Shamba la miwa la Said Salim Bakhresa kutoa ajira zaidi ya elfu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Shamba la miwa la Said Salim Bakhresa lililopo Makurunge - Bagamoyo linatarajia kuzalisha ajira mpya zaidi ya 1,000 baada ya upandikizaji wa miche ya miwa kwenye mashamba kuanza rasmi.

КОМЕНТАРІ • 3