DIVA Atoa ya MOYONI "MANGE KIMAMBI amefanya NIMELIA/Anatoa MACHAFU ya WATU/Kaniokoa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Mtangazaji wa Wasafi Fm Diva The Bawse amefunguka kuwa mwanamitandao ya kijamii MANGE KIMAMBI Amesababisha amejua machafu mengi yanayoendelea kwenye ndoa yake. Pamoja na kumsababishia machozi lakini anamshukuru sana
    ...........................................................
    Contact Us : 0742447854
    -------------------------------------------------------------------------------
    Instagram www.instagram....
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Facebook / rickmediatz
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Website www.rickmediatz.com
    -----------------------------------------------------------------------------------
    #MangeKimambi #DivaTheBawse

КОМЕНТАРІ • 91

  • @abdulmobeto3955
    @abdulmobeto3955 4 місяці тому +5

    me ngekushauri ukiwa tena na ndoa usiexpose uo uzungu ndo unaponza jaribu kueka private ndoa yako labda itakusaidia, Allah akujalie kila la kheri kwa kuupenda uislam akujaalie mume mwema inshaAllah

  • @user-vk1xj2nl1j
    @user-vk1xj2nl1j 4 місяці тому +9

    Ki ukweli Diva unafunja ndoa yako mwenyewe Acha ujinga mange ndio anakuchungia ndoa yako ndoa aiwekwi mtandao unawatu wakuwaeleza mambo yako na mumeo Acha ujinga ludi kwenye ndoa yako pumbavu

    • @LeeLian95
      @LeeLian95 4 місяці тому

      Kwa ndoa gani???unashindwa kumshauri aachane na huyo Abdul unasema arudi??huyp Abdul kila siku kudhalilisha we ungeweza??

    • @user-vk1xj2nl1j
      @user-vk1xj2nl1j 4 місяці тому

      @@LeeLian95 wewe ndio wale mnaoalibu ndoa za watu wenyewe walipendana nyingi vidudu MTU ndio mnaona kwa ndoa gani hiyo hiyo unayoiona si ndoa Diva anaweza akailudisha na ikawa ndoa iliyo Bora na mkabaki na nahamu ndoa inajengwa na mwanamke si kila kaungomvi kidogo Tanzania dunia mzima wanajuwa mwanamke punguza kutoa siri za ndani kwako

  • @zuwenaabdallah7748
    @zuwenaabdallah7748 4 місяці тому +3

    Yaan ndoa bwana achana nayo fikiria huyu dada anavyojifanyaga mahiri kwenye mapenzi na kinge kingi sauti ya kitandani lakini wanaume wanamuachaga vibaya tena kwa kejeli😅😅

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 4 місяці тому +2

    MSIMSKILIZE UYO,,,ANAMCHEK JAMAA MWENYEWE.....NA MI NAMSIFU JAMAA KWASAB KASHAJUA DIVA NI DEMU MWENYE TEMPO,,,SO YUPO COOL TU😊,,,UKINIMIS NJOO NA NDO KINACHOFANYIKA

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 4 місяці тому +10

    Sijui hata nacheka nini.😆😆🤣🤣🤣🤣

    • @giztony2009
      @giztony2009 4 місяці тому +1

      Aise kumbe kila zama na kitabu chake leo hii mtu anaejiita Diva leo amegeuka mswahili!

    • @shyfettymtunda4619
      @shyfettymtunda4619 4 місяці тому

      @@giztony2009 Yani ananishangaza sana jamani.Ila namuona kama hayupo sawa,anahitaji sana ushauri kutoka kwa watu wa karibu.

  • @ramsohk
    @ramsohk 4 місяці тому +5

    Umaarufu usikutie ujinga ww unajifanya umtaki mbona ulikua una mlilia kwenye cm acha uongo uyoooooo😂😂😂😂😂😂

  • @djumakadege659
    @djumakadege659 4 місяці тому +4

    MwenyeziMungu akupe subira.
    Mume wako ni mtu mwema kijana mtanashati na mtu anaeijuwa dini yake.

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 4 місяці тому

      Aaah wapi, huyo Abdul ni kiwembe na pasua kichwa. Kwanini kila siku migogoro?

    • @LeeLian95
      @LeeLian95 4 місяці тому +1

      Itakua hauko sawa wewe, huyo mwanaume hafai hata kidogo sijui Diva anamng’ang’ania wa nin

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 4 місяці тому +1

      @@LeeLian95 Diva karogwa

  • @farhiyaareef9518
    @farhiyaareef9518 4 місяці тому +2

    Diva wangu anapenda kuolewa... anasahau aso hili analile 😅😅😅 yaan ukikosa hilo kwa mumeo ukienda kwa mwingine utamkuta anahili

  • @aminasalim8708
    @aminasalim8708 4 місяці тому +3

    Acha ulimbukeni wew wenye majina ndo nni nyooo utachezewa saaan

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 4 місяці тому +7

    😂😂😂😂😂😂leo diva kamkubari mange duuu😂😂

    • @nahyialetomia9284
      @nahyialetomia9284 4 місяці тому +1

      Mange amemshauri mara nyingi mno

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 4 місяці тому +1

      Usipomkubali Mange ww ni kichaa

    • @sharifabahar9905
      @sharifabahar9905 4 місяці тому

      @@KassimAlly-xp4dz mwanaume una comment ivi duuu iyo atari kwa kudharulisha watu ndo Unasema hakili

