TAMKO LA RPC MULIRO MUDA HUU JUU YA MBOWE, LISSU NA LEMA NA MAANDAMANO YA CHADEMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 205

  • @MathiasLima-b7v
    @MathiasLima-b7v Місяць тому +23

    Usalama Gani wakati watu wanaoteka mbona hao hamuwakamati ndomana wananchi wanasema watekaji ni nyinyi

  • @dullahmdaile3008
    @dullahmdaile3008 Місяць тому +6

    Kwaiyo wazee katiba ya nchi hii ipo kwa ajili ya ccm2 na sio kwa raia wa nchi hii?

  • @goodluckstephanmasige3450
    @goodluckstephanmasige3450 Місяць тому +4

    Binafsi nimekuwa nakufatilia,Muliro hauna sifa za kuwa RPC hata kidogo, kama viongozi wako wameona wewe ndio cream kwenye jeshi lako basi ninyi kweli nidhaifu kama wasemavyo wanasiasa mbali na hapo nikwamba unatumika vibaya bila ya kuchanganya nazako.

  • @RahimMallya-fh9zc
    @RahimMallya-fh9zc Місяць тому +10

    Mnapata kazi kubwa kujieleza sana mbona, watanzania tunawaelewa vzr sana na uwonevu wenu

  • @VitalisMmassi-oh4jb
    @VitalisMmassi-oh4jb Місяць тому +12

    Vibaraka wa ccm.

  • @JemeslaizerJemeslaizer
    @JemeslaizerJemeslaizer Місяць тому +3

    Amani gani hiyo,,, mnatumika na ccm....,,,, Ila Katiba mpya ni muhimu.

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 Місяць тому +4

    Tuachane nahayo maandamano, lengo kuu na muhimu nikuakisha nyinyi kama jeshi la polisi mnafanya uchunguzi wakina kuakikisha hawa wanao sadikika wamepotea wanapatikana bila ivyo haya mambo mengine yatakuwa nikama ngojela tu

  • @charlesnyamiti3172
    @charlesnyamiti3172 Місяць тому +7

    Katiba ndiyo Sheria mama, inaruhusu watu kuandamana bila kujali maandamano hayo ni ya kudai haki, kupinga au kuunga mkono jambo fulani, na Katiba hiyo hatoi mamlaka yoyote kwa polisi kuzuia au kupiga marufuku maandano bali inatoa jukumu kwa jeshi la polisi la kulinda Mali na usalama wa raia. Kinachofanyika ni kujaribu kuificha Dunia kwamba Kuna tatizo ndani ya nchi yetu!

    • @FidesferdinandikimtiKimati
      @FidesferdinandikimtiKimati Місяць тому +1

      Tuna muitaji soka na wenzake na aliyemuua mzee wetu Ali kibao na wengine walitangulia mbele za hali la sivyo kifo kinainyemelea kizazi chako ndani ya mwezi huuu cheo ni muda tu bos

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu Місяць тому +4

    MATAMKO GANI WEWE MR. MULIRO TOA MFANO WA TAMKO MOJA TU... WAONGO SANA POLISI MNAFANYA SIASA. MATAMKO MATAMKO MATAMKO YEPI MWONGO WEWE? TOA MFANO... MNACHOFANYA HAPO NI KUWA MAKADA WA CCM HAMFANYI KAZI ZA CCM YANA MWISHO HAYA!

  • @JosephTarimo-c5h
    @JosephTarimo-c5h Місяць тому

    Mungu yupo

  • @LucyMambally
    @LucyMambally Місяць тому +1

    Kila lenye Mwanzo lina mwisho. Mungu hadhihskiwi. Kama ni kweli mnatenda Haki endeleeni. Lakini kama hamtendi hdki kumbukeni kwamba, kama wema ni mvegu hata ubaya ni mvegu, na inapopandwa itaota. Kama ni mbaya mtavuna ubaya. Tafufuteni kuwa na Amani na watu wote, na huo utakatifu ambao kama huna hautamwona Mungu. Polisi jitahido I kutenda Haki bila ubaguzi wala kuonea wengine ambao hawana silaha. Jueni kuwa mtetezi wa wanyonge yu hai na juu ya Nchi atssimama kuwatetea.

