Tatizo huyu designer wa Yanga Anazikimbia saana rangi za asili za Yanga.... Hem chukua mfano tu kwenye Akili yako hii jezi ya Gold ingekuwa yellow fluni hivi kisha na hivyo ilivyo ikapitiwa na hizo stripes mabegani.... Ingekuwa kali saaana... MSITOKE KWENYE RANGI ZENU....
Unajua msijigambe sana hakuna mtu wa yanga atasifia jezi ya Simba na hakuna mtu wa Simba atasifia jezi ya yanga saaa tambeni ukweli ndo huo kwa mm jezi za yanga mbaya MMO mana zimetoka kwenye uhalisia wa yanga
Mnataka asili ya yanga mnatak mle kumbe mnazipenda rangi za jezi za yanga mnajivunga jaman tumesikia maombi yenu asil irud na ikirud mje mnunue Sasa msiongee tu kununua aaaaah😂😂😏
Big up semaji letu 🎉🎉🎉inshallah kwa uwezo wa MUNGU tutashinda kwa points 3muhimu.
Jezi ni motoooooooo,🎉🎉🎉🎉kwa Sheria Ngowi.
Hatuna mpinzanii kwa upande wa jezii💛💚⏳
Siyo tu jersey ni mtoko kabisa .... Gusa achia twende kwao💛💚🏆✅🇹🇿📢📢
Jezi nzuri Sana wenzetu makolo wametengeza prover
Jamani mukija cairo mutuleteye zawadi za jezi tunaomba kama yanga itabahatika kupita inshallah
Kwa kiswahili hicho upo Cairo kweli😂
@@MtengwaJr😂😂 ukorofi huo sasa
😂😂😂😂😂@@MtengwaJr
@@MtengwaJr😂😂😂😮😅
Ndio tupo Cairo 😂😂😂😂😂
Uzi wa maana kabsaa Kolo wakae Mbali kabsaa😂😅
Elimu yako All kamwe tumenufaika ila wengi wetu awaelewi
Vitenge hivyo😂😂😂
Kuna siku Utopolo watavaa jezi nyekundu, wameingia kwenye mfumo hawa vyura 😂😂😂
Kweli munaenda kufili hakika mbaka xaivi amuelewi jezi yenu niipi
Semaji la Dunia 🎉🎉🎉🎉🎉
Jersey Kali sana
Hamna maajabu apo majezi yenyewe yahovyo tu walamba asali hao
Mke vp
Mzee Wa sindano we Amna kitu
Tambara la mganga😂😂
Ongea mambo ya kimpira acha kusifiasifia tuu
Mmekwishaaa amna kazii vitenge
Mnafiki na nyie iyo mi cola yenu mibayaaaa ovyo
Iyo mijezi inamatangazo hadi kwenye makalio...jezi imekua ubao wa matangazo
Nguo/Jezi inatakiwa ivutie soko,watu wavae waonekane hadi umbali fulani sasa hizo KANIKI za kwako hazina Soko
Mmmmh uongozi wa yanga ni fayaaa jezi tamiu sna jamani
Jezi mmeiga kwa simba jezi ya bluu za mwaka jana,
Tatizo huyu designer wa Yanga Anazikimbia saana rangi za asili za Yanga.... Hem chukua mfano tu kwenye Akili yako hii jezi ya Gold ingekuwa yellow fluni hivi kisha na hivyo ilivyo ikapitiwa na hizo stripes mabegani....
Ingekuwa kali saaana...
MSITOKE KWENYE RANGI ZENU....
Kajamaa kanajua kujitulizia maumivu hako duh!
