Kwani makonda amekuwa juu ya Sheria maana hata anaonekana kuwa na mamlaka kuliko Rais. Kama utamwamuru waziri na mkuu wa mkoa na wilaya, ambayo ni wateule wa Rais hii Katiba inasemaje?!!!, Au ni katiba gani anatumia?!
Anachofanya Makonda ndio malengo ya Chama Cha Mapinduzi kwa viongozi wake. Ila viongozi hawafanyi hivyo kwa kutokujua/makusudi. Hongera sana Makonda kwa kufanya kile nilichokuwa nafanya nikiwa ktk chama.
Makonda ukiona unashangiliwa na watu kwa vigelegele vingi ujue unatenda haki. Hivyo tendeni haki kila kona hivyo huburini haki zaidi kukliko kuhubiria amani ....haki huinua taifa
Wanaoumiza wenzao ni nyie wenyewe CCM mikataba mibovu ninyie kuuza mali za nchi ni nyie CCM mnajitekenya wenyewe na mnacheka wenyewe acha kudanganya watanzania msemaji kawa mbunge msukuma anafanya nini hapo chato
Mheshimiwa ! Samahani usije ukanielewa vyengine ! Na hiši ndio šolah yako Kuba kuliko itakayokusaidia wewe na diši wananchi wote wa TZ tafadhalli zidisha ibada sana kwa kutumia dini yako itakuwa ujasiri mkubwa ! Hatimae malengo torej yatakamilika !upo hivyo !!
Sidhani kama kutatua kero nyingi zilizopo ni rahisi kiasi hiki kuna mengi tu hata mawaziri husika na mahakama wanahangaika nayo na mengine kupigwa dana Dana. Kesi na kero haziwezi kuisha kirahisi rahisi namna hii hiyo ni kama mchezo wa kuigiza
Naona Roho ya Magufuli inaishi ndani ya huyu mwamba, wanaoamini Magufuli bado anafanya maamuzi kwa kutumia mwili wa makonda gonga like za kutosha
Ni kiki tuu kwani angefanya bila media je? Cyo hadi iwe public ni ushamba uliopitiliza halafu kazi ya mwenezi cyo hiyo
Kwan ye kasema anataka kurekodiwa? Wenye tv ndio waliotupia mitandao
Makonda 2025 chukua form ya urais mimi niko nyuma yako
Sasa akifanya bila camera wewe ungejuwaje kama matatizo yana tatuliwa
@@giztony2009wapumbavu kama wee ndo mnafanya bandari iuzwe😢
Keep up the good work comrade makonda Paul.
Uko vizuri Sana kiongozi , Ila Inakupasa Uombe Sanaa maana sio kila mmoja atapenda ufanyekazi Kama unavyofanya
Hongera Mkonda uko vizuri.Mungu azidi kukujalia hekima katika utumishi wako
Thats woow!Tanzania your blessed na viongizi keep up mr Makonde
God bleass u🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Magufuli ❤is back
Hakika we ni mtanzania halisi we nitegemeo la wanyonge mungu akulinde
huyu kwamba kabisa Paul makonda mama mpe nguvu huyu kijana akufanyie kazi anaweza sana
Dah Angalau unatutia moyo mungu skubarki wew na Rais wetu mama samia
Ongera makonda mungu akulinde ww mzarendo watanzania maskini tumekukubali mtetezi wa wanyonge amani makonda
Uko.vizuri
Asanteni sana kiongozi wetu pauro Makonda 2:08
Hakika wewe ni nyota ya jaa kwetu watanzania Mungu hakubariki sasa napata imani ya chama kwa ajili yako mdogo wangu
Hongera sana
Uyo wa pikipiki kaishia wapi!? Ningetamani kujua muendelezo
sema mh hayati raisi magufuli bwana makonda toa heshima kwa mpendwa mimi jpm ni mtu muhimu sana
Ila swhb kuwa makn cjwah kusom hstoria y mwanahrkt yyte w kweli au mzalendo akabk Salam,me nizd kukuombea,Allah akucmamie tpo p1
Hapa Sasa kura yangu ntantoa maana kazi inafanyika tusaidieni wanaichi HIVYO na Mungu atawabariki nawambia
Safi sana mwenezi
saw makonda
Mkuu wa wilaya na sare ya chama dah
Kwani makonda amekuwa juu ya Sheria maana hata anaonekana kuwa na mamlaka kuliko Rais. Kama utamwamuru waziri na mkuu wa mkoa na wilaya, ambayo ni wateule wa Rais hii Katiba inasemaje?!!!, Au ni katiba gani anatumia?!
Kero mheshimiwa Makonda kwanini mpaka leo madai yetu sisi tuliokuwa wafanyakazi wa iliyokuwa hotel 77 ya arusha hatulipew
Hongera makonda mheshimiwa Rais huyu aendelee kubak kwenye icho cheo hatakusaidia
ila kauli tu ndio ngumu anatumia vibaya kujigambaaaa
Anachofanya Makonda ndio malengo ya Chama Cha Mapinduzi kwa viongozi wake.
Ila viongozi hawafanyi hivyo kwa kutokujua/makusudi.
Hongera sana Makonda kwa kufanya kile nilichokuwa nafanya nikiwa ktk chama.
