KILA MTU AMELIA KWAYA YA ZABRON SINGERS WAKIIMBA MBELE YA JENEZA LA MARCO KATIKA IBADA YA MAZISHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 118

  • @pascopetro-h7d
    @pascopetro-h7d 18 днів тому +4

    Poleni sana, na Mungu akawe faraja kubwa kwenu kwa kipindi hiki kigumu cha majonzi cha kuondokewa na rafiki yenu mpendwa na mtumishi wa Mungu, Marco Joseph, apumzike kwa amani

  • @FortunateAkaro
    @FortunateAkaro 18 днів тому +10

    Mtu huyu ktk kwaya hiyo kati ya Wacha Mungu alikuwa yeye ila nawatia moyo endeleeni kukagua maisha yenu msiimbe tu kuwafuraisha watu katika uimbaji wenu wapendwa

  • @Lily-i1b
    @Lily-i1b 18 днів тому +5

    Isaiah 43 mungu awafariji wanazabron from kenya

  • @سليفياكينيا
    @سليفياكينيا 18 днів тому +3

    Poleni Wana singers mungu awatie nguvu amaliza Kazi Yale Duniani nyimulio Baki mko nakazi muiendeleze huduma yamungu Duniani Sisi tuapitaji

  • @samsonaciita6395
    @samsonaciita6395 18 днів тому +1

    Farijikeni sana ndugu zangu katika kristo ,tumeitwa kujifunza kunyenyekea na kutafuta utakatifu kila dakika hakuna aliye na kesho yake iko kwa Mungu tu

  • @user-kp6vb1ev4w
    @user-kp6vb1ev4w 16 днів тому

    Poleni zablon singers we love you so much from Kenya😢😢😢

  • @LiberataMunyiva
    @LiberataMunyiva 18 днів тому

    Aaah....huyu mtu kweli amezindikishwa ki UMungu kabisa...alimpenda Mungu na binadamu.....God rest him in perpetual light....from Kenya watching with alot of sadness.

  • @InnocentAutumnTrees-ux1jj
    @InnocentAutumnTrees-ux1jj 18 днів тому

    Mwenyezi Mungu ndio anawezakujaza pengo hili ..May the Lord comfort en strengthen all af us as Eastafrica ...pia nasi tujitahidi kutengeneza yale yaliyosalia ikiwa unyakuo umepiga hodi saana😢😢

  • @gloriamavura3706
    @gloriamavura3706 18 днів тому

    Poleni sana, watumishi wa Mungu, Mungu awatie Nguvu, Apumzike kwa Amani.

  • @gladnessmsolla6006
    @gladnessmsolla6006 18 днів тому +1

    Kifo cha huyo kaka kimeniumiza sana...ila hakuna namna tumshukuru Mungu kwa kila jambo ni yeye Mungu ameruhusu😭

  • @Esthersilwani
    @Esthersilwani 18 днів тому +3

    Nimejaribu kukivaaa kiatu kimebana Mungu awatie nguvu😭😭😭😭😭

    • @HappyBarnOwl-ug5kt
      @HappyBarnOwl-ug5kt 18 днів тому

      Kwa kwel ni ngumu jamn dah 😭😭😭 ila mungu ni mfariji

  • @GeorgeErasto-s7q
    @GeorgeErasto-s7q 18 днів тому +1

    Poleni sana ndugu zetu kwa kuondokewa na mpendwa wenu

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 18 днів тому +2

    Mungu Awabariki Awafariji Wana Zabron

  • @mariamuthoni
    @mariamuthoni 18 днів тому +3

    Mungu na awafarinji na awape nguvu

  • @tommlewa9067
    @tommlewa9067 18 днів тому +2

    Pole kwa wote walioguswa na msiba huu

  • @LilianMokua-y8b
    @LilianMokua-y8b 18 днів тому +1

    Poleni sana mungu hawafariji zabron singers

  • @MargrethMloka
    @MargrethMloka 17 днів тому

    Jaman polen Sana Mungu awe faraja yenu jaman hili limetuliza Sana wote

  • @Alicemdee
    @Alicemdee 18 днів тому +3

    MUNGU PEKEE AWAPE FARAJA 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @harrietajiambo229
    @harrietajiambo229 18 днів тому +2

