ABBY CHAMS AJIBU KUKATAA KUSAINIWA KONDE GENG,UHUSIANO NA CALLISAH,KUWEPO THE KELLY CLARKSON SHOW

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 136

  • @airinsumeno2490
    @airinsumeno2490 2 роки тому +27

    Watu wengne jmn Wana bahat nzur dunian hongera abby

  • @munjy11tutorials
    @munjy11tutorials 2 роки тому +11

    Yaani Aliyaa kama umejipeleleza hilo neno especially unalitamka sivyo eti expecially tena na unapenda kulitumia. Na Lil Ommy anavyotamka neno Lyrics anatamka Rylics hadi mnaniboa

  • @mathewlusogole305
    @mathewlusogole305 2 роки тому +17

    Huyu binti awe makini sana walisha ibuka wanamuziki wenye talent kama yeye,ajue kuwa hana sifa za kusainiwa na label yoyote Tz ni mwimbaji wa daraja la juu sana,aendelee kufanya Muziki atasainiwa label kubwa sana Duniani ushauri😎

    • @maxilekanoi8257
      @maxilekanoi8257 2 роки тому

      DAAH UMETABIRI NA IMEKUWA KASAINI ROCKSTAR YA AFRICA LABEL KUBWA AFRICA

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 2 роки тому

      Kama ulivyo tabiri imekuwa kweli

    • @fridamusa8152
      @fridamusa8152 2 роки тому

      Inabidi ufungue kanisa mana umetabiri vyedii😍

  • @SN-wb3gm
    @SN-wb3gm 2 роки тому +3

    Towa nyimbo zaidi nakupenda saaane. Uimbe nawasani wengine kama daimond. Mimi naishi Belgium

  • @munnawwaryaqub8524
    @munnawwaryaqub8524 2 роки тому +2

    Mashallah sichoki kusikiliza, tumlaumu nyerere kutuletea kiswahili

  • @davidkasala5727
    @davidkasala5727 2 роки тому +6

    She is so genius and pretty too

  • @swaumhassan8825
    @swaumhassan8825 2 роки тому +16

    Mzimu wa vannesa nauona kwa abby wallah.

  • @nanaleetz
    @nanaleetz 2 роки тому +5

    Abby noma jmn abby ni fire abby asifananishwe na mwanamke wa tz abby anajua

  • @reubenkissinga5802
    @reubenkissinga5802 2 роки тому +33

    Haka kabinti ni kazuri mnooo,,ni kakali hatari kameshaning'ata Moyo wangu kwa Upendo wangu kwake!!

    • @aminaally9156
      @aminaally9156 2 роки тому

      Looh😂

    • @reubenkissinga5802
      @reubenkissinga5802 2 роки тому +2

      @@aminaally9156 😅😅😅Naomba nikukabidhi Moyo wangu Amina Ally uupulize uweze kupoa nami nipate ahueni ya malavidavi baada ya kung'atwa na pendo la Abby Chams,,,Kama Hutojali Mamii

    • @aminaally9156
      @aminaally9156 2 роки тому

      @@reubenkissinga5802 coz ushapenda huko simbaya pambana kabinti ukapate moyo utulie nafsi yako itapoa zaidi

    • @fadhilhussein8845
      @fadhilhussein8845 2 роки тому

      🤣🤣🤣

    • @reubenkissinga5802
      @reubenkissinga5802 2 роки тому

      @@aminaally9156 Nami naamini kukupenda wewe kabinti Aminah Si mbaya,,,kupambana pia ili nikupate wewe nayo kwa upande si mbaya pia,,Naamini unastahili na unaweza kunituliza moyo na nafsi yangu ikapoa pia,,,Usinifanyie hvyo Aminah,,utazidi kuusinya Moyo na Upendo wangu kwako,,Tafadhali Binti nielewe basi nami nijisikie Mwanadamu Mamii!

  • @kitwaribetisheba1295
    @kitwaribetisheba1295 2 роки тому +12

    Safi kabisa kadada kazuri

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 2 роки тому +6

    Kweli ni kazuri sana jamani 😍😍

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 2 роки тому +7

    Hongera abby.

  • @7evenlyrics154
    @7evenlyrics154 2 роки тому +2

    Good she answered that quiz of konde gang... Well

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 роки тому +5

    Nakupenda mno Abby wangu

  • @givenpardon419
    @givenpardon419 2 роки тому +3

    She's such a charm🥰

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel5662 2 роки тому +3

    Abby i love ur skin colour

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 2 роки тому +11

    Abby ni international material

  • @m7d1996
    @m7d1996 2 роки тому +10

    Dogo yuko vizr sana kweny majibu yake angekuwa mwinigine hapo ange bwabwaja yote....Nimekubali hapo tyu

  • @alibinali_
    @alibinali_ 2 роки тому +14

    She get a amazing English

  • @mussaabobakar7537
    @mussaabobakar7537 2 роки тому +7

    Jan baada ya Vanboy uyo dem kukata kusainiwa leo mnasema konde boy uyo dem kutwa yupo na Vanboy alikuwa leo mnasema konde boy mh

  • @evaristmrope
    @evaristmrope 2 роки тому +3

    I like that...!