Ukweli Uzi umesimama sana ndugu zetu walivo na wivu sas hii imeenda
Inshallah ,Naamini tarehe 26 yanga itafanya vizuri
Simba Aina uzi mkali kama wawananchi
Sema jezi ni tamuuuuuu
Jezi ni fireeeeeeeee
jezi ya yanga bora sana
Hakuna ktu kama hichoo unajificha kwenye shamba la karanga
JEZI mbaya,rangi nyiiiingi kwenye jezi moja,ipo kama kitenge.Haileweki kama ni jez au form six
ACHA wivu kisifie kitu cha mwenzako kama ni kizuri
Wewe Una jesi gani nzur Ile prover au makolo mujifunze Kwa ngoi achni wivu
Wewe bado hujamsikia Musiba, 😅😅😅😅
Musiba kama ww tu vpofu wa makolo Huwa hamjui vitu vitamu
Nipo Nairobi Kenya jamani tunaomba jezi
Muongo huyu mbona mwanasheria wenu kwenye kesi hatuoni ashinde kama anatumia akili ahahahahahahah
😂😂😂 hawajawai shinda kesi Kwa Simba akili nyingi hata Kwa Morrison walilamba lolo
🤔🤐
Mwenye nyodo ajinyonge😁
Mambo
ata ukimuuliza mtoto ni jezi ya timu gani atashindwa kukueleza maana inaonekana kama Tabora nyingine kama azam kweli wamepagawa hawa
Aly usipotoshe agenda,kinacholalamkkiwa sio rangi nyingi kwenye jezi wekeni rangi zote ila ranhi ya asili iwepo
Ili ikusaidie nini
Mbn simba walikuwa wanaweka bango la vist Tanzania
Huo ndio uzuri wa utopolo baada ya Nyuki na kuhamia uhamishoni Ili tuwarudishe mashabiki tumekuja na vitenge vipya
Ulipokula 5 ulikuwa hali gani😅
Ccm oyeeee
Hamuwezi kuifikia jezi ya simba hasa ya bluu
Pole jaman kwa kujifariji
😂😂😂 jamanii😭 kumbe ya blue nikajua zotee😂😂😂
Ila jamaa ni muongoo wewe ..😂 Yan unafany vitu unatamani uwe kama Ahmadi Ali lkn haumfikii...😅😅😅😅😅
Pamoja sana
Unajua msijigambe sana hakuna mtu wa yanga atasifia jezi ya Simba na hakuna mtu wa Simba atasifia jezi ya yanga saaa tambeni ukweli ndo huo kwa mm jezi za yanga mbaya MMO mana zimetoka kwenye uhalisia wa yanga
Shingo zenyewe zishazeeka kabla ya michezo
DUBE DAY NIKICHAPO KWENDA MBELE ,KAMA TABORA
Sema kama ulivyobakwa nyie na ss maana unautelez wa makalio adi Leo aah my wetu uyo
Kama tulivowaingiza vidole vitano Nyuma kwenu
Sasa mbona tuliambiwa wenye akili yanga ni wawili tu??
mtuletee jezi mwanza wana nchi
Mbna namuona kajipodoa 😂😂😂😂
Anayesema hzo sio rangi asili amwambie mama yake atengeneze jezi za rangi asili
haka kajamaa kaongo ongo sana
Pamoja sana semaji la African football 🤝
ILE NYIMBO YENU NI YAKINISANI 😂😂😂MNAIMBA KAMA KWAYA , NYIMBO YA KANISANI MNAIMBA MPIRANI
@@Josephtibu-l9eBado hujasema ata qaswida ukiitaja yanga inanoga lakn makolo hampo duniani Wala ahela
@@Josephtibu-l9ekaimbe na wewe kwani ukiingiya kanisani shida ipo wapi
Mmeshahama kwenye jez zenu asilia,hamna jez hata moja mliyotoa ya asili yenu,gold mmeiga Azam fc
Kwan azam ndio team ya kwanz kuvaa gold??
A nyiye blue Mme ingiya wapi? mo cola wewe😂😂😂
Mambo
Mnataka asili ya yanga mnatak mle kumbe mnazipenda rangi za jezi za yanga mnajivunga jaman tumesikia maombi yenu asil irud na ikirud mje mnunue Sasa msiongee tu kununua aaaaah😂😂😏
wow
Sasa km jezi ina majina ya watu itakua jezi au gazeti
Ww ni mpuuz icho ni kitenge unasifia nn
Kiteng chko kiko wap
ILE NYIMBO YENU NI YAKANISANI MNAIMBA MPIRANI 😂😂😂NYIMBO YA KWAYA😂😂
Wewe Hapa tuna ongelea Uzi sio nyimbo
yeye ni mtu wa ndani muelewe kwanza hilo
Sisi wa mikoani tunapataje......?????
Tuliombali jezi tunapataje
Sijaona njano mbona
Nenda kwa mama ako utaiona😂
Acha kupanic ovyo
Wambie wasifikilie kumuacha musonda
Hizo nguo/sare zilifaa kuvaliwa na waimba KWAYA wa kanisa au kikundi fulani na siyo timu ya mpira