RAMANI YA UBAYA [Bishop Josephat Gwajima] 04.07.2021

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • We are live

КОМЕНТАРІ • 114

  • @GloriousRestorationTV
    @GloriousRestorationTV 3 роки тому +7

    Nafuta ramani ya ubaya dhidi yangu kwa jina la Yesu, imeandikwa mabaya hayatanipata Mimi.......

  • @sophiamwakila3300
    @sophiamwakila3300 3 роки тому +1

    Naifuta ramani ya ubaya iliyochorwa kwenye maisha yangu na ya familia kwa damu ya Yesu Kristo. Naigeuza michoro hiyo iwapate wao na familia zao. Nitakuwa na afya kuliko wakati wowote kwa jina. Nina afya, nina afya, nina afya, nina afya, nina afya na familia yangu kuliko wakati wowote. Kwa jina Yesu.

  • @user-uy9pc4qz7u
    @user-uy9pc4qz7u Рік тому +1

    Michoro ime shandararabobosayaa❤❤❤❤

  • @theogeneninkabandi1948
    @theogeneninkabandi1948 3 роки тому

    Nafuta michoro ya ubaya Kwa maicha yangu na familia yangu Kwa jina la Yesu Kristo. Niko Rwanda ninawapenda sana

  • @sarahmsangi7243
    @sarahmsangi7243 3 роки тому +13

    Naifuta michoro yote ya ubaya!!! Kwangu na ndugu zangu na taifa langu kwa damu ya YESU

  • @janetjanet8669
    @janetjanet8669 3 роки тому +1

    Amina nafuta ramani ya ubaya katika maisha yangu kwa jina la Yesu ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu......ila siku hizi umepotaa sana umekuwa wajuma pili tu 🙏🙏🙏🙏🙏

    • @sisterolivia9874
      @sisterolivia9874 Рік тому

      Nafuta Ramani zooooooooooote juuu ya maisha na Familia yangu kwa jina la yesu mwana wa mungu aliye hai

  • @lillygeorgezz8310
    @lillygeorgezz8310 3 роки тому +2

    Hallelluyaaaaaaaaaaaaaa barikiwa sana Bishop gwajima mungu akutunze na akuinue zaidi nimebarikiwa kweli kabisa neno la wakati na majira haya nimeshukuru👏👏👏

  • @joabyared2436
    @joabyared2436 3 роки тому +1

    Naipigixha kona Raman ya ubaya kwa jina LA yesu

  • @rehemamwakinyaka3167
    @rehemamwakinyaka3167 3 роки тому +1

    Mijengo yakichawi na milango ya kichawi michoro ya kichawi na ramani walionicholea mm na familia yangu nifuta kwa damu ya Yesu na ninabomoa majengo yote kwjina la Yesu Kristi mwana wa Mungu Alie hai ameni

  • @dr.jombajomba3838
    @dr.jombajomba3838 3 роки тому +2

    Watching this from Mombasa Port Control. Man of God Gwajima you're a blessing to many

  • @margaretelkanah2038
    @margaretelkanah2038 3 роки тому +5

    Yaani wewe ni kuhani mkamilifu mbele za Mungu.
    Nitapenda ukija kugombea uraisi wa Saba TZ, na utashinda, ameni.

    • @azizaaziza9113
      @azizaaziza9113 3 роки тому +1

      Bwana apishe mbali akigombea urais watamuua km magufuli bora akaye tu hivo hivo

  • @edwinonsombi
    @edwinonsombi 2 роки тому

    Amen,Asante kwa neno la Mungu.

  • @emmanuelmwakyoma5746
    @emmanuelmwakyoma5746 3 роки тому

    Ameeeeen ya saba Mara sabini

  • @mary.matullu8279
    @mary.matullu8279 3 роки тому +1

    Michoro ya ubaya teketea kwa jina la Yesu

  • @jossyngumbi1916
    @jossyngumbi1916 3 роки тому

    Ramana ya ubaya iliochoro juu ya maisha yangu na familia yako niufuta kwa damu ya yesu kristo nimepokea afya kwa damu ya yesu kristo Halellujah Ameeeen asante Baba Barikiwa Sana.