    Msiba mzito ila Mungu awatie nguvu kwa huu wkt mgumu

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 18 днів тому

    Poleni sana mandugu wetu tz family marafiki mungu awafariji wakati huu

  • @Maxmillian-mz5dm
    @Maxmillian-mz5dm 18 днів тому

    Ni kweli tunakili KAZI ya mungu Haina makosa,mungu awape faraja itokayo mbinguni,pia endeleeni kufanya KAZI ya Mungu wetu

  • @evagoodluck9595
    @evagoodluck9595 18 днів тому +2

    Mungu azidi kuwa faraja kwenu

  • @angelinamotee8897
    @angelinamotee8897 18 днів тому

    Poleni sana,Mungu awaited nguvu.

  • @agapelemna8804
    @agapelemna8804 18 днів тому +1

    Mungu akawe faraja kwenu

  • @Shiro-pt2uo
    @Shiro-pt2uo 18 днів тому +3

    Condolences to the family

  • @DarmianCharles
    @DarmianCharles 18 днів тому

    Mungu awatie nguvu familia jamn nimeumia name polen sana mungu awe nanyi

  • @gloriamavura3706
    @gloriamavura3706 18 днів тому +1

    Mungu awatie nguvu mpya.

  • @LeticiaMhando
    @LeticiaMhando 18 днів тому +1

    Poleni sana mungu azidi kuwatia nguvu

  • @marcellashida4617
    @marcellashida4617 18 днів тому +1

    May God intervene and console you

  • @ChristinaNicodemus
    @ChristinaNicodemus 18 днів тому +2

    Pumzika mtumishi wa mungu

  • @ElizabethIlanda-r3c
    @ElizabethIlanda-r3c 14 днів тому

    Polen sana mung awaite nguvu tupo pamoja kuomboleza maico

  • @user-vm9me9jr5n
    @user-vm9me9jr5n 18 днів тому

    Mungu awwpe. Faraja zablon singers from kenya

  • @AngelJames-m7n
    @AngelJames-m7n 18 днів тому

    Mungu awe faraja kwenu inauma sana pale watu mkiwa kwenye kikundi kimoja mkifanya huduma na ghafla mwenzenu akaanguka 😢😢poleni sana wana zabron.

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 18 днів тому

    Joel Mungu akubariki kwa Upendo
    Poleni sana😢😢

  • @JennyMathias-k1m
    @JennyMathias-k1m 18 днів тому

    Mwenyez mung awajalieee mwoyo wa faraja

  • @mwanzadamaris7854
    @mwanzadamaris7854 18 днів тому

    Poleni sana mungu awatie nguvu

  • @GraceProsper-n2p
    @GraceProsper-n2p 18 днів тому

    Ni ngumu kuamini Roho unauma Sana najikaza nashindwa najikuta namwaga machozi hasa nikiangalia familia yake jmn unauma Sana pole mama mtoto wake mungu akutie nguvu dada

  • @lucyakoto640
    @lucyakoto640 18 днів тому

    Mwenyezi Mungu awafariji na kuwatia nguvu.

  • @StevenJohn-ks6mr
    @StevenJohn-ks6mr 18 днів тому

    0hh😢 moyo wangu umeumia nimejawa nabalidi jamani Mungu tupe faraja 😢😢😢

  • @christinejuma6591
    @christinejuma6591 18 днів тому

    Wakenya tuko pamoja nanyi ndungu zetu wana Zablo singers mungu wa amani awafariji wakati huu mgumu

