Hongereni Sanaa👏👏 Kwa Kazi Mnayofanyaa Ya Kutuelimishaa Sisi Wadau Wenu Lkn Leo Kunamechi Kubwa Sanaa Maombi Yetu Yanga Tumfungee Mwarabu Leooo Amiin Yangaa Hoyeeeee💚💚💚
Ushauri umoja kwa donta tv mtuandalie ingine sinema kama penzi la mtoto wa bosi na hiyi kwasababu sinema za Donta tv nimoto moto tu niko nanyi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💯💯💯❣️❣️❣️❣️
Kama mlifuatilia episode ya 9 Lisa aliomba msamaha kamanafasi ya mama itabadilishwa kutokana na sababu zilizopo nje ya uwezo wao,kuweni Wapole mtamzoea tuu
Bora suz ulivyofany maana mie nataka lisa achane na hayo mambo halafu yule mama lisa unajuw ilikuw kaendan na lisa kweli maana anayuw hasa kumkamat lisa kwa maneno yake kakazan
Jamani hivi mama yake lissa ndio yule yule wa ep 1-9 mbona huyu wa ep 10 amebadilika kama sio yeye au macho yangu yanamakengeza sio kwa ubaya lakin😢😢😢😢😢
Napenda sana ushauri wa kelvin kwa jarufu🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
tuludishieni mama Lisa wazamani huyu hauvai uhusika vizuri
Wazazi kuwa makini na tumademu twenu tunadanga na wanaume uko alafu tunawaletea pesa za mikosi mnapokea heeee 🤐🤐
naitwa jackson jeremiah nahitaj na me niwe pamoja nanyi katika sanaa
Siamini na mm nimewahi😅 angalau like moja bx😋
Vipi bona naona mama lovenes amekuwa tofauti na ule wa mwazo..... Naona anaona kama mm...
Walisema watabadilisha kwa sababu
Walisema kua wamebalisha mama kwasababu sizo epukika
Walisema kuwa wanabadili
Walisema watabqndilisha 😂
Walisema watabadilisha
Lissa una mbinuu za uongo nyingii kwa mom😂😂😂😂😂
Jarufu namuona mbali sana baada ya miaka kadhaa, hongera sana kelvin kwa burudani
Wakwanza leo kutoka 🇰🇪 ❤❤
Hello
Pamoja ❤🎉
Tuko wengi wakenya
Film hiii ina fundisho kubwa sana kwetu vjana mix changamoto tunazopitia kwenye mausiano ,,, Actor usichoke 🎉🎉🎉🎉🎉
Wow nimepend hii ya leo🎉🎉🎉
Eeeh Lisa mwongo jmn😅😅😅😅😅kazi nzuri wana donta plus twajifunza mengi kupitua film hii❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Samahanini tuludishien mama Lovenes wetu yule tulie mzoea mmeaza kutuchanganya bila kutupa taalifa sijapenda 😂😂😂
Kweli nyie mabwabwa muludishe mama loveness mwenyewe
Mama lovenes yupo wapi jamn mmezingua tena🎉
❤❤❤
Amina nakuchukia ww aaahhhh 🎉🎉🎉❤❤❤❤
Jamani mama lovnes mi simwelewi hapo watufafanuloe
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ nawapenda hakika tunajifunza mengi
Wakwanza❤ wow
Napenda ushauri alioutoa Kelvin kwa rafikie kuwa mwanamka Anafaa kuelewa kuwa kunà wakati pesa inapatikana n kunawakati haipo
Jaman leo naombeni mnipe ata lika❤❤ 5 tuu
❤❤❤❤suz kaamua kubaka😂😂😂
Mama love yule alikua wa moto sana jmn plus lile jichoo jmn acha2
Huyo mama love lovenes hajazoea camera kabisa
Mama lavenes wamwanzo ndo alikuwa ❤🎉 uyo wasaivy Kam sijamwelewa vile. 🤔
Ila majina ya amina 🙌🙌🙌
Amina😂😂😂mtu matatizo sana wewe
Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mazee mko poa ani ktu inafnyaa navutiwa na hii movie enu mko araka sanaa nice
Ila amina siyo mtu mzur kwako love yeye anakuuzatu wew
Wonderful 💯 u always do it Great 👍🏿🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hello
Hongereni Sanaa👏👏 Kwa Kazi Mnayofanyaa Ya Kutuelimishaa Sisi Wadau Wenu Lkn Leo Kunamechi Kubwa Sanaa Maombi Yetu Yanga Tumfungee Mwarabu Leooo Amiin Yangaa Hoyeeeee💚💚💚
Sio mwarabu huyo ni mwarabu mweusi maana wachezaji wote weusi sema team yenyewe ilo waarabuni ikiongozwa na ibenge😂😂
Napenda saaana kazi zenu,elimu munatupatia bure,ushahuri kwa bule,...,one day natamaani niwatemberee,Boston from Burundi
Mama lisa huyu wasasa pia yuko saw anaendeleza vzr 🎉🎉
Mambo niyapendayo🎉🎉❤
Wa kumi leo mie
Na mm leo nimewah jmn nipen like zang😂😂
Kazi nzuri sana ❤❤
Huyu mama bhn,, kwan mama lov kafanyj tunamtaka bhn!!!
