Huyu mtoto anacho kipaji kikubwa na atafika mbali sana. Hivyo anafaa alindwe sana, nashukuru MUNGU wazazi wake wametambua hilo na wako naye bega kwa bega. Asante kwa familia endeleeni kumlinda Abby Chams atimize malengo yake. Ushauri kwa Abby najua anajitambua sana ila lazima awe makini sana na marafiki anaokuwa nao popote alipo. sababu ni nyingi ila moja kubwa ni wivu wa maendeleo.Nampenda na Namuombea sana ulinzi wa MUNGU kila iitwapo leo.
hizo labor zinawapoteza tuu zinge kuwa na impact zinge mpeleka ommy dimpoz mbali au alikiba walikuwa uko so is all about kupoteza vipaji bora arushe madude independent tusupport tuu
Huyu mtoto anacho kipaji kikubwa na atafika mbali sana. Hivyo anafaa alindwe sana, nashukuru MUNGU wazazi wake wametambua hilo na wako naye bega kwa bega. Asante kwa familia endeleeni kumlinda Abby Chams atimize malengo yake. Ushauri kwa Abby najua anajitambua sana ila lazima awe makini sana na marafiki anaokuwa nao popote alipo. sababu ni nyingi ila moja kubwa ni wivu wa maendeleo.Nampenda na Namuombea sana ulinzi wa MUNGU kila iitwapo leo.
Napenda sn interviews za Abby chams Mungu atamfikisha mbali
She's So brilliant....i like it ❤
Best interview,inspirational n too funny ..huko mwisho nmecheka sana,Abby chams is realy charming🤣🤣
😅😅😅😅mi kaniacha hoi eti zaman za kale nimezaliwa 2003🤣
Beauty with brains 💯
Abby nko sure atabeba grammy award❤❤❤❤❤
Nakapenda sana haka katoto mungu akubari
Mno❤❤
Amen
She ia doing great... Hongera zake sana Abby Charms
Beautiful with a talent 🔥🔥
#vjmberos kujaribu2 charms gogogo up kabisa..254 ndi9 mtaa wa muziki
I love Abby jamani uwiiiiiiiiii❤❤❤❤❤❤❤❤❤
She is so talented and genius!
🔥🔥🔥. The switch ambassador group 🍷🥂
Abby chams ana kipaji na atafika mbali sana,napenda sana interview zake
My favorite 😍❤
Such a dope interview, lil is so much talented ❤️❤️
Jamani jirani zetu mtz uyo.. 🔥 🔥🔥💋
Abby una sauti nzuri na unafaham kuimba keep it up. you remind me of Aliyah..
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ nampenda from Kenya
Hapo zaamani zaa kale nilizaliwa familiya yaa watu tano 2003..❤❤❤❤❤Aby 😂😂😂😂😂
😀
Namukubali sana Abigail 🥰🥰🥰🤝🤝🤝🤣🤣🤣👏👏🇨🇩🇨🇩
Nakupenda sana Abigail cham
Nakapenda mno, beautiful with brain
Yani huyu ndo wanamfananisha na paula duhuu mtoto yuko smati hv kichwan
She is brilliant
Napenda intavyooo zaa LY Omy
🌍🌍🌍🌍🌍🌎🌏📌📌all the world you unatisha sanaaaaa
Top top top interview
So smart ❤
Lily Omy ni mfalme wa mahojiano moja kati ya watu wanani inspire kwenye utangazaji ni wewe
Interview nzuri, nime reply ile sehemu ya vyakula sana. Na nimecheka sana 😂😂😂🙌🙌
From Zanzibar 🇹🇿
Luv u Abby
Ku cross border sio wazo baya lakini be careful with Sony Davido can tell you what happened to him....
