Ukumbusho wa kirafiki: Huwezi kujua kitu kipya bila kuwa mwanzilishi kwanza.ASLAY alianzisha kitu chake na alifanikiwa.(MTOTO KUWA MWANAMUZIKI MASHUHURI) Kwa hiyo usiogope kujikwaa, kuhangaika, na kujifunza. Kubali mchakato, kumbatia ukuaji, na ujiangalie ukibadilika kuwa mkubwa wa kweli.(ASLAY AMEWEZA) Ikumbuke sauti yako. Kuna mtu mmoja tu anayesikika kama wewe.(ANACHOKIWEZA HAWEZI KUSHINDWA) Msanii Usiogope kuruhusu ulimwengu kusikia jinsi unavyosikika. Sisi sote hatuwezi kusikika sawa.(HAFANANI NA MTU ASLAY NI MMOJA) #BOKA
Nice interview ,anaongea ukweli kabisaa alioptia , tofaut na wasanii wengne kila ktu wakiulizwa wanakataa tuh na huk nje inajulkana wamefanya. BEST INTERVIEW
Aslay n kijana mkweli Sana muelew ,alaf anaongea ukweli atafika mbali sanaaa na pia ana kumbuka wema alotendewa ,ubarikiwe zaidi Aslay nataman mrudiane na Tessy
Hujawahi kujiharibu hata kidogo kwenye mwili wako, ata uso wako unavutia,ila wengine wasanii Noma Sana kwenye sura zao Hadi ngozi zao, Aslay nikuombe Tu uache kunywa pombe ila utulize akili kisha urejee vyema Sana kabisaa, mahusiano ni shida kubwa mnooo
Aslay Mdogoangu, Nakubali Sana Mziki Wako, Moja Kati Ya Wasanii Ambao Awana Kiki, Awana Makundi Wala Sio Msanii Wa Kiki, Piga Kazi Mdogoangu, Mw\ Mungu Akujalie Uwe Mkubwa Zaidi Ya Hapo Ulipo🤲
Dogo anajua sana pia kuna wasanii wakubwa hawajui hata kujitetea yani unajielezea vzr sana hadi huo msemo wako wa hua sishindwi ninachokiweza😂 big up sana bro@aslayshika
Hawachelewi WAKENYA kumfanya wao. Nnachowapendea WAKENYA ni kuwa CHOCHOTE kizuri ni chao kama yule Mdada WA KENYA alisema OLDUVAI GORGE IPO KENYA . MLIMA KILIMANJARO UKO KENYA. ASLAY naye kwa sasa ni MKIKUYU😂😂😂😂
Tunajua Hilo ASLAY ni MKIKUYU kwa sasa hivi. Wa kwenu huyo kama ambavyo MLIMA KILIMANJARO UKO KENYA, OLDUVAI GORGE iko KENYA na hata ALI KIBA ni MKENYA WA MOMBASA. KENYA is a GREAT COUNTRY.🙏🙏🙏
millard hongera sana kwa kutupasha habari, kwa team nzima ya AyoTv nawapa hongera. nina ombi moja kwa upande wa mahojiano ya kipindi chenu,uboreshwaji kwa hawa ndugu zetu viziwi kuwawekea mtu atakayewatafria kama tunavyoona baadhi ya vipindi vingi vya Tv.
Good vision nimetumia sim ya mke wangu kipenzi ila tunakukubali sana na hata kwa gari yangu ninanyimbo zako kama za ela yote na nimekufuatia toka yamoto band na ninakuombea kwa mungu ufike mbali
This is the best interview na msanii wa Bongo flavor Big up Aslay. I really enjoyed. Big up Ayo TV Maswali na majibu was perfect.
In Kenya,Aslay ,Kiba na Nandy wanatamba sana ❤️🇰🇪
I just love Aslay🇰🇪🇰🇪❤❤
Daaaaah bro unajikubar sana nakubali pia unajua kujibu maswali ya maprisenter respect you my brother
Kijana humble ❤
mungu akupiganie aslay uludi pale ulipo kuwepo nakukubal sana jmniiii❤
Nyota ya Aslay inang’aa sana ila kuna watu wanataka kuizima😢
Namupenda asley iko humble na anajua imba saaana
Ukumbusho wa kirafiki:
Huwezi kujua kitu kipya bila kuwa mwanzilishi kwanza.ASLAY alianzisha kitu chake na alifanikiwa.(MTOTO KUWA MWANAMUZIKI MASHUHURI)
Kwa hiyo usiogope kujikwaa, kuhangaika, na kujifunza.
