EPISODE 14 | Uchambuzi Wa Soko La Mitaji DSE | INUKA Money Market Fund | Orbit Securities

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • #Note | Namna ya kununua kipande, INUKA Money Market Fund:
    #Kipande ni Tzs. 100 hadi October 18, 2024.
    Kiwango cha chini kuanza kuwekeza ni Tzs 10,000 na baada ya hapo unaweza kuongeza kiwango cha chini Tzs 1,000
    Kupitia #crdb, tumia taarifa zifuatazo:
    Fomu ya Maombi ya Uwekezaji kupitia Inuka Money Market Fund: drive.google.c...
    INUKA MONEY MARKET FUND COLLECTION ACC
    Namba ya Akaunti: 01DI012665400
    Kupitia Selcom, tumia taarifa zifuatazo:
    *150*50*1# Ingiza Till Namba (Enter Till Number) 61059900
    Kwa mawasiliano zaidi tumia taarifa hapa chini:
    +255 711 803 634 | +255 743 677 873
    inuka@orbit.co.tz
    *****************************
    Huu ni #uchambuzi wa soko la #mitaji / soko la #hisa katika soko la hisa la Dar es Salaam #dse. Uchambuzi huu unatokana na ripoti ya wiki ( #weeklymarketreport ) inayotengenezwa na Orbit Securities.
    Zaidi ya hapo, wataalamu wetu kutoka Orbit Securities, Fortius Rutabingwa na Ammi Julian wanatujuza mambo machache kuhusiana na uzinduzi wa mfuko wa Inuka ( Inuka Money Market Fund)
    #uwekezajiwahisa #hatifungani #stocks #bonds #inukafund #inukamoneymarketfund
    Tazama hapa tukio la uzinduzi wa mfuko fedha wa soko wa Inuka (Inuka Money Market Fund): • INUKA MONEY MARKET FUN...
    I am using #rebtel for making international calls. Its easy to control and monitor the calling costs with Rebtel. If you want to try this out, please use the link below:
    Welcome to Rebtel!
    reb.tel/drjWMT
    I am using Streamyard (web-based) for my livestreaming sessions. If you want to give it a try, please use the link below:
    streamyard.com...

КОМЕНТАРІ • 13

  • @RamadhanMbwana-o1j
    @RamadhanMbwana-o1j 9 днів тому

    Safi sana Madini yakutosha👍🏿

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative  9 днів тому

      Ahsante sana kwa kuweza kufuatilia. Tuendelee kujifunza na kuwashirikisha wengine tunaowajali kwenye kupata hii elimu.

  • @godfaithjohn2833
    @godfaithjohn2833 4 дні тому

    Kwenye hu uwekuzaji wa mfuko wa inuka fund, hakuna hasara kabisa? Imean there is no risk 100%?

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative  4 дні тому

      Swali zuri sana. Risks za uwekezaji zipo, na za kimkakati pia zipo. Ila tofauti ni kwamba sehemu kubwa ya risks zinapunguzwa kwa mwekezaji na kusimamiwa na msimamizi wa mfuko.
      Hii ni tofauti na kama mwekezaji anawekeza moja kwa moja kwenye kampuni kwa sababu kuwekeza moja kwa moja pamoja na risks ya uwekezaji, bado risks za kimkakati ambazo zinahitaji utashi katika nyanja hiyo ni kubwa sana hasa kwa mwekezaji wa kawaida.

  • @rashidkalabi8212
    @rashidkalabi8212 8 днів тому

    How to become a memberi?

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative  8 днів тому

      Mr. Rashid, kwenye eneo la maelezo (hapo chini ya video angalia neno limeandikwa 'more', minya kisha patafunguka) utakuta taarifa jinsi ya kutuma maombi ya kuwekeza.
      Kwa taarifa zaidi, hapo zipo namba za simu na email address.

  • @AmosLugatangya
    @AmosLugatangya 9 днів тому

    Swali langu lipo kwenye mfuko wa wekeza maisha wa UTT. Nalo ni:Malengo yangu ni Milioni Kumi haijalishi Kwa mkupuo au kidogo kidogo, na nimekamilisha huo uwekezaji wangu bila kupata tatizo lolote la ulemavu au kifo. Je hiyo bima nafaidika nayo vipi?

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative  9 днів тому

      Ahsante sana kwa swali zuri.
      Bima zote huwa hazimnufaishi muhusika endapo hapajakuwa na dharula zinazozababisha huyo muhusika kushindwa kutimiza majukumu au malengo yake katika eneo fulani. Hii ni pamoja na bima chini ya huo mfuko wa wekeza maisha wa UTT Amis.

    • @johnmichael3883
      @johnmichael3883 8 днів тому

      Tatizo mna changaya kiswahili na kigereza

    • @AmosLugatangya
      @AmosLugatangya 8 днів тому

      @@mindsettinginitiative
      Asante 🙏 sana Kwa majibu mazuri.. nimeelewa.

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative  8 днів тому

      @@johnmichael3883 Kwa kweli hili nalo ni neno. Tutaangalia namna ya kupunguza viingereza na kutumia kiswahili zaidi, Ahsante sana kwa mrejesho.

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative  8 днів тому

      @@AmosLugatangya Shukrani sana. Endelea kujifunza na kuwashirikisha ndugu wengine.