UGOMVI HUU UNA FAIDA GANI KWAKO?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • Katika ujumbe huu Mtumishi wa Mungu Apostle Mtalemwa amesisitiza kuachana na vita na malumbano yasiyokupa faida katika maisha,Jiulize huyo/hao unaopambana nao ukishinda unapata nini?
    Mtume anasisitiza kijufunza kwa Daudi aliyedharau vita na kaka yake Eliabu na kuendelea mbele kupigana na Goliath ili apewe thawabu baada ya kumshinda.
    Usishau ku-subscribe channel hii na kuwaeleza wengine lakini pia tuma sadaka yako kuchangia huduma hii Aritel Money 0682979585.
    Asante.

КОМЕНТАРІ • 73

  • @amosgidion3430
    @amosgidion3430 3 роки тому +5

    Tupate wapi tena mtu kama huyu Ambaye Roho wa MUNGU Ana kaa ndani yake,, GOD Bless you,,,,, Apostle Mtalemwa

  • @AgnesmichaelNyanda
    @AgnesmichaelNyanda 4 місяці тому

    Nabalikiwa sana naona kiwago chagu cha iman kinaogezeka ubalikiwe sana Mtumishi wa Mungu

  • @janethcharles7594
    @janethcharles7594 3 роки тому +1

    Somo zuri Sana nikufunguliwa tuu masomo yako tuu niufungulivu bila maombi

  • @Lucy-nr2sm
    @Lucy-nr2sm 3 роки тому +1

    Nimebarikiwa na hii injili....Mungu Baba akubariki mtumishi wa Mungu...nimeachana nawo

  • @pastor_mashimo
    @pastor_mashimo 3 роки тому +3

    Mungu akubariki sana

  • @deborahdelly4532
    @deborahdelly4532 3 роки тому +1

    Nawapenda sana ECG dar 🔥 kwendraaaaa achana nao asante Chef

  • @penuelfullsalvationchurch3350
    @penuelfullsalvationchurch3350 3 роки тому +2

    Barikiwa xana Mtalemwa Mungu akuongoze daima usirud nyuma"mpnz ya Mungu yatimizwe juu yako

  • @deborahdelly4532
    @deborahdelly4532 3 роки тому

    Nakuelewa saaaaaana apostle najifunza mengi sana ubarikiwe zaidi

  • @AgnessNyansambo
    @AgnessNyansambo 4 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉aaaah very powerful explanation apostle God bless u my God my Lord

  • @AgnessNyansambo
    @AgnessNyansambo 4 місяці тому

    My God my Lord thenk u Jesus.......!

  • @JosephLeonardMatemba
    @JosephLeonardMatemba 3 роки тому +1

    Hahaha hahahaha hah 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Aloooh I love you apostle mwaka huu naoa

  • @alexkamba5264
    @alexkamba5264 3 роки тому

    Barikiwa sanaaaaaaaaaa pastor Mungu akuzidishe

  • @mariadagobert2406
    @mariadagobert2406 3 роки тому

    Nimeelewa sana. Yan barikiwa sana mtumishi.

  • @joycemaige8683
    @joycemaige8683 3 роки тому

    Mungu akubaliki Sana mtumishi mungu azidi kukutumia kutu elimisha nime pata somo lingine ujuwe unaweza usipate maono mengine kiroho lakin mtumishi anaweza kutumiwa kukujibu pia apostle unatuambiaga ukipata maono ya kiroho usikulupuke kujaji subili utapata majibu na sasa nimepata majibu mengine asnt mungu kumjua huyu apostle sijuti

  • @isaacksika7363
    @isaacksika7363 3 роки тому

    Mungu akubariki sana KUHANI somo hili la Daudi kutopoza muda. Tumepoteza muda mwingi visivyo nafaida.

