First day of 2024 I'm here, dear God, mguse kila anayehitaji msaada wako, mwaka huu usipite bila kutenda kwenye maisha ya yeyote anayekuomba baba, Tenda na kwangu Jehova, nakuangalia wewe tuu🙏
Im here to testify, finally Mungu amenionekania, nalitukuza jina la bwana, kabla January haijaisha, Mungu ametenda na kwangu, I pray for everyone's who need help from Jesus, Mungu akutokezee
2020 nilikuwa sina kitu nilikata tamaa kabisa nilipo kuwa naisikiliza nikiwa IRAQ 🇮🇶 namshukuru Jehova shalome ametenda muujiza kweli yani nimebarikiwa na sasa nimehamiya kwangu tena nilikuwa chokora ila kwa sasa ukiingiya kwangu geti kali naonekana wakishuwa😂😂😂 haleluya
Huyu ndiye yule Mungu wa yaliyoshindikana, yeye hawahi wala hachelewi anajibu kwa wakati wake ambao anaona yeye ni sahihi, congrats dear, Mungu aendelee kukubariki
I just found myself singing this song in the morning of 8th January 2024,I know God will do a miracle in my life,this year dear Lord i pray you do a miracle in my life in Jesus mighty name.Amen
Eeehh MUNGU nipo chini ya magoti yangu mbele Yako Kwa unyenyekevu nakulilia, nakuomba, nakusihi uyachunguze hali ya maisha yangu na unitendee tuu muujiza maana wewe ndo tumaini langu, subira yangu, tegemeo langu na tarajio langu loote ni wewe. Eeh MUNGU wangu naomba huu mwaka usiache upite bila kunitendea muujiza! Wow Halleluyah AMINA AMINA na AMINA 🙏🙏🙏
This song reminds me 2019 when I was going through so much, depression both from marriage and family. The place I grew in and called home was to be demolished and there was foreplay in compensation to an extend of finding threats messages written on our gate to scare my mum.I would really cry singing this song and praying novena. My mum one day called me that she went to the bank and compensation money was deposited in her bank. This song will always be powerful to me because that was a miracle
God I am nothing before your face but when I listen to this song it reminds me about my past but I know this year 2023 God you will do miracles in my life without you am nothing God please do some to me in your Almighty name 🙏🙏🙏
Mungu wangu.. Nakuinulia macho yangu.. Ni wewe tu unaweza kushugulika na haja za watoto wangu... HAKIKA mwaka huu 2024 hautapita Bila miujiza ktk Familia yangu
Eeeeh mungu tenda muhujiza rudisha kila kilichopotea fungua milango yote iloyofungwa navunja vunja nguvu zote za giza na mkataa shetani na kazi zake nazikataaa
😢😢❤🤲🤲👏👏amina yesu naomba unde miujiza juu ua maisha yangu na familia yangu tuweke mbali na kuonewa na kuzarauliwa yenfa muujiza umaskini ukaembali na ss mwaka huu usipite bila kutenda muujiza ❤❤🎉
Ee MUNGU kwa imani kupitia wimbo huu naomba ukanitendee muujiza kwenye uzao wangu nipate mapacha, nisaidie nipate kazi Mungu wangu, umuinue mume wangu kiuchumi, ninaamini ee Mungu hutoniacha ninaamini utanitendea Jehova niweze kushuhudia matendo yako ya ajabu Amen.
Thanks may God bless you pastor hakka naona kuinuliwa ninapouimba wimbo huu namimj najua Mungu ataendelea kutenda muujiza katika maisha yangu na kwa familia yetu
Nimelia sana ,nakudhihakiwa ,lakni mara yote nimekuwa nikiamini mungu ndiye atanip furaha ya maisha yangu yote ,,ee mungu uliye mkuu ,huu mwaka naamini 🙏
Wimbo huu umenigusa mtu wa mungu naomba yesu upite kwangu ni miska mingi nikiwa ndani ya machungu ya kutopata mtoto lakini naamini yesa ananigusa hatanipita😭😭😭😭😭😭
Jehovah nitendee miujiza , this has been one of my hardest year. But I know God you are so faithful,grant me more grace and favour, financial freedom and job promotion. Bless me ooh God Iam tired grant me strength and peace.
BABA WA MBINGUNI 🙌 TENDA MUUJIZA.Ndoa yangu BABA,nitetee/regesha upendo ule wa dhati,upendo wa kwanza 😭 ...nipe kibali kazini,niongezwe cheo.BABA WA MBINGUNI nipe afya njema,Amani,madeni BABA tenda muujiza.mwanangu masomoni tenda Baba. 🙏 🙇♀️
Naitwa samwel Mungu nitendee jambo mwaka 2024.mke wangu ashike ujauzito wangu .mwakani anizalie mtotor.amen
Damu inenayo mema kuliko ya Abeli, ifunike uzazi wako❤.
