Bashe: Kauze nyumba yako unayokaa na familia yako nataka hela ya wakulima''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amezungumza na kampuni ya Becco inayojihusisha na soko la tumbaku nchini na kutaka kampuni hiyo kuwalipa wakulima fedha zao.

КОМЕНТАРІ • 29

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 2 роки тому +6

    Ningekuwa karibu Mheshimiwa Bashe na waziri wa kilimo Hakika ningekubeba. Binafsi nampenda mtu asiye na mzaha na lugha nyepesi kwenye mambo nyeti na hasa yanayogusa watu wanyonge. Siwapendi na ninawachukia vipora majizi ya nguvu za WANYONGE.

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 2 роки тому +2

    Safi waziri tunajiita wazalendo kwa kudanganya uma lakini maadili hovyo bravo waziri bashe mfano mzuri kazi iendelee

  • @eliakimchaiikobellah358
    @eliakimchaiikobellah358 2 роки тому +2

    👋👋👋
    Wananenepeana tu Kwa jasho LA watu, flisi hao ili wajue ugum wanaopata wakulima, washinde shambani wengine, kula wale wao, safi Sana waziri

  • @donkingtraders692
    @donkingtraders692 2 роки тому +1

    Huyu ndio waziri wa tz wanyonge
    M.mungu akutangulie kaka ...

  • @BernaFortunatus-sl9ig
    @BernaFortunatus-sl9ig Рік тому

    Safi saana wazili hakika ujawekwa

  • @sameermilo2492
    @sameermilo2492 2 роки тому +2

    Safi mh waziri ... Nyooosha tu

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 2 роки тому

    Nakupenda ajue mungu. Maana sisi wanyonge unatupa moyo na hamasa kubwa bash mungu Akulinde

  • @edwardlyoba4909
    @edwardlyoba4909 2 роки тому +1

    Uyujama safi san na mkubali mungu akupe maisha malefu sana bashe

    • @calebcaleb3193
      @calebcaleb3193 2 роки тому

      Twenge kua Na mawaziri kama hawa twenge kua mbali sana Tanzania shida kubwa kuna mizigo takribani yote kutoa mweshimiwa bashe peke yake

  • @silverman6930
    @silverman6930 Рік тому

    Best minister 🇬🇧❤️

  • @mwenem8130
    @mwenem8130 2 роки тому +2

    Mh Bashe sukuma ndani hawa akina kangomba, WEZI WAKUBWA HAWANA HATA AIBU. unene wa wizi😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @aishawalele9377
    @aishawalele9377 2 роки тому +1

    Safi sana asitoke mtu apo

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 роки тому +2

    Hao wezi heri kuchukua waaminifu wazungu ndiyo maana wanapendwa kuchukua hizo tenda hao ni kama wale wa mashamba ya mikonge wauze kila kitu wawalipe wakulima utalaumiwa sana kwenye uwaziri wako mwanazengo

  • @christinakembe3869
    @christinakembe3869 2 роки тому

    Kaka wewe,Mungu akutunze,Jitahidi na ibada na Mungu hatakuacha Kwa kuwa mwaminifu....

  • @mwakasegeshukuru3720
    @mwakasegeshukuru3720 2 роки тому

    Upo vzr sn mh Bashe

  • @francephilipo3501
    @francephilipo3501 2 роки тому

    Safi sana bashee

  • @ManaseBuhanza-cl1lc
    @ManaseBuhanza-cl1lc Рік тому

    Walaka kutorewa haraka kulipwa haraka sana rais samia nitaifanyia upembuzi mpaka kutumbua majipu haraka kwa wahujum wa tasaf

  • @francephilipo3501
    @francephilipo3501 2 роки тому

    Mawaziri wote wangelikua hv nchi ingelifika mbali sana

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 2 роки тому

    Ila kama ushaur wa maskin unasikilizwa naomba CCM mumteuwe huyu bash 2025.agombee.urais

  • @fadhililihinda6491
    @fadhililihinda6491 2 роки тому

    Kama tungekua tunajali maslahi ya nchi, Bashe ni presidential materials. Anafanya anacho kiamini, anatekeleza anacho kipanga; anauchukia umasikini ulio mbele ya wananchi wake. Long leave dogo, binafsi nakukubali sana

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 2 роки тому

    Iv kwa nini huyu Muheshimiwa asgombee urais jaman

  • @dchacha4
    @dchacha4 2 роки тому

    👏👏👏🤝

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 роки тому +1

    Kamua uyo kamua wanajaza matumbo wakuliwa wanashidwa kusomesha watoto

  • @ManaseBuhanza-cl1lc
    @ManaseBuhanza-cl1lc Рік тому

    rais samia awangeukia wasimamizi wa mfuko wa TASAF wanufaika mkoani kigoma wilayani kasulu kata msambara halmashaul ya mjini wanufaika wa taharuki kwa malipo yao imeonekana serkali haiwaoni wanufaika

  • @Zamzam.044
    @Zamzam.044 2 роки тому

    Next-generation magufuli endelea mheshimiwa Africa nzima wana hitaji watu kama ww

  • @kennethkilonzo1293
    @kennethkilonzo1293 2 роки тому +1

    Mswahili mswahili

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 2 роки тому

    Ndioo bila ukari hatuendi

  • @mohamedabdulle358
    @mohamedabdulle358 2 роки тому

    hivyo ndiyo vile inahitajiwa