YUHOMA DIGITAL FORUMS
YUHOMA DIGITAL FORUMS
  • 264
  • 1 539 725

Відео

Fahamu!! MAFANIKIO YA PUTIN NA WASHIRIKA WAKE KATIKA SEKTA YA MICHEZO NA MIUNDOMBINU YAKE...
Переглядів 1,4 тис.2 години тому
Fahamu!! MAFANIKIO YA PUTIN NA WASHIRIKA WAKE KATIKA SEKTA YA MICHEZO NA MIUNDOMBINU YAKE...
Inashangaza!! MACHAFUKO YA KISIASA YASABABISHA TIMU NYINGI AFRICA,ULAYA KUKIMBIA LIGI ZAO...
Переглядів 5174 години тому
Inashangaza!! MACHAFUKO YA KISIASA YASABABISHA TIMU NYINGI AFRICA,ULAYA KUKIMBIA LIGI ZAO...
WAZIRI MKUU WA ISRAEL ALIVYONUSURIKA KUUAWA NA MAKOMBORA YA HEZBOLLA, WATANGZA SILAHA MPYA YA NASR-2
Переглядів 3,3 тис.4 години тому
WAZIRI MKUU WA ISRAEL ALIVYONUSURIKA KUUAWA NA MAKOMBORA YA HEZBOLLA, WATANGZA SILAHA MPYA YA NASR-2
KIMENUKA! URUSI INAIPIGA MAREKANI KOTEKOTE YATOA MSIMAMO WAKE MKALI KUHUSU UCHAGUZI WA MAREKANI.
Переглядів 3 тис.7 годин тому
KIMENUKA! URUSI INAIPIGA MAREKANI KOTEKOTE YATOA MSIMAMO WAKE MKALI KUHUSU UCHAGUZI WA MAREKANI.
Inasikitisha!! LOLI LA MAFUTA LA LIPUKA NIGERIA NA KUUWA MAMIA YA WATU NA KUJERUHI MAKUMI YA WATU...
Переглядів 83521 годину тому
Inasikitisha!! LOLI LA MAFUTA LA LIPUKA NIGERIA NA KUUWA MAMIA YA WATU NA KUJERUHI MAKUMI YA WATU...
IFAHAMU SILAHA YA IRON DOME YA ISRAEL YA ULINZI WA ANGA....
Переглядів 10 тис.21 годину тому
IFAHAMU SILAHA YA IRON DOME YA ISRAEL YA ULINZI WA ANGA....
UBABE WA URUSI WAITUMBUKIZA ULAYA KATIKA UMASKINI MKUBWA, RAIA MOLDOVA WAANDAMANA KUILAUMU MAREKANI
Переглядів 4,1 тис.День тому
UBABE WA URUSI WAITUMBUKIZA ULAYA KATIKA UMASKINI MKUBWA, RAIA MOLDOVA WAANDAMANA KUILAUMU MAREKANI
ZIFAHAMU SHERIA KALI ZINAZOMPA KIBURI RAIS WA KOREA KASKAZINI, UHUSIANO WAKE NA PUTIN NA CHINA
Переглядів 2,8 тис.14 днів тому
ZIFAHAMU SHERIA KALI ZINAZOMPA KIBURI RAIS WA KOREA KASKAZINI, UHUSIANO WAKE NA PUTIN NA CHINA
KIMEUMANA! IBRAHIM TRAORE AKINUKISHA TENA MAGHARIBI, AFUNGIA VYOMBO VYA HABARI VYA MAGHARIBI.
Переглядів 4,9 тис.14 днів тому
KIMEUMANA! IBRAHIM TRAORE AKINUKISHA TENA MAGHARIBI, AFUNGIA VYOMBO VYA HABARI VYA MAGHARIBI.
URUSI WAZIDI KUIVURUGA MAREKANI, WAINGILIA KATI SAKATA LA P.DIDY , WAIFANANISHA NA MTOTO MDOGO
Переглядів 6 тис.14 днів тому
