Msukuma uko vizuri, mbona wakati wa utawala wa mheshimiwa Jakaya mbowe na wenzake walikuwa wanashinda Ikulu, leo Lowasa ana dhambi gani kwenda Ikulu? Waambie hao, hawana ubavu wa kumhoji Lowasa.
Lowasa huo ndo ukomavu wa kisiasa. CCM ndiko ulikoanzia na Mr President anafanya kazi nzuri na anakaa na watu kupata ushauri nawe Lowasa umeliona hili na kukutana na rais. Big up Magufuli! !!!!!
Huyu ndie Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,anaitwa Joseph Msukuma(Nchi ihalalishe Bangi),hivi kweli seriously huyu ni mbunge anatuwakilisha Watanzania,kutunga sheria za nchi na pia kuisimamia Serikali ilete maendeleo ya nchi!Kweli jamani Watanzania,haya bwana.
Kwani Geita si ni sehemu tu ya nchi yetu,kama maendeleo yatapatikana Geita si ndio nchi itakuwa inasonga mbele?Je Wabunge wakiungana kuibana Serikali ili ilete maendeleo,Msukuma si ndio mmoja wa Wabunge hao,Je anaweza kuchangia la maana kwa maendeleo ya nchi,kuna jamaa humu anasema mimi ni mshamba kwa kuiona bangi sio kitu cha maana,kwa hiyo ananiona ni mshamba,haya baba endelea kuvuta,itakusaidia na inaendelea kukupatia ujanja.
Boniphace Philipo geita mnahasara do mana akakubari uwaja wa ndege ukajengwa chato mana rais aliona huki nikijinga atanikikiambia hakina point ya kupinga
Siku zote mwenye akili finyu hutukana badala ya kujenga hoja huwezi kuita chama upinzani ni genge la wahuni wakati wakati vyama upinzani vinatambuliwa na katiba ya Tanzania .Nawasihi viongozi wa chadema wasijibizane na huyu punguani maana siajabu amevuta bangi maana huwa anaitetea sana bangi.
Jenista Elia naona na wewe umeamua kutuonyesha ufinyu wa akili zako kwa KUMTUKANA punguani mwenye akili finyu 😂 Nimegundua huu mchezo hauhitaji hasira kabisaaa, bwabwabwabwaaaa
msukuma siyo mwanasiasa wala hana hadhi ya kua ni mpumbavu Fulani aliyechaguliwa kwa sababu mambo ya siasa hayana mipaka ya elimu,laiti tungeconsider elimu japo basic one four wajinga kama Hawa wasingekuepo
Waambie haooo genge la wahun.Lowassa rud Ccm Achana nahao genge la wahuni njaa kali waliuza chama kwajili ya njaaa Haoooo Chadema genge la Wahuni fyuuuuuu.
wee msukuma unajiita king, wee ni kimg wa mikundu. Acha unafiki hii mi tanzania na upinzaninaipa nguvu sana kama hamjui. Dunia ni ya mungu. na ipo cku upinzani watachukua kombe cjui mtakuwa wapi
Yote umesema .Ila kwa kauli ya kuwaita wenzako genge la wahuni si sawa.Hatupingi Lowassa kumuunga mkono Rais,ila kauli zako Mheshimiwa mbunge,punguza ukali
Kunatofauti kubwa sana kati ya msomi na asiye soma. Hakuna mpangilio wa maneno wala point ya msingi. Unaropoka tu na wala hujui uliongealo. Bwana akusamehe.
Msukuma uyo....wasukuma bhana!!!Hatari sana,meza mate basi!!!
duuuu!! kweli mbowe mmeiua chadema wenyewe mtamkumbuka Dr silaa
Msukuma uko vizuri, mbona wakati wa utawala wa mheshimiwa Jakaya mbowe na wenzake walikuwa wanashinda Ikulu, leo Lowasa ana dhambi gani kwenda Ikulu? Waambie hao, hawana ubavu wa kumhoji Lowasa.
Lowasa huo ndo ukomavu wa kisiasa.
CCM ndiko ulikoanzia na Mr President anafanya kazi nzuri na anakaa na watu kupata ushauri nawe Lowasa umeliona hili na kukutana na rais.
Big up Magufuli! !!!!!
Uwiiiiiiii, mambo ni motoooo!!!!!
Msukuma nimekuelewa sana na nimekukubali
bigup musukuma, wanaomupina jpm nawshangaa.
Kumbe pombe sio chai Na msukuma unaongea kauli za kitoto unajipinga mwenyewe
msukuma upo vizuri sana na mungu akubariki.
Msukuma big up...I appreciate
Huyu ndie Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,anaitwa Joseph Msukuma(Nchi ihalalishe Bangi),hivi kweli seriously huyu ni mbunge anatuwakilisha Watanzania,kutunga sheria za nchi na pia kuisimamia Serikali ilete maendeleo ya nchi!Kweli jamani Watanzania,haya bwana.
