Wewe ni Dhahabu Mwainyekule ilikuwa ni lazima upite ktk Moto huo na ndio lilikuwa kusidi la Mungu na ndio maana ulipotoka "Umeng'aa" Kama Dhahabu iliyosafishwa. Mungu Yu mwema Baba na Alikupenda mwanzo na Anakupenda mpk hv leo. Mungu alikuwa Anakupika huko Gerezani na lilikuwa kusidi lake. "Jaribu ni Mtaji" by Ambwene.
Mungu aendelee kukutumia apendavyo Mtumishi wa Mungu
Kusamehe jambo kama hili inahitaji neema ya Mungu😭😭, kibinadamu ni ngumu 🙌
Wewe ni Dhahabu Mwainyekule ilikuwa ni lazima upite ktk Moto huo na ndio lilikuwa kusidi la Mungu na ndio maana ulipotoka "Umeng'aa" Kama Dhahabu iliyosafishwa. Mungu Yu mwema Baba na Alikupenda mwanzo na Anakupenda mpk hv leo. Mungu alikuwa Anakupika huko Gerezani na lilikuwa kusidi lake. "Jaribu ni Mtaji" by Ambwene.
Dah! Mungu atabaki kuwa Mungu
Daah! Samehe tu brother Mungu atalipa yupo anaishi
Kweli mungu atabaki kuwa mungu
Daah! I'm speechless
Mungu bado ni mwema 🙏
Hata kazini kwake hawakumtendea haki kabisaaa kutoka mwanzo mpaka mwisho
Askari hakamatwagi hivyoo😭😭
God bless you
Misuli ya Imn,,Mungu niwaneema ahisee maana kusameh ni ngumu sana
Hata sasa bado utabaki kuwa Mungu
dah😥😥
Dah maskini😭😭
😭😭😭😭dahhh
MUNGU ATABAKI KUWA MUNGU
Dah
Machozi yenu hayatawaacha hao wanyang"anyi wa haki zenu
Nguvu ya msamaha
Hapo Mimi siwezi kusamehe jaman
Nivigumu lakini hakuna jinsi lazima usamehe tu
lazima usamehe ili Mungu aseme na wewe
Itakusaidia Nini?
Hapo ata wew itakuwa ni ngumu kukutana na msamaha wa kristo yesu pale utakapokuwa unauhitaji huo wa msamaha