Tuko kusinema zote from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Wana Acha kutuharibia kama huandiki kitu cha kueleweka tizama tu kusinema ndo nini sasa😂😂warundi wenzako watatuona hatujui kiswahili bwana
Staring wa film hiii umeiweza sana even mazingira mazuri,hata camera 🎥 man pia wote pokea maua yennnuuu🎉🎉🎉🎉kkkk
Jaman vipi saut ni kwangu tuu au kote
Nanawapenda hakika najifunza kt
Kwan Lissa ana mama wangapi hapa
Nawapenda wana donta tv❤❤❤
Hahaha rafiki Tena nayeye anataka Mr d
Nawapenda sana😅😅😅
𝐀𝐜𝐡𝐚 𝐍𝐢𝐰𝐚𝐬𝐡𝐮𝐤𝐮𝐫𝐮 𝐊𝐰𝐚 𝐊𝐮𝐭𝐨𝐚 𝐄𝐩 𝐡𝐚𝐫𝐚𝐤𝐚 🥰🥳🌹🥀🌺
Lisa wajua kuishi mama mjini ujanja 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
😂😂😂 kwakweli
@@neemamabena-xx5er 😂😂
Ushauri umoja kwa donta tv mtuandalie ingine sinema kama penzi la mtoto wa bosi na hiyi kwasababu sinema za Donta tv nimoto moto tu niko nanyi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💯💯💯❣️❣️❣️❣️
Wewe sasa unataka sisi tucheleweshewe hiz move nyingine😂😂😂😂
Mama mijicho yupo wap
Hainaga ushemeji,tunakulaga😂😂😂😂😂😂
Mama lissa amebadilishwa
Tuko wote mwanzo mpaka finale❤❤❤
Kweli kikulacho kinguoni mwqko
Kama mlifuatilia episode ya 9 Lisa aliomba msamaha kamanafasi ya mama itabadilishwa kutokana na sababu zilizopo nje ya uwezo wao,kuweni Wapole mtamzoea tuu
Kwani lisa😮mamako yuko wapi mbona watugeuzia wazazi na hio tabia ya kujiuza itakuponza😮dunia hii ww
Kusema ukweli wamwanzo yuko vzur anafaaaa
Hii move inatupoteza sana kila.nyakati DONTA V tunawaamini.msituangushe mashabiki zenu tuombeni radhi kwa aya makosa madogo madogo
Makosa yapi?
Jmn mm cpend kuon mr D akikutan n Lisa 4 sure 💞💓
Unyama mwengi
Mnaharibugi movi nyie kubadilisha watu
Hta nishaboeka
Mama Lisa amebadilishwa kiyolela tu kama baba Tina mwa Mtoto wa boss ila Julius nimekukubali kwa maneno uliompa Jarufu
Wewe sio mfatiliaji ungekua mfatiliaji ungejua kwanini kabadilishwa
Kabisa
Mama lovness Leo kabadlika soon yule wa zaman
Wakwanza mm leo❤😂
Xaxa kwanini mama litha Mimi amebadilixhwa ule ndo alikuwa anaendana na lithaa.....
Lisa umekuwa muongo wa saana
mimi naongoja siku Mr D na mwanae wanakula kwa sahani moja maana hapo itakua loo🙄
Huyu lis mwisho wake ihihih sisemi huyu rafiyake die anaemletea haya matatinzo yte daah lis wwe kutoka kenya 🇰🇪 😢😢😢
Bora walivyombadilisha
Mama Lissa Mmemuweka Mwingine jomon😢😢
Kazi nzur
Kwan lovenes anawa mama wangapi jamani😂😂😂
Mama loveness ni mwingine tna
Jaman si walitoa talifa kuwa wanabadilisha mama
Mm nataka mr.D akikutana na lovness na Jaruf atokee hpo wakutne jman cjui itakuw lin???
Mimi xijapenda kabixa kubadilixhwa kwakeee......
Ni nje ya uwezo wao ko kama amepata dhalula ukitaka wamngoje mpk alud kipenz
Yule wa mwanzo mm nimemuona masasi uku jana
Tayari keshatombwa huyo😂😂😂😂😂 DAAAAAH ila wanawake?
Sio mama lovenes wa mwanzo
Mm hapa nauliza same same
Mbona mama mwingine tena😂
Bora suz ulivyofany maana mie nataka lisa achane na hayo mambo halafu yule mama lisa unajuw ilikuw kaendan na lisa kweli maana anayuw hasa kumkamat lisa kwa maneno yake kakazan
Heeh mbona mama yake lavunes siyo yeye umeanza kizungua sasa nyie donta mnatudanganya sasa
Jamani hivi mama yake lissa ndio yule yule wa ep 1-9 mbona huyu wa ep 10 amebadilika kama sio yeye au macho yangu yanamakengeza sio kwa ubaya lakin😢😢😢😢😢
Just good but try to hurry we want boss part next
Mapenzi ya hela yameshapitwa na wakati
Suz anapend kuharib duu
Apo kwa jarufu unaongea Kelvin mpka usimame, ila jarufu unaitaji maombi kwa kwel sio kwa hali hiyo
Ata mm naona vilevile
Je maman sisa anakuwa tofauti?😅😅😅😅😢😢😅😅
Huyo mama waiyar
Kwan mamake Lovenes mwenye tumemuzoea ameenda wap
Kabla ya kuigiza hakuna mapatano ? Lissa unageuza mama,Pia Kelvin aligeuzaka mama ndani ya moto wa boss, muna wazazi wangapi ?toka Lubumbashi bwitonde
Mtoto wa boss ni Baba Tina alibadilishwa kama sijakosea 😂
Mlimjukua yule mama mwingine wapi tena
Huyu mamaake Lisa jamani mbona kafanana na suzi😅
La suite svp
Mama lovennex mbona sielewi aumacho yangu
Kumbh nimewah
Kwani we kelvin khan vipi tena bro mbona mama lissa wa sai si ule wa juzi