Bwana Yesu asifiwe silalagi usingiz rangi mwaka 2010 naimani kwa maombi ya ukombozi wa kitanda ntalala kwa damu ya Yesu Ameen ntakutafuta mtumishi ubarikiwe
Mume wangu alikuwa anahama kitanda analala Na wtoto anasema nikilalalia hiki kitanda niite mbwa Mara anarudi analala cku nahama nafungua kitanda nasikia harufu ya dawa za kienyeji PEMBEN ya kitanda allipokuwa analala mume wangu nikakumbuka kuna siku alisema amemuona Jiran yangu amemsimami kitandan nilibain kitu Jiran hakuwa MTU nzuri Ila sasa nimejifunza kuombea kitanda mtumish barikiwa sanaa
Ubarikiwe Sana babaa, Mwenyezi MUNGU akupe MAISHA marefu na Baraka tele, umeongea Kweli ambayo hata Mimi huwa nasumbuliwa Sana.Hakika damu ya Yesu inaponya.
Amina mungu unanipenda, kwanzia leo ninamkemea shetani ashindwe kwa jina la yesu kristo, nyumba, yangu kitanda changu na mwenendo wangu nitakaswe kwa jina la yesu.
Nimepata madini ya thamani sana leo. Umejipa majibu na kunifumbua ufahamu wangu mnooo. Nimeshafahamu madhabahu yangu yenye nguvu ni kitanda changu ndipo nipolala ndipo ninapotafakari ndipo mimi ninapokuwa mimi halisi. AHSANTE SANA
Shalom niota kuwa kuna mahali nienda nikakuta dada amekaa akaficha uso wake miguuni mama mwingine akasema anateseka kwa sababu ya kitanda changu nataka nijue inakuaje
Amen Mtumishi. Niejifunza sana somo hili. Ee Mungu nisaidie. Nanyunyiza Damu ya Yesu ifunike kitanda changu na vitanda vya wanangu wote popote pale walipo. Asante sana Mtumishi.
Ni kweli mchungaji nakufwatilia kutoka Kenya mmi mchungaji nikimaliza kazi zangu za mchana Huwa na pumzika mchana na zile ndoto mmi Huwa naota zinakuwanga za ajabu ajabu sana lakini ninapo Rudi katika nyumba yangu Huwa nalala vizuri sana Huwa nashutukia TU kumekucha.
Barikiwa Sana Mtumishi umeniongezea kitu kikubwa na Cha msingi kwaajili yakujiambatanisha na Bwana
Bwana Yesu asifiwe silalagi usingiz rangi mwaka 2010 naimani kwa maombi ya ukombozi wa kitanda ntalala kwa damu ya Yesu Ameen ntakutafuta mtumishi ubarikiwe
Daaa! Kweli nimejifunza maana Mke wangu siku Moja aliamka asubuhi nakunitamkia sitaki kulala na wewe Tena. Asante kwa Neno Mtumishi
Ooooh pole mtu wa Mungu wekeza hili eneo
AMEN, AMEN, AMEN.
Asante sana Mwalimu wa Neno la MUNGU kwa Mafundisho haya mazuri.
Asante.
Amen mtumishi umenilisha chakula bora...na umenitoa giza usoni na Sasa naona nuru..ubarikiwa sana
Damu ya Yesu Kristo ifunike kitanda jangu katika Jina la Yesu Kristo Ameeen
Mume wangu alikuwa anahama kitanda analala Na wtoto anasema nikilalalia hiki kitanda niite mbwa Mara anarudi analala cku nahama nafungua kitanda nasikia harufu ya dawa za kienyeji PEMBEN ya kitanda allipokuwa analala mume wangu nikakumbuka kuna siku alisema amemuona Jiran yangu amemsimami kitandan nilibain kitu Jiran hakuwa MTU nzuri Ila sasa nimejifunza kuombea kitanda mtumish barikiwa sanaa
Mungu akubariki sana endelea kuombea mpka kitakapoleta matokeo
Ameeen
Mchungaji nasikiliza hili neno sasa nikiwa kwenye nchi ya Kenya, Mungu akubariki
Amen Amen . asante sana kwa marifa haya uliyo achilia.