URUSI WAZIDI KUIVURUGA MAREKANI, WAINGILIA KATI SAKATA LA P.DIDY , WAIFANANISHA NA MTOTO MDOGO
FAHAMU! KINACHOENDELEA VITANI KATI YA IRAN NA ISRAEL, CHUKI ZA MAREKAN CHANZO CHA MAUAJI YA KUTISHA
Переглядів 4,9 тис.14 днів тому
FAHAMU! KINACHOENDELEA VITANI KATI YA IRAN NA ISRAEL, CHUKI ZA MAREKAN CHANZO CHA MAUAJI YA KUTISHA
HOTUBA YA AYATOLLAH KHAMENEI WA IRAN KWA KISWAHILI ,ATANGAZA KUONGEZA MASHAMBULIZI KWA ISRAEL NA USA
Переглядів 22 тис.21 день тому
HOTUBA YA AYATOLLAH KHAMENEI WA IRAN KWA KISWAHILI ,ATANGAZA KUONGEZA MASHAMBULIZI KWA ISRAEL NA USA
VITA ISRAEL! MAKOMBORA 400 YA IRAN KWA ISRAEL YASABABISHA MPASUKO NCHINI MAREKANI, RAIA WATELEKEZWA
Переглядів 13 тис.21 день тому
VITA ISRAEL! MAKOMBORA 400 YA IRAN KWA ISRAEL YASABABISHA MPASUKO NCHINI MAREKANI, RAIA WATELEKEZWA
IRAN YAONGEZA MASHAMBULIZI ISRAEL YATUMIA MAKOMBORA YA HYPERSONIC NA FATTAH-2 /URUSI KUINGILIA KATI
Переглядів 52 тис.21 день тому
IRAN YAONGEZA MASHAMBULIZI ISRAEL YATUMIA MAKOMBORA YA HYPERSONIC NA FATTAH-2 /URUSI KUINGILIA KATI
URUSI YAENDELEZA KUTEKA MAENEO YA UKRAINE /OLAF SHOLZ ATANGAZA KUMPIGIA PUTIN ILI KUMALIZA MGOGORO
Переглядів 5 тис.21 день тому
URUSI YAENDELEZA KUTEKA MAENEO YA UKRAINE /OLAF SHOLZ ATANGAZA KUMPIGIA PUTIN ILI KUMALIZA MGOGORO
LIFAHAMU KUNDI LA “KKK” KUNDI LA KIBAGUZI LINALOUA WATU WEUSI NA WOTE WASIO WAZUNGU.
Переглядів 2,2 тис.21 день тому
LIFAHAMU KUNDI LA “KKK” KUNDI LA KIBAGUZI LINALOUA WATU WEUSI NA WOTE WASIO WAZUNGU.
NGOMA NZITO! WANAJESHI WA UKRAINE WAMTOROKA ZELENSKY VITANI, AITA WALEVI NA WAZEE KWENDA KUPIGANA
Переглядів 7 тис.28 днів тому
NGOMA NZITO! WANAJESHI WA UKRAINE WAMTOROKA ZELENSKY VITANI, AITA WALEVI NA WAZEE KWENDA KUPIGANA
URUSI YAIDHARAU MAREKANI, YAWAPIGA KWA KUTUMIA SILAHA ZAO WENYEWE ,KADYROV ATUMIA CYBERTRUCS ZA MUSK
Переглядів 5 тис.28 днів тому
URUSI YAIDHARAU MAREKANI, YAWAPIGA KWA KUTUMIA SILAHA ZAO WENYEWE ,KADYROV ATUMIA CYBERTRUCS ZA MUSK
DUH! PUTIN ALIAMSHA DUDE, AFUNGUA KAMBI YA KIJESHI AFRIKA AZIDI KUVUNJA KAMBI ZA MAREKANI NA NATO
Переглядів 3,3 тис.28 днів тому
DUH! PUTIN ALIAMSHA DUDE, AFUNGUA KAMBI YA KIJESHI AFRIKA AZIDI KUVUNJA KAMBI ZA MAREKANI NA NATO
KIMENUKA! KIONGOZI WA IRAN AONGEA KWA MARA YA KWANZA, ATANGAZA KUISAIDIA HEZBOLLA NA LEBANON VITANI