  • @user-cs9hh8rx8x
    @user-cs9hh8rx8x 4 місяці тому +1

    Miss delulu in mange voìce

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 4 місяці тому +2

    Huyu binti hayupo sawa kabisa kiropo

  • @sajdatomar6025
    @sajdatomar6025 4 місяці тому +4

    Ivi kuna dunia tunaweza kuwapeleka hawa watu wawili diva na mumewe ili tupumxike kdg

  • @rehemahassan7475
    @rehemahassan7475 4 місяці тому +2

    Sasa mbona mtangazaji hapewi nafas 😂😂😂

  • @fatmamansour676
    @fatmamansour676 4 місяці тому +2

    Kukumbatia na kukiss si 7bu kwamba mnapendana

  • @josemangula8806
    @josemangula8806 4 місяці тому +2

    Huyu anajishaua tu leo ulikuwa unampigia mme wako akiwa kwenye interview saiz unajishaua apa kwenda

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en 4 місяці тому +6

    😂😂😂huyu mwanamke sio mzima wallah tatizo lako una mdomo sana halafu hueleweki mara upost Pete ya picha ya mzungu mara unataka kuolewa huku uko kwenye ndoa Abdul Ana mapungufu yake kama binadam mambo ya kimdhalilisha mitandaoni sio sawa punguza ngebe shoga na misifa

  • @user-xc5tv9dl5k
    @user-xc5tv9dl5k 4 місяці тому +3

    Huyu mwanamke mjinga

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 4 місяці тому +4

    Ila ni kwel jamani diva kazeeka tuache utani

  • @user-iw5hu3mc7l
    @user-iw5hu3mc7l 4 місяці тому +2

    Jamani ongea kisawhili tupate umbea huo

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 4 місяці тому

      Mtakoma umbea kwa kiinglish

  • @salimakuyela7813
    @salimakuyela7813 4 місяці тому +1

    Kumbe hana akili huyu jamani tusimlaumu

  • @user-ds9gc3wx4n
    @user-ds9gc3wx4n 4 місяці тому +3

    Ila ili lizeeee linajiskia kwel 😭

  • @mwajumaahmed3646
    @mwajumaahmed3646 4 місяці тому

    Hivi huwa watu wengi hawajui maaana ya ndoa ndoa nibaina ya wa2 wa wili mliopiga got mkala Amin kwa mungu sa inakuaje mashabk ndio wakuiongelea ndoa yko dah

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 4 місяці тому

    Wewe ni chizi na utaishia vibaya kuforce vitu. Huyo mwanaume hakupendi ndomaana kila siku matukio. Wewe since hutaki kukubali ukweli usipokufa coz ya hii ndoa basi utazidi kupata mental problems kuzidi now ulivyo

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 4 місяці тому +2

    Diva, be consistent; you said you already have a German man! Leo tena unasema kama utawahi kuolewa?

    • @godymastermind9534
      @godymastermind9534 4 місяці тому

      Diva huyu ana matatizo ya akili ila hajui tu coz umri unaenda ila yeye ana mambo ya kitoto na ya kijinga badala ya kufatuta mwanaume wa kumzika

    • @chany9950
      @chany9950 4 місяці тому

      🤣🤣🤣 uyu ni cega jmn

    • @matridamwalyoyo1735
      @matridamwalyoyo1735 4 місяці тому +1

      Amesema wakishindwana😂😂

  • @marymwaluko3364
    @marymwaluko3364 4 місяці тому +1

    Kwa hiyo mjerumani wetu yule kaishia wapi😅😅😅

  • @esterjames2549
    @esterjames2549 4 місяці тому

    diva kinachomtesa alisema mwanamme atakaetaka kumuoa atoe mahali m500.aliweka kama nadhiri sasa ameivunja kwa kuolewa bila mahari.ajifunze siku nyingine kuongea vitu kama kajiumba mwenyewe na hana hofu ya mungu.

  • @jamilajamal1584
    @jamilajamal1584 4 місяці тому +1

    Huyu ni majinun kbs😂

  • @user-zv2ng6ov2k
    @user-zv2ng6ov2k 4 місяці тому +1

    dada poresana naona haujamouve on kwamuganga na anaowa kirakukica so polesana dada uripofungwa one day utatoka

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 4 місяці тому

    Ila kweli kwenye skendo ya umalaya haupo... Mungu atakupa wakwako nevermind

  • @user-fy9pw2zr8l
    @user-fy9pw2zr8l 4 місяці тому

    Kumbe watu wakubwa kichwa maji tu hakili ndogo ndoa yako umeyivunja.Mwenyewe ebu toka

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 4 місяці тому

    Mmmmmmh makubwa haya ulikuwa wain mwez mtukufu au hujafundishwa nizam ya ramadhana au mwez mtukufu?