Ubarikiwe Sana babaa, Mwenyezi MUNGU akupe MAISHA marefu na Baraka tele, umeongea Kweli ambayo hata Mimi huwa nasumbuliwa Sana.Hakika damu ya Yesu inaponya.
Amina damu ya Yesu inanena mema ,somo limenibariki Sana naamini navuka ktk jina la Yesu
Wewe mtumishi mungu akutunze
Nimejifunza jambo la muhimu sana katika maisha yangu. May God bless you mtumishi and give you more wisdom 🎉🎉🎉🎉🎉
Ahsante sana ubarikiwe na Bwana
Amina mungu unanipenda, kwanzia leo ninamkemea shetani ashindwe kwa jina la yesu kristo, nyumba, yangu kitanda changu na mwenendo wangu nitakaswe kwa jina la yesu.
Ubarikiwe sana Mungu akuvushe
Amina nawe pia
Amen mtumishi naachilia dam yayesu kwakitanda chang na chawanang pia 🙏🙏
Amina
Ubarikiweee saaaanaaa kwa somo zotee
Ameen ubarikiwe
Asante mtumishi wa Mungu nmejufunza jambo kubwa Mungu akubariki
Hali hiyo ni kweli kwangu,Mungu akubariki
Amina kuu mtumishi
Amen amen amen mungu akubariki, Asante kwa mafudisho mchungaji
I will came with testimony
haleluyaa
Amina mtumishi
Amen🤲🤲🙏🙏nimepokea
Amen barikiwa Sana
Nimepata madini ya thamani sana leo. Umejipa majibu na kunifumbua ufahamu wangu mnooo. Nimeshafahamu madhabahu yangu yenye nguvu ni kitanda changu ndipo nipolala ndipo ninapotafakari ndipo mimi ninapokuwa mimi halisi. AHSANTE SANA
Ni kweli
Asante sana Mungu akubariki from Rwanda 🙏🙏
Ubarikiwe sana ahsante
Asante Mtu ya Mungu nimejifunza Jambo kubwa
Ubarikiwe sana
Ni kweli kabisa
Barikiwa sana
Amina. Nilikuwa sijui kuhusu kitanda. Ubatikiwe mtumishi
barikiwa sote
Mungu akubark
Aiseee!!!! Mungu aendelee kukutumia mtumishi. Tena kwa viwango vya juu zaidi ili uendelee kufunua siri za Adui. Nimejifunza kitu kikubwa sana leo.
Ubarikiwe sana nafurahi kusikia hivyo
Amen and Amen, hayo maneno ni yangu tu from Kenya 🇰🇪
barikiwa
Be blessed .
Nikweli kabisa mtumishi
Amina mtumishi nmefurahi sana kusikia neno zuri hakika naamani
aminaaa
Powerful.
Ayubu 33:19 na ayu 7:13 uzuri wa kufundisha kitu ulichokipitia somo linakuwa na nguvu sana
Nimebarikiwa saana
Ni kweli kabisa mungu ukubariki sana kwa somo nzuri
Asante mtumishi
Amen Amen
Somo Zuri sana nabarikiwa sana nikiwa zanzibar
This was so powerful. Thank you Jesus
0000
Bend
Mimi violet kutoka Mombasa,Jina Nina itwa violet Yale unayo sema nikweli kwangu Mimi kitanda changu ni kilio hakuna mwenye anaweza kukuguza mwingine, Kuna paka ananiambia niende nikatafute waume inje nikalale nao ,mie nimekataa sababu nimokoka sitaki uchafu Kwa mwili wangu niombie plze
Ooooh pole Mungu atakuvusha katika hili tutawasiliana WhatsApp 0764 741 466, ila katika hili wekeza tuu kuliombea hili eneo la kitanda
DAMU YA YESU ITAKUSAIDIA VIOLET
Twashukuru Kwa Neno
Ubarikiwe mtumishi
Amina Kwa Somo hili nimetoka mazima shida zangu zinaanzia kitandani
Mungu akuvushe zaidi
MUNGU akubariki...!!!