  • @SwaleheLiyoba
    @SwaleheLiyoba Місяць тому +1

    Nawachuki Sana polisi lakini hata dolakubwa zilianguka nauwakika ccm mwisho umefika nanyinyi polisi ikosiku

  • @bonifacerobert2960
    @bonifacerobert2960 Місяць тому +1

    Mnaogopa kuwajibika mapolisi wa Tanzania kwa uovu wenu. Mnaulinda uovu wenu. Mmamwogopa Faustina.

  • @VictorBugobola
    @VictorBugobola Місяць тому +2

    Nchi ya ahadi tutafika kwl? Duh bas tuelekee Nchi ya Promise😂😂 kwa Ushaur Wangu kwa nn Nmeruhusu Vyama vingi wkt Upinzan nkama Adui wa taifa si bora Mviondoe ibaki Ccm tu ili kuondoa haya yote😮

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 Місяць тому +10

    Duh kama polisi wangekuwa serious kwa waharifu kias hichi basi matukio ya ajabu yasingekuwepo kabisa

    • @JoyceKabula-in1sh
      @JoyceKabula-in1sh Місяць тому +1

      Halafu tundu lisu mmemkamatia kwake je kwake mmemkuta anaandamana chumbani na mke wake mnatukera sana

    • @jumakisailo8496
      @jumakisailo8496 Місяць тому

      ​@@JoyceKabula-in1shNi ajabu sana, hii nchi imegeuzwa koloni la kundi la mabilionea huku mwananchi wa kawaida akibaki kuumiza kichwa Kila uchao...😭😭😭😭😭😭...Mungu anaona, japo wao hawaamini Mungu. In-shaallah.

  • @glorymiko6830
    @glorymiko6830 Місяць тому +7

    Wewe police wewe. Wacha unafki.. Na uzee wako huo bado unakuwa chawa.

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 Місяць тому +1

      😂😂😂nimejikuta nimecheka japo cheko chungu jamani 🙌

  • @aickatesha4542
    @aickatesha4542 Місяць тому +4

    Wakamateni watekaji na waliompiga lissu risasi

    • @rafiurashid1021
      @rafiurashid1021 Місяць тому

      Wewe unasemaa kwamba mbona hawajakamata watekaji! Na mimi nakuuliza mbona hawajakamata waliouwa waislaam mwembe chai? na mbona hawajakamata aliyempiga shehe ponda risasi? mkuki kwa!!!!!! Kwa binadam mchungu?

    • @EhudMwanakulya-t7q
      @EhudMwanakulya-t7q Місяць тому

      Tuonyeshe walipo

  • @mbeguclassic3387
    @mbeguclassic3387 Місяць тому

    Mi najuwa sio leo wala kesho ila watanzania juweni tu kunasiku watachoka ichi ya kibabe haitaki kukoselewa wapi tunakwenda mungu wangu watu wanatekwa Wana tiwa vilema wanakufa wazi wazi 😢😢😢 mungu tusimamie

  • @TimothyNdaki
    @TimothyNdaki Місяць тому +2

    Hongera kwaujinga huu

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 Місяць тому +3

    Tunajua upendi kuwakamata ila ugali wako inabidi ulinde Pole mulilo Mungu akulinde walio juu yako wanakupa lawama

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 Місяць тому

    Mlilo huwa ananifurahisha Sana hasa anapotoa taarifa yakufanikiwa mawindo ya akina CDM

  • @ThomasMamasita
    @ThomasMamasita Місяць тому

    Uwonevu wa police wa Tanzania Stop bullying people Jamani

  • @goodluckstephanmasige3450
    @goodluckstephanmasige3450 Місяць тому +4

    Alafu hata kuwapa walinzi wenu sale mnashindwa, ona wewe unang'aa ila mlinzi wako nikama anajutia kazi yake.

