How can you trust somebody kutumia pesa you forget your mum the one who know your voice when you are happy and when you are sad anyway let's wait and see. but kitanuka 😂😂😂
Angie B please tuma Dakitari kwa DCI FRED huko ushagoo wachawi ni wengi na wamewatolea matairi ya gari pamoja na Apostal Joshua,SDave. Please wasaidie.
Hapa red flag direct 😅😅angie wewe kula mamaa,😅Hyu dem yawa😮 vile naonanga warembo wanatoka saudi kama wako smart and blown ,,Dactari be ready cox ukimwekea pembe uwezi kumbuka kama mlikula na yeye kwa meza moja😅😅
Finish praying in English 😂😂😂😂😂😂😂😂wacha ruswahili rwetu kula mpate nguvu ya mission ahead of you 😅😅😅😅😅😅😅kuleni haraka haraka mambo ichemke at least something big starts🤔🤔🤔🤔
Haki mm nafeel huyu dem hana kitu na jamaa ni mjanja sana hata the way alimkaribisha Airport nikama mtu alikua Kenya tu alishtuka ety mtoto ako sawa kabisa ety ni surprise aliambia analetea mtoto ama aliuza mtoto aje sasa 7yrs na usilete mtoto kwa mamake mmkalibishe pamoja mwende date pamoja as a family huyu dem atalia tu aky .waiting vile kutaenda aky nafeel sorry for the girl 👧 aky but mtoto hayuko aky.😊
Jamani mm niko saudia lakini sitaki mchezo na pesa yangu😂 hata kama nimeoleka na ndoa siezi mtumia mwanaume pesa yangu ati namuamini koma kabisa 😂
How can you trust somebody kutumia pesa you forget your mum the one who know your voice when you are happy and when you are sad anyway let's wait and see. but kitanuka 😂😂😂
😂😂😂😂aki bana
Daktari na girl wetu hope mumekula kushiba,juu kazi Iko hapo si mchezo😅😅, doctor Leo ameona love live live😅😅
Ongeza daktari juice please 😂😂😂😂😂
Daktari aki siutaniuwa 😂😂😂hati Angie unaona kweli
😂😂😂😂😂 na bdo ako na kutu sindio msichn mjinga anatumia mwanaume pesa
Angie B please tuma Dakitari kwa DCI FRED huko ushagoo wachawi ni wengi na wamewatolea matairi ya gari pamoja na Apostal Joshua,SDave.
Please wasaidie.
Kimeumana tayari 😅😅😅😅😅haya sema mbaba
Daktari alikuwa anakula akipimia mwanaume vile anazungumza
I don't want peace 😂😂😂iwant problem
Mimi nilisema I don't want peace 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Daktari apewe soda tafadali😂😂😂😂😂
Ngai mimi hata peni nyoko
Chilling 😂😂kitaumana huku 😂😂😂daktali you are ready 😂😂wambey ukwer
Mm wacha ninganganie mtoto n mama mwanaume zii Awana shukrani
Niko Saudi naona huyu dem atalilia kwa choo jamani mnapatanga nguvu wapi ya kutumie mens doo
Wacha nicheke initoke hii kitu waaaah Kali hiyo 😂😂😂
Nasi uyo jamaa ako na maneno tamu 😅😅😅
Waaah uku mapenzi n London 😅😅 Angie camera man/Lady anakula ama unakula pekeako 😅😅😅
Mapenzi shikamoo
Leo sijui nicomment nn juu 😁😁😁😁😁😁
Comment ikutoke😂😂😂😂😂😂
Hapa red flag direct 😅😅angie wewe kula mamaa,😅Hyu dem yawa😮 vile naonanga warembo wanatoka saudi kama wako smart and blown ,,Dactari be ready cox ukimwekea pembe uwezi kumbuka kama mlikula na yeye kwa meza moja😅😅