  • @estherwambuies1782
    @estherwambuies1782 3 роки тому

    Aki neno la mungu nitamu ukiipenda bibilia ni njia zetu za kuvuka na kuhotana mbara

  • @aminamogan6547
    @aminamogan6547 3 роки тому

    Nimekuelewa mtumishi imenitokea mm asanteh kwa kunifungua

  • @samsonmgonja4014
    @samsonmgonja4014 3 роки тому +1

    Asante chifu umeniongezea kitu,mimi wananiambiaga nina dharau kumbe nimeona vita ya kijinga haina faida

  • @aminamogan6547
    @aminamogan6547 3 роки тому

    Nimekuelewa mtumishi

  • @SonofMajor1
    @SonofMajor1 3 роки тому

    Hallelujah, Eeh Bwana Nipandishe.
    Ahsante sana baba mlezi kwa funzo kubwa sana maishani mwetu. Nimebarikiwa. More Blessings and Wisdom my mentor.

  • @fatumasaleh9491
    @fatumasaleh9491 3 роки тому

    That's true apostle am blessed with the message. May almighty God continue bless you with many more word's to teach us. Amen

  • @vickymahanga7734
    @vickymahanga7734 3 роки тому +1

    nimekuelewa mtumishi🙏

  • @amosgidion3430
    @amosgidion3430 3 роки тому

    Nimekuelewa SanA Mafundisho mazuri SanA ,,,,,,,,, Mungu aendelee kukutumia

  • @alimambabazi3666
    @alimambabazi3666 3 роки тому

    Apostle Mutalemwa ubarikiwe 🇺🇸🌹💝🙏

  • @monicabh1668
    @monicabh1668 3 роки тому

    Wooooooh 🔥🔥🔥🔥🔥this message is soo powerful thanks soo much Apostle mtalemwa bushiri

  • @merysianandosi439
    @merysianandosi439 3 роки тому

    Mungu akubariki mtumishi wa Bwana nimeelewa somo

  • @emmasidi9446
    @emmasidi9446 2 роки тому

    Haleluya 🙏🙏🙏more 🔥

  • @neemahamis6399
    @neemahamis6399 3 роки тому

    Amen chief penda sana 😍 kila vita isiyo na faida kwendraaaaaaa

  • @sallygrace1495
    @sallygrace1495 3 роки тому +1

    Ubarikiwe 🙌

  • @franciscambatha4314
    @franciscambatha4314 3 роки тому

    Amen .today I see light and I received spiritual breakthrough I will counted the battle with gain not those I will losses. Be blessed

  • @kajujumary6729
    @kajujumary6729 3 роки тому

    Powerful message
    Blessed man of God. thanks

  • @happyyppah4266
    @happyyppah4266 3 роки тому

    Amen

  • @basilkihanga8019
    @basilkihanga8019 3 роки тому

    Amen Man of God.

  • @saraphinandale7373
    @saraphinandale7373 3 роки тому

    Nimepona

  • @jacquelineelly6684
    @jacquelineelly6684 3 роки тому +1

    Focus on the main battle 🙌

  • @jacquelinenyange5549
    @jacquelinenyange5549 3 роки тому

    Thank you Apostle 🙏🏿

  • @lydiakagai5808
    @lydiakagai5808 2 роки тому

    Ni kweli kabisa nimeelewa kweli achana nao
    K

  • @sarahsamatwa3211
    @sarahsamatwa3211 3 роки тому

    Ameeen

  • @annailunga5449
    @annailunga5449 3 роки тому +1

    nime kuhelewana mtumishi

  • @robertkomba
    @robertkomba 3 роки тому +2

    Powerful

  • @suphiapatson3541
    @suphiapatson3541 3 роки тому

    Amen!🙏🙏🙏

  • @vallerinejesse2299
    @vallerinejesse2299 3 роки тому

    Mh ila mtu kupatana ni anapata Amani,hawezi kupata material gain ila spiritual gain kama Amani hii ukipata itakupatia material Gain,hivyo ni vizuri wanaogombana waombewe pia although mchungaji unaona hutapata sadaka. Lakini Mungu ni mwema mmoja anaweza kurudi kutoa sadaka ya shukrani ya upatanisho .kama yule mkoma mmoja Kati ya kumi!.