  • @FurahaNelson-z6c
    @FurahaNelson-z6c Місяць тому +1

    Sio kweli

  • @edistidiusmutalemwa5758
    @edistidiusmutalemwa5758 Місяць тому +2

    Mzee Mlilo,kalaga bao. Wenzio ujumbe umefika. Hata ungeongea lugha gani,lengo na nia yenu inajulikana tu.

  • @zainmukadam6501
    @zainmukadam6501 Місяць тому +4

    C.P.A inasema kabla ya kumkamata mtu lazima kwanza uchunguze, Upate ushahidi ndio mtu akamatwe ndio afikishwe mahakamani.. Sasa mbona halifanyi hivyo

  • @PeterNMzee
    @PeterNMzee Місяць тому +2

    Sisi RAIA ni watumwa katima nchi yetu.....inawezekana je kwamba maandamano ya amani ya oewe jina la maandamano ya vurugu..... Ila ni naimani mabadiliko yamekaribia.... Lazima tuibadilishe hii nchi kutoka kwa wahalifu, wezi, wauwaji etc.... The day is coming....

  • @SaitaSanga
    @SaitaSanga Місяць тому +3

    Hongereni mnaojikuta hiii nnchi ni baba yenu tu

  • @erastomwambeje9920
    @erastomwambeje9920 Місяць тому +4

    Mbona hamkuwakamata ! Mmefeli bhana

  • @abushilimichael9777
    @abushilimichael9777 Місяць тому

    Tanzania hoyeeee

  • @RajabuLanda
    @RajabuLanda Місяць тому +1

    Tujazeni hofu Mana hamuaminiki kaxa mavazi ha mutoto wangu atakuja. Kuvaa mavazi Kama hayo yie hamukuzariwa mayo sawa

  • @FurahaNelson-z6c
    @FurahaNelson-z6c Місяць тому +2

    Muogopeni mungu

    • @jumakisailo8496
      @jumakisailo8496 Місяць тому

      Walisha sema wanapo taka kufanya jambo lao hakuna Mungu akijaalia. Yani hawamjui Mungu.

  • @ijuesayansiyauimbaji7520
    @ijuesayansiyauimbaji7520 Місяць тому

    Maandamano yetu yako pale pale, hapo mmeyasogeza mbele kidogo tu.

  • @AlouiseNgenDanDumwe
    @AlouiseNgenDanDumwe Місяць тому

    Sura mbaya wewe ni msenge katika wasenge kumbuka bro unafamilia ipo siku for really narudia tena wewe ni msenge na samia miwani

  • @abushilimichael9777
    @abushilimichael9777 Місяць тому

    Hii ndio amani tunayo itaka but tuna sahau kwamba amani iko kwa kristo yesu tuuu

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 Місяць тому

    Ila mbowe ni kama jasus pamoja na utafutwaji wote ule bado alifika sait salama salimin

  • @bertinkimati2674
    @bertinkimati2674 Місяць тому +1

    Angoje aje kujibu hayo mahakamani atakaposhtakiwa yeye binafsi. Kama sio Leo ipo siku atajibu Hilo

  • @MobiletzPhonestz
    @MobiletzPhonestz Місяць тому

    Bila hofu wakati nguvu kubwa inatumika katika mambo ambayo si ya muhimu..

  • @SamuelMelita-n4t
    @SamuelMelita-n4t Місяць тому

    Kuma wewe peleka😂ujinga uko malaya wewe wa mama samia suhul kwenda kabixa 😊😊😊😊

  • @MohamedKalatula
    @MohamedKalatula Місяць тому

    Uonevutuu ipo cku dam itamwagika shariyako

  • @HulumaKisakali
    @HulumaKisakali Місяць тому

    Wanaichi tumewachoka uo go to ukweli tunaujua cheo ni dhamana vuten katiba kama kàtiba iña rusu wew3 nani ukataze Mungu añawaona na maovu yenu

  • @AshirafuRajabu-uz4bt
    @AshirafuRajabu-uz4bt Місяць тому

    Sawa mtekaji

  • @Amoschisunga
    @Amoschisunga Місяць тому

    Sawa umewakamata vipi kuhusuwatekaji wako unaowatumanga kuteka watu

  • @ChristinaKenjewala
    @ChristinaKenjewala Місяць тому +8

    😂😂😂 eti Tanzania kuna amani...ingekuwa hivyo watu wasingekuwa wanatekwa hivii

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 Місяць тому

      Basi dunia nzima haina amani

    • @nicolausisaya
      @nicolausisaya Місяць тому +1

      mmewakamata wana siraha kwani au katiba inasemaje kuhusu maandamano

  • @khakidablack546
    @khakidablack546 Місяць тому +2

    Simuamini polisi coyote damn!!