  • @hbdina
    @hbdina 3 роки тому +2

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️Asante Sana Baba Mungu Jehovah kwa jina la Yesu Kristu Amen

  • @pstivolaugustino3701
    @pstivolaugustino3701 3 роки тому +1

    Nafuta ramani za ubaya juu ya familia yangu kwa Jina LA Yesu

  • @PendoSamson-rr8uy
    @PendoSamson-rr8uy Рік тому

    Ramani zote za ubaya teketea Kwa moto wa Mungu

  • @hacimanaclaude5401
    @hacimanaclaude5401 3 роки тому

    Dr. Gwajima ,hongela kwa mafundisho yako ,Mungu akuongezee hekima

  • @yasintakahamba1320
    @yasintakahamba1320 3 роки тому

    Kila wachora ramani mbaya kwenye maisha yangu na mchumba wangu wanaotutenezea mafarakano nawafuta kwa jina la YESU pia wachora ramani kwa familii yangu kwa jina la yesu nawatangazia msiba was rohoni na mwilini emeeen

  • @pendosamson7202
    @pendosamson7202 3 роки тому

    Amen amen

  • @frolacharles6788
    @frolacharles6788 3 роки тому +2

    Amina Mtumishi wa Mungu

  • @sesiliamwakalinga2239
    @sesiliamwakalinga2239 3 роки тому +2

    Amen, I receive in Jesus name

  • @collinsshadrack6011
    @collinsshadrack6011 3 роки тому

    Nabomoa ramani ya ubaya juu yangu na wanangu na familia yangu kwa jina la Yesu Kristo.

  • @sarahmwasyoge1830
    @sarahmwasyoge1830 3 роки тому +1

    Ameeeeeeeeeen Yeeeeeeeeesuuuuuu Juuuuuu never down aririririiii this was meant for Me. May the grace of the Lord Jesus and mercy of God our father be upon you and your family and the church at large at ufufuo na uzima

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 3 роки тому

    Namwombea Sana Rais wetu Mungu ampe macho ya kuona na busara ya kugundua michoro mibaya ya wanafiki wa serikali yake. Watu hawa wana mchoro wa kutaka afute viongozi wazuri aliokuwa nao awamu ya tano wateule WA Magufuri wampe watu wao ili watimize nia yao mbaya ya kupora uchumi WA Nchi yetu.Serikali ikipwaya wapate kumdhihaki.

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Ameeen watu wasiyofanya wote kwenye Maisha yangu nawafutilia mbali kwa jina la Yesu

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Afya yangu ni shamba la Baba Bwana apishe mbali watoto wangu ni shamba la Baba Bwana apishe mbali

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Natoroka kwenye ubaya wote uliyonenwa juu yangu kwa jina la Yesu

  • @mary.matullu8279
    @mary.matullu8279 3 роки тому

    Huu ujumbe nimeusikiliza zaidi ya mara tano
    Its wow!

  • @carolinemkuwele7845
    @carolinemkuwele7845 3 роки тому +1

    Ninakuelewa saaana Askofu.!!

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому +1

    Ameeen Baba

  • @jackschannel6556
    @jackschannel6556 Місяць тому +1

  • @binamasamweli9878
    @binamasamweli9878 3 роки тому

    Kwel mtumish ulichoongea ni sahii Mungu atuepushie na wanaotucholea raman za ubaya

  • @adongotina5289
    @adongotina5289 3 роки тому +1

    Amen this is what happened to me in Oman this is way Iam suffering up to today

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Nina Futa michoro yote niliyochorewa Mimi watoto wangu wazazi wangu wadogo zangu na watoto wa wadogo zangu ukoo wa Baba na ukoo wa Mama kwa jina la Yesu Kristo

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Leo Mwanaume yoyote asiyefaa kwenye Maisha yangu nafutilia mbali kwa jina la Yesu

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    👏👏👏👏👏👏👏Nina Afya na Familiya yangu kuliko wakati wowote hapa duniani

