atulipe angoje kujificha Kwa shimo kama panya😂