  • @alfaksadkayombo789
    @alfaksadkayombo789 Місяць тому

    Ata mkiwauwa sawa tu maana msha zoeya mauwaji

  • @muhamedali3902
    @muhamedali3902 Місяць тому

    Hhhhhh police hhhhh et police usalama wa raiya na mali zao
    Yani hili limzee ukiliangaliatu unaona kama linaona aibu lkn halina budi inabidi lisemetu mana ndo lishatumwa na mabos wake
    Yani jisura kama nyani kwa roho mbaya
    Laana ya mungu ikupige kabla huja ondoka kwenye nafasi hiyo

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 Місяць тому

    mngejibu walotekwa wako wapi wala tusingefika huku wewe muda wako wa kustaafu umebakia kidogo tutakutana mtaani

  • @StevenGendo-vx9jo
    @StevenGendo-vx9jo Місяць тому

    Sura lake bayaaa Kama mzimu lione kwanza

  • @AmaniKizinga-ew9mk
    @AmaniKizinga-ew9mk Місяць тому +1

    Watu wanasema raisi must go..huo ni uchochezi kabisa bora wangesema maandamano ya amani ya kupinga hicho wanachokisema lakini sio raisi must go..

  • @IssaMsalama-k6x
    @IssaMsalama-k6x Місяць тому

    Kwa nini msiwakamate siku hiyo hiyo,katiba inasemaje?

  • @daudbenard4800
    @daudbenard4800 Місяць тому

    Kumbe kile kikao na bi mkubwa ndio mlikuwa mnapewa maelekezo

  • @mustaphaakunaay7261
    @mustaphaakunaay7261 Місяць тому +1

    Serikali ni Serikali

  • @silasmarandu1485
    @silasmarandu1485 Місяць тому +5

    Hongera waandishi kwa kuuliza maswali kwa uoga!

  • @FurahaNelson-z6c
    @FurahaNelson-z6c Місяць тому

    Unachafua jeshi letu mtafute wateni watekaji

  • @glorialaizer9450
    @glorialaizer9450 Місяць тому

    Roho mbaya kama mwenyewe

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh Місяць тому

    Lengo menu limetimia ili uchaguzi mkuu na serikari za mtaa wakutwe mmewafungulia kesi mungu anawaona lakini si mbowe tundu lisu jacob na lema siyo wapiga kura wapigakura ni wananchi tutaonana kwenye masanduku ya kura hatuwachaguwi hatuwai
    Pi kura

  • @MasungaNekwa
    @MasungaNekwa Місяць тому

    Muliro acha uongo Katazo hilo sio la kisheria ni la kwako kwa kuendelea kuulinda utawala wa CCM na wengi wanaouwawa wanachama wa Chadema na sio viongozi wa CCM mfano ni aliyekuwa dc wa CCM na matamko yake yauaaji na hajakamatwa wala kuitwa.

  • @geofreyemanuel3593
    @geofreyemanuel3593 Місяць тому

    Kuna namna JenZ wa Tz tunafel

  • @EmmaShirima-d9l
    @EmmaShirima-d9l Місяць тому +1

    Police sio watu wazuri😅😅😅

  • @OmarKombo-h2j
    @OmarKombo-h2j Місяць тому +3

    Kamanda sisi wazalendo tuko nyuma yko endelea kuzibidi uhalifu na wavuja amani ndani ya nchi yetu kazi iendeleee