  • @janetjanet8669
    @janetjanet8669 3 роки тому

    Uishi milele mtumishi wa Mungu maana wewe ni jasusa la mbinguni 🔥🔥🔥🔥🔥

    • @machoguhameri7757
      @machoguhameri7757 3 роки тому

      Mungu ashukuriwe Kwa uwezo mkubwa aliokupatia. Natamani wakati nikiwa Bible School ningekutana na mkufunzi Kama wewe.Wenye vyuo vya Biblia wangekutumia kuandaa Watumishi,tungekuwa na watenda kazi bora kabisa. Pia vyuo vikuu vingekutumia ungesaidia Sana vijana Wetu kuboresha ufahamu wao katika Maisha yao chuoni, na baada yake.

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Naigeuza michoro Yao yote wariyochora juu yangu na Familiya yangu kwa jina la Yesu

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому +1

    Adui zangu wababwe Live kwa jina la Yesu

  • @annmbatha8021
    @annmbatha8021 3 роки тому

    Amen..may the name of lord be praised..I witness this..Anne nrb Kenya

  • @JustinJohn-ss4qe
    @JustinJohn-ss4qe 9 місяців тому

    Amina kubwa.

  • @pauloteleja7548
    @pauloteleja7548 3 роки тому

    Nitakuwa na afya mm na family yang kwajiina la yesu

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Nawakusanya wasiyofaa kwenye Maisha yangu wote nawatupa kwenye shimo la moto watengetee kabisa

  • @angelkimaro7562
    @angelkimaro7562 3 роки тому

    Ninafuta ramani ya ubaya kwenye maisha yangu

  • @akwilinatopisto7028
    @akwilinatopisto7028 3 роки тому

    Naikimbia michoro ya ubaya kwa jina la YESU

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Ameen yaliyo tokea kwangu kwa watoto wangu Familiya yangu basi

  • @danielndalangavye2469
    @danielndalangavye2469 3 роки тому

    Amina

  • @edmundmbele4307
    @edmundmbele4307 3 роки тому +1

    AMEN AMEN

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Napokea Afya kwa jina la Yesu

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 3 роки тому

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💞💞💞💞💞💞

  • @judyjidena3768
    @judyjidena3768 3 роки тому +2

    Ameeeni🙏🙏

    • @bibishemayonde4406
      @bibishemayonde4406 3 роки тому

      Kwa jina la yesu Kriston ramani yote yamabaya namichoro yenye washawi walitiyaka mumausha yangu na Family's yangu na jamaa ya kwabo Mama yangu yote na ivuta kwa damu ya Mwana kondoo wa Mungu yesu Kriston wana zareti

  • @theologyclass9209
    @theologyclass9209 3 роки тому +3

    Live long my dady

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому +1

    Ramani ya ubaya

  • @akwilinatopisto7028
    @akwilinatopisto7028 3 роки тому

    Simba wa awalambe wote walichora Raman ya ubaya kwajina la YESU

  • @JustinJohn-ss4qe
    @JustinJohn-ss4qe 9 місяців тому

    ❤❤❤

  • @sarafinasakinoi4075
    @sarafinasakinoi4075 3 роки тому

    natorokaaaaa

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Watoto wangu wapokee Afya kwa jina la Yesu

  • @itugarehema1986
    @itugarehema1986 3 роки тому

    Afyaaaa Afyaaa Afyaaa

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 3 роки тому +1

    Hahaha
    Walijuwa kuna promotion na kuapa 😂😂😂😂😂, kumbe ni kutumbuliwa vibaya. Ubarikiwe Mzee.

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Afya kwa Wazazi wangu Afya a kwa wadogo zangu Afya kwa watoto wa wadogo zangu

  • @shirimaoliva7695
    @shirimaoliva7695 3 роки тому

    Barikiwaa mtumishii

  • @stephenguga1034
    @stephenguga1034 3 роки тому

    👑🙏🙌🙌🙌🙌💉🌋

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 3 роки тому

    Wachora Raman mbaya juu yangu, ubaya huo uwatafune wao wenyewe kama kanwa ka simba,na moto.