  • @MarySale-t6g
    @MarySale-t6g 18 днів тому

    Poleni wapendwa mungu awe faraja yenu

  • @JACKLINALANI
    @JACKLINALANI 18 днів тому

    Poleni sana wanakahama kwani msiba huu umetugusa wengi

  • @dorcasnzioka1334
    @dorcasnzioka1334 18 днів тому

    Poleni sana.May his soul rest in eternal peace

  • @leahmakokha8922
    @leahmakokha8922 18 днів тому

    Oh!God this is soon painful.Marco rest in peace😭😭😭😭

  • @ElizamlichagulaElizam
    @ElizamlichagulaElizam 18 днів тому

    poleñi sana wapendwa kwa kipindi hiki kigumu

  • @mariamhelen7808
    @mariamhelen7808 18 днів тому

    Polen sana mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu kwengu

  • @SheilaMmbone-j9i
    @SheilaMmbone-j9i 18 днів тому

    Poleni sna Mungu awatie nguvu so painful😭😭😭

  • @fraviusSypilian
    @fraviusSypilian 18 днів тому

    Polee sana ndungu

  • @emmanuelikitomari1212
    @emmanuelikitomari1212 18 днів тому

    Poleni sana ndugu zetu

  • @user-ob7jh3bh9s
    @user-ob7jh3bh9s 18 днів тому +1

    Poleni sana zabron singers

  • @user-tk4lc8nr5z
    @user-tk4lc8nr5z 18 днів тому

    Poleni sana zabron kwa msiba mzito

  • @dunstankihaa2383
    @dunstankihaa2383 18 днів тому

    1 wathesalonike 4:13-18, Mungu wa mbinguni akawape faraja watumish wa Mungu

  • @norahatambo9515
    @norahatambo9515 18 днів тому

    May you all be comforted of the Lord. May His grace be sufficient for the family.

  • @monicahjoseph2528
    @monicahjoseph2528 18 днів тому

    Kifo😢😢😢 💔😩😞😭 ehhh nt ndio njia yakila mmoja

  • @user-sn6qz9pi5p
    @user-sn6qz9pi5p 17 днів тому

    I cant control my tears

  • @HansJotham-ht1ul
    @HansJotham-ht1ul 17 днів тому

    Nawaombea.
    Mungu awe faraja kwenu

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 18 днів тому

    Daah wimbo mkari unachoma sana tafakari yake inataka kufanana na ya ambasada ile ya Ajari kisha wakasema kwanini umeruhusu EE Bwana Mungu awapeni moyo mkuu wapendwa

  • @rozeyousef9823
    @rozeyousef9823 18 днів тому

    😢😢😢😢dh Ee Mungu kwa nini umetupiga pigo zito hivi🙏🏿🙏🏿

  • @VionaMuthoni289
    @VionaMuthoni289 18 днів тому

    Wakati umefiliwa then uwe ukiambiwa mtu wenu ameenda mbinguni hajafa unaskia tu Mungu arudi the same min muende nyote au dunia ipasuke muingie nyote maana uchungu ni mwingi😢😢😢😢lkn kila mtu duniani Mungu amempangia siku yake,Rip Mark

  • @doreenmoraa1410
    @doreenmoraa1410 18 днів тому

    Poleni sana zablon singers kwa kumpoteza mwenzenu mungu awatie nguvu pamoja n familia

  • @danielmasunga4049
    @danielmasunga4049 18 днів тому

    Condolences to the family 👏

  • @user-hl4tv6gm7o
    @user-hl4tv6gm7o 18 днів тому

    Poleni sana mungu awafarij

  • @annamlay6192
    @annamlay6192 17 днів тому

    Poleni sana

  • @dennis-fp6cf
    @dennis-fp6cf 17 днів тому

    Kweli inauma sana hakika.