Hili neno limenigusa sana. EEEH MWENYEZI MUNGU nakuomba uiokoe familia yangu. Tunapitia magumu mengi sana
Aminaa Mungu mwema anakuvusha
Ameni
Kwl kabisa mtumish mm pia nina nikiota huwa asubuhi sikumbuki kabisa
Saikolojia tu hio havihusiani usidanganyike
May God bless u .
Ameen
Shalom niota kuwa kuna mahali nienda nikakuta dada amekaa akaficha uso wake miguuni mama mwingine akasema anateseka kwa sababu ya kitanda changu nataka nijue inakuaje
sorry kuchelewa kujibu tunaweza wasiliana kwa namba 0764 741466
Ubalikiwe Sana mtumishi
Amen
Nikweli kabisa baba
amina ubarikiwe
🙏🙏🙏🙏
Halleluuuuuuuuuuuuah
Haleluya
Yaani mchungaji mungu akupe Masha marefu
Ameeen
Amen Mtumishi. Niejifunza sana somo hili. Ee Mungu nisaidie. Nanyunyiza Damu ya Yesu ifunike kitanda changu na vitanda vya wanangu wote popote pale walipo. Asante sana Mtumishi.
KITANDA CHANGU NA VYANANGU WOTE NINAVIFUNIKA KWA DAMU YA YESU.AMEN
Ameen usiache kuombea
Amen 🙏🙏🙏
Hili limekuwa tatizo nyumbani chumbani kwangu na kwbla ya hili somo nilikuwa nashuhudiwa kitanda changu kinashida.
Ubarikiwe sana ombea hili eneo zaidi,pia unaweza niandikia ujumbe 0764 741 466 kwa WhatsApp
Amen sana
NIMEKUELEWA SANA NA NTACHUKUA HATUA KALI
Amen mtumish kanisa wapi
Hapana hatuna kanisa tumekuwa tukifundisha makanisa tofauti tofauti
Unaweza follow account ya Instagram kuona ratiba zetu
Kuna kitu kina kaa mwilini nikifumba macho tu. Ni kama kinakuwa stand by kunivamia nikilala.
0764 741 466 unaweza nitafuta kwa Namba hii,lakini kwa sasa umejua eneo la Kuombea zaidi
Ni kweli mtumishi hatukumbuki hili eneo
Amen Amen.
Amen Amen.
Amen Amen .
Ukilala gest huoti ndoto
Ahahaaaa
Tatizo kubwa nikiota ndoto nasahau pia
Endelea kuombea mlango wa Ndoto shetani anakawaida kusahaulisha ndoto ili usifanyie kazi
Amen
Amen
Barikiwa! ndoto zangu nikiamka nakuwa nasahau. au sehemu tu ya ndoto nakumbuka.
huwa sikumbuki ndoto nikiota
Ombea mlango wako wa Ndoto shetani anakawaida kusahaulisha ndoto ili usifanyie kazi
Ni kweli mchungaji nakufwatilia kutoka Kenya mmi mchungaji nikimaliza kazi zangu za mchana Huwa na pumzika mchana na zile ndoto mmi Huwa naota zinakuwanga za ajabu ajabu sana lakini ninapo Rudi katika nyumba yangu Huwa nalala vizuri sana Huwa nashutukia TU kumekucha.
Ooooh ubarikiwe sana nafurahi kwa kutufuatilia ubarikiwe sana Ndugu yetu
Amen Amen
Ameen
Amen
Àsante Sana mtumishi ubarikiwe sana 👏
Amen
Ni kweli mtumishi
Amen
Amen
Amen
Mungu akubariki sana mwalimu
ahsante sana ubarikiwe na Bwana
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen