Mashallah....allah akuhifadhi simba wa twarika ...ust said omar ashirazy.....twakungojea ss wanafunzi wa markaz swalihina katika maulid yetu utubwagie vitu
Kuna ujuzi mwingi wa lugha, Allah akuhifadhi kijana,ufungue macho yetu.waBosnia,sarbia, chechnia Albania,Croatia, Andalusia, Sydney England etc wanasoma maulid.
DJ said ELIMU yake kawapita mawahabi nyote duniani kwa ELIMU yake na mkieka mnaqasha nae mnajikojolea,😂 JEE ANGEKUJA SHEIKH MWENYEWE WA KISUFI ENYI VIJIWAHABI MNGEWEZAJE KUHIMILI ELIMU YAKE?!!!. KAMA KITOTO TU KIIMBAJI DJ KIMEKUNUKISHENI MKAJIHARIA MAWAHABI NYOTE DUNIANI AIBU TUPUUU 😂, HAYA ANGEKUJA SHEKH JE ?!!!

Anapenda kusoma kijana
ALLah mtukufu awajaalie mwesho mwema mashehk wetu wote popote walipo dunianii
Dj Saidi huna jipya
❤❤❤❤❤Elimu imelala 😂😂😂
We shekh said elimu una kasome wew
Wewe ni kipofu Kisha kiziwi jeuri,hukushika chochote umeambua patupu.
Wafundishe MAYAHUDI hao
Madj ni nyinyi wapuuzi wakubwa sheikh said hawezi kuwa dj acheni kutukana wanazuoni
Nenda kapige mnanda dj mkubwa
Umefrahia elimu mwehu huna la kusema
Dj saidi Acha polojo na ujinga.Mtume wetu Muhammad hasifiwi sifa za uongo mashia neeee
Ametoa dalili hadi kwenye maelezo ya masheik WAKIWAHABI lakini hamuelewi.
Kasome 😂😂😂😂
DJ said ELIMU yake kawapita mawahabi nyote duniani kwa ELIMU yake na mkieka mnaqasha nae mnajikojolea,😂 JEE ANGEKUJA SHEIKH MWENYEWE WA KISUFI ENYI VIJIWAHABI MNGEWEZAJE KUHIMILI ELIMU YAKE?!!!. KAMA KITOTO TU KIIMBAJI DJ KIMEKUNUKISHENI MKAJIHARIA MAWAHABI NYOTE DUNIANI AIBU TUPUUU 😂, HAYA ANGEKUJA SHEKH JE ?!!!
Eti ni DJ😂
Madhehebu ya maimamu 4
kuhusu mauli yenu Wana semaje