jinsi ya kutengeneza Uk paypal account bure kabisa Tanzania

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024
  • Kwenye vidwo naelekeza jinsi ya kufungua uk paypal account tanzania bure kabisa
    #ukpaypal#paypal #paypaltanzania

КОМЕНТАРІ • 9

  • @SuleimanAli-u8o
    @SuleimanAli-u8o 10 днів тому +1

    How to link card

    • @mwisongotech
      @mwisongotech  10 днів тому +1

      Kulink card unatakiwa uwe na card ya Master card au Visa kama hauna card ya benk hizi card zinatolewa na mitando ya simu unatakiwa kuwa na namba za card, security code (CVV) na expiredate ya card utajaza hivyo ukibonyeza link itakubali

    • @shaqszubeh2086
      @shaqszubeh2086 10 днів тому

      @@mwisongotech ingekuwa poa ungekuja na darasa la kuilink hata visa moja

  • @SuleimanAli-u8o
    @SuleimanAli-u8o 10 днів тому

    Huwezi kutum n kupokea kam huna link bank card,visa American press au Amazon

    • @mwisongotech
      @mwisongotech  10 днів тому

      Account yako inauwezo wa kutuma na kupokea na kutuma pesa kama una balamce kwenye paypapal account yako huna haja ya kutumia card kama hauna uatalink card yako kama ya benki au credit card zile zinazotolewa na mitandao ya simu airtel mpesa na tigo kwenye kutoa hii paypal imeunganisha na XOMM direct hutohitaji kutumia XOOM website na bure Kutoa kwa XOOM

  • @shaqszubeh2086
    @shaqszubeh2086 10 днів тому

    Vp mkuu wakti wakuitumia nabdi niwashe VPN au haina hay na je nivitu gni nikivifanya wataiban

    • @mwisongotech
      @mwisongotech  10 днів тому +1

      Hauwashi vpn hawazi kugundua kwa sababu mtu unaweza kutumia account yako nchi yoyote uliopo

    • @shaqszubeh2086
      @shaqszubeh2086 10 днів тому

      @@mwisongotech umetisha kiongozi

    • @mwisongotech
      @mwisongotech  10 днів тому +1

      Thanks