Yassini Nabwera hawakilishi nchi anatuwakilisha wananchi Wa GEITA Na sio nchi
Yassini Nabwera kwani kuaajabu gani kuhalalisha bangi?acha ushamba bana ilisha halalishwa kwenye nchi nyingi tu duniani acha uoga dogo
Yassini Nabwera, Maskin Geita cjui walikosa nn! Ama kwel pesa ndo kila ki2 bongo!
Kwani Geita si ni sehemu tu ya nchi yetu,kama maendeleo yatapatikana Geita si ndio nchi itakuwa inasonga mbele?Je Wabunge wakiungana kuibana Serikali ili ilete maendeleo,Msukuma si ndio mmoja wa Wabunge hao,Je anaweza kuchangia la maana kwa maendeleo ya nchi,kuna jamaa humu anasema mimi ni mshamba kwa kuiona bangi sio kitu cha maana,kwa hiyo ananiona ni mshamba,haya baba endelea kuvuta,itakusaidia na inaendelea kukupatia ujanja.
Boniphace Philipo geita mnahasara do mana akakubari uwaja wa ndege ukajengwa chato mana rais aliona huki nikijinga atanikikiambia hakina point ya kupinga
Ahsante baba bado mm njooni mnihoji nimalizie shuguli.
Habari ndio hyo,ujumbe umeshautuma! Kazi kwao kukuelewa au kukubenza👌😀😃
Hongera lowasa
nakuelewa sana mwanaharakati mwenzangu
Joseph Msukuma-Jitambue Ndg. yangu!
Karibu ccm mzee!!!
Safi msukuma.
Umeua ! tuone mwenye mbwa kama atang'atwa na mbwa wake ....
dadeki !
Official Kamdudu mbona mzee kingunge kang'atwa na mbwa wake?
Official Kamdudu '
Mbona hayati mzee kingunge aling'atwa na mbwa wake?
daaa kweli lowasa mkuu unaogopeka Mzee wa Monduli...,msukuma mwennyewe anasema nchi hii hakuna wa kumgusa lowasa,..
King nimetokea kukupenda Sana aisee hasa nikiona ile cm yako😁😁😍
Msukuma upo vzuriiiiiii nakukubali sana wape vidonge kaka
Aaaah.....Mwenye Mbwaa hawezi ng'atwa na Mbwaa Wake
Hili shoga kweli eti nalo linajiona linaongea point
Asante msukuma
👑 jinga hili
we kiboko king musukuma
msukuma the great
Safi sana kamanda msukumaaaaaa
uko sawa mbunge wa Geita hilo ni genge la wahuni hata ukiwakabizi serikali hao wataipeleka inchi pabaya Sana hawafai kuongoza inchi
Jamani kumbe chadema iliuzwa ......na hao viongozi ni watumishi wake auuu????
Musukuma kanishinda hayupo tofauti na bwakira na mkudesimba
chadema kwisha! watajuta kukurupuka kwa Lowassa
Unaweza kutukana kila mmoja wetu isipokuwa makonda na boss.
Siku zote mwenye akili finyu hutukana badala ya kujenga hoja huwezi kuita chama upinzani ni genge la wahuni wakati wakati vyama upinzani vinatambuliwa na katiba ya Tanzania .Nawasihi viongozi wa chadema wasijibizane na huyu punguani maana siajabu amevuta bangi maana huwa anaitetea sana bangi.
Jenista Elia naona na wewe umeamua kutuonyesha ufinyu wa akili zako kwa KUMTUKANA punguani mwenye akili finyu 😂
Nimegundua huu mchezo hauhitaji hasira kabisaaa, bwabwabwabwaaaa
Well spoken
msukuma nakukubali sana sana sana broo
Msukuma ni noma
upo sawa
uko vizur msukuma
Kweli elimu inamsaindia mtu huyu jamaa mbona ata simuelewi Mara joo Mara hatukutaki duu geita jaribun kufumbua macho
😂
Jiseph Maganiko Mhuuu sawa lakini waliosomaa hatuwaoni jamanii😀😀
Jiseph Maganiko huyu msengelema hana akili mafisiem ndyo waliye kua wanamtuka lowasa leo hii wanamtaka kweli siasa mchezo mchafu
Thats how you qualify an idiot
Wazo lako Musukuma litafanyiwa kazi ukiacha kuvuta bange!!
Duuuh!!!!!,Tanzania Tanzania.
Kweli
Msukuma we nomaa, wakimwaga mboga we unamwaga ugali
Elimu Elimu elimu elimu......
msukuma siyo mwanasiasa wala hana hadhi ya kua ni mpumbavu Fulani aliyechaguliwa kwa sababu mambo ya siasa hayana mipaka ya elimu,laiti tungeconsider elimu japo basic one four wajinga kama Hawa wasingekuepo
MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU TUPE AMANI
yap hadi raha ukweli ndiyo huo...ccm mbele kwa mbele...
kidampa hahaha msukuma you made my day
Duuuuuh hatari sanaaaa
Yangu macho,
mwehu ww hunaakili maana umetumia muda mwingi lakin hueleweki duhh kweli ww nimsukuma kweli
Waambie haooo genge la wahun.Lowassa rud Ccm Achana nahao genge la wahuni njaa kali waliuza chama kwajili ya njaaa Haoooo Chadema genge la Wahuni fyuuuuuu.
