''UTEKAJI NI JANGA KUBWA NCHINI KULIKO LILITOKEA KARIAKOO/KWANINI TUNABAGUA MAAFA''AKOFU MWAMAKULA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 30

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 7 годин тому +2

    Hakuna Demokrasia Tanzania kinachoendelea ni ubabaishaji na Kuwasindikiza CCM kwenye chaguzi bila Katiba Mpya Askofu Mwamakula tutalalama Hadi kifo kukubali kuingia Uchaguzi Mkuu bila Katiba Mpya nisawa na Kufuga Virusi ambavyo Kila siku vinakuwa.

  • @Omarimakuka
    @Omarimakuka 4 години тому +1

    Ifike wakati dini na siasa zitenganishwe la sivyo watumishi wapimwe Ubongo😊😊

    • @MaguguStore
      @MaguguStore 3 години тому

      Maana huyu ni chizi kabisa😊

  • @madamelucy8429
    @madamelucy8429 6 годин тому +1

    Kila jambo liweke katika uzito wake , we janga la kaliakoo unaona sio kitu cha kustua wakati watu wengi wamepoteza maisha kwa wakati mmoja , usiwe mbinafsi hivyo km ungekuwa na ndugu yako ungesema hayo , embu hizi siasa zisifanyeni kwa uelewa

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 3 години тому

    Nimekuelewa Baba Mwamakula.Vyama vimevurugana sana.

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 7 годин тому +2

    Huyu askof wa watamganyika siyo wa fisiemu huwezi kumwelewa

  • @SephaniaMsigwa
    @SephaniaMsigwa 7 годин тому +1

    Sahihi kabisa

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 7 годин тому +1

    Kweli kabisa bishop .mawaziri wote walikua kwenye eneo latukio ,lkn wakati utekaji ukitokea hata kauli hawawezi kutoa.

  • @hamismasoud8306
    @hamismasoud8306 2 години тому

    Nasikitika kuona mpaka wewe akili yako inaamini kuwa Tanzania ni nchi ya demokrasia.

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 2 години тому

    Bibilia inasema vizuri kukemea serikali

  • @dogodogo595
    @dogodogo595 53 хвилини тому

    Iyo kofia vp mzee haiuzwi 😂

  • @Zaynabahmed-ey4zu
    @Zaynabahmed-ey4zu 5 годин тому

    Mtunishi in katibu sio mw, kiti alieuwawa iringa

  • @ContentSmartphone-rq6po
    @ContentSmartphone-rq6po 5 годин тому

    Mchochezi😊

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 5 годин тому

    Wacha Siasa zako za Uchochezi wewe Chadema wanateka na kumua Mzee Kibao unajua wawe Askofu unatoa maneno ya Propaganda tu

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 7 годин тому

    Kwanza hawa sindio wale ambao hawaoi sasa kama hawaoi si watakua wapiga nyeto au mashoga LGBTQ mfano katholic chach angrykan charch hivi wanamalizia hisia au haja zao wapi tuwe sana makini nao watatuletea ushoga LGBTQ ndani ya Taifaletu

    • @SephaniaMsigwa
      @SephaniaMsigwa 7 годин тому

      Kweli bwana nitumie no yako ya sm mwamba

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 Годину тому

    Kumekuchass

  • @DawoodDawood-e8p
    @DawoodDawood-e8p 4 години тому

    Hivi hospitali ya mirembe bado ipo?

    • @MaguguStore
      @MaguguStore 3 години тому

      Ipo na wanapokelewa watu kama hawa

  • @mambaabdallahjuma6445
    @mambaabdallahjuma6445 4 години тому

    Acha usenge amua siasa uchungaji

  • @elimuforum9135
    @elimuforum9135 7 годин тому

    Hiki kiaskofu cha kanisa gani? Kinaonekana kina roho mbaya sana

  • @hamadhamud-n4j
    @hamadhamud-n4j 7 годин тому

    Kwani yeye ni askofu au mwana siasa?yeye ni chawa wa chadema.

    • @Yussuf-b3b
      @Yussuf-b3b 5 годин тому

      Anae teswa na kuuwawa ni watu wa ccm au chadema ,,,,kuna ubaya gani kumtetea mtu anae uwawa na kuonewa,wakati hao ccm ndio wauwaji na wanatamka wenyewe ma ccm yakwamba wakipotea musiwatafute

    • @MaguguStore
      @MaguguStore 3 години тому

      Chawa wa Chadema

  • @hamadhamud-n4j
    @hamadhamud-n4j 7 годин тому

    Mchochezi

  • @hamadhamud-n4j
    @hamadhamud-n4j 6 годин тому

    Mchochezi