  • @lovenessaron2669
    @lovenessaron2669 2 роки тому +1

    Abby Chams ❤️😍🔥🔥🔥💯

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 2 роки тому +11

    🔥🔥🔥

  • @hamzaabdullah6142
    @hamzaabdullah6142 2 роки тому +1

    Sasa nyie harmonize kawafanya Nini Kamano😂😂😂😂😂🤗

  • @neemarupia1062
    @neemarupia1062 2 роки тому +7

    Huyu dogo atachukua nafasi ya vanesa

  • @marcusibrahim1921
    @marcusibrahim1921 2 роки тому +4

    Huyu aje n.l.m

  • @brinnalevison7926
    @brinnalevison7926 2 роки тому

    Abby anaupako sana 🥰🥰🥰🥰

  • @edistarobert7462
    @edistarobert7462 2 роки тому +2

    Uyu nidda watanzania ya wap mbona kiswahili sikielewi🙈

  • @kendradamas8063
    @kendradamas8063 2 роки тому +10

    Wamewakomesha kwa majibu maana kila saa na harmonize

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 2 роки тому +1

      Amewakomesha na wameandika uchuro wao ilimradi tu

  • @chamillairakoze6465
    @chamillairakoze6465 2 роки тому +1

    Me❤️❤️u Abby

  • @masturaabdul1007
    @masturaabdul1007 2 роки тому +2

    Naona anazungumza kama mkenya na sio mtanzania

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 2 роки тому +2

    The way nnavyomuona Mchizi nahizi kama hapigi now,alishapiga longtime kabla Abby hajajitambua...kwa sasa sio rahisi ila kikazi kwa kuwa mzazi anamaamuzi hapo kati

  • @shabanimiraji2771
    @shabanimiraji2771 2 роки тому +3

    Number 2

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 2 роки тому +3

    Abby kama abby

  • @emmanueljohn9155
    @emmanueljohn9155 2 роки тому +1

    Ilaa hii duniaa kuna watu wamezaliwa na nyota zao tayr

  • @omaryjuma8002
    @omaryjuma8002 2 роки тому

    Kazuli sana jaman ila katakua na wivu sana kanazungumza vizuli 🥰

  • @khamismsoma8698
    @khamismsoma8698 2 роки тому

    wonder

  • @mussaharun7257
    @mussaharun7257 2 роки тому

    10 Vanessa Mdee in one

  • @dripboy7968
    @dripboy7968 2 роки тому +15

    Kanaongea haraka haraka kama kasuku 😂

  • @franccoz94
    @franccoz94 2 роки тому +3

    Konde unakwama wapi huyo anatokea ushuani.ashatoboa tayar watoe watu kama anjella acha kk mzee

  • @eliakihwelo6791
    @eliakihwelo6791 2 роки тому +1

    Kanaongea haraka km kametoka kukimbiza mwenge duuu

  • @salorash1771
    @salorash1771 2 роки тому +2

    Mko na interview za kinafiki sana...hivi kulkua na haja gni kumtaja harmonize

  • @liliannyami9916
    @liliannyami9916 2 роки тому +3

    First

  • @maitharobert6833
    @maitharobert6833 2 роки тому +2

    Konde Boy💥💥💥💥💥

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 2 роки тому +11

    NAHISI HUYU NDIE YULE MSANII AMBAE FAMILIA YAKE ILITAKA KUMPA DIAMOND MAMILIONI YA PESA ILI AMSAJILI WCB LAKINI DIAMOND AKAKATAA 👀

  • @joelibethueli5408
    @joelibethueli5408 2 роки тому

    Kazurisana

  • @issakamangila4143
    @issakamangila4143 2 роки тому +6

    Mbona anaongea haraka ivyo nn mbaya

  • @abdoulazizalimohamed7995
    @abdoulazizalimohamed7995 2 роки тому +4

    Wasafi hamuendi bila konde gang

    • @mwinyiramadhani311
      @mwinyiramadhani311 2 роки тому +1

      We ulisikia wap wcb Chama LA Wana iyo media Ina haki kuzungumza chochote ok

  • @prince_tiger9911
    @prince_tiger9911 2 роки тому +2

    🔥🔥🔥🔥💣💥

  • @isackboniphace516
    @isackboniphace516 2 роки тому

    Konde watamlipa nin jamn 😂😂😂😂😂

  • @emmahbishoo7303
    @emmahbishoo7303 2 роки тому +6

    Nyinyi bila hermonize hamuendi wcb??? Lazima mumueke hermonize kwa page yenu

  • @jericojacob2546
    @jericojacob2546 2 роки тому +3

    Bila konde awaend

  • @mariamumakala6146
    @mariamumakala6146 2 роки тому

    Anaongea na sauti ya kucheka kma Lulu Michael

  • @bajou7076
    @bajou7076 2 роки тому

    Daimond baba zahabu hiyo isikuponyoki kaka yangu.