Akili y msukuma.sawasawa na mzungu mwehu.
msukuma sijakuelewa,mara njoo huku ndio nyumbani Mara kaa huko huko Na wahuni wenzako,Mara siwezi kuwa Na namba ya muhuni,duh basi tu nimechoka
wew sio mzima ukubwa wa umri sio ukubwa wa uongozii acha ujinga wew chizi chama cha wanachamaa nyau wew
Hahaaaahaahaaa, umetishaaaa, safi man umesema kweli....
The One 1 kweli
Meza mate basi duuuuuuu jamani hyuy baba anaongea sana haaaaaaaaa haya safi
Nzurii
sawa sawa Ayo
wee msukuma unajiita king, wee ni kimg wa mikundu. Acha unafiki hii mi tanzania na upinzaninaipa nguvu sana kama hamjui. Dunia ni ya mungu. na ipo cku upinzani watachukua kombe cjui mtakuwa wapi
Mmmh....nilikuwa sijakuelewa vizuri...kumbe unajichanya tu kwenye maelezo yako.
Ahaaahaaaaahaaa good sana boy
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Daaaaah Aise Kafyatua Ukweli Msukuma
Mara njoo huku mzee, Mara baki huko huko hatukutaki,!!! Duuuuh! Hiii ndo inaitwa sukuma twende kama sio kanyaga twende aiseee!
mhuni mwenyewe alaf kuwa na adabu
Huyu ata ajielewi anachozungumza kweli 1:Elimu
2;Elimu
3;Elimu
ASANTEEEEEEE ;MSUKUMA.
nakupenda kuanzia Leo bab lai....
Jonas Elias hata Mimi
Safi msukuma mwenzangu
kumbe ndo wajinga hivo?
SABOYI NHANDI kabisaaaa
Ukweli ndo huo mzee kashaona uko hakufai
Erick Renatus
watanzania tunatakiwa tuwena chama kimoja tu kuwa navya Vinci tusubili mika miamoja ijayo
MSUKUMA ANA VIPANDE VIGUMU.
Daaaah msukuma noma,hana pumuzi
we jamaa vp mbona ccm mafisadi wooote
Uko sahihi
Uyu msukuma namuelewaga sanaa yani ananipaga raha sana
Unaweza ukawa na mawazo mazuri, lakini jinsi unavyoongea tutakujudge tofauti!!!!
Msukuma uwanakuelewa sanaa
genge la wahuni, exactly
Msukuma yuko sahii.
sijamuelewa msukuma Mara yes Mara no, uko wapi?? na unacho kizungumza hebu jaribu kuzungumza kwa hatua tukuelewe!!!!
Ukweli ndo huo chadema ishauzwa mda tu!!!!
Uyu nae mara njoo uku mara usije atukutaki mmh mm sitaki tena siasa kuisikia
Mi pia namshangaa
mh.!.. jaman jaman!.. Watanzania Yetu macho!...#@
Nzuriii saaana
et genge la wahuni.. haya bana eti nyanya zimefyekwa na dc.
Yote umesema .Ila kwa kauli ya kuwaita wenzako genge la wahuni si sawa.Hatupingi Lowassa kumuunga mkono Rais,ila kauli zako Mheshimiwa mbunge,punguza ukali
Kweli bangi unatumia ndyo maana uliomba Liwe zao LA biashara
Yes
upo sawa msukuma mana unawambia ukwel
msukuma we hujielewi kabisa mala unamwita arudi ccm mala humtaki
Unywaji Wa pombe Kali changanya na Sigara Kali ni tatizo kubwa sana.
Akili ndogo haiwezi kuitawala akili kubwaaaa msukuma,hujui ulifanyalo poleeee
huyu jamaa mbuge lakin kumbe mbwa tyu. wew msukuma kachunge ng'ombe geita
Huyu mbn simuelwi jamani yuko upande, gani mara lowassa njoo, mara lowassa kaa huko huko,
Alphonce Alexander mweu uyo yani
Msukuma shkamoo
Nazma Abdul
chiz wewe
Nazma Abdul anaongea sana
shule kwanza punguza porojo ww kenge.
Huyu naye haeleweki kabisaa kweli chizi huwa anajiona mzima
Hahahahaha kazi kweli kweli
Kweli msukuma.
nyanya zake zimeng'olewa sijui na DC haki ya nani😂😂😂😂
Kunatofauti kubwa sana kati ya msomi na asiye soma. Hakuna mpangilio wa maneno wala point ya msingi. Unaropoka tu na wala hujui uliongealo. Bwana akusamehe.
Hahahahahahaaa supar mzee baba umewapa ya jandoni.
wanasiasa mnatuchanganya,mi siwaelewi wote.