She’s so funny I like it
In this interview she was calm
King of interviews TZ most wanted ORST Mboka manyema ushindi ni mwing Kizazi sana 🤴👑
Ya Nini kujisifia sana lilyomy.... Fanya kazi
Huyu yuko talkative na interesting Ana furahisha kum sikiliza AKILI KUBWA
Abby ana furaha muda wote 🥰🥰🥰
Mzr sana
Safi sana tengeneza aina nzuri ya mziki wa kipeke
Creative
Thanks
such a dope interview
Huyu akiingia studio na vanessa mdee au bac tu
Talkative girl
Nakukubali Master Chief
Mungu awatunze wazazi wake
Katot❤❤❤❤
❤❤
😂 love you so much ❤ Abby
Hapo kwny ugali amejitahidi kukwepa ili isimletee shida ila Lil Ommy umechomekea mpk amejibu ila imebidi aupambe🤣🤣🤣
Anapenda kuku sio miguu ya kuku wala kichwa
😂😂
@@fadhilaongezaongeza226 mm pia tena wakisasa labda niwe kwenye hatar yakufa cjawh kula hata kwa bahat mby
@@fadhilaongezaongeza226 😅😅😅😅 mwenyewe aisee
@@vickydan2869 😂😂😂😂😂
31:17
Wow
Kizazi sana
hizo labor zinawapoteza tuu zinge kuwa na impact zinge mpeleka ommy dimpoz mbali au alikiba walikuwa uko so is all about kupoteza vipaji bora arushe madude independent tusupport tuu
Woow
Nakukubali sana mwamba
✌️✌️✌️🇹🇿💪
Nataka kujua alizaliwa wapi na anaishi wapi
katoto kana sura ya kitusi jamani
Aka nako😅
Nice
Daah ety aby niwa 2003 JAMANI mbona analingana na mimi
Wewe upo wapi
Nipo MWANZA
@@oscermushi5608 mi nipo MWANZA
Palachch utumii 😄
Jamani haka kamtu Mimi sikasikii vizuri kaaaah,🤣🤣🤣
Ko hukasikii vizuri kwamba masikio Yako hayasikii vizuri au lugha ndo tatizo
😂😂😂😂😂😂Dah ila ugali ata mm siupendi
Kweli ommy kacheka amempenda huyu bint cjawai ona kacheka hivi kidogo maji yampalie
KING✨👑👑
🙌🙌🙌
😂😂😂she’s so funny
Mwanangue omi ulifanya kazi sana koz hyo Girl anaongea haraka ka cherehani kweli
Ilifaaa awe mtangazaji wa BBC,au CNN news
18:26-18:32
🤣🤣🤣panpapapaaa💔
@@noeljudith7555 🤣🤣🤣🤣🤣
Mtoto wa kishua uyu 😂😂😂😂
Yo, Ommy man what title is that!?😃
Why he is not interviewed by big media outlets.
Sasa naomba chunga mimba kwa brasa Diamond,,,,,,,hataki.ku9na wasichana warembo
Huyu mtoto amenifraisha hapo kwenye ugali et kila mtu ana test zake test ya ugali mbaya
🤣
😂😂😂
Kina vibes flani kama V money
Akili kubwa,
Utadhani mtoto wa christina shusho yaaa wamefanana!
Moja ya watu wanaojua kuhoji ni lili
Kakishua sana hafu ngeli ya hapa ni ya 5G kabisa noma sana
Kiukweli unasauti sana sasa ni sauti mbili tu ruby na wewe nyinyi mnasauti ya kuimba
Ivi Abby anaishi bongo au
Nimpee number yake!
Sauti imekata lily
😂😂😂😂😂😂hakuna siku nimecheka kama leo
Umeulizwa chakula sio matunda
Nimecheka sana uyu dogo wakishua ye anaona kawaida
😅😅😅😅
Kwa mala ya kwanza sijawai kuona lili ommy akicheka hv atakua kampenda uyu binti
🤣🤣🤣hata ungekuwa ww ungecheka huyo Binti anafurahisha sana
😂😂😂
😂😂😂😂
Mtoto anaongea huyu kama cherahan duh! wanaume wana kazi sana jinsi ya kumtongoza!
Ommy naona sauti imekata.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Vitu vimekaa vibaya msiwe mnaonesha adii miguu mnaharibu kipindi
Usiposikiliza kwa makini hutaelewa alichotamka
Ila na ufundi wake wote bado et hamuwez Sarafina 😂😂😂
😂
Haha