Plus miguu za ngombe😂😂😂
Nasumbiri maneno bada yahapo😂😂😂
Huyu jamaa kuna kitu anaficha...just chilling
Pia mm nataka kutumanie mume wangu pesa😂😂😂😂
Hapa mambo itachemka 😅😅
Kuleni hakuna kubakisha hapo alafu kikanuke huko nyumbani😂😂😂
Just waiting hapo😢😢😢
Mbone dactari mume muekea mbali kachumbari jamani😂
Naona red flag 😂😂
😂😂😂😂 mapeni ww
😂😂😂😂😂Wacha nicheke initoke
😂😂 maringo mingi,atajua hajui
Msichana ashibe akishamaliza kimurambe asifaint na njaa
😂😂😂😂
Mapenzi moto moto 😂😂
Finish praying in English 😂😂😂😂😂😂😂😂wacha ruswahili rwetu kula mpate nguvu ya mission ahead of you 😅😅😅😅😅😅😅kuleni haraka haraka mambo ichemke at least something big starts🤔🤔🤔🤔
Kijana kaanza kuokopa
Kunakitu
wawetu wazuri hivo wote
Huyu mweusi hivi kwani alikua majuu ya wapi na vile huku majuu kunangarisha watu
😂😂😂😂sio wote wako na sura nyepesi
Sio kila mtu yuko uarabuni ni mweupe wengi wao wamebleach
Wamama/wasichana wa gulf mnakuwanga desperate aje kutumia bwana pesa/boyfriend kwani ni wa kwenu??tears loading
Sijaona food ya camera man 😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Atakula behind the scenes 😂😂😂 sai anameza mate tuu😅😅😅
Angie food ya camera man
Hapo kunamambo fine sana kutawaka sana
Eeeh n huyu dem n mweusi sana kwn kwa waiguru wake hakukua n stima 😅😅😅
😂😂😂 pengine kulikuwa hakuna
🤸🏿♂️🤸🏿♂️🤸🏿♂️🤣🤣🤣😂😂😂
Virginia pia mimi ndio nashangaa 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂ngai aki wewe eti n mweusi sana wah
😂😂😂😂😂😂ngai aki wewe eti n mweusi sana wah
mwanaume ameanza kishuku
Huyu alikua saudi kweli 😂😂😂
😂😂navle ni mweusi na watu tukitoka saudi tunakaa wazungu 😅😅
❤❤❤❤😂😂😂😂👍
Hapo sioni mapenzi utalia Sasa hivi
Acheni kutupima akili make MWENYEWE anakaa chokora kiukweli daah .tena kwa kibadaski .acheni kutuona kama matako zenu
Pesa ya 7years kwa mwanaume 😢😢😢kuoshea mwarabu choo Mara makamasi n.a. kohozi kwa sink ya combo nkt!
I tell you we go through mamaa
One JB jijoi
❤😂😅
Mimi nangoja simu kuangaliwa tu hapo kwanza pesa 7yr ?
Huyo ndugu yako kwanini anakula na left hand?
Hauja muandalia hyo n pesa yake
😂😂tulia ale pesa yake mwenyewe
@@MwanguluweBorisBakarimwa-nl7kh 😂😂😂
Kwan hawa madem hawananga wazazi ju huwezi achia mwanaume mtoto how?
Kama ndo mumewe wa halai kwa nini asimuachie
Haki mm nafeel huyu dem hana kitu na jamaa ni mjanja sana hata the way alimkaribisha Airport nikama mtu alikua Kenya tu alishtuka ety mtoto ako sawa kabisa ety ni surprise aliambia analetea mtoto ama aliuza mtoto aje sasa 7yrs na usilete mtoto kwa mamake mmkalibishe pamoja mwende date pamoja as a family huyu dem atalia tu aky .waiting vile kutaenda aky nafeel sorry for the girl 👧 aky but mtoto hayuko aky.😊
Dactari kula nyama😂😂😂jibabe hizo nyama nizabure
Mtaniuwa na kiswahili huku jamani😂🙄😂 mapenzi weweeeee