Uko sahihi kabisa. Mwanamke shujaa. Mungu akulinde, akusimamie, akuongoze na akupe maono sahihi. Watumishibwengi wanatumika na uongozi wa CCZm. Wanapewa pesa nyingi sana kudanganya madhabahuni.Hawa mananı wengi waongo, wachina pesa , walimbikiza utajiri kuwanyang’anya mpaka maskini wa mwisho ili wamiliki mahiteli, mandege, macumba ya fahari, magari mengi ya kifahari. Kama kweli ni wafuasi na mana I wa kweli, Watoe na wagawe hayo mali yote kwa maskini. Nitawasifu. Hakuna mtumishi wa Yesu alijilimbikizia mali. Mtamtumikiaje Mungu zidi ya mali yote mliojiwekezea? Si ufalme wenu ni huu wa kidunia. Huwezi kutumikia utajiri na Mungu, huwezi. Nyinyi mmewekeza kwenye anasa zenu hapa duniani. Hamna Mungu nyinyi, hamna Yesu, nyinyi si Yule petro ingawa alikuwa na mapungufu yake. Si hivi. Nyinyi mmeoao, mna wanawake wengine nje ya ndoa zenu. Mnahongwa na serikali Halafu mnakwenda kuhubiri neno la Mungu kwa wananchi. Nanyi wananchi mnaowaabudu hawa miungu watu Melisa nini? Hamuyaoni? KWa nini mnayasujudu hayo madhabahu Mai I. Yesu aliingia akageuza meza makanisani alipoona biashara na pesa huko. Nyimnyi mnatoa mamillioni kwa hao manabii na mapasta waongo mashetani ili eti mpate umaarufu mbele za watu ? Eti mjisafishe mbele ya hao mashers I? Mpate umaarufu udanganyifu mbele za umma? Hapo ndipo imani zetu zimeishia. Udhaifu wetu mkubwa ndio uliotufikisha hapa. Tunaogopa kushuka na kupata aibu kwa wananchi . Ni Mungu ndiye anayekujua fika, kwake huwezi kuficha lolote, wala kijiji ha. Endelea kujidanganya tu mwisho wa kuanikwa umekuja. Ni Mungu mwenyewe atakuumbua na kukusibidha vibaya sana. Hakuna lisilo na mwisho kwa maombi ya wachache mtaumbuliwa tu. Morning Mungu sifa zake. Bwana asifiwe na ahimidiwe.
... viongozi wa dini wanachangia tatizo la maovu kuwa kubwa kwa sbb ya ukaribu wao na serikali iliyopo wanashindwa kukemea maovu kama watu kupigwa risasi, utekaji na mauaji yanayoendelea. Huwezi kusikia viongozi wa dini wakisimama kwa pamoja/umoja wao kukemea maovu kama utekaji, mauaji ya watu kutolewa kwy basi na kudai uchunguzi huru badala yake unawaona viongozi wa dini wanapiga picha na kucheka na viongozi wa serikali utafikiri hakuna kinachoendelea nchini...
Kujiita kuwa ni mtumishi wa Mungu ni rahisi sana,lakinikujibiwa maombi ni ngumu sana Mungu hajipingi Mungu anatafuta mtu mmoja mtakatifu aombe kwa ajili ya taifa
viongozi wengi wa kidini wanachangia tatizo la maovu kuwa kubwa kwa sbb ya ukaribu wao na serikali iliyopo wanashindwa kukemea maovu kama watu kupigwa risasi, utekaji na mauaji yanayoendelea. Huwezi kusikia viongozi wa dini wakisimama kwa pamoja/umoja wao kukemea maovu kama utekaji, mauaji ya watu kutolewa kwy basi na kudai uchunguzi huru badala yake unawaona viongozi wa dini wanakimbilia ikulu wanapiga picha na kucheka na viongozi wa serikali utafikiri hakuna kinachoendelea nchini...
Mithali 29:2 Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua. Mithali 29; 16 Waovu wakiongezeka, maasi huongezeka; Bali wenye haki watayatazama maanguko yao;
Ni vizuri na wewe uombe kendal ikuli,na siyo kuwatisha na kuwatia hofu viongozi wa madhebu,tatizo hili la mauji unalikuza na kuwatia wananchi hofu.mwombe Mungu msamaha
Wewe nia Yako kuisema serikali. Kwanini msijitokeze wakati wa Magufuli. Hao viongozi wa kikristo ndio wako mbele sana kumsema mama, mpaka kaitwa Muuwaji.
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana kwa ujumbe huu. Ni jambo ''BAYA NA OVU MNO'' kuuchukulia ujumbe huu kuwa unatia watu hofu . Ujumbe huu unafunua hali halisi na usichukuliwe kuwa ni vitisho. Ni mtu ''muovu na aliyekosa ufahamu wa kimungu'' ndie atakaeuchukulia ujumbe kuwa ni vitisho. Ni jambo la kusikitisha hasa kwa viongozi wa kidini wengi hawajachukulia suala hili katika uzito wake.Hatuhitaji kupata ushahidi wa ziada kwa hali mbaya iliyopo katika Taifa letu la Tanzania. MUNGU TUREHEMU NA KUTUEPUSHA NA MATOKEO YA MABAYA HAYA
Acha ujinga na udharalishaji Frederick.Acha utani kwenye mambo muhimu sana. Msenge mkubwa. Sikiliza kauli. Nzishe kabisa. Usioteze ujumbe mzigo , wa maana, unaomgusa kila Mtanzania. Pumba wewe. Ujinga unaua.
