Na kuelewa sana mtumishi kwa kweli nisaikiza uku nalia kwasababu jana nilikuwa naombea ndoa yangu usiku nikaota mume wangu amelala lakini analalamika kwa nini nalala hapa nilipo patazama kuna malazi yamtoto na mume wangu kalaliajiu yake akaniambia kwa nini hivi nika mwambianimekupata una lala siyo mimi nilie kutandikia ni dadakemamangu lakini ni marehemu sikuelewa kesho yake tena nikaomba nikaota tena kuna mwanamke amekalia kitanda changu akiwa kweneye sikuzake akakichafua nikawa nakombana naye nikajukuwa mashika nikaosha
Yaaani kitanda changu kinanitesa nikilala nje ya nyumba yangu njeee namaaanisha nje ya nyumba nje ya nyumba yangu nje ya kitanda cha nyumbani ninakuwa na amani lkn nikiingia ndani tu ya nyumba yangu ninajisa amani
Mungu akubariki sana sana.kwa Kutupa marifa ya kimbingu.
balikiwa tyu mwalim sijawah ombewa maisha yangu yoote ila sku umeniombea nilifunguliwa mengi sana
Mungu akubariki
Barikiwa mtumish mafunuo makubwa sana
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu nimebarikiwa sana amen kutoka Kenya mungu
UBARIKIWE SANA AHSANTE
Asante mtumishi
Amina yan nimeamini tunaangamia kwa kukosa maarifa yan mmenifungua sana kiroho barikiwa sana
amina nafurahi ubarikiwe sana
Yaaani nawqza kwanini ninalala hapa kwanini moyo unaniuma sana tena huwa naumia sanaaa nikiwa ndani ya nyumba yangu
Barikiwa sana mtumishi mimi nimeota mikono yangu imeng'atwa na nge.
Tunaweza fanya maombi kwa 0764741466
Barikiwa sana .. Mtumishi..
amina
Mungu akubariki mtumishi
Tuambiwe ukweli tuwekwe huru.
Ubarikiwe SANAAA Mtumishi 🙏
ameen ubarikiwe nawe
Zaburi 4:4,zaburi 36:4,zaburi 63:6,zaburi 149:5,hosea 7:14,wimbo ulio bora 3:1
Asante Sanaa muchungaji,tunakosa kufundishwa, uko kwetu, mafundisho kama haya sija wai kuipata leo, namushukuru Mungu saana. Nimeliya saana.
Mungu akuvushe sana mtu wa Mungu
Glory be to God, Ukweli kabisa nililala kwa shida kabla Bwana kunikumbuka Amen.
UBARIKIWE SANA MTUMISHI
Mtumishi ukiota Simba Yuko chini yakitanda changu lakini ametulia haitaji kutudhuru,nahatumkimbii i namaana gani?, Ila Mimi nilikuwa naogopa kumwangalia usoni,nisadie pls
Barikiwa mtumishi,
Yaaani natamani maombi maana umejua kuniongelea mimi uwiiii
Na kuelewa sana mtumishi kwa kweli nisaikiza uku nalia kwasababu jana nilikuwa naombea ndoa yangu usiku nikaota mume wangu amelala lakini analalamika kwa nini nalala hapa nilipo patazama kuna malazi yamtoto na mume wangu kalaliajiu yake akaniambia kwa nini hivi nika mwambianimekupata una lala siyo mimi nilie kutandikia ni dadakemamangu lakini ni marehemu sikuelewa kesho yake tena nikaomba nikaota tena kuna mwanamke amekalia kitanda changu akiwa kweneye sikuzake akakichafua nikawa nakombana naye nikajukuwa mashika nikaosha
Ubarikiwe sana mtumishi
Asante mtumishi mafundisho take mazuri tutayafanyia kazi.ubarikiwe sanaaa.
ahsante nabarikiwa kusikia hivyo
Utukufu kwa MUNGU
Yaaani kitanda changu kinanitesa nikilala nje ya nyumba yangu njeee namaaanisha nje ya nyumba nje ya nyumba yangu nje ya kitanda cha nyumbani ninakuwa na amani lkn nikiingia ndani tu ya nyumba yangu ninajisa amani
Anza leo kufanyia mazoezi na kukiamrisha kitanda
😂asante mtumishi kwa mafundisho yako
lkn kuhusu guest ya rahisi na ghali , pote paweza kuwa na hizo roho. nafikiri chamsingi ni kuombea kitanda kwanza.
Umenibariki sana nitayafuata yote ulinifundisha mtumishi
AMINA SANA UBARIKIWE NA BWANA
Kwakweli nimekuta mafundisho yakunijenga natamani kukuona live lini unakuja dar kwakweli ukiitwa kuhubiri dar natamani kujua
ubarikiwe mtumishi unaweza nifuatilia kwenye instagram na facebook kuona ratiba siku tukiwa DAR, ubarikiwe sana
ubarikiwe mtumishi unaweza nifuatilia kwenye instagram na facebook kuona ratiba siku tukiwa DAR, ubarikiwe sana
UFUNUO MKUBWA SANA HUU, MUNGU AKUBARIKI SANA SANA JAMANI
amina ubarikiwe sana