Kubali mchakato, kumbatia ukuaji, na ujiangalie ukibadilika kuwa mkubwa wa kweli.(ASLAY AMEWEZA)
Ikumbuke sauti yako.
Kuna mtu mmoja tu anayesikika kama wewe.(ANACHOKIWEZA HAWEZI KUSHINDWA)
Msanii Usiogope kuruhusu ulimwengu kusikia jinsi unavyosikika.
Sisi sote hatuwezi kusikika sawa.(HAFANANI NA MTU ASLAY NI MMOJA)
#BOKA
Aslay ni mtu poa ana, Mungu aendelee kubariki kazi ya mikono yako.
Thanks Millard Ayo na team yako nzima kwa kazi nzuri, i wish you all the best🎉
Aslay we love you from burundi🇧🇮🇧🇮Kibokooo aiseeeee
Nice interview ,anaongea ukweli kabisaa alioptia , tofaut na wasanii wengne kila ktu wakiulizwa wanakataa tuh na huk nje inajulkana wamefanya. BEST INTERVIEW
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Aslay is very composed, hana mabwebwe, like most bongo artists.
Aslay n kijana mkweli Sana muelew ,alaf anaongea ukweli atafika mbali sanaaa na pia ana kumbuka wema alotendewa ,ubarikiwe zaidi Aslay nataman mrudiane na Tessy
Katika hii interview yoote nimegundua MKUBWA FELLA ni legend asiyeimbwa.
Hujawahi kujiharibu hata kidogo kwenye mwili wako, ata uso wako unavutia,ila wengine wasanii Noma Sana kwenye sura zao Hadi ngozi zao,
Aslay nikuombe Tu uache kunywa pombe ila utulize akili kisha urejee vyema Sana kabisaa, mahusiano ni shida kubwa mnooo
Mashaallh Allah akuzidishie ktk maisha yko mzaramo mwenzangu❤tunakupenda sana Asly
Aslay Mdogoangu, Nakubali Sana Mziki Wako, Moja Kati Ya Wasanii Ambao Awana Kiki, Awana Makundi Wala Sio Msanii Wa Kiki, Piga Kazi Mdogoangu, Mw\ Mungu Akujalie Uwe Mkubwa Zaidi Ya Hapo Ulipo🤲
Dogo anajua sana pia kuna wasanii wakubwa hawajui hata kujitetea yani unajielezea vzr sana hadi huo msemo wako wa hua sishindwi ninachokiweza😂 big up sana bro@aslayshika
Aslay uko vizuri endelea kupambana
Nice interview Sio haina Mbwembwe Nyinyi Vibe Of The Day *Siwezi Shindwa Kitu Ambacho nakiweza*-(30/09/2023)❤️🇰🇪❤️
Dogo ni mkweli kabisa. Zidi kutamba Aslay🔥🔥❤. Millard ayo nawe ubarikiwe sana.
Love from burundi mzee aslay🤛🇧🇮🇧🇮
Millard really knows how to ask gooood questions which are engaging. Ndoto yangu ni kuku interview siku moja😊
Inawezekana
Mwenyez Mungu akujalie mwanang nakupenda sana Huna maringo Wala dharau ubarikiwe sanaa
@@dorisimgeni3936 asante sana 🤗
Asley mutu wamaana sana❤
Pambana Aslay unaongea vizuri hujigambi unajibu Maswali bila wasiwasi na ni mkweli.
Kinacho nishawishi upole wako ma heshima Yako 🥰🥰🥰wazazi wangu wamekusifia sana kwa tabia Yako,sula Yako ya upole inanivutia 🥰🥰🥰🥰💕💕💕
Wimbo mzuriiii
Ngoma zako Aslay Yess bana nazikubali
Millard Ayo & AyoTV. Kings of interview. Big up.sana kwa Aslay
Huyu mwamb Yuko powa,,Ana kumbuka alipotoka ,,Na ana heshimu walio MPA Sapport
ASLAY uko vizuri saaana. Unajua kujieleza na uko Muwazi. Big Up.👍👍👍👍
Aslay mukali sana uku Kenya tunamukubali sana👏👏👏👏👏
😂😂 you can tell when Kenyans like someone, they are always in the comment section, just tell me you are Kenyan and you like Aslay without saying it. 😅
Tuko wengi
Yamoto band ilikuwa Sawa.
Big up kwakukumbuk fadhiraa honger Aslay
Kenya my country ❤❤ kijana Aslay katajirikia Kenya 💪💪 wapi likes za aslay
Ni mkenya😂😂
Hawachelewi WAKENYA kumfanya wao. Nnachowapendea WAKENYA ni kuwa CHOCHOTE kizuri ni chao kama yule Mdada WA KENYA alisema OLDUVAI GORGE IPO KENYA . MLIMA KILIMANJARO UKO KENYA. ASLAY naye kwa sasa ni MKIKUYU😂😂😂😂
Tunajua Hilo ASLAY ni MKIKUYU kwa sasa hivi. Wa kwenu huyo kama ambavyo MLIMA KILIMANJARO UKO KENYA, OLDUVAI GORGE iko KENYA na hata ALI KIBA ni MKENYA WA MOMBASA. KENYA is a GREAT COUNTRY.🙏🙏🙏
@@DUL69wachocha sana😂😂
Yani mbosso hana hela kabisa mbaka akakae nyumba alo jengewa kwel wasanii hawana hela lebo kubwa wasafi nyumba hawana
Mkubwa aslay,, aki nngependa siku moja nfanye mziki nawe
Millard nakukubari broo... Unamkenga sana aslay.. Aslay kanenepa jaman.... Njimbo zake ni nzuriiii😍🔥
millard hongera sana kwa kutupasha habari, kwa team nzima ya AyoTv nawapa hongera.
nina ombi moja kwa upande wa mahojiano ya kipindi chenu,uboreshwaji kwa hawa ndugu zetu viziwi kuwawekea mtu atakayewatafria kama tunavyoona baadhi ya vipindi vingi vya Tv.
Congratulations aslay MUNGU akutangulie ktk maisha yako daima
Unafanya vizuri brother king Goldenboy from DRC
Siwezagi kushindwa kitu ambacho nakiweza powerful.
pongezi bratha ASLAY, Lodwar, Kenya - Turkana tunakumiss, CONFIRM show huku mwana
This guy has always believed in himself en that's what I like about him and I have always loved his music since day one✊🇰🇪
🇰🇪
❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Much love from Mombasa 🇰🇪❤️
Asley ni kijana mtulivu sana pia bado mdogo ngoma alizotoa ni nyimbo za kudumu huu jama nifundi ma studio ❤
I just love this guy kutoka nikiwa mtomto tulianza nasema ❤❤
Kiswahili kimenyooka hakuna you know you know 👍
Ni kweli kabisa wangekuwa kina mwafula hapo you no zingekuwa nyingi Sana
Yaaani hata haringi mkaka wa watu, anakamsemo kake ka kusema uongo dhambi..
@@bennamush4616 yaan yupo vzr sana na anajibu maswal bila kujivuta majb chapchap km vile alijua swal analoulizwa😂much love aslay
Siwezi kushindwa wakati kitu nakiweza 🙏🙏
A wise young man. You can tell from the way he is responding to the questions. I love him.
Mpeni Mauaa yake Mkubwa Fela Kwa alichofanya ama mlikuwa mnasubiri atukanwe ndipo mseme mnyonyaji😮😮
Siwezagi kushindwa kitu ambacho nakiweza
Siwezagi kushindwa kwa kitu ambacho nakuweza daah hatari sana nakukubali sana Aslay,,Dany tokea Kenya🔥🔥💯
Big up baba.Yani unajibu maswali kiufasaa si mtu wa kukurupuka tu.Allah azidi kukuongoza katika maisha yako
Asley
Aslay he's my Favorite Artist.. Hata huku Kenya🇰🇪 tuna mkubali sanaa zaidi ya Mondi.. Keep Going bro.. Much love Aslay 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wewe na nani
Mm na wale tunao mkubali bro sawa...
Good vision nimetumia sim ya mke wangu kipenzi ila tunakukubali sana na hata kwa gari yangu ninanyimbo zako kama za ela yote na nimekufuatia toka yamoto band na ninakuombea kwa mungu ufike mbali
Bonge la interview respect kwa milady ayo namkubali dogo,nimeipenda sana(siwezi kushindwa na kitu ambacho nakijua)
Miradi wewe kichwa sana uwa sichoki kuangalia exclusive zako kama izi una maswali mazuri sana big up sana brooo unyama ni mwingi.
Aslay Nakukubali Sana 🇲🇿🇲🇿
❤ allah. Abariki. Kibaji. Chako. Kaka. Umetoka mbali. Na. Maisha. Haukata. Tamaa. Hongela saana. Kaka. Aslay
Mirady anatoa ushauri kupitia swali!!. Figa moja halihinjiki chungu.
The best interview so far
Kajibu maswali vizurii Sana
Take home "siwezagi kushindwa na kitu ninachokiweza"❤
Millard Ayo maswali yako ni top sana zenye za IQ ya juu sana....zidi ivo ivo
Gostei muito das respostas do Aslay. Dá para ver sinceridade e humildade nelas. Mungu azidi kukubariki kijana.
Nakupenda sana aslay l am from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿🇹🇿
I loved Aslay since first song,, Nakupenda sana Aslay Mungu akulinde
Nakukubali dogo
Aslay umekua mtu wa kujiaminia Sana zidi kung'aa
Hongera sana aslay🎉🎉 wwe ni msanii mwenye hofu ya mungu na huna kujigamba mungu akuzidishie kipaji chako🎉🎉❤
Nimekubali sana interview hii nakumbuka nilikuwa atumiwa hela ya chakula nailipa show za yamoto bend dah nimekumbuka mbali
Ila aslay ludi kwenye game bonge la bwana Bado nafasi yako ipo,,ubarikiwe
I also give credit to my mum for where I am right now....blessings to all Mothers,
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Dah sema aslay una moyo umekubalikuchapwa vzur na mbosso kimziki🇷🇺🙈
uko juu sana kakaagu....mwenyezi mungu akuzaidie mashalah
Nakukubal saaana janja,Aslay Mwenyez Mungu akuinue zaid ,,unajua sanaa zaid ya saaaana
Bora nife 😊😅😮😢🎉😂❤
Mungu akulinde maana naona uko mkweli sana❤
Mapenzi yanauma nyie😢😢
Aslay 💞💞💞I just like this guy.. he is such a gentle man🥰🥰🥀
mwambie nampendaaa sanaaa he is my favorite artist🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Kiranga komo
Penda shana Aslay jmn mtu flani hv amazing sana❤❤🎉
Big up Aslay, thanks Millard Ayo for this show ❤🎉
Love Aslay music since Yamoto band bless you so much
vraiment courage aslay
Kijana Mwenyezi Mungu akuongoze zaidi maana una shukrani ya binadamu.
Ijapokuwa mtu hawezi kujua kilicho ktk ndani y mtu uyu jamaa namkubali sana kwasababu anaonekana mutulivu sana
Aslay usije kuwasumbuwa Tena wana wake wapendetu bila ivo utakuja kujutia kupenda
Mildo mbona umepungua
Aslay is more mature indeed, good hearted and much obedient...Here in 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we love you soo much
Good Millard naweza kupata mawsiliano yako kuna jambo unifunze
Unamoyo safi Asley hauna makuu 👍👏👏👏👏
I have followed Aslsy since day one. I like how he has matured.
Still going strong. Big up mdogo wangu
Watu wasome kwanza kwa sababu sanii tz huwaone huruma wakati wamahujiano kwa lugha ya kiingereza- aibu sana 8:24 8:26
uma das melhores entrevistas
Safi usikubali kuingia wasafi ukiwepo utavuma ukitoka kipaji kinakufa kisipokufa anatafutajinsi ya kushuka simama ulipo wasafi usiingie naomba
Asley tumekukumbuka sana.MUNGU AKUJALIE MEMA.
This guy is matured😍😍.🔥🔥
Congrats ❤❤❤❤, Asly anajua kujielz vzur
His a good artist na anajua kuimba sana I like it
Nakubari sana kazi zako
Lot's of love from Kenya 🇰🇪