Asante mama Kwa kutoka unabii,watumishi wote wasimame madhabahunini na kukemea haya,wakatoliki tu ndowamejitoa wanakemea kwingine kimyaaa

Tuko pamoja mchungaji.Tumuombe Mungu aiponye Tanzania.
Dada umeonesha Uzalendo mkubwa sana
... viongozi wa dini wanachangia tatizo la maovu kuwa kubwa kwa sbb ya ukaribu wao na serikali iliyopo wanashindwa kukemea maovu kama watu kupigwa risasi, utekaji na mauaji yanayoendelea. Huwezi kusikia viongozi wa dini wakisimama kwa pamoja/umoja wao kukemea maovu kama utekaji, mauaji ya watu kutolewa kwy basi na kudai uchunguzi huru badala yake unawaona viongozi wa dini wanapiga picha na kucheka na viongozi wa serikali utafikiri hakuna kinachoendelea nchini...
Mungu akubariki dada yangu oongea tupone.
Kujiita kuwa ni mtumishi wa Mungu ni rahisi sana,lakinikujibiwa maombi ni ngumu sana Mungu hajipingi Mungu anatafuta mtu mmoja mtakatifu aombe kwa ajili ya taifa
Bwana Mungu uturehemu na kuirehemu nchi yetu
Inasikitisha sana 😢
Mungu haturumie
MUNGU akulinde kwa kusema Ukweli !
viongozi wengi wa kidini wanachangia tatizo la maovu kuwa kubwa kwa sbb ya ukaribu wao na serikali iliyopo wanashindwa kukemea maovu kama watu kupigwa risasi, utekaji na mauaji yanayoendelea. Huwezi kusikia viongozi wa dini wakisimama kwa pamoja/umoja wao kukemea maovu kama utekaji, mauaji ya watu kutolewa kwy basi na kudai uchunguzi huru badala yake unawaona viongozi wa dini wanakimbilia ikulu wanapiga picha na kucheka na viongozi wa serikali utafikiri hakuna kinachoendelea nchini...
Unachosema nikweli hongera kwahilo
Hii nchi ukiwa mtetea haki unaitwa mchochezi
Mithali 29:2 Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua. Mithali 29; 16 Waovu wakiongezeka, maasi huongezeka; Bali wenye haki watayatazama maanguko yao;
Mimi ni muombaji na mtumishi wa Mungu naomba no. zako za simu.
Na Mimi anipe kama. Amekupa
Sauti ya Mungu kila pembe ya nchi inasikika kila mahali,je masikio yao yanasikia na macho yao yanaona?(maana ya kamba nyingi Kibiblia)
Dada wewe ni mtumishi,
Rushwa na uchawa ndani ya dini,kushindwa kukosoa.
Sisi wananchi tunainyoshea kidole serikali Kwa matendo yake maovu wanatumia kukandamiza sauti ya wanchi Kwa MTU wa bunduki
Naomba namba yako,
Ujumbe huu peleka kwa serikali
Dhambi na uonevu yamezidi mnoo😢
Unasema ukweli ukweli mtumishi ata kwenye coment hizi tulizo andika apa wajinga na wapuuzi wapo.
MUNGU ailehemu Tanzania na ajitwalie wenye Haki watawale
Ni vizuri na wewe uombe kendal ikuli,na siyo kuwatisha na kuwatia hofu viongozi wa madhebu,tatizo hili la mauji unalikuza na kuwatia wananchi hofu.mwombe Mungu msamaha
Kama ageuawa baba, mama, mke, mme, au mtoto wako usingesema hivyo
Nyie Wakristo mnadanganya uma, Mungu hawezi kukusemesha wewe hata hujui kufunika kichwa chako.
Wewe nia Yako kuisema serikali. Kwanini msijitokeze wakati wa Magufuli. Hao viongozi wa kikristo ndio wako mbele sana kumsema mama, mpaka kaitwa Muuwaji.
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana kwa ujumbe huu. Ni jambo ''BAYA NA OVU MNO'' kuuchukulia ujumbe huu kuwa unatia watu hofu . Ujumbe huu unafunua hali halisi na usichukuliwe kuwa ni vitisho. Ni mtu ''muovu na aliyekosa ufahamu wa kimungu'' ndie atakaeuchukulia ujumbe kuwa ni vitisho. Ni jambo la kusikitisha hasa kwa viongozi wa kidini wengi hawajachukulia suala hili katika uzito wake.Hatuhitaji kupata ushahidi wa ziada kwa hali mbaya iliyopo katika Taifa letu la Tanzania. MUNGU TUREHEMU NA KUTUEPUSHA NA MATOKEO YA MABAYA HAYA
We umejuaje kama haombi?
Hizo bangili ni za nini Mtumishi?