  • @mwanahawa6362
    @mwanahawa6362 2 роки тому +1

    #SHOEPLUG

  • @patrickmaina8684
    @patrickmaina8684 Рік тому

    Mercyfabian

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 2 роки тому +2

    Kanajifanya hakajui kiswahili hata Bongo zozo amemshinda🥺 muafrica sijui tulilaaniwa na nani🤮

    • @florencematheka7774
      @florencematheka7774 2 роки тому +4

      Ata ww kizungu unajua ila mazoea huna hajazoea kuongea kiengereza...kiswahili anajua ila mozoea hana ya kukiongea.. mazingira yake ni tofauti...shule,marafiki na network...

    • @lilianestephanie7881
      @lilianestephanie7881 Рік тому

      Wewe ukikijua kiswahili inatosha mai

  • @009biafra8
    @009biafra8 2 роки тому +4

    Yan huyu mtoto timamu namna hii asainiwe kwa Hàmokinyesi gang pale wachukue wavuta bangi wenzao na masura machafu kama Anjella

    • @keddlynebonny6462
      @keddlynebonny6462 2 роки тому +2

      Mungu anakuona hivyo basi ujafa ujaumbika. Ongera Kwa uzuri na usitusi wabaya

    • @keddlynebonny6462
      @keddlynebonny6462 2 роки тому

      Mungu anakuona hivyo basi ujafa ujaumbika. Ongera Kwa uzuri na usitusi wabaya

    • @009biafra8
      @009biafra8 2 роки тому

      @@keddlynebonny6462 Hàmokinyesi anaokota san sijui n kwakuwa na yy aliokotwa tuu na Elimu yake ya Darasa la saba

    • @mwanahawa6362
      @mwanahawa6362 2 роки тому

      Vbay hvyo😄😄😄😄😄😄😄😄

    • @nicksonwilson6602
      @nicksonwilson6602 2 роки тому +1

      @@mwanahawa6362 haha duuuu

  • @omarymbalala6224
    @omarymbalala6224 2 роки тому +3

    Mastaar wakubwa kutoka duniani 😄😄😄😄 hiv Kuna mastaar kutoka mbinguni

  • @korshenomar7376
    @korshenomar7376 2 роки тому +2

    Sauti kama lulu hata sura

  • @user-sq7pz9ex5g
    @user-sq7pz9ex5g 2 роки тому

    Mmmh mtaniambia Mimi 🤣🤣huyu Abby mapepe kuliko kajala anaonekana anaongea mapepee sema havumi Tu 🤣🤣

  • @issambegea7467
    @issambegea7467 2 роки тому

    Vip nataka nmchumbie baada ya miaka Kium badae

  • @badymedia9648
    @badymedia9648 2 роки тому +5

    Katatombwa vibaya haka ,hakatoamini🤣🤣🤣

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 2 роки тому

    Kama mondi Simba dangote alipoleta Grammy Tanzania 🇹🇿 basi utaileta wewe

  • @sospeterfredrickmaile387
    @sospeterfredrickmaile387 2 роки тому +2

    Tembo amewafnyia nn nyie wcb huyo abby amekua malikia au abby abby kaaaah

  • @mcback4384
    @mcback4384 2 роки тому

    Mbona unaongea race kama unaokoa muda

  • @jericojacob2546
    @jericojacob2546 2 роки тому +4

    Punguza mapepe bac, unavongea hata uvutii

  • @flavourjellmaxofficiel3822
    @flavourjellmaxofficiel3822 2 роки тому

    Ngoma kali nzingine hiii apa 👉ua-cam.com/video/nzHStcK4g7g/v-deo.html

  • @mavundemmbaga4664
    @mavundemmbaga4664 2 роки тому

    Whta i know you use your resources to pull down hrmonize that how bad ua and you will never succeed

  • @samwelichupa3931
    @samwelichupa3931 2 роки тому +1

    Haka kameliwa tayari

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 2 роки тому +1

    Rubbish girl hajui kuongea

  • @mwanahawa6362
    @mwanahawa6362 2 роки тому +1

    #SHOEPLUG