  • @joycejumaa7181
    @joycejumaa7181 3 роки тому

    So powerful

  • @christineoyigo3546
    @christineoyigo3546 3 роки тому +1

    Ignoring the battles
    . Those without benefits. Amen

  • @oneson170
    @oneson170 3 роки тому +1

    Kweli kabisa

  • @gladyssanta4656
    @gladyssanta4656 3 роки тому

    Ameeen and Ameen

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 3 роки тому

    Wow wow💪💪💪💪💪

  • @dadapechi
    @dadapechi 3 роки тому +1

    Vita zingine Hazina mshiko wachana nazo ni upotezi wa time na faranga sometimes

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 роки тому

    Unagombana ba nini baada ya hapo unapata niini. Kwweeendra huko!!

  • @marychege1473
    @marychege1473 3 роки тому

    Nabadilika leo

  • @rosemarymallya4458
    @rosemarymallya4458 3 роки тому

    To forcus on MAIN BATTLES,ask two qns:-
    A) ls that the CORRECT BATTLE??
    B) What is the advantages or benefit Frm that battle??
    IF NOT THAT IS JUST ELIABU minor battles🙇‍♀️🙌THANK YOU JESUS FOR THIS🤲

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 роки тому

    After battling what will u gain !!

  • @fabianmandas4737
    @fabianmandas4737 3 роки тому

    Neno lenye nguvu sana; hakika limenipeleka ngazi nyingine

  • @suzanfelix8065
    @suzanfelix8065 3 роки тому

    😅😅😅kweeendraaaa ile ya kimasai kabisa

  • @godsmercyandforgiveness
    @godsmercyandforgiveness 3 роки тому +1

    Hili kanisa liko upande gani Tanzania

    • @estherjohnmwambazi4679
      @estherjohnmwambazi4679 3 роки тому

      Makongo Juu Dar Es Salaam.
      Pia kuna branch mikoa tofauti tofauti.

    • @godsmercyandforgiveness
      @godsmercyandforgiveness 3 роки тому

      @@estherjohnmwambazi4679 thanks, nikifika Dar nachukua Gari ipi ya kunipeka huko kwa kanisa penye anahudumu apostle mtalemwa bushiri

  • @millicentnaliaka
    @millicentnaliaka 3 роки тому

    Hakika mtumishi umenifikia leo kwani jaribu limekua karibu linifanye niforcas kwa vilivyoshindwa ili nipoteze baraka zangu

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 3 роки тому

    Kanisa hili hakuna wazee?

  • @vailethngonyani759
    @vailethngonyani759 3 роки тому

    Utaitambuaje vita ambayo haina faida

  • @sarahmsangi7243
    @sarahmsangi7243 3 роки тому +2

    Naachanayo

  • @haidaryashock179
    @haidaryashock179 3 роки тому

    Apostle yo to much..sipigani vita visivo na faida..

    • @annasteven376
      @annasteven376 3 роки тому

      Barikiwa mtumishi naona ,unaongea na. Mm nimefunguliwa sana

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 роки тому

    Vocha hairudi, muda pia. You don't qualify for big cities like DSM. You went there to battle with your own people. KWWEEENDRA!!

  • @deborahdelly4532
    @deborahdelly4532 3 роки тому

    Nawapenda sana ECG dar 🔥 kwendraaaaa achana nao asante Chef

  • @tuzompwaga9947
    @tuzompwaga9947 3 роки тому +1

    Amen

  • @sarabendera7688
    @sarabendera7688 3 роки тому

    Ameeen

  • @naomysamuel6799
    @naomysamuel6799 3 роки тому

    Amen