This is my prayer,mungu anifunfishe kuwa na moto safi mbele za Bwana ,mungu anipe moyo wakunyeyekea na,kuniondolea kiburi,sadaka yangu impendeze mungu ,mungu akubariki Sana mtumishi WA mungu,songa mbele,
Huu wanikumbusha nikiwa lodwar high kama chairman wa CU niliuimba sana na ndugu Bishop muraguri,ndugu mwangi God bless those members of the CU 1989 class amen
Who else is with me in 2024
Nipe moyo safi. Bwana niingie mbinguni kukaa milele nawe
the lady's second voice is perfect
This is my prayer,mungu anifunfishe kuwa na moto safi mbele za Bwana ,mungu anipe moyo wakunyeyekea na,kuniondolea kiburi,sadaka yangu impendeze mungu ,mungu akubariki Sana mtumishi WA mungu,songa mbele,
Amen 🙏🙏🙏 mungu awabariki
Nimebarikiwa na huu wimbo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hakika ni kweli ili tuwe na amani duniani lazima tuwe na moyo sf halafu tukapewe tuzo yetu mbinguni
MUNGU akubariki mtumishi wa MUNGU hakika nabarikiwa sana nikisikiliza Nyimbo hizi za upako
Ubarikiwe Sana Tena Sana unanifariji Sana mutumishi wa mungu for marawi
Amina,nikae na yeye milele
Nyimbo hii inanibariki sana napata moyo wa kusonga mbele katika wokovu
Huu wanikumbusha nikiwa lodwar high kama chairman wa CU niliuimba sana na ndugu Bishop muraguri,ndugu mwangi God bless those members of the CU 1989 class amen
Waoh zamani kweli hizo, inatia moyo kusoma ujumbe huu kutoka kwa a CU chairperson.
Kumbe hii song ni yake tukiwa primo tulikua tunaipenda junior youths
Hii ni moja kati ya tungo za nyimbo za injili kama vile tenzi
Natafutaa wimbo ambao uliuimba kuhusu baba ambaye alimpa mimba mwanawe. Nisaidie na jina la wimbo na utabarikiwa
Mungu akutangulie katika safari ya uimbaji wako
Konki ,tusikilize kwa imani
Mungu awabari mmekua baraka Sana kwangu
Hii wimbo hunijenga
Nishike mkono bwana🙏🙏
3024,,,new year message
amina mchungaji abiudi
Nipe moyo safi thank kwa nyimbo zako
napenda sana huduma yako
Mungu amibariki
Amen
Thnx.
Mtumishi ubarikiwe sna kwahuduma zako nzr
Mungu akutangulie katika safari ya uimbaji wako