Wafanyabiashara wa MAZAO wapigwa na butwaa baada ya kuelezwa kinachotokea mipakani na Waziri Bashe
Вставка
- Опубліковано 14 лип 2023
- Wafanyabiashara wanaosafirisha mazao nnje ya nchi wamejikuta wakipigwa na butwaa baada ya Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kuwaeleza kuwa licha ya gharama zote ambazo wamekuwa wakilipia kwenye mpaka wa Tanzania na Uganda wa Mutukula, Tanzania imekuwa ikipata shilingi milioni kumi pekee kwa mwaka mzima.
Bashe ametoka kauli hiyo alip[okutana na wafanyabiashara hao jijini Dodoma Julai 14, 2023.
Yaani huyu waziri Bashe namkubali xana yaani wapiga kura wake kamwe hawajutii kura zao walizo mpigia.Yaani huyu anajitaidi sana kuwatetea wakulima na maslai yao. Hongera xana wazir Bashe Allah akulinde
Clever guy. You're among my best leaders. Keep it up Bashe. Allah Akusimamie uwe miongoni mwa viongozi wakuzungumziwa kwa wema.💪👏👍
Mh Bashe kazi yako nzuri Sana unayofanya ni ya mtu aliekwenda shule big up Sana. Tuwe na mawaxiri 5 tu wa namna yako Nchi itapaa
Miongoni mwa Mawaziri bora kabisa Tanzania imewahi kuwa nao..
Huyu waziri kwa kweli ni very smart. Kongole sana Mh. Waziri. Unatwakilisha vizuri sana vijana. Binafsi nakuelewa sana na nina uhakika watanzania tulio wenhi tunakubali namna unavyooiendesha wizara hii.
Hongera mh Bashe,wewe ni kati ya mawaziri wachache Tz mnaojitambua,na hamzidi 5.
Genius
Congratulations Hon Bashe akii ww unaupeo nami hapo nilikuw nikilia napo kila cku my advice tumieni Tehama vizur ajir watu wafunge mifumo ya Tehama Wizarani mbona mnaenda China kuona magorofa tu hamjifunzi jinsi wao wanaendesha wizara zao???
kwa mfano wekeni vikwazo va ukamilishaji wa transaction lazmam fanya biashara atumie benki to kufanya muamala. na hili mnaweza kucontrol pale mtu anaomba kibali cha export au kuwe na level nyingine ya approval ili aweze kukamilisha transaction yake ya biashara. but nasisitiza mnapo amua kufanya hivo msiwasumbue wafanya biashara. yaani nakusudia haya mambo ya approval yawe online na yafanywe na well trained machines. inawezekana.
Mama kipoteza uyu Tanzania ume iua wakulima
Jamani Bashe Mungu akulinde
inasikitisha sana serikali kupata only 10 million tzs kupitia hiyo border uloitaja hapo.
Very interesting to listen and makes we think of this
fanyeni investment ya technology wizara . ni muhim sana. jifunzeni wa nchi ziloendelea kama vile marekani, european countries na nchi nyinginezo. it is possible.
Tz inapigwa kila kona.!! Jamani tumelogwaje na nani???
Uko vizuri Sana mweshimiwa waziri
Ni waziri ambae Ccm tunategemea kupata Kura nyingi 2025.....
Muheshimiwa unafanya kazi nzuri sana. naomba nishauri kama mtanzania mazalendo. kuhusu suala la export permit ku approved. hilo wala haliitaji mtu physically. design hizo form za export in such away ziweze kufanyiwa approval by machine.
Hilo limesha fanyika kitambo, ingia kwenye website yao
Huyu jamaa mungu amlinde
Sijui tukwambieee au tukuache kwanza!!!
Moja ya mawaziri wenye akili na ubunifu.
NAUNGANA NA WENGINE
TUNAOMBA UTUMIE KISWAHILI ZAIDI TAFADHALI.
halafu kuhusu disparity between figure za export tanzania na figures za import kwa nchi jirani, hapo kidogo ni tricky, kwa sabab sidhani kama mpo 100 percent sure kama hao nchi jirani wawo figure zao zipo accurate au lah. lakini kwa upande wetu watanzania wizara wekeni mifumo ya uhakika ambayo itakuwa freindly kwa wafanya biashara waweze kuifata kuondosha hili tatizo
Ongea kiswahili kuwa mzalendo
Huyu mkuu kasoma sana au huwa sielew kabisa maaan naneno ku ya kizungu nawili kiswahili
Chukua cheti cha uraisi bashe huna mupinzani
Yote hayo Ni kukosa uadilifu kwa watanzania...
nnacho kusudia ni kwa kupitia Artificial intelligence that can be done. Advantages behind ni kwamba hiyo huduma itapatikana 24/7.
10M hali ni tete 😂
Kuhusu borders 🤔🤔
Huyu waziri si atumie lugha moja kama kiswahili au English
Mm hata simwelewag...yaan
Hivi huyu jamaa kiswahili hajuwi au.anafikiria watanzania wote wamesoma yani kazi nzuri anafanya ila ligha zake cyo rafiki kwa wakulima
Sasa si ungeenda shule bhana
Kweli Kuna tatizo kueleweka kama anachanganya lugha. Kuna wakalimani kama atakuwa na wasikilizaji waiojua kiswahili
Huyo waziri mala kingereza mara Kiswahili kwani apo ni bugeni ?
KWA UOZO HUU, HUUNI UZEMBE WA SERIKALI. NI AIBU KUBWA. SERIKALI IJITAFAKARI. HIZI KODI ZIKIKUSANYWA HAKUNA HAJA YA KUNIKATA TOZO NIKITUMA MCHANGO WA MSIBA AU PESA YA KUMSAIDIA MZAZI WANGU KIJIJIJNI!!!👹👹👹
Tz is a failed state. Period.!!!!
Inajua failed state wew na somalia itakuwaje mzee acha utani kaka sisi siyo failed state ila tumezidiwa na rushwa tu ndo inatukosesha amani