First day of 2024 I'm here, dear God, mguse kila anayehitaji msaada wako, mwaka huu usipite bila kutenda kwenye maisha ya yeyote anayekuomba baba, Tenda na kwangu Jehova, nakuangalia wewe tuu🙏
Thank you so much
Im here to testify, finally Mungu amenionekania, nalitukuza jina la bwana, kabla January haijaisha, Mungu ametenda na kwangu, I pray for everyone's who need help from Jesus, Mungu akutokezee
Amen
Amen
Amen amen Happy
Mungu tenda muujiza wa kupata uzao wa watoto mwaka huu kwa jina la Yesu kwa wotr tunaosubiri bataka hii ee YESU.
2024 where are you kama bado unaskiza
Niko ,still listening
Still listening 🎧 I pray God to bless me before the year ends
2024 nko hapa jehovah mungu nitendee kabla mwaka uishe🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kenyans in the house let's show some love to the Man of God
Done
TENDA MUJIZA BWANA🙏🏼🙏🏼
Tenda miujiza,, is my favourite song of Pstr Abiudi,, I know this year GOD will do it again
❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Show our Love to God
Jehovah 2024 isiishe bila kutenda muujiza
Bado wimbo utàhudumu kizazi hata kizazi🙌🌓
YESU niko hapa usinipite Leo ni zamu yangu kwa jina la YESU KRISTO aliye hai Amina
Mungu naomba Tenda Muujiza 29 October 2024.
January 2025 i will come with a testimony through this song
2024 Mwenyezi Mungu usiache Mwaka huu upite bila kutenda Miujiza Amen.
Mungu ni mwema kila wakati najua mwaka huu 2024 atatenda Muujiza kwangu❤
Mungu ni mwema kila wakati najua mwaka huu 2024 atatenda Muujiza kwangu.
Mungu nimengoja 2023 tangia mwanzo bwana tenda mwaka huu usiishe huu ni mwezi wa mwisho tenda nirudi hapa 2024 kutoa hushuuuda pia mimi mungu Amen
Mungu baba kwa Jina la Yesu nitendee miujiza mwaka 2024. Unijaze na furaha ushindi na mafanikio kwa Jina la Yesu amen
Mungu awena ww Kila uendp
2020 nilikuwa sina kitu nilikata tamaa kabisa nilipo kuwa naisikiliza nikiwa IRAQ 🇮🇶 namshukuru Jehova shalome ametenda muujiza kweli yani nimebarikiwa na sasa nimehamiya kwangu tena nilikuwa chokora ila kwa sasa ukiingiya kwangu geti kali naonekana wakishuwa😂😂😂 haleluya
Ubarikiwe zaidi na mungu akuzidishie
Huyu ndiye yule Mungu wa yaliyoshindikana, yeye hawahi wala hachelewi anajibu kwa wakati wake ambao anaona yeye ni sahihi, congrats dear, Mungu aendelee kukubariki
This my song 2023.....najua Mungu atatenda muujiza Kwa maisha yangu.....💕💕💕💕🙏🙏🙏🙏
Amen. Hata mimi nitaleta ushuhuda. And i pray hio siku mtu alike nikumbuke siku ya leo Thursday, 9th March, 2023
Ndio Mungu atende miujiza🙏
@@tedytitus7205 0
@@piuswerema9619 uphhhyu
Me too siz
Dear lord 2024,tenda muujiza kwangu
2024 ❤❤ NIMEOKOKA
This year 2024, mungu nitendee muujiza
Mungu wangu uketie mahali Pa juu nakuomba mwaka huu usipite mbila kutenda muhunaz 2023 na 2024 mungu naomba utenda
I just found myself singing this song in the morning of 8th January 2024,I know God will do a miracle in my life,this year dear Lord i pray you do a miracle in my life in Jesus mighty name.Amen
TENDA MIUJIZA KWENYE MAISHA YANGU kabla ya huu (2024) mwaka kuisha, nahitaji viwango vingine Bwana 🙏
Who's still listening to this beautiful song in 2023? Be blessed.
2024 it's my year Ee mwenyezi Mungu nitendee namimi
Tenda bwana
oooh Lord tenda baba muujiza kwa maisha yangu ❤❤❤
Nyimbo zazamani hata iweje zinavutiya tu Mungu nime anza mwaka na family yangu mwaka huuu unikumbuke.amen 2024
Lord please remember me 2024,,do a miracle in my life
May He be with you 🙏 Amen
Bwana Yesu Kristo was Nazaret tenda miujiza kwenye maisha yetu 2024. Tukaushangaze ulimwengu.
Eeehh MUNGU nipo chini ya magoti yangu mbele Yako Kwa unyenyekevu nakulilia, nakuomba, nakusihi uyachunguze hali ya maisha yangu na unitendee tuu muujiza maana wewe ndo tumaini langu, subira yangu, tegemeo langu na tarajio langu loote ni wewe.
Eeh MUNGU wangu naomba huu mwaka usiache upite bila kunitendea muujiza!
Wow Halleluyah AMINA AMINA na AMINA 🙏🙏🙏
Amen
Umetenda Mungu utukuzwe utendee na wengine Ameeeen.
This be my song 2024 ,mungu tenda muujiza
Baba tenda muujiza
Mungu wangu nikumbuke , usiache mwaka 2024 upite, bila kunitendea 🙏🙏🙏
❤❤the song forever
Eeehh mungu uliye hai naomba nitendee na familia yngu, tuinue kiuchumi mme wng apate kazi nzuri napokea ktk jina la yesu Amen ❤
This song reminds me 2019 when I was going through so much, depression both from marriage and family. The place I grew in and called home was to be demolished and there was foreplay in compensation to an extend of finding threats messages written on our gate to scare my mum.I would really cry singing this song and praying novena. My mum one day called me that she went to the bank and compensation money was deposited in her bank. This song will always be powerful to me because that was a miracle
Amen dear
Amen
Mwaka huu usipite baba bila kutenda muujiza
Im trusting you lord for restoration i know you're restoring every thing lost in Jesus name 🇰🇪🇰🇪
Who's still listening to this beautiful song 2024? Be blessed 🙌
Kila mara nikiskia hii wimbo natokwa na machozi sana😢
Mungu usipite bila kutenda mujiza pa maisha yangu
Ameen
Tenda mujiza kwangu mwaka huu upite Bira kutenda miujiza ktk maish yangu unekana na kwangu Mungu wangu 🙏🙏🙏🙏
This year will be my year Amen.
God I am nothing before your face but when I listen to this song it reminds me about my past but I know this year 2023 God you will do miracles in my life without you am nothing God please do some to me in your Almighty name 🙏🙏🙏
Ameen
But the most important thing is when you go down with your knee don't forget to pray for the wicked once 🙏🙏🙏
God has done great thing I can never forget December 2017 date 22..Mungu alinitendea muujiza
Mungu nakuomba mwaka huu usipite bila kutenda mjiza
Dear Lord may you do a miracle for My deputy president Rigathi Gachagua and pastor Dorcas❤ in this tough season.
Mungu wangu.. Nakuinulia macho yangu.. Ni wewe tu unaweza kushugulika na haja za watoto wangu... HAKIKA mwaka huu 2024 hautapita Bila miujiza ktk Familia yangu
Nikumbuke huu mwaka Jehovah..niondolee hiki kikombe cha uchungu na machozi.
Tenda muujiza 🙏2024....nakuitaaaa MUNGU
Huu wimbo unanikumbusha mbali sana wakati nilipitia kipindi kigumu lakini kupitia huu wimbo Mungu akanivusha kwenye kipindi kizito
Kila siku muujiza, asante Bwana wa majeshi. Pokea sifa
Eeeeh mungu tenda muhujiza rudisha kila kilichopotea fungua milango yote iloyofungwa navunja vunja nguvu zote za giza na mkataa shetani na kazi zake nazikataaa
Mwenyez mungu naomba utende miujiza week hili napitia maumivu makubwa mnoo naomba mungu nisaidie mwanao
Yesuuu 😢tenda muujiza
This song have been ever my blessing , thanks so much man of God. This year have seen that miracle, hallelujah to my Lord.
Eee MUNGU wangu tenda miujiza kwenye maisha yangu na wanangu🙏🙏🙏
Ewe Mwenyezimungu usiache mwaka huu 2024 upite bila kutenda muujiza wa baraka na afya njema Mimi na familia yangu.