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 4 місяці тому +3

    Hao wanaume walikuws wapi kabla Abdul hajakuona ongea na mme wako mwite mshenga muyamalize urudi kwa Abdul uzae na mtoto

  • @user-ij2lp1om6i
    @user-ij2lp1om6i 4 місяці тому +1

    Pumbavu kbsa. Eti unahama ukristo kwenda uisilamu . Jinga kbsa

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 4 місяці тому

    Mzee mwenzangu anadhalilika 😢😢😢😢

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 4 місяці тому

      😂😂😂😂😂

  • @user-ij2lp1om6i
    @user-ij2lp1om6i 4 місяці тому

    Wakristo hatuwezi kua mtu malaya na mpumbavu bora uende huko wanaokumbatia huo ushenzi

  • @user-el6ev9dt5k
    @user-el6ev9dt5k 4 місяці тому

    Niwaongo tu hata hao wanaokufata kwa sasa, walikua wapi, kabala Abdully hajakuoa ,nikweli wanataka kutumia umaalufu wako wajitoe kibiashara kama ulivodai, ni bora urudi kwa abdully bana umekua na imani ya dini

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 4 місяці тому

    Ili kwel pumbavu kwan kwenye din yako ya mwanzo ulikua unazuiwa kufanya ibada na mtu?

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 4 місяці тому

    Yaani kuna mganga alikuwa ananitongoza, kwakweli naona niachane nae, maana mganga anapaka mpaka dyudyu lake dawa, Diva sio bure kalogeka haswaaaa

  • @Ruu974
    @Ruu974 4 місяці тому

    This person are doing content

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 4 місяці тому

    Ila anasauti nzuri

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 4 місяці тому

    @mangekimambi umekubaliwa leo😂😂😂

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 4 місяці тому

    Una sifa nyingi sn

  • @iceplay18
    @iceplay18 4 місяці тому

    mwanamke mrongo hana msimamo alafu amepata mwandishi fala wa kulipwa , ukiwachwa wachika sio kila kutwa uko kwa mtandawo

  • @user-rh8bu7dq4q
    @user-rh8bu7dq4q 4 місяці тому

    Diva acha kujipa matumaini na uyu mtu unapoteza mda wako bure hana mapenzi wala huruma naww kakuteka anavyojua yy utateseka adi ujute, Hamna kitachobadilika bora umtukane adi utoshe kwa machungu alokusababishia kuweka amani nae unajichosha lenyewe halijali linaendelea na yake

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n 4 місяці тому

    Kwann NAMPENDA DADA WA TAIFA. ANAWAFUNGUA WENGI AKIL😂😂😂DIVA NAKUPENDA ❤❤❤❤

  • @SefuHabibu-sn8cx
    @SefuHabibu-sn8cx 4 місяці тому

    Hili tatizo

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 4 місяці тому

    Kuswali kote huko mara tano kwa siku na bado kuna madrama hivyo

  • @user-wx2ug7zs1d
    @user-wx2ug7zs1d 4 місяці тому

    Dada kweli kuwa na akili sio mwili umejaa upuzi mtupu shenzi

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 4 місяці тому

    Jamani mahari m500 !😂

  • @MohamedMkota
    @MohamedMkota 4 місяці тому

    😂😂😂😂 embu tueleze. Diva kutoka ndani ya moyo wako unataka nn kwny mapenzi maan hujui unachotaka ww

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 4 місяці тому

      Anataka dyudyu

    • @MohamedMkota
      @MohamedMkota 4 місяці тому

      @@judyngowi391 ss atafanya wanawake wamfate sn abduli kutaka kujua kuna nn kumbe hkn lolote

  • @justinendizeye714
    @justinendizeye714 4 місяці тому +1

    Yani wewe dada hujirlew kbsa

  • @rosetsuhha7312
    @rosetsuhha7312 4 місяці тому

    Diva umelogw au

  • @user-ee9my3ye2o
    @user-ee9my3ye2o 4 місяці тому

    Hiyo American accent inachefua wewe binti hujui tu. Najua wenye changamoto za akili hawana uwezo wa kuona aibu lakini jitahidi dada. Kwenye kila interview unachoongea ni upuuzi sasa imetosha. Tafuta msaada wa kitabibu kunyoosha kichwa chako la sivyo hivi karibuni utaokota makopo😢

  • @user-xc4or2vp6l
    @user-xc4or2vp6l 4 місяці тому +1

    Diva you are very smart❤ lady. However you don't know what you are doing. I would ask you to ask God to give you patience. The faith you have now allows you to be divorced.Pray to Almighty God to come out of those Dua that were done to you by your husband. And live peaceful life🎉😂❤ .Do you think you love your husband very much, for your information please not that your husband will not be able to live with other ladies. The way how he is or acting. You need deliverance prayers to be safe. it's a bad thing to expose your life in the media, now you see it's okay, This is my life but feature you will regret.

  • @praxsedamathias1768
    @praxsedamathias1768 4 місяці тому

    Dooo😂😂😂😂😂

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 4 місяці тому

    😁😁😁😁

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 4 місяці тому

    😂😂😂

  • @Njeriii536
    @Njeriii536 4 місяці тому

    😂😂😂😂😂