Nakupendaga masanja unajua kutofautisha kazi na uchungaji.watu wanasagia oo! siyo mtumishi swali langu kwani mwanajeshi aliyeokoka cku akipelekwa vitani hataua maadui kwa vile yeye ni mtumishi please guys growup.
Masanja mduanzi sana we jamaa...unaitukuza sana marekani utadahani ni pepo... labda nikujuze tu bro New York ndio jiji lenye panya wengi sana duniani kuliko majiji makubwa mengine.
Masanja una kipawa cha kubariki mioyo ya watu Mungu azidi kukuinua toka kenya nipo Qatar ety njoo na noti😂😂😂😂😂 Hebu nipeni lineup ya kufika USA na mimi nitoke uarabunii
Kama umeiona chali ya R IPO kwa pemben na mkot wake wanjano tia like
ayee
Nakupendaga masanja unajua kutofautisha kazi na uchungaji.watu wanasagia oo! siyo mtumishi swali langu kwani mwanajeshi aliyeokoka cku akipelekwa vitani hataua maadui kwa vile yeye ni mtumishi please guys growup.
Ubarikiwe blandina wangu. Na mimi namuelewaga masanja mpaka basi. Mungu ndiye anajua roho ya kila moja. Binadamu kazi yao kuhukumu
@@xkingx8041 emen,emen in Jesus name tubarikiwe wote tunaoamini kwamba sisi siyo malaika na sisi siyo watakatifu.
@@blandinamnyinga8318 kabisa
👏👏👏👏👏🙌🙌ameeeeeeen🙋🙋🙋🙋barikiwa🤔🤔
Jamaniii siubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Kama umesikia DJ ameachia ngoma ya chibu!!!
Gonga like
Masanja mduanzi sana we jamaa...unaitukuza sana marekani utadahani ni pepo... labda nikujuze tu bro New York ndio jiji lenye panya wengi sana duniani kuliko majiji makubwa mengine.
Dogo utapasuka kwa roho mbaya
@@davidkawesa3594 yani namshangaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 kuchenga naongeza siku za kuishi..masanja thumbs up 👍
Daah masanja nomaaa nakukubal kwa kazi zako
Napenda ilo tukio swahil society 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Asante sana. Suscribe na Swahili society UA-cam channel
Asante masanja TZ kumenoga saaaaana soon visa zitageuka from abroad to hereee.trust me you're all welcome.
😂😂😂 itatokea ila sio kwa sasa. Ila tunafanya vzr.
Napenda saaaaaaana kaz ya huyu jamaa,, natamanigi saaaana aniunge
ROMA big up sana umejiongeza kwenye SADAKA hapo nimekbal.
Hongera kwa talanta uliyonayo Masanja
Hahaha! Seems like going to U.S.A is like going to heaven
Home wanatunza sana Masanja. Marekani hawatunzi
Mzee wa vituko!!! Shkamoo kaka Masanja
Khaaa masanja eti baridi ya makambako mwee
Nakupendaga bure...Emma.Barikiwa!
Kama umemuona beneficial gonga like
Bg up mchungaji
Mi namiss komedi zako masanja
Broo masanja umekandamiza kwer kwer
😁😁jmn masanja sahani Kama imeoshwa
Nyimbo ya taifa hio, wish one day nihudhurie
Hahahaha masanja amna ela za chenj chenj
MASANJA NAPENDA SARAKASI ZAKO SAAANA 🇰🇪🇨🇿
Shukurani sana! Tutangaze lugha yetu!
Ha ha ha haaaaa marekani ilivamiwa na wapiga hera wenye njaa
Mungu azikukubariki bro
Nyevadi vemasanja whihesa ewe vuli bhanaaaaa
Sawaa
Noma kaka unawakilisha country yetu
Nimesikia MAKAMBAKO hapoo nani kasikia kama Mimi
acha kabisa
mimi
Masanja kanda miza sana
Masanja una kipawa cha kubariki mioyo ya watu Mungu azidi kukuinua toka kenya nipo Qatar ety njoo na noti😂😂😂😂😂
Hebu nipeni lineup ya kufika USA na mimi nitoke uarabunii
Naona chuga yuko USA KUBWA KUTOKA USA NDOGO
Roma hasiende tena yani kakaa kiboya sana sijui nani amempeleka uko
Kama kafiwa
@@hatibumasue1266 😂😂😂😂
Be mwagito kazi ipo.
Blandina Mnyinga njao veve
Unakandamiza kweli
I inspere brow
Masanjaa bhana
Mbarali to the world
Kusema ukweli nani ametumia ile sahani😂😂😂😂😂😂😂😂 i die ooh! ROMA changamkaaa
Kwapa linavuja masanja
Chali R katishaa kwakunyosha mkono
Heshima yako masanja
Masanja unaisifia Sana Marekani hata Kama ni biashara ,,wakati wao wanatuita shit hool
Ibrahim Gwasma! SSUSA tunatangaza Lugha yetu ya Kiswahili! Lazima sisi tutee Lugha yetu na kitaeleweka tu!
😂😂 Masanja unatisha
Masanja udlighe shewihenya apo uve hatari sana
Masanja fighter
IMANI&MATENDO..
Nili
kua
B
🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna mchungaji hapa 😂😂😂😂
LoL
Is God only can judge
Hawa niwapiga dili tu hakuna mchungaji hapa.
Happy nation...
Chali ya chuga hio koti la njano
Watu wanajua kutafuta pesa hatary
Hahaha ila zaidi ya commedy
Mungu yopo huko huko kushoto
Kama uanataka uwe mchungaji wakweli uzo umbwe mbwe zako
Mtumishi eti naishi Mbinguni hahaaaa😂😂
Msanja
Good news
Ahsante sana. Waambie Rafiki zako watazame hii Video! Swahili Society tupo juu!
massanja nishiiida
Mbona dalas tu tuliopo Hawai’i na LA tuna ishije
Masanja sio mzima wewe 😂😂😂😂
yaani huyu kaka
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪💪
Eti lala na mtu asiyeongea kiswahili
onp
🇹🇿🇹🇿🇹🇿♥️♥️
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💛💛💛
Nimeipenda sana hiyo sussa Jamani,Huku Dubai wabongo tunakutana wapi na lini?
😂😂😂😂 yaani inapendeza sana
Deira
American speaks a better swahili than Kenyan from Nairobi lol
Hongera Dada tuunge mkono Swahili Society! Tupo Juu
@@swahilisocietyamerica8054 sawa
Nipeni hata mmi jamani nafasi nije
Neo colonialism
🇹🇿🇹🇿🇹🇿