  • @aloycesimon8351
    @aloycesimon8351 3 роки тому

    Amen amen amen.

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Ameen

  • @evagumbo6731
    @evagumbo6731 3 роки тому

    Ameen Ameeeeen 👏👏👏👏👏👏👏🙏

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Ameeen

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому +1

    Hata kama huwa sifatilii kwa wakati ila huwa napokea kitu kikubwa Sana

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Pomoweni mbaka msingi

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Misingi ya ukuu wa ulimwengu umevuliwa nguo

  • @hellenmarandu1787
    @hellenmarandu1787 3 роки тому

    Amen

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Ameeen Haleluyaaaa🙌🙌

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 3 роки тому +1

    Sabaya naye amesimamishiwa mashahidi wawili wasiofaa.😭😭😭
    Amecholewa lamani 😏😏

  • @akwilinatopisto7028
    @akwilinatopisto7028 3 роки тому

    Ameeeeeeeeen

  • @pauloteleja7548
    @pauloteleja7548 3 роки тому

    Aminaa

  • @tegetatown2805
    @tegetatown2805 3 роки тому

    Safiiii Bro.

  • @azizaaziza9113
    @azizaaziza9113 3 роки тому

    Wakristo wa kwagwajima mnabahati sn wenzenu tunataman tuipate hiyo bahati lkn wap mmefurika hekaru linapenza sn lkn cha kushangaza wakat wa mahubiri mnaonekana mnamuelewa sn Askofu na kwa vile anatumia muda mrefu wa mafundisho mnaanza kudhoofu anapowaamsha na wimbo ili mchangamke mrudi kwenye mudi wanaoitikia ama kuimba nisehemu tu kdg ya washiriki bwana ebu badirikeni

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Ameen🙌🙌

  • @hacimanaclaude5401
    @hacimanaclaude5401 3 роки тому

    Ukiwa hutojali naomba nambari yako ya mawasiliano, Asante!

  • @josephjulio6112
    @josephjulio6112 3 роки тому

    Nakuelewa sana

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Haleluya aaaa

    • @damianchausi4729
      @damianchausi4729 3 роки тому

      Ninafuta kila ramani juu ya maixha yangu juu ya familia yangu katika ulimwengu wa roho ninafuta kwa damu ya yesu

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Sehem ileile

  • @reliantslusajo7643
    @reliantslusajo7643 3 роки тому

    🙏

  • @moniquebankibigwira866
    @moniquebankibigwira866 3 роки тому

    Some zuri

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 3 роки тому

    Sasa hivi ni mwendo wa simba, I see how Lion walivyowameza

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Afyaaaaaaaa

    • @berthaayubu7843
      @berthaayubu7843 3 роки тому

      Nafuta ramani ya ubaya juu yangu nawafyekelea mbali kwa jina la Yesu kristu

    • @machoguhameri7757
      @machoguhameri7757 3 роки тому

      Mungu akumbuke machozi ya wajane, na mayatima na msikini waliosaidiwa na Magufuri, waliotandika nguo zao na matawi ya Miti, wakizimia kwa huzuni na maombolezo makuu, Machozi yao yasipotee bure Mungu amlipie Magufuri kisasi.iwe Amini na Kweli

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 3 роки тому

    Duh,
    Nafasi zilibaki kibao🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️😂

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 роки тому

    usitamani cha watu kina historia

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 роки тому

    pisha mbali

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yaani wanawake tuna Maneno

  • @wilsonsimangwa8238
    @wilsonsimangwa8238 3 роки тому

    Amina

  • @jackschannel6556
    @jackschannel6556 Місяць тому

  • @aminalimu5150
    @aminalimu5150 3 роки тому

    Amen 🙏

  • @eliaabethlyd5568
    @eliaabethlyd5568 3 роки тому

    Amen

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 роки тому

    ameeen

  • @janetjanet8669
    @janetjanet8669 3 роки тому

    Amen

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 3 роки тому

    Amen 🙏