  • @DavidOmurwa
    @DavidOmurwa 18 днів тому +1

    Pole wanazablon choir

  • @KhadijaJacob
    @KhadijaJacob 18 днів тому

    Kwa kwel nimeumia sana😭😭😭

  • @GideonGasakanyika-w5c
    @GideonGasakanyika-w5c 18 днів тому +1

    Polen sana nampata sana

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 18 днів тому

    😭😭😭Tufariji Bwana🙏

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 18 днів тому

    Huyu Japhet ni MTU na ni MTU tena hapa Bongo

  • @JacklineJemugechebon
    @JacklineJemugechebon 18 днів тому

    Poleni sana familia ya zabron

  • @YohanaSimon-g3p
    @YohanaSimon-g3p 17 днів тому

    Mngu awatangulie kwakila hatua mnayo ipitia

  • @MaSuzy-zf8ol
    @MaSuzy-zf8ol 18 днів тому

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢jmn mungu tusaidie kwa kweli

  • @AminaMatano-p3d
    @AminaMatano-p3d 18 днів тому

    Oooh My God 😭😭😭😭😭poleni sana

  • @neemalaurent9836
    @neemalaurent9836 18 днів тому

    Condolences to the family of zabron singers

  • @patricekenfack5706
    @patricekenfack5706 18 днів тому

    Rip Marco, what did not go well

  • @MariumElias
    @MariumElias 18 днів тому +1

    Jamani 😭😭😭😭😭

  • @YustinaRevocatus
    @YustinaRevocatus 18 днів тому

    😂 poren Sana mungu awatie nguvu

  • @EvaLazaro-t2c
    @EvaLazaro-t2c 18 днів тому

    Poleni sana asee😢😢😢

  • @AsmaKasimu-d4d
    @AsmaKasimu-d4d 18 днів тому

    Mungu ampokee malco da😂😂😂 so sad

  • @MERCYmercy-rl3lu
    @MERCYmercy-rl3lu 18 днів тому

    Poleni sana 😭

  • @marykaranja2880
    @marykaranja2880 18 днів тому

    God may comfort them😢😢😢😢

  • @JamesOwino-n8r
    @JamesOwino-n8r 18 днів тому

    Cameraman jaribu tena

  • @bensonmoye9846
    @bensonmoye9846 18 днів тому

    Hili limeniumiza sana hakika

  • @TWIDIHIZENDIKWEGE
    @TWIDIHIZENDIKWEGE 18 днів тому

    Very painfully

  • @user-sm3wo9sz3y
    @user-sm3wo9sz3y 18 днів тому +1

    Rip

  • @kenethwille
    @kenethwille 18 днів тому

    Polen sana wote tume guswa

  • @gloriamavura3706
    @gloriamavura3706 18 днів тому

    Mungu awatie nguvu wapendwa 12:53

  • @SheilaCarl-ii2dr2ir5v
    @SheilaCarl-ii2dr2ir5v 18 днів тому

    😢😢😢😢 ei poleni ...

  • @lizanasambu2125
    @lizanasambu2125 18 днів тому

    Inauma sana ak 😭😭😭

  • @GidionLulaga
    @GidionLulaga 18 днів тому

    Poleni Sana ndugu wote mliopatwa na msiba huu

  • @MarySolomon-c7k
    @MarySolomon-c7k 18 днів тому

    Mungu awepe nguvu

  • @user-ec6lg7tu4f
    @user-ec6lg7tu4f 18 днів тому

    Jamani inatia huruma jamani

  • @gloriamavura3706
    @gloriamavura3706 18 днів тому

    Wimbo wenu unagusa sana

  • @neddychebii9165
    @neddychebii9165 18 днів тому

    May God Comfort everyone😭😭😭😭it's so painful😭😭😭😭

  • @witnessezron4607
    @witnessezron4607 18 днів тому

    😢😢😢😢 mungu awape nguvu ktk kipindi hiki cha. Nguvu

  • @florarwegerera8025
    @florarwegerera8025 18 днів тому

    😭😭😭😭

  • @gloriamavura3706
    @gloriamavura3706 18 днів тому

    12:53

  • @gracetillye1856
    @gracetillye1856 18 днів тому

    Isaya 41:10 wapendwa wangu

  • @Kahakiirungu1398
    @Kahakiirungu1398 18 днів тому

    😢😢😢😢😢😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @MariaMagele
    @MariaMagele 18 днів тому

    😭😭😭😭😭😭😭