Matukano na U wa Bahero Mimbarini 2/2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 30

  • @mussamussa7541
    @mussamussa7541 3 роки тому +3

    Mashallaah, ALLAH akupe wepc na mauld yasomwe mpaka wasoyataka wachomeke haswaaaa

  • @faidhayassin9807
    @faidhayassin9807 4 роки тому

    Subhana allah fanyeni dawaa kwawasio waislamu .....allah amfanyie wepesi asiwe wabidaa unaweza ukaifadhi na usifanyie kazii

  • @khutubankudra3617
    @khutubankudra3617 5 років тому +7

    Shekhe aliy hatmi mwenyezi MNGU akufanyie wepesi shekhe wangu

  • @aishagadeni5589
    @aishagadeni5589 3 роки тому +4

    Al hady mimi kama fun wako i love you my sweetheart shukraan

  • @musahorn5491
    @musahorn5491 5 років тому +6

    Shekh al hatimy wewe una elimu kubwa sana maa shaa Allah tofauti na umri wako unapokuwa unabishana na watu kama hao ni kwel unawafundisha kakin wanakuchosha tuuu maana hawaelew wamekalia jazba na ubishi na kujiona wanajua sana kumbe hawana lolote wanalolijua kufedhehesha watu tuu ndio wanafaham

  • @TheYusuf92
    @TheYusuf92 12 років тому +7

    hahahahaha sheikh bahero mpaka uthi chie lol that funny ,yani umefika mpaka kumkosea hishma swahaba all he need is to go buck and studie Quran ..!

  • @RekhaRekha-es8br
    @RekhaRekha-es8br 6 років тому +6

    Mashallah swalallahu alehi wasalam

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 3 роки тому +5

    Tunaswalia mtume s.a.w zaidi yenu na hio bid'a ya burda na MAULID hatufanyi alhamdulillah

  • @maryammdoe4784
    @maryammdoe4784 4 роки тому +1

    Alhatmy mungu akuweke sheikh wetu nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @sheykhabdallahdaudi3081
    @sheykhabdallahdaudi3081 5 років тому +2

    Nacheka tuu
    Hii ni kama Islamic comedy

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 4 роки тому +1

    Inna Lillahi WA inna ilayhi raji'uni nimsiba MKUBWA upo katika ummat MUHAMMAD SWALLA LLAHU ALAYHI WASALLAM LA hawla wala quwata illah billahi!

  • @allyyussuf7790
    @allyyussuf7790 3 роки тому

    Mmmmmmh huu uislamu unapoelkea sas hatr allah tunusuru

  • @RekhaRekha-es8br
    @RekhaRekha-es8br 6 років тому +4

    Kaswida ya susumua mashallah

  • @ahmedbadi5822
    @ahmedbadi5822 4 роки тому

    Huyu Bahero mbona huongea slow motion?

  • @allybyarushengo5727
    @allybyarushengo5727 6 років тому +6

    Sheikh Yusuf,usimlaumu sana Bahero yawezekana ana kichaa,kama si kichaa basi yawezekana nyuma yake kuna mkono wa pesa unamuhadaa ili kuleta fitna katika uislaam,Kwa sababu mtu mwenye elimu hawezi kukurupuka kwa kiasi hiki kiasi cha kuufanya mdomo wake kukosa pazia.

  • @RekhaRekha-es8br
    @RekhaRekha-es8br 6 років тому +6

    Masha Allah

  • @RekhaRekha-es8br
    @RekhaRekha-es8br 6 років тому +5

    Huyu bahero akufuru

  • @tinymzee7320
    @tinymzee7320 4 роки тому +2

    Kama ni kweli mjibuni mukiwa kwenye jukwaa moja sio kwa mitandao hii ni aibu kubwa kwa waislamu

  • @mattarmohd61
    @mattarmohd61 4 роки тому +1

    Shekhe dufu msikitini inakuaje

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 4 роки тому

    Hawa wanaimba nini?

  • @mira-gq3qg
    @mira-gq3qg 6 років тому +1

    Uislamu haukutufunza kutengana tumeambiwa tupendane tuwe kitu kimoja

  • @shuaibmohammad4808
    @shuaibmohammad4808 5 років тому +1

    Subhanallah yaani Alikaa chini akatafta madoa ya Bahero na bado hazina nguvu kabsaaaa

  • @bakarihamisi5638
    @bakarihamisi5638 5 років тому +2

    Nataka na mim nijekusoma watu watwariqa ahlusunnah

  • @khalefhamad7243
    @khalefhamad7243 5 років тому +2

    Ni vyema Mtu anapokosea ukamfuata kuliko kuanza kujibizana mitandaoni hivyo mutakuwa hamujengi bali munabomoa, sisi sote ni kitu kimoja haifai kufarikiana mtu akikukwaza ni vyema umfuate halafu umrekebishe alipo kosea huenda ikawa sababu ya Kujikerebisha kuliko kujibizana mitandaoni
    Uo ni ushauri nasaha tu

  • @nadimmebu4575
    @nadimmebu4575 7 років тому +2

    kwanini Ali ongea ivo ake alivo aza

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 3 роки тому +2

    Unanguvu ya kutetea bid'a wala sio tawheed. Ajabu

  • @mira-gq3qg
    @mira-gq3qg 6 років тому

    Jamani mbona munachukiana na nyote ni waislamu dini yetu ni moja na kitabu chetu kimoja badilikeni jamani

  • @faidhayassin9807
    @faidhayassin9807 4 роки тому

    Ivii shekhe uoni watu wamehifadhi qur ani nawanaimba nyimbo apo ndokosa lilipo wewe usitete bidaa mfunze mtoto qur ani akichanganya na nyimbo atakuwa kwenye khakiiiiii

  • @ARUSHACITY
    @ARUSHACITY 12 років тому

    @TheYusuf92