#1samueli 2:7, Bwana hufukarisha kwa kweli, Tenzi hizo kila Mara kwa kweli hunipa ku songa mbele katka mwelekeo wa Imani na m'a tumaini kwamba sitaachwa pekee yangu Nikiwa na Kristo Mwokozi wangu,asante sana mchungaji. Listing from UAE, but from DRCongo(ombeeni sinji yetu ina teshwa sana kwa ajili ya Mali zake za udongoni taifa lime uwawa zaidi ya 15 000, na hapana mtu waku tetea Inji, si kwamba serekali na viongozi ni wazaifu lakini siasa ya kimataifa naza uzunguni. Zime zuiya usalama, hasa Habari Njema ya msalaba wa wokovu wetu haihubiriwi Tena.#ambwene #tazama-3:06
Hakika ahimidiwe yeye aketiye mahari pa juu pa Siri palipo inuka barikiwa kaka Mungu awe nawe Kila itwapo Leo na akufanikishe katika shughuli iliyo mbele yako@ambwene mwasongwe
Nafurahia kuwa number moja leo
Kaka nyimbo zako Huwa zinaniinua kiwango Cha juu kiimani
Brother Ambwene uimbaji wako ni tofauti kabisa na waimbaji wengine,,, Mungu kunakitu ameweka ndani yako... nabarikiwa sana na nyimbo zako
Asante Mungu kwa mambo yako makuu ambayo unafanya 😢...utukufu ni kwako
Unailinda Imani , Endelea kuilinda kiburi ukiweke mbali nawe . Asante maana unauhusiano na Neno 🙌🙌👏
Asante mungu kwa kila kitu juu ya maisha yangu🙏🙏🙏.. Nabarikiwa Sana na ambwene mwasonge
Ukweli kaka MUNGU ametupa afrika na dunia nzima unaimba katika roho na kweli,
Mtumishi mungu aendelee kukutia NGUVU KATIKA utumishi ,,, nyimbo zako Huwa Zina nibariki
Kaka wewe ni Baraka tunzi zako ni Godly lyrical kabisa Mungu akuinuee always
Nabalikiwa nauimbaj wako sana🙏🙏. Pia niombee sana. Namim pia nimuimbaj kama wewe. Pia natamani kufika mbali
wow go go go wanyumban
We love you brother,,Mungu anibariki na mimi
lini utafika Congo baba, labda dhambi za Congo ni nyingi ndo maana hakuna mabadiliko 😭😭😭😭
Fungua blog ya Hebroni Wilison kisamo usikie Mungu alimwambia kwa habari ya congo na hasa Rais wenu
Amina amina amina nabarikiwa sana na nyimbo zako nafarijikaaaaaaa nakuonea wivu ulivyosimama imara kwa mungu
Ambwene nilianza kumpenda nikiwa bado niko form two nampenda sana ambwene
nafulahi sana moyoni nabalikiwa nahuyu kaka
Waooooh, Ubarikiwe sana kaka kwa kazi nzuri.
AMEEEN, majivuno yasiwe kwangu😢
Brother......
Dua yangu kwako ....
Siku mbingu zikijawa na sifa hallelujah yako uwe ya Kwanza...............
#1samueli 2:7, Bwana hufukarisha kwa kweli, Tenzi hizo kila Mara kwa kweli hunipa ku songa mbele katka mwelekeo wa Imani na m'a tumaini kwamba sitaachwa pekee yangu Nikiwa na Kristo Mwokozi wangu,asante sana mchungaji. Listing from UAE, but from DRCongo(ombeeni sinji yetu ina teshwa sana kwa ajili ya Mali zake za udongoni taifa lime uwawa zaidi ya 15 000, na hapana mtu waku tetea Inji, si kwamba serekali na viongozi ni wazaifu lakini siasa ya kimataifa naza uzunguni. Zime zuiya usalama, hasa Habari Njema ya msalaba wa wokovu wetu haihubiriwi Tena.#ambwene #tazama-3:06
Mungu kakutumia wewe mwanawee kunivuna mimi ngano yakeeee aniweke ghalanii Sasa namjuaaa yeeye mweza wa yotee katika kristo #wordofcalvary
Mungu akulinde Mtumishi na uzidi kubarikiwa
Hakika ahimidiwe yeye aketiye mahari pa juu pa Siri palipo inuka barikiwa kaka Mungu awe nawe Kila itwapo Leo na akufanikishe katika shughuli iliyo mbele yako@ambwene mwasongwe
Barikiwa Sana bro!
Utukufu Kwa Mungu
Duh ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Amém Mungu Akubaliki saana Mtumishi wa Mungu
najikuta nikilia kila nikisikiliza nyimbo zako uzidi barikia
Hallelujah ukufu Kwa Mungu
Oooooh MUNGU mtunze kuhani wako huyu yaaah!!
Kaka yangu mimi nakupenda sana sana
I really like your singing service god bless you servant. praise and glory belongs to Jesus
Hallelujah kwa Bwana Yesu
May God bless you Man of God mwasongwe
Amen ubarikiwe God bless you
Amen Amen my lovely friend in Christ
Powerful song Sir. Am blessed
God continue using you for His own glory.. Nairobi Kenya twakupenda
Naloli mweru ukyala , ngukupara najumo gwakufwana na ugwe
Brother kapendeza sana
Ndagha nkam naloli MWERU jojujo akajapo ujungi linga Kyala ikukupa amaka ghumpaleghe bwilabwila
Parfait trop spirituel😢😢😢
Balikiwa sanaa
God bless you kaka
Ubarikiwe kaka ambwene
See by ISOCEL
My favorite singer
wow very nice song Man of God.
God shine in ways brother you are a blessing
God have mercy
Ulimwelu mpoki
Just waooh 🔥
Thanks God i hear u by this song
Glory to God🔥🔥🔥🔥
Ndagha Jesu ❤
To God be the Glory
Ur blessed bro
Haleluyaaaj
Hallelujah
Nice ❤
Amina
wow❤
Mungu akubarikie sana. App inaitwaje ya subcribe kwa tukio la tarehe 8dec?
Glory to God
Amen Amen
Amen🙏🙏🙏
Ameeee
Ameen
Amen🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️
Jina la app please
Amen
❤
Amen 🙌🙏🫶
Ameen
Amen
Ameen