Abdul Nondo amvaa mwenyekiti UVCCM kufungiwa mtandao wa X, "Namshauri asome aelewe"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • Mwenyekiti wa ngome ya vijana ya chama cha ACT Wazalendo amesema

КОМЕНТАРІ • 31

  • @rizikishahari6948
    @rizikishahari6948 3 місяці тому +4

    CCM ni vichwa vitupu kiasi hicho? Hebu washughulikie matatizo ya wananchi wasikae tu madarakani na kueneza propaganda zisizo na maana.

  • @infotech-shy5722
    @infotech-shy5722 3 місяці тому +1

    Wewe jamaa unaongea upuuzi! Ionekana wewe hata ushoga unausaport 100%, uhuru wa kujieleza uhuru upi huo unaoutaka wewe, watu kama nyinyi hamtufai unaua kizazi cha mtu mweusi

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 3 місяці тому +2

    Labda Mange kusema kweli, wanataka kuifunga Kwa sababu yake

  • @jacksonchilongani4478
    @jacksonchilongani4478 3 місяці тому

    Najiuliza huyu jamaa anajielewa ama sababu anajikuta anajua kuongea sana , anatetea ujinga

  • @issaramadhani9141
    @issaramadhani9141 3 місяці тому +2

    Cha kujiuliza ni kwa nini iwe kwa X na sio mitandao mingine? Ungeeleza kwamba sio kweli kwamba wanaweka hizo content ungeeleweka but tusiwe watu wa kutetea tu hata kama kitu kina athari kwa jamii, kuna nchi kubwa zilizoendelea lakini kuna mitandao maarufu huwezi ikuta nchini mwao kwa sabababu maalum. Sisi kila mtakacholetewa sawa kwa kivuli cha uhuru wa habari tutajipoteza bila kujijua.

  • @evelina9621
    @evelina9621 3 місяці тому +1

    Umesema.kweli.wanamasha.na.mambo.wanayoyafanya.kinyume.sheria.ya.nchi.au.katiba

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 3 місяці тому

    Sikubaliani nawe

  • @noelzakayo7854
    @noelzakayo7854 3 місяці тому +1

    We jamaa ni smart sana ni watz wachache kama wewe

  • @SaidiMwinshehe
    @SaidiMwinshehe 3 місяці тому +1

    Jamn mawakala wa shetani, wanaongezeka siku had siku,yaa rabi niepushe mimi,kizazichangu,nawale wenye kuamini 🤲🤲

    • @musa-v3f
      @musa-v3f 3 місяці тому

      fungia magari yanaua watu? fungieni facebook, fungieni internet kbs ili turudi kwy SLP na kuandikiana barua!! watu wa ajabu sana hawa kujaribu kuua mende kwa kuchoma nyumba nzima motto ili kujipendekeza kwa Samia

  • @driss4957
    @driss4957 3 місяці тому

    Well said, Twitter wanamkimbia Mange, Wanaamini anambomoa mama kuelekea uchaguzi mkuu..WAPO TAYARI KUCHOMA NYUMBA SABABU YA UTITIRI😅😅😅😅😅

  • @frenkpastory8512
    @frenkpastory8512 3 місяці тому +1

    Kwahyo wewe unakubaliana na huo upuuzi ww ni kiongozi wa aina gani

    • @MusaMkembela-ex6ev
      @MusaMkembela-ex6ev 3 місяці тому

      Kwahiyo Twitter ni upuuzi ? Daaa kweli bado hii nchi tuna matahila wengi

  • @burnmotto1876
    @burnmotto1876 3 місяці тому +1

    Fungia tu huo mtandao jamani sio mzuri

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 3 місяці тому

      Nyie mme tumwa sabab ccm ina wajinga wengi

  • @didasseveline9013
    @didasseveline9013 3 місяці тому

    Dah! Kumbe kweli elimu bila akili ni kazi bure! Na kama wasomi wote wapo kama wewe hamna aja ya kumpeleka mtoto shule

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 3 місяці тому

    kwani we nondo ni mpenzi wa ushoga?
    mitandao michafu ifungwe!!acha kutetea uchafu?!!

  • @Eliaskasanya-hm5yk
    @Eliaskasanya-hm5yk 3 місяці тому

    Huyu kijana ndo alijiteka! Siasa zina mambo. Mtu anapotafuta kick anabuni mambo ya hovyo yanayopelekea hata nchi kupata kashfa. Kwa hiyo dogo anashabikia ushoga? Acha upuuzi wako dogo maana uahoga ni janga la dunia

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 3 місяці тому

    Hiyu jamaa ana maoni maziri ila akimaliza afikishwe home asije akajiteka

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 3 місяці тому

    Huyu chizy nini watu sio kama hawana Akili.

  • @jonasmalima9143
    @jonasmalima9143 3 місяці тому

    Mchicha mwiba

  • @jastinmodest8073
    @jastinmodest8073 3 місяці тому

    Siyo kila unayemuona ni mtu wengine siyo watu

  • @charlesheswa2140
    @charlesheswa2140 3 місяці тому

    Libadilishwe jina kutokana mazoea ya jamii

    • @petroalfred5108
      @petroalfred5108 3 місяці тому

      Hawabadilishi jina la kampuni kwa kufuata akili mbovu za maccm

  • @frenkpastory8512
    @frenkpastory8512 3 місяці тому

    Mbona uwa nakukubali sahv umeanza kupotoka

    • @WinfridaCreitus-bf3zn
      @WinfridaCreitus-bf3zn 3 місяці тому

      Wewe unaamini ukiend Google huwezi Pata maudlin hayo? Tiktok napo hakuna? Kwahiyo. Mmeona X tu au?

  • @paulrwechungura4284
    @paulrwechungura4284 3 місяці тому

    Huna jipyAaa

  • @frenkpastory8512
    @frenkpastory8512 3 місяці тому

    Nakuomba ufaamu uyo mkurugenz wa kampuni ya x sahv anatengeneza midori kwa ajili ya kufanya mapenz,amna kutafuta mwannamke na yule mdori siyo kwamba anashika ujauzito ni wqkuburudisha tu je unako ambiwa dunian wanadakiwa wapungue mpaka apo uwelewii,akifanya icho kitu ndan ya miaka 50 unategemea nini ,ACHA KUWA NA MAWAZO MAFINYU PANUWA FIKIRA ZAKO

  • @mwitajoseph5003
    @mwitajoseph5003 3 місяці тому

    Acheni kudanganya umma.mtandao unaitwa X halafu Bado unatetea think big

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 3 місяці тому +1

      Kwani neno kwako ni alage? mbona kama uzinzi una fanya tu hata bila kuingia huko mtandaoni?