Переглядів 43 тис.Місяць тому
KIMENUKA! KIONGOZI WA IRAN AONGEA KWA MARA YA KWANZA, ATANGAZA KUISAIDIA HEZBOLLA NA LEBANON VITANI
Vita Ukraine! Zelenzsky aumbuliwa huko Marekani, Donald Trump agoma kukutana naye, Magharibi wajitoa
Переглядів 9 тис.Місяць тому
Vita Ukraine! Zelenzsky aumbuliwa huko Marekani, Donald Trump agoma kukutana naye, Magharibi wajitoa
NGOMA NZITO! Silaha za urusi zatawala maonyesho makubwa Barani Afrika "AAD 2024" /Marekani wasusia
Переглядів 6 тис.Місяць тому
NGOMA NZITO! Silaha za urusi zatawala maonyesho makubwa Barani Afrika "AAD 2024" /Marekani wasusia
KIMENUKA! Waziri mkuu wa Israel BENJAMIN NETANYAHU anusurika kuuawa,Muuaji Adakwa, alilipwa Mil.17
Переглядів 19 тис.Місяць тому
KIMENUKA! Waziri mkuu wa Israel BENJAMIN NETANYAHU anusurika kuuawa,Muuaji Adakwa, alilipwa Mil.17
Putin aliamsha Dude, atangaza kuongeza Silaha za Kivita mara 10 ya zilizopo /EU wavurugana Ukraine
Переглядів 5 тис.Місяць тому
Putin aliamsha Dude, atangaza kuongeza Silaha za Kivita mara 10 ya zilizopo /EU wavurugana Ukraine
Mwisho wa Zelenzsky Umefika , Marekani wachoshwa na Vita ya Ukraine /Putin azidi kujizolea Umaarufu
Переглядів 4,3 тис.Місяць тому
Mwisho wa Zelenzsky Umefika , Marekani wachoshwa na Vita ya Ukraine /Putin azidi kujizolea Umaarufu
Zeleszky Aua Raia Wake kwa makombora na kuisingizia Urusi, Jaribio la kutaka kuwau wengine lanaswa
Переглядів 3,6 тис.Місяць тому
Zeleszky Aua Raia Wake kwa makombora na kuisingizia Urusi, Jaribio la kutaka kuwau wengine lanaswa
Ifahamu Silaha ya Urusi iliyomchakaza ADOLF HITLER na Inayoendelea Kuwatesa Magharibi na Zelenzsky
Переглядів 4,1 тис.Місяць тому
Ifahamu Silaha ya Urusi iliyomchakaza ADOLF HITLER na Inayoendelea Kuwatesa Magharibi na Zelenzsky
KIMENUKA! PUTIN AIVURUGA NATO, MAREKANI ATUPIWA LAWAMA /MIKATABA WALIYOSAINI INAWAANGAMIZA WENYEWE
Переглядів 8 тис.Місяць тому
KIMENUKA! PUTIN AIVURUGA NATO, MAREKANI ATUPIWA LAWAMA /MIKATABA WALIYOSAINI INAWAANGAMIZA WENYEWE
Historia ya MUAMMAR GHADAFI kupenda walinzi Warembo ,wakamgeuka na Kumsababishia Mauaji ya Kikatili
Переглядів 4,2 тис.Місяць тому
Historia ya MUAMMAR GHADAFI kupenda walinzi Warembo ,wakamgeuka na Kumsababishia Mauaji ya Kikatili