Hatoweza chochote ni maigizo tu na bado kuna mengi tu kama ya CAG
kwa nini amekuja kipindi tunakaribia uchaguzi?
Wezi wanamuogopa makonda
Miaka Zaid 61 kusikiliza KERO Ondoa ujinga na MAIGIZO bad mijitu Haina akili 😢
Utasema tu
haya ngoja tukuone kama utaweza jwenye serikali hii ya awamu ya sita bin ya nne iliyooza sekta zote
ANAMOPITA MAKONDA AHADI ZINATEKELEZWA AU AMEKUWA MSEMAJI MAALUFU...!!!?
CCM akili nyingi sana yani mwishoooooni ameletwa mtu wakuwaludisha kwenye mstali
Jamaa ulikuwa kwenye kichwa changu samia mjanja nae et dah
😂😂😂😂😂
SIASA
bashite umezurumu mari za watu mpaka roho kitu hicho kitakutafuna kama jpm alivyo tafunwa aamina
Mungu awasaidie watu wake professor unanawita mwenezi mheshimiwa?Ummy real your thinking capacity is out of box!
Tupambeni tu kwa maneno ya kila leo.
Msemaji wa chama amekuwa msemaji wa serikali CCM hawana jipya kwasasa
HII WIZARA IMEMPATA MKUNAJI WA UPELE
Huyo ndo kidume
makonda kuwa rais jamani mbona hutasidia wanyonge
Yaani ccm wale majambazi ndio wamerudishwa
Majambazi zaidi ya hao wanaodhulumu watu?
Slamburg
Makonda ukiona unashangiliwa na watu kwa vigelegele vingi ujue unatenda haki. Hivyo tendeni haki kila kona hivyo huburini haki zaidi kukliko kuhubiria amani ....haki huinua taifa
Huo ni usanii tu sasa mje kuuliza katatua kero ngapi baada ya mkutano kero sugu zikaishe kirahisi rahisi tu?
@@hashimchaoga9566bado hujasema
CCM wezi tu include makonda
Twachira
Nachukia siasa za namna hii sijui kwa nini? Hivi tunashindwa kufanya vitu kisomi, kila mtendaji akatekeleza majukumu yake kiufanisi na kwa mipaka?
Siasa mhhh
Mwamba kweli kweli
piga kaz mwenezi,
Wanaoumiza wenzao ni nyie wenyewe CCM mikataba mibovu ninyie kuuza mali za nchi ni nyie CCM mnajitekenya wenyewe na mnacheka wenyewe acha kudanganya watanzania msemaji kawa mbunge msukuma anafanya nini hapo chato
Wameuza ccm na sio makonda
Wewe Hadi uchaguzi kama upo mzima utakuwa umechoka Sana cyo kwa sengwe hizo
Mungu amjalie uzima na afya njema aweze kuiongoza Tanzania
Yani makonda mi nilizulumiwa mafao ya uzazi na nssf wilaya ya karagwe
Maliasili wana faini zao baada ya mahakama kumlipisha faini mtuhumiwa? Mpeni pikipiki yake jamani da!!
Mxiuuu
Mana watumishi wanalala sana
Huku kibaha staton hamna hata mabomba ni visima
Maliasili Kuna tatzo kubwa mmno
Mheshimiwa ! Samahani usije ukanielewa vyengine ! Na hiši ndio šolah yako Kuba kuliko itakayokusaidia wewe na diši wananchi wote wa TZ tafadhalli zidisha ibada sana kwa kutumia dini yako itakuwa ujasiri mkubwa ! Hatimae malengo torej yatakamilika !upo hivyo !!
Yale yale ya kinana enzi ile kupumbaza watu. Hii inaitwa strategy
2025 gombea tu uraisi mpendwa tumechoka kuonewa
Huyu jamaa kashakua rais nn mbona anafanya kz km kiongoz mkuu wa nchi..... ?
Hata akiwa raising anafaaa
Bora hata ummy mwalimu ameishia kukuita mwenezi cyo walee wengine hawajielewi kukuita mheshimiwa afu unachekelea
Hujasema na bado utasema 😅😅
mtapata maneno matupu utekerezaji 0
Kuna akirisana wewe
Wewe magufuri wa pilli
Ufuatiliaji usiwea inapokaribia kampeni
😂😂
punguza biti bamdogo
Aaaa
Siasa tu. Mnatufanya wajinga. Wote wezi tu
Hakuna kitu usanii mtupu
Kama wewe ulivyowaumiza wenzako
Wengi wameumizwa na kudhulumiwa. Hakuna wa kuwasemea wala kuwasaidia
Uwe unatumbuwa majipu
Sidhani kama kutatua kero nyingi zilizopo ni rahisi kiasi hiki kuna mengi tu hata mawaziri husika na mahakama wanahangaika nayo na mengine kupigwa dana Dana. Kesi na kero haziwezi kuisha kirahisi rahisi namna hii hiyo ni kama mchezo wa kuigiza
Hawes ku8sha ila wakijua kwamba viongoz wakubwa wanasikiliza wananchi kidogo kuonewa kunapungua Acha tunanyanyasika sana
Huyu ndiye magufuli tuliyokuwa tunamsubiri