  • @Christianslukumay
    @Christianslukumay Місяць тому

    Police bhn bas tuu Mungu asimame mwnyw

  • @bertinkimati2674
    @bertinkimati2674 Місяць тому

    Huyo muliro anasahau kuwa mtieiriko wa Sheria hauna aliye juu ya Sheria. Maandamano ni takwa la kikatiba. Wwliokqmatwa wametoa taarifa kama Sheria inavyotaka. Police wao ndio wanavynja Sheria. kaulizwa kwa nini lema amekamatwa Jana wakati hakuwa eneo la maandamano anasema kakamatiwa Dar , je mtu kuja dar ni kosa? Lissu wamemfuata kwake je nae ameandamana? Hapo mtieiriko wa Sheria huyu kilaza anaousungumzia upo wapi??

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 Місяць тому

    Hatuwapendi,

  • @aronmilinga7303
    @aronmilinga7303 Місяць тому

    Samia must go " maana yke nn ? Mbna watanzania mmeelew aman hvi? Hamuon ayo maneno n mazito ? Unajua maan ya " must" achen mambo ya kichochezi jmn , hao maadui wanaotek na kuua watu hawatakomeshw kwa maandamano, achen waliosomea wafany kaz yao. Km mnawajua c mkafungue kesi au na mahakaman hd muandamane? Yan chadema mnakera sana. Lawam utafikir mnajua kumb hamjui et, kwan ndan ya chadema hakun wanaopend kuw viongoz milele? Kwann wtu km hao wasiamue kuua wenzao il wakose upinzan! Au kisa rais mwanamke. Miak 3 iliyopit vp maandamano yalikuw mochwari au ICU hd hamkufanya?

  • @edwinkajuna7207
    @edwinkajuna7207 Місяць тому

    Kamanda twambie walipo vijana wanaotafutwa

  • @bonifacerobert2960
    @bonifacerobert2960 Місяць тому

    Àmbao hujawakata lakini wamekatwa, shauri yao eti?

  • @VenaEliki
    @VenaEliki Місяць тому

    Unakaribia kustaafu

  • @KimbuluMabina
    @KimbuluMabina Місяць тому +2

    Nyienyie polisi mnitakafari sana

  • @EhudMwanakulya-t7q
    @EhudMwanakulya-t7q Місяць тому

    Polis fanyeni kazi yenu bila kuogopa ila msivunje sheria za nnchi yetu

  • @RajabuLanda
    @RajabuLanda Місяць тому

    Wanahojiwa nn wakati munatarifa ya mandamano Sasa munataka tukae kyimya iri mutuuwe au muwauwe et tumewakamata mumewakamata wameuwau nafasi nyingine munazita muzimu Mana hatuwaerewi ss

  • @TikwailasiAbraham
    @TikwailasiAbraham Місяць тому

    Acha utopoto wewe ni mbaka kama wambaka wengine😂

  • @JemeslaizerJemeslaizer
    @JemeslaizerJemeslaizer Місяць тому

    Si tatizo... Siku ipo.

  • @MohamedKalatula
    @MohamedKalatula Місяць тому

    Katba inaruhusu mandamano yahamani weunakiuka katbaa

  • @ijuesayansiyauimbaji7520
    @ijuesayansiyauimbaji7520 Місяць тому

    Wengine wametekwa?

  • @abnermailos8043
    @abnermailos8043 Місяць тому

    Sina imaninae

  • @mundhirsaid1250
    @mundhirsaid1250 Місяць тому

    Heheheheh. Sasa mpka ukaze mdomo. ???? Huna lolote wewe muongo !!! Tumemsikila. Mboye. Hakuna tamko hata moja la uvunyivu wa Amani !!! Alilo lisema nikuwa tutaandama kwa amani. !!!!! Jinyi JESHI NI vibaraka vya CCM na muko hapo kuilinda CCM ,,,, wala sio kulinda RAIA !!!! Sasa ni bora tuwaite. USALAMA WA CCM.