КОМЕНТАРІ

  • @African511
    @African511 14 годин тому

    Mwamba hakamatiki kabisa Putin na huyu ndiyo kiongozi sasa.

  • @idreytesha5475
    @idreytesha5475 21 годину тому

    You have to be careful on how to right your making so much mistakes ur readers cannt read it and understand KITAWARAMBA ? ? KITA WALAMBA ?

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel День тому

    Hongera sana Putin ❤❤❤

  • @JohnKuwoko-su3ip
    @JohnKuwoko-su3ip День тому

    Wamezoea tangia makoloni walioweka Africa mwanya huo umeisha biashara ya sllaha haikuwa nzuri plani Yao ndio hiyo ya wizi .Walisema ni msaada kumbe ulikuwa kutumia fedha za mrusi Kama gharama vita.Ndio maana ya kiburi kutemea huo wizi

  • @YohanaMboma-vz3sl
    @YohanaMboma-vz3sl День тому

    Asingehudhuria huyo guterezi tungemhoji ;yeye nikatibu WA mataifa ya sayari Gani?

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk День тому

    Manyang'au ndio kazi yao kudhulumu watu mungu awalaani kabisa

  • @RojaRojas-o7g
    @RojaRojas-o7g День тому

    APO AWAPEWI UCRN ATAJIFIDIA, MALEKANI KIGEZO ATAPEWA UCRN

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 День тому

    Walitegemea Russian ni Syria

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 День тому

    marekani ni wenzi wa miaka na miaka, cha msingi hapa inatakiwa na wafanya biashara wz kimarekani nao wataifixhwe tyu

  • @TeddyDickson-w5p
    @TeddyDickson-w5p День тому

    Walitegemea putin ni Gadafi

  • @AyoubKhatib-p4k
    @AyoubKhatib-p4k День тому

    majibu yanakuja kwa putin

  • @HajiMwanz-to3vg
    @HajiMwanz-to3vg День тому

    Viva mweshimiwa putin uraaaaaaaaa 9:06

  • @isacksimonmahungilo
    @isacksimonmahungilo 2 дні тому

    Wakwanza kupiga kelele n nyie sass ngoja mtandikwe uone jinso gwido atakavyo ripoti kwa hurumaa

  • @jumamayonga8914
    @jumamayonga8914 2 дні тому

    Angeuawa muuaji huyo

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 2 дні тому

    🎉Alex gwido

  • @FaustineRichard-kk5xt
    @FaustineRichard-kk5xt 2 дні тому

    Analindwa na na Mungu.

  • @mohdmarshed5465
    @mohdmarshed5465 2 дні тому

    Boss gwido tunaskiliza habari kutoka kwa mwenye ufasaha wa lugha. Habari nzuri na ufasaha. Huyu ana ubora wake lakini, sio kwenye kutoa habari. Barabara ya morogoro yeye ni balabala ya mologolo

  • @SelemanIsmail-c3z
    @SelemanIsmail-c3z 2 дні тому

    Who is a war war criminal? The one who has killed over 40 thousands Palestinians? Or who else?

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk 2 дні тому

    😂😂SASA KILA MTU ANAZO NDEEVU , KAZI IPO. NA IZRAELI MKWARAWAO NI KAMA UCREIN MPAKA ASAIDIWE NDIO ADHURU, ITAN ANASAIDIWE LAKIN % 90 ANAPANBANA MWENYEWE ANATENGEZA MWENYEWE ANAJIPIMIATUU😂😂

  • @yahyadenny4368
    @yahyadenny4368 2 дні тому

    Tunaunga mkono kuuawa kwa huyo net nyau.

  • @yahyadenny4368
    @yahyadenny4368 2 дні тому

    Irani na Israel inafanya kosa kwa kumuacha hai huyo nguruwe mweusi aliyelaaniwa, huyo akitoweka basi vita itaisha kwa sbb waisrael hawamtaki kbs nguruwe huyo.

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 2 дні тому

    Viongozi wa Israel nao,wataanza kuishi chini kama panya buku.Siku akiuawa Netapaka itakua ni furaha kwa nchi nyingi.

  • @raydanfrenk
    @raydanfrenk 2 дні тому

    😂😂😂😂 yan hiv vichannel vya ajabu vinachekesha 😂😂😂 but sawa unatafuta ridhika maana apo ukipata views zako 1000 tsh 3000 unakula

  • @salymsuleiman2035
    @salymsuleiman2035 2 дні тому

    Yaani hao ni wakristo wengi ndio wanajidai hivyo kwa kisingizio ett wale ni ndugu zao

    • @MuhammadsalmudadMuhammad-rq2qz
      @MuhammadsalmudadMuhammad-rq2qz 2 дні тому

      Wacristo wanajidanganya sio ndugu zao mayahudi mayahudi na wacristo mbalimbali hata bíblia mayahudi hawaitambui,.