Am listening this song at 4 am 2023,asking God to turn around the table of my enemy ,and I believe he will before this year end
Being 29thJune 2024 Ooh God tenda miujiza in my life and to all whoever needs your miracle
Amen
Nitende bwana huu mwaka uwe wangu wamuujiza Amen 🙏
Mwezi 10 tarehe 2 mwaka 2024 mungu atendee miujiza kwenye maisha yangu
I enjoyed this song through out my pregnancy journey in 2011,I thank God my daughter is now turning 12 years
I will surely testify before the close of 2024 in Jesus Mighty name 🙏🙏🙏
This is my prayer in the year 2024 in Jesus mighty name
Hii nyimbo natembea nayo 2024
Me too
Tenda miujiza Kwa familia yangu, God deliver my husband from his sidhen Diana gatwiri she so evil father,my kids need their dad back🙏😭🧘
Amen, pst nilikua naomba huu wimbo ukanikujia kwa mawazo, Niko na imani Mungu atanitendea muujiza
😢😢❤🤲🤲👏👏amina yesu naomba unde miujiza juu ua maisha yangu na familia yangu tuweke mbali na kuonewa na kuzarauliwa yenfa muujiza umaskini ukaembali na ss mwaka huu usipite bila kutenda muujiza ❤❤🎉
Mungu wewe ndio tegemeo langu usiache mwaka huu upite bila kunitendea 🙏
Tenda muujiza baba😢🙏
Ee MUNGU kwa imani kupitia wimbo huu naomba ukanitendee muujiza kwenye uzao wangu nipate mapacha, nisaidie nipate kazi Mungu wangu, umuinue mume wangu kiuchumi, ninaamini ee Mungu hutoniacha ninaamini utanitendea Jehova niweze kushuhudia matendo yako ya ajabu Amen.
Najua Mungu wangu hatatenda ndani ya familia yngu ..Na kzi yngu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙇
God huu mwaka nitendea muujiza ,,mwaka huu usipite bila kunitendea muujiza
Me on this day 19th April ,2024 begging Gos to heal my son and restore his hearing and give him full speech
I shall come back to testify
Ameen,
Be blessed
Nina imani mwenyezi Mungu utanitendea miujiza kabla ya mwaka huu kuisha Amen 🙏🙏🙏🙏
Amen pokea🙏🙏
Tenda muujiza bwana wewe nimungu
Eemungu usiache mwakahuu upite bila kunitendea muujiza wowote nipo tayali kutubu zambi zngu zote eee yesu nitendee namm muujuza ameni🙏🙏
Tenda muujiza kabla mwaka hujaisha
Ukiwatendea wengine pia nami unitedee,,,mwaka usipite Baba yangu🙏🙏🙏
Thanks may God bless you pastor hakka naona kuinuliwa ninapouimba wimbo huu namimj najua Mungu ataendelea kutenda muujiza katika maisha yangu na kwa familia yetu
Nimelia sana ,nakudhihakiwa ,lakni mara yote nimekuwa nikiamini mungu ndiye atanip furaha ya maisha yangu yote ,,ee mungu uliye mkuu ,huu mwaka naamini 🙏
God did it to me last year September🙏🏽🙏🏽 and am expecting more grace and favour this year too🧎♀️🤲🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Tenda muijiza baba yangu usiache mwaka uyu usiishe Tena muijiza kwanga Mungu wangu bila kutenda muijiza🙏🙏🙏🙏
Mbaka sasa kupata nguvu ya kuandika ihi sms ni bado unatenda muujiza basi kila dakika yesu TENDA MUUJIZA❤
Amen Amen 🙏🙏🙏🙌 mungu nakuomba utende muujiza kwenye maisha yangu mibarikiwe sana kupitia jina la yesu 🙏
Trust in the lord with all your heart and lean not on your own understanding...
In all your ways acknowledge him and he will make you paths straight
Ee mungu mwaka huu usipite bila kufanya miujiza kwa family yangu nakwamaisha yangu😭🙏
Hallelujah,Niko hapa Yesu wangu nikisubirl muujiza wako
Eeeh Mungu wangu tenda tenda tenda baba😭😭🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏
Wimbo huu umenigusa mtu wa mungu naomba yesu upite kwangu ni miska mingi nikiwa ndani ya machungu ya kutopata mtoto lakini naamini yesa ananigusa hatanipita😭😭😭😭😭😭
2024 mungu tenda na mimi nibadilike ki roho kimwiri na kimaisha
Im here ooh lord, nitendee mhujiza huu mwaka mungu wangu,u know my dreams.change the situation God.amen
Jehovah nitendee miujiza , this has been one of my hardest year. But I know God you are so faithful,grant me more grace and favour, financial freedom and job promotion.
Bless me ooh God Iam tired grant me strength and peace.
Praying for a miracle today Lord Jesus.... Send me help from your sunctuary Elohim
I like this song it strengthen my faith 🙏🙏🙏
Much love from Kenya 🇰🇪
Tenda miuujiza bwana,u know me Lord,mwaka huu husipite bila kutenda miuujiza
Asante sana najua mungu ata nitendea makuu nama ajabu katika maisha yangu katika huu kwaka wa 2024🙏🙏
YESU KRISTO WA NAZARETH tenda muujiza juu yangu na mume wangu hizi siku saba zisipite bila kutenda muujiza