  • @alexjulius6354
    @alexjulius6354 Місяць тому

    😢 tz

  • @sadicksingogo260
    @sadicksingogo260 Місяць тому

    Shida nn,kwani wameshika zana au,shida katiba

  • @EhudMwanakulya-t7q
    @EhudMwanakulya-t7q Місяць тому

    Mnataka kuipoteza amani yet, fanyeni kazi acheni malumbano unaandamana kutafuta nini?

  • @paschalboniface-hb4lh
    @paschalboniface-hb4lh Місяць тому

    Bado kidogo tu unasitfu utajibu nini kwa mungu wewe Mzee daaa uonevu huuu mbaka lini jamani wapo kikatiba tatizo nini

  • @wilbartmugheri8258
    @wilbartmugheri8258 Місяць тому

    Sasa Kama Kazi Kubwa ya Jeshi la Polisi ni Kuzuia Uhalifu Usitokee!😂Mbona Jeshi Hiloooo Halikutumia Intelligence yenu Kubaini Kutekwa, na Kisha Kuuliwa kwa Marehemu Mzee Ally Mohamed Kibao?

  • @InnocentCharles-hm3ff
    @InnocentCharles-hm3ff Місяць тому

    Uafande polisi Kwa mazingira ya siasa za Tanzania ni kazi ngumu mno...haki za watanzania polisi wanazijua sana tu, ikiwemo ya kuandamana...shida ni muundo wake kutokuendana na mfumo huu wa vyama vingi...unalifanya kutii kila jambo linalotoka Kwa anayewaapisha....so ni chama na jeshi lake....hapa tuna kazi siyo ndogo...

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c Місяць тому

    Police wa ccm

  • @MsimbeRajabu
    @MsimbeRajabu Місяць тому

    Ivi Ili jeshi lipo macho Kwa watu wa amani TU wavunjifu wa amani awawezi kuwapata

  • @CharlesMulaki-j8h
    @CharlesMulaki-j8h Місяць тому

    Maandamano si kosa kikatiba wewe sheria umesomea wapi kama kuna viashilia polis mgezuia kwenye maandano si kukataza waachilie huru nawewe hauko juu ya sheria

  • @SHAURI.2024
    @SHAURI.2024 Місяць тому

    sura ka tako

  • @YohanaKivuyo-u3w
    @YohanaKivuyo-u3w Місяць тому

    Wacheni ukuma nauwenefu nyieeeeee

  • @ijuesayansiyauimbaji7520
    @ijuesayansiyauimbaji7520 Місяць тому

    Matamko yapi wewe acha uongo mtu mzima hovyoooo9

  • @shebyabdallah5854
    @shebyabdallah5854 Місяць тому

    UpuuZi

  • @upgo6112
    @upgo6112 Місяць тому

    Du..mambo haya magum sana

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda Місяць тому

    Naomba tuelmishwe tujue viashila vya uvunjifu wa Amani Weng hatufahamu ndo maana wameimgia barbarani kuandamana

  • @fredmabena6308
    @fredmabena6308 Місяць тому

    Mmejuwaje kuwa maandamano ni ya kuvunja amani

  • @alexandermalima610
    @alexandermalima610 Місяць тому

    Ngoja tuone wanaojua sheria Kati ya wanasheria na polisi

  • @saeedmohammed2245
    @saeedmohammed2245 Місяць тому

    Ipo siku

  • @faustinebahenobi3412
    @faustinebahenobi3412 Місяць тому

    Vibaraka wa ccm nyinyi ilo linajulikana mbn ccm hamuitamkagi vinywani mwenu nyinyi kaziyenu chadema tu

  • @NeemaJohn-n9r
    @NeemaJohn-n9r Місяць тому

    Waachieni viongozi wetu, kupasa sauti kupinga hiki kikundi mlichokishindwa cha kuteka na kuuwa raia haiwezi kuwa kosa.

  • @zaherashamte1058
    @zaherashamte1058 Місяць тому

    Kwa kosa gan ikiwa katiba inaruhusu

  • @danielpaul4108
    @danielpaul4108 Місяць тому

    Uonevu tu

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 Місяць тому

    Inshangaza wakuu wa CCM wanasema matamko yasiostahili kwa usalama wa amani,lakini hawaguswi.