    • @salymsuleiman2035
      @salymsuleiman2035 2 дні тому

      @@MuhammadsalmudadMuhammad-rq2qz na huo ndio ujinga wa hawa watu

  • @FrolenceSangu
    @FrolenceSangu 2 дні тому

    Uyo anae ua watu Palestine nae apigwe mpaka mwisho

  • @RajabuHussein-to7jz
    @RajabuHussein-to7jz 2 дні тому

    Acha watandikwe hao mashoga Israel wapenda sifaa

  • @ibnusleyyum9743
    @ibnusleyyum9743 2 дні тому

    KULA au KURA?

  • @نجمهجمعه-غ8ق
    @نجمهجمعه-غ8ق 2 дні тому

    Na vp hili swala la wa Israel kueka makazi huko gaza bwana gwido

  • @ConstantineCoscardrov-wb6ih
    @ConstantineCoscardrov-wb6ih 2 дні тому

    Nayeye atawindwa kamayeye anavyowinda wenzake.

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 3 дні тому

    Putin baba lao ❤❤❤❤ Team urusi one love ❤❤ 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @bahatipastorymateru4718
    @bahatipastorymateru4718 3 дні тому

    Ptn n w kunyonga tu😊

  • @FaizaJeizan-q5d
    @FaizaJeizan-q5d 3 дні тому

    Mungu awape nguvu muwaangamize hawa ni maadaui wakubwa laanatulwah israil

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe 3 дні тому

    Yes

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 3 дні тому

    Yes yes.. that is Russia it is the new hope of the world.. Amerika is no more 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 3 дні тому

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉😊Safi sanaaaa,RUSSIA/PUTIN

  • @PapaaMasauti-q7o
    @PapaaMasauti-q7o 3 дні тому

    SELA AMA SERA? ujifunze kiswahili vizuri bana

  • @ghanimajongo7817
    @ghanimajongo7817 5 днів тому

    Uy zelensi kachanganikiwa

  • @SaidAlnaamani-z1o
    @SaidAlnaamani-z1o 5 днів тому

    Mayahudi nimitisho yu

  • @OptionsLimited-l4s
    @OptionsLimited-l4s 6 днів тому

    Wataalamu walimpima Putiiiiiin wakasema ananIQ Ya 509 IQ

  • @OptionsLimited-l4s
    @OptionsLimited-l4s 6 днів тому

    Uraaaaaaaaaaaaaaaaaa uraaaaaaaaaaaaaaaaaa uraaaaaaaaaaaaaaaaaa uraaaaaaaaaaaaaaaaaa 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺 VIVA RUSSIAN VIVA PUTINE

  • @stellaabel2817
    @stellaabel2817 7 днів тому

    Taifa la Mungu haliwezi kushindwa kamwe

  • @protasluambano
    @protasluambano 9 днів тому

    The world is finished

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 9 днів тому

    Hupati comment kwa hayo mashetani

  • @CalebThomas-ie4zy
    @CalebThomas-ie4zy 9 днів тому

    Chanel ya kisnich inawasifia magaidi

  • @athumanisudi891
    @athumanisudi891 9 днів тому

    Wewe gwido achana na hao mashoga twende kwa mzee putin na irani huko

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 9 днів тому

    Gwido acha uwongo.marekani anapeleka mifumo mingi kulinde vifaranga njiwa. Plastina sio maaduwi wameporwa aridhi yao.

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 9 днів тому

    Akuna mfumu apo propaganda ndo zilijaa.kuba ya chuma ya israel ili kuwa inatangazwa sana media na vyombo vya habari zao.alex gwido anamapenz sana taifa israel,nenda urusi na ukreine,cha uwongo.

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 9 днів тому

    🎉IDF ni waongo juz wameuliwa na droni

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 9 днів тому

    Wacha watandikwe mazayuni wa.michongo

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 